- 97
- 74 294
BEKI TV
เข้าร่วมเมื่อ 20 พ.ค. 2020
Welcome to Beki TV - Radio Citizen's football commentator/reporter. This channel airs exclusive sports news updates, one on one interviews with sports celebrities, sports tours and travels. Spend time here, get more sporty.
RIP: ULINZI STARLETS COACH JOSEPH WAMBUA MWANZA INTERVIEW (KURUNZI)
RIP: ULINZI STARLETS COACH JOSEPH WAMBUA MWANZA INTERVIEW (KURUNZI)
มุมมอง: 702
วีดีโอ
MKENYA ENEZ MANGO AISAIDIA FARUL CONSTANTA KUSHINDA LIGI YA DARAJA LA PILI ROMANIA (INTERVIEW)
มุมมอง 125ปีที่แล้ว
Beki shoto wa timu ya taifa ya soka kwa akina dada nchini Kenya Enez Mango Mudeizi amesema kushinda ligi ya soka ya daraja la pili nchini Romania ni ndoto iliyotimia maishani mwake. Nahodha huyo wa zamani wa Vihiga Queens aliyejiunga na mimba hao Oktoba mwaka jana alichangia mabao 26 kwenye mechi 13 na kuwasaidia kutwaa taji hilo kwa jumla ya alama 45, sita mbele ya Vulpitele Galbene iliyomaliz...
HATUNA KITU! KLABU YA VIHIGA BULLETS YALIA (INTERVIEW)
มุมมอง 98ปีที่แล้ว
Klabu ya Vihiga Bullets inayoshiriki kwenye ligi kuu soka nchini Kenya FKF inawataka wahisani kujitokeza na kuwasaidia ikisema haina uwezo wowote ule wa kifedha wa kuendesha timu hiyo. Timu hiyo inayomilikiwa na aliyekuwa Gavana wa kaunti ya Vihiga Askofu Moses Akaranga, ililazimika kupeana walk over kwenye mechi na Sofapaka kwa kukosa mbinu za kusafiri Nairobi huku jana ikikwama tena Nairobi b...
CHELSEA KUVUNJA REKODI KWA KUMSAJILI ENZO FERNANDEZ
มุมมอง 323ปีที่แล้ว
Taarifa kem kem kuhusu siku ya mwisho ya uhamisho wa wachezaji barani Uropa.
NITARUDI KENYA APRILI KUMZIKA MTU: KARIM "MTU KAZI" MANDONGA AAHIDI BAADA YA KUMPIGA WANYONYI
มุมมอง 513ปีที่แล้ว
Bondia wa Tanzania Karim Mandonga aliyemlima mwenzake wa Kenya Daniel Wanyonyi Jumamosi iliyopita kwenye pigano la uzani wa Super Middle katika ukumbi wa KICC Nairobi ameahidi kurejea nchini April mwaka huu kwa pigano lingine. Mandonga alijisifu akisema hakuna bondia East Africa anayembabaisha na kuwa ashamaliza na Wanyonyi sasa atarejea April kumzika mtu.
MAPENZI YAMWEKA MATATANI KOCHA WA MAREKANI GREGG BERHALTER
มุมมอง 542 ปีที่แล้ว
Kocha wa timu ya taifa ya soka kwa wanaume nchini Marekani Gredd Berhalter anachunguzwa kuhusiana na madai ya kumpiga mkewe Rosalind walipokuwa kwenye uchumba miaka 25 iliyopita. Berhalter mwenye miaka 48 na aliyekiri kufanya kitendo hicho kwa sasa anachunguzwa na shirikisho la soka nchini humo huku aliondokea majukumu yake ya ukufunzi. Inadaiwa kitendo hicho kilichochewa na ugomvi walipokuwa w...
ALIKUWA NA WAKE WATATU: HISTORIA YA GWIJI WA SOKA MAREHEMU PELE NDANI NA NJE YA UGA.
มุมมอง 3222 ปีที่แล้ว
Hii ni Historia ya aliyekuwa gwiji wa soka duniani Pele kutoka Brazil aliyeaga dunia hapo jana akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kuugua saratani.
WATANGAZAJI MZAZI TUVA, SELLY KADOT NA DJ FLASH WABASHIRI FAINALI YA WORLD CUP
มุมมอง 2792 ปีที่แล้ว
WATANGAZAJI MZAZI TUVA, SELLY KADOT NA DJ FLASH WABASHIRI FAINALI YA WORLD CUP
CECAFA YAUNGA MKONO WAZO LA RAIS WA KENYA WILLIAM RUTO LA AFRIKA MASHARIKI KUANDAA AFCON 2027
มุมมอง 1912 ปีที่แล้ว
CECAFA YAUNGA MKONO WAZO LA RAIS WA KENYA WILLIAM RUTO LA AFRIKA MASHARIKI KUANDAA AFCON 2027
KOCHA WAMBUA AAMINI NEDDY ATIENO ATAWASAIDIA ULINZI STARLETS KUSHINDA LIGI YA AKINA DADA KENYA.
มุมมอง 1112 ปีที่แล้ว
KOCHA WAMBUA AAMINI NEDDY ATIENO ATAWASAIDIA ULINZI STARLETS KUSHINDA LIGI YA AKINA DADA KENYA.
HII IMEENDA!!! Mtangazaji wa Radio Citizen Melody Sinzore abashiri timu itakayobeba World Cup.
มุมมอง 5792 ปีที่แล้ว
HII IMEENDA!!! Mtangazaji wa Radio Citizen Melody Sinzore abashiri timu itakayobeba World Cup.
KENYA ITACHEZA WORLD CUP 2030 - WAZIRI ABABU NAMWAMBA AAHIDI
มุมมอง 622 ปีที่แล้ว
KENYA ITACHEZA WORLD CUP 2030 - WAZIRI ABABU NAMWAMBA AAHIDI
WORLD CUP: ARGENTINA VS MEXICO, PESA TUWEKE WAPI? SIKILIZA UCHAMBUZI
มุมมอง 1162 ปีที่แล้ว
WORLD CUP: ARGENTINA VS MEXICO, PESA TUWEKE WAPI? SIKILIZA UCHAMBUZI
CHEKI SELLY KADOT AMUTABI ALICHOMFANYIA BEKI MWAMBURI ARGENTINA YAKE ILIPOLAZWA 2-1 NA SAUDIA
มุมมอง 2.4K2 ปีที่แล้ว
CHEKI SELLY KADOT AMUTABI ALICHOMFANYIA BEKI MWAMBURI ARGENTINA YAKE ILIPOLAZWA 2-1 NA SAUDIA
USIPOTEZE BET! CHEKI UCHAMBUZI WA GERMAN VS JAPAN LEO
มุมมอง 1172 ปีที่แล้ว
USIPOTEZE BET! CHEKI UCHAMBUZI WA GERMAN VS JAPAN LEO
MANCHESTER UNITED YAMTIMUA CRISTIANO RONALDO
มุมมอง 2002 ปีที่แล้ว
MANCHESTER UNITED YAMTIMUA CRISTIANO RONALDO
WORLD CUP: MUNAI GENERAL AKA ABDI ATANGAZA ARGENTINA VS SAUDI ARABIA KWA KIARABU
มุมมอง 3792 ปีที่แล้ว
WORLD CUP: MUNAI GENERAL AKA ABDI ATANGAZA ARGENTINA VS SAUDI ARABIA KWA KIARABU
WORLD CUP: PESA KWA ENGLAND AMA IRAN? CHEKI UCHAMBUZI
มุมมอง 1722 ปีที่แล้ว
WORLD CUP: PESA KWA ENGLAND AMA IRAN? CHEKI UCHAMBUZI
WORLD CUP: PESA TUWEKE QATAR AMA ECUADOR? CHEKI UCHAMBUZI
มุมมอง 2192 ปีที่แล้ว
WORLD CUP: PESA TUWEKE QATAR AMA ECUADOR? CHEKI UCHAMBUZI
POCHETTINO KUMRITHI TEN HAG UNITED? TAZAMA TETESI ZA UHAMISHO
มุมมอง 882 ปีที่แล้ว
POCHETTINO KUMRITHI TEN HAG UNITED? TAZAMA TETESI ZA UHAMISHO
EXCLUSIVE: "HATUKUKOSANA" KOCHA WA YANGA TZ AELEZA SABABU YA KUMTIMUA KIPA WA KENYA PAULINE KATHURUH
มุมมอง 1532 ปีที่แล้ว
EXCLUSIVE: "HATUKUKOSANA" KOCHA WA YANGA TZ AELEZA SABABU YA KUMTIMUA KIPA WA KENYA PAULINE KATHURUH
WANAWAKE HOYEE! MAREFA WATATU WA KIKE KUPULIZA KIPENGA QATAR
มุมมอง 1642 ปีที่แล้ว
WANAWAKE HOYEE! MAREFA WATATU WA KIKE KUPULIZA KIPENGA QATAR
NAMCHUMBIA DAKTARI: STRAIKA JENTRIX SHIKANGWA AELEZA MAISHA YAKE NJE NA NDANI YA UGA.
มุมมอง 3.8K2 ปีที่แล้ว
NAMCHUMBIA DAKTARI: STRAIKA JENTRIX SHIKANGWA AELEZA MAISHA YAKE NJE NA NDANI YA UGA.
WATAKAOCHEPUKA QATAR KUFUNGWA MIAKA 7 GEREZANI.
มุมมอง 932 ปีที่แล้ว
WATAKAOCHEPUKA QATAR KUFUNGWA MIAKA 7 GEREZANI.
EXCLUSIVE: FKF YAWEKA WAZI HATIMA YA KANDARASI ZA MAKOCHA FIRAT NA ALUMIRAH
มุมมอง 1462 ปีที่แล้ว
EXCLUSIVE: FKF YAWEKA WAZI HATIMA YA KANDARASI ZA MAKOCHA FIRAT NA ALUMIRAH
RASMI: JERAHA LAMWEKA SADIO MANE NJE YA KOMBE LA DUNIA
มุมมอง 1422 ปีที่แล้ว
RASMI: JERAHA LAMWEKA SADIO MANE NJE YA KOMBE LA DUNIA
LIKONI HADI UTURUKI: NYOTA WA HARAMBEE STARLETS MWANAHALIMA "DOGO" ADAM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE
มุมมอง 2K2 ปีที่แล้ว
LIKONI HADI UTURUKI: NYOTA WA HARAMBEE STARLETS MWANAHALIMA "DOGO" ADAM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE
EXCLUSIVE: SIMBA QUEENS YAWATEMA SHIKANGWA NA INGOTSI
มุมมอง 6672 ปีที่แล้ว
EXCLUSIVE: SIMBA QUEENS YAWATEMA SHIKANGWA NA INGOTSI
GWIJI WA NDONDI NCHINI KENYA PHILIP WARUINGE AAGA DUNIA
มุมมอง 1302 ปีที่แล้ว
GWIJI WA NDONDI NCHINI KENYA PHILIP WARUINGE AAGA DUNIA
NIMECHANGANYIKIWA: SIJUI KAMA NINGALI KOCHA WA HARAMBEE STARLETS AU LA - ALEX ALUMIRAH
มุมมอง 1832 ปีที่แล้ว
NIMECHANGANYIKIWA: SIJUI KAMA NINGALI KOCHA WA HARAMBEE STARLETS AU LA - ALEX ALUMIRAH
Mr kind man rip😭😭
Atari kaka
Good
Itabidi hiyo interview uirudie kwa video mkuu
Tunawangalia tukiwa south africa cape town sisi wakenya kutoka mombasa
Michezo na burudani ...abo !! Malagho agho
Beki KAZI nzuri
😂😂😂😂safiii
Hii sauti ndio ilinikuza kispoti anaitwa beki
Ooh the sound i love to hear in football
Msimulizi Beki Geoffrey Mwamburi hiyo base Iko sawa hivi wewe unalambalamba Nini Ili hiyo base iwe hivyo? Anywei Asante sana. Umefanya kazi ya kuzimiwa sigara hicho ni kionjo Cha habari lukuki unazozikaanga nitakuazima sikio baden unichore taswira Liiiiiiiiiiiiive 🎤🎤🎤🎤💯💯💯💯💯
Kazi safi mwaburi
Shukran Sana kakangu
Kazii safi
Gwinjwi kweli
Kazi nzuri Beki, Pele na alale pema peponi
Rest easy legend.
Shukran kwa kutazama. Gwiji na alale pema
it was awesome to meet you again beki kazi nzuri
France
This is a lovely staff. Congratulations
Thanks sir
New Subscriber here ❤
Shukran sana
Kalii Siku zote
Shukran sana
Nikikupea utawezana,.....
Nipewe uone!!! Haha
Kazi nzuri Beki
Kazi safi beki
Beki karakana ya soka twaitamani kweli
Shukran
zidi ktujuza majamboz
Bure kabisa...germany garagazwa
BekiTv
Great job,,,
roho hunena kweli
😂
Brazil all the way
🤣🤣 kicheko ni dawa
Sisi arsenal tumetulia tu atunaga papara Man u watakipatapata saana🤣🤣
Mnaiii😂😂😂😂😂😂
Hahaha...jamaa alinichekesha sana 🤣
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🏃
kazi safii
Team yangu n England na Ghana
Hapo chonjo kabisa. Yangu ni Ghana na Argentina
Nakuona liiive Beki
Liiiiive
✔️✔️
Shukran Ndugu yangu
Big-up
Ahsante kwa Kuwatch na kuccoment 🙏
Great TALENT IN deed
Ahsante kwa Kuwatch na kuccoment 🙏
Haha unbelievable
Impressive
Ahsante Sana
Nice content LGBTQ should be condemned. It's immorality on another level. Good measures from the nation but European nations will not agree with
Thanks for watching and commenting
Kazi mzuri beki. Nko ndani na kikosi kizima ya arsenal katika taifa la kenya .
Shukran Sana
Show us videos bro
Videos zitakuja kaka. Pole pole tu ndo tunajenga Channel
Shughuli pevu Mwenyekiti
Shukran sana
Kazi Safi
Ahsante Kakangu
Congratulations
❤❤❤❤Kazi kuntu
Shukran sana