Hii nzuri sana Kiukweli nawaomba waandishi wa HABARI TEC hakikisheni hili liwe endelevu ili tuwafahamu vizuri Maaskofu wetu Tz hata wengine watu na viongozi maarufu ndani ya kanisa tutafurahi sana jamani. Tuna wanamziki na watunzi wa Mziki Mtakatifu wamiaka mingi n.k
Ohhh Baba Mhashamu Hongera sana nakumbuka Dodoma ulikuwa ukitutembelea hadi kwenye Jumuiya, ukituuliza maswali kuwa tangu kumekucha wangapi wamechukua Biblia wakasoma, kwa kweli kwa muda mfupi uliolaa Dodoma, tulishuhudia maendeleo makubwa ya Kanisa, Mashule yakajengwa ya St. Peter Clever, mashamba makubwa ya zabibu, makanisa n.k. Mungu azidi kukupa nguvu za kumtumikia

Hongera sana Baba Askofu Nzigirwa ,Dessatation yako ilikuwa Excellent,,nimewahi kuiona na kuisoma
Asante sana Nimefurahi unavojieleza kwa Tabasamu na furaha kubwa BABA ASKOFU NZIGILWA
Muda wote umejawa na furaha, utulivu na ujasiri wa KIIMANI. Mungu azidi kukutumia kama chombo chake baba🙏🏿
I wish one day Bishop Nzigilwa awe Askofu Mkuu
aminaa baba askofu we gift from God to be servant of people pia xafari yako inatupa nguvu that mean no xhort cut life in success
Hii nzuri sana Kiukweli nawaomba waandishi wa HABARI TEC hakikisheni hili liwe endelevu ili tuwafahamu vizuri Maaskofu wetu Tz hata wengine watu na viongozi maarufu ndani ya kanisa tutafurahi sana jamani. Tuna wanamziki na watunzi wa Mziki Mtakatifu wamiaka mingi n.k
Tembelea humu utaona mengi
Ohhh Baba Mhashamu Hongera sana nakumbuka Dodoma ulikuwa ukitutembelea hadi kwenye Jumuiya, ukituuliza maswali kuwa tangu kumekucha wangapi wamechukua Biblia wakasoma, kwa kweli kwa muda mfupi uliolaa Dodoma, tulishuhudia maendeleo makubwa ya Kanisa, Mashule yakajengwa ya St. Peter Clever, mashamba makubwa ya zabibu, makanisa n.k. Mungu azidi kukupa nguvu za kumtumikia
Yaani mm nakupenda Sana hata mwahashamu Luzoka anafahamu hilo
Hongera sana Baba Askofu Mungu akujalie utume mwema
Hongela sana bab askof wa jimbo la panda
Hongera Sana baba askofu nzigilwa mungu akupe hekima na afya uwaongoze vema waanampanda
Mungu akubariki baba
Mungu akubariki sana Baba Askofu Nzigilwa.
Hongera sanah baba Askofu Mungu akujalie utume mwema tume zaliwa mwezi mmoja na tarehe moja daaah
Uzidi
Kudumu
Karina
Utume
Nakupenda sana baba
Nitamshukuru Mungu Kila Wakati,amenitendea mambo makuu,siku zote aniongoza
HONGERA SANA BABA ASKOFU. MUNGU AZIDI KUKUINUA
Utume mwema katika Bwana wetu yesu christu
Mahojiano mazuri sana. Ningeomba mfanye mahojiano na Baba Askofu Filbert Mhasi wa Jimbo la Tunduru-Masasi
Ndio kwakweli....sijaona pia interview yake ...
Nice conversation
Hongera sana Babaa Mungu akuongoze katita utume wako
Amina
Najivunia kuwa mkatoliki
Good
Utume mwema Baba
Mungu mkubwa
Stop wondering why people don’t treat you the same way you treat them. Not everyone has a heart as big as yours.
Miongoni mwa watu HADHIMU sana
MAY ALLAH GRANT U LONG LIFE INSHAALLAH🤲🙏
Kila lakheri baba nzigilwa hko jimbo la mpanda
KUMBUKUMBU YANGU NAKUMBUKA MLIPATIA UPADRI MSIMBAZI NA KINA APOLINARY NGIRWA
Utume mesma Baba
Karbu sana baba etu mpanda
Ping-pong
Mungu akubariki sana Baba Askofu Nzigilwa.
Hii nzuri sana Kiukweli nawaomba waandishi wa HABARI TEC hakikisheni hili liwe endelevu ili tuwafahamu vizuri Maaskofu wetu Tz hata wengine watu na viongozi maarufu ndani ya kanisa tutafurahi sana jamani. Tuna wanamziki na watunzi wa Mziki Mtakatifu wamiaka mingi n.k
Mungu ni mwema na muweza wa yote. Nimejifunza kitu toka kwa Askofu Nzigilwa. Mungu awe nawe.