Baba Mteule Mchamung hongera sana historia yako na vile vile bila kupepesa macho wala kumumunya maneno umekiri Fr Leodgard Massawe amekuwa mbele yako kwa nguvu zake na kwa upendo wake Mungu ambariki sana Fr Massawe,
Historia ina mvuto wa aina yake. Hongera Sana Baba MchaMungu, Mwenyezi Mungu akuangazie Nuru ya Uso wake katika safari yako ya utume ukiwa Mchungaji Mkuu.
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye afya baraka na amani katika kazi yako ya utume kwa kanisa Mhashamu Askofu Henry Mchamungu.
Baba Mteule Mchamung hongera sana historia yako na vile vile bila kupepesa macho wala kumumunya maneno umekiri Fr Leodgard Massawe amekuwa mbele yako kwa nguvu zake na kwa upendo wake Mungu ambariki sana Fr Massawe,
Kipindi kizuri sanaaa iki...muwafikie Mapadre weng pia tupate jifunza Safar za Mapadre mbali mbali
Historia ina mvuto wa aina yake. Hongera Sana Baba MchaMungu, Mwenyezi Mungu akuangazie Nuru ya Uso wake katika safari yako ya utume ukiwa Mchungaji Mkuu.
Hongera sana Baba.. MUNGU AKUTANGULIE KTK MAJUKUMU YAKO MAPYA
Mungu awap nguvu katika. Kaz ya kupeleka habar njema. Kwa watu wote
😅😅😅
Hngra sanaa baba mchamungu na ya mteule mwenzie ninasbr