Mungu ni mungu wa watumishi wake waliokoka kama ww Baba askofu mpya wa jimbo la Dar es salaam ,kazi njema kuziongoza roho za mungu ktk kumcha mungu aameni.
Ninampa pongezi askofu mteule. Japo ninajaribu kufikiria jinsi kazi hiyo ilivyo ngumu pasipo kuwa na familia, na hasa mke !! Nafasi ya mke ( ambaye kwa hapa tungemuita mama askofu ) ni kubwa sana kuliko tunavyo fikiria. Hivyo basi tukiachilia mbali matakwa ya kidini, lakini ni Mungu Mwenyewe ndiye alitamka kuwa "Siyo vema mtu huyu awe peke yake Bali nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae ". Nadhani Papa Fransisco ameliona hili, na hivyo ninamuombea heri katika harakati zake za kutaka viongozi wa kidini katika Rc waoe na kuwa na familia, the work will be so simple kwa maana hata kiutendaji watakuwa more practical than theory ! Chukulia kwa mfano; Historia nzuri ya baba askofu hapo juu pia inaendana na utajiri, heshima na ustawi wa maisha yake ( huo ndiyo ukweli ). Nasikitika tu kuona baraka zote hizo zinaenda pasipo watoto, I'm so sad indeed !
Acha kupotosha watu,hakuna mchakato wowote wa Baba Mtakatifu kuhusu viongozi wa kanisa kuoa, mbona unasimami maandiko sehemu moja,kasome pia Yesu alihaadi nn kwa wale watakaojifanya matohashi kwa ajili ya ufalme wa Mungu???Mtume Paul pia anasemaje???sahau kabisa swala la watawa kuoa au kuolewa ndani ya kanisa katoliki
Mungu ni mungu wa watumishi wake waliokoka kama ww Baba askofu mpya wa jimbo la Dar es salaam ,kazi njema kuziongoza roho za mungu ktk kumcha mungu aameni.
Kweli baba Hekima imekukalia. Roho Mtakatifu azidi kukuongoza na kukuimarisha
Mungu akutangulie baba ktk utume wako
mungu awe nawe daima
MUNGU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE SANA
UNAAKILI NYINGI BABA..
Roho mtakatifu azidi kukuongoza
Mungu akubariki sana baba Ruaichi
Ladiuc Amani Mungu amtangulie katika kazi hii ya kitume baba yetu Rwaichi
mungu akujalie utume mwema amina
Roho mt. Akuongoze baba
Ninampa pongezi askofu mteule.
Japo ninajaribu kufikiria jinsi kazi hiyo ilivyo ngumu pasipo kuwa na familia, na hasa mke !!
Nafasi ya mke ( ambaye kwa hapa tungemuita mama askofu ) ni kubwa sana kuliko tunavyo fikiria. Hivyo basi tukiachilia mbali matakwa ya kidini, lakini ni Mungu Mwenyewe ndiye alitamka kuwa "Siyo vema mtu huyu awe peke yake Bali nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae ".
Nadhani Papa Fransisco ameliona hili, na hivyo ninamuombea heri katika harakati zake za kutaka viongozi wa kidini katika Rc waoe na kuwa na familia, the work will be so simple kwa maana hata kiutendaji watakuwa more practical than theory !
Chukulia kwa mfano;
Historia nzuri ya baba askofu hapo juu pia inaendana na utajiri, heshima na ustawi wa maisha yake ( huo ndiyo ukweli ). Nasikitika tu kuona baraka zote hizo zinaenda pasipo watoto, I'm so sad indeed !
Acha kupotosha watu,hakuna mchakato wowote wa Baba Mtakatifu kuhusu viongozi wa kanisa kuoa, mbona unasimami maandiko sehemu moja,kasome pia Yesu alihaadi nn kwa wale watakaojifanya matohashi kwa ajili ya ufalme wa Mungu???Mtume Paul pia anasemaje???sahau kabisa swala la watawa kuoa au kuolewa ndani ya kanisa katoliki
Mi nakuelewa sana baba
Najivunia kuwa mmoja wawaliokuaga ukiwa unahamia mwanza, nikiwa mwaka wa pili pale UDOM
Mungu awe kiongozi wa safari hii ngumu yenye mapigano mengi
Mungu Baba akutie nguvu ktk utume wakulinda na kuchunga kundi ulilo kabidhiwa la kondoo wa Mungu
Hekima nyingi
MUNGU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE SANA
UNAAKILI NYINGI BABA..
Asante baba, na iwe kama inavyompendeza Mungu