Dah!!!! Itoshe kusema, Mungu azidi kukubariki🙏🙏 kuna mengi natamani kuyasikia kutoka kwako, naamin kabsa yapo mengi Sana hatujayaskia na kuyafahamu kutoka kwako...stay blessed Dr.
we really miss you here in south sudan father, i hope you are still a militray father. we are really proud for the service you did to us here in Rumbek. our president is still giving example of your service. if you were still here you would have been given a rank of major general in the military
Mtangazaji hayupo makini kabisaa..kazi hamfai Sema kwakuwa anamuhoji padre ndiomaana anamvumilia..hongera Sana padre wetu umekuwa mfano wa kuigwa barikiwa🙏🙏
Siyo maswali ya wivu ni maswali mazuri sana na ndiyo yaliyotufanya tupate historia nzuri ya mpiganaji na mtumishi wa Mungu.hawa watu huwa ni muhimu sana vitani na wanatumika sana sana
Mungu alikuchagua tangu ukiwa tumboni mwa mama yako. 😘 Asante sana Father H. Mrisho kwa kuvitumikia vipaji vyako vyote kwa weredi na busara. I am proud of you Father Dr Mrisho ❤ 👏 ♥ 💙
Sema Mungu amjalie mwisho mwema,/maisha mareu yenye baraka maana anaweza kujaliwa maisha marefu ye dhiki/yasiyo na baraka. Aongeze CVs pia kwa kuusoma Uislamu kwania njema tu.
Tumuombe Padre ombi moja: Uandike Autobiography yako. Tutainunua wengi. Bahati nzuri, ukimtumia publisher wa kisasa utaweza kui publish kwenye lugha nyingi kwa wakati mmoja, k.m., Kiswahili, Kiingereza, Kihispaniola, Kireno, Kifaransa, n.k.
@@trophywilson7211 Yule Father yuko vzuri. Haikosi ameshaisoma tayari na yuko anaifanyia kazi. Isipokuwa kwenye mashirika ya kiroho kutakuwa kuna taratibu zake ambazo itabidi azifuate na kuomba vibali kwa viongozi wake. Kwa upande wa jeshini pia mambo ya huko sio mambo ya kusimulia uraiani, labda kwa juu juu tu.
Ila mwandishi hujaweza kubadilika na mazingira jitahidi kutofautisha interview zako na namna ya uwasilishwaji wa habari yenyewe.. huyu unamuhoji kama imetokea tuu umemkuta njiani ukaanza kumhoji wakati ni mtu muhimu sana!
Kwa mwanajeshi kuwa mcha Mungu inawezekana kabisa lkn kwa polisi haiko vizuri bora mgambo. Na andiko lipo ukibisha waliambiwa polisi wasinyang'anye mtu Mali yake Wala wasimshtaki mtu kwa uongo na pia watosheke na mishahara yao . Luka 3:14
Tunakupongeza sana Padre! 👏 Kabla ya kusomea degree ya kwanza hapo Ardhi University, Padre tayari alisha hitimu degrees mbili. Kwa kufaulu degree yake ya tatu hapo Ardhi University, ina maana sasa ametimiza jumla ya degrees tano! Kweli anastahili pongezi nyingi. Wanafunzi wake watanufaika sana hapo chuoni. NB: Mahojiano haya yangeendeshwa na journalist mzoefu kama Millard Ayo, yangependeza zaidi, ila Padre amejitahidi sana kujibu kila swali kwa ufasaha na uvumilivu.
@@adammwita3150 Kweli, Charles Hilary yuko vzuri. Pia Gangana wa TBC anafanya homework kwa umakini. Millard Ayo naye. Nairobi yuko yule kaka mwenye Churchill Show, na pia Jeff Koinange wa Citizen, pamoja na yule kaka mweupe rafiki yake na Jeff. Siku za nyuma CNN walikuwa na dada Christiana Amanpour, alikuwa interviewer moto wa kuotea mbali. Interviewing ni kazi nzito, tusiichukulie poa. Wanaoifanya kwa makini inawabeba.
@@frankmsisi149 Ni kweli. Ukiangalia vyombo vya habari vya nje, kila project anatafutwa mdau aliyebobea kwenye maswali husika ndiye aisimamie. Kwa mfano, interview hii haki yake angeiendesha architect au padre au mwanajeshi mstaafu. Hapo ndio utaupata ufanisi wa huduma.
Kwa Huyomkatoriki kuvaa nguo za kijeshi hali yakuwa ni padre hongera ni nyingi sana na serikali imefumba macho kama haipo vile ila angekuwa shehe wangemjulisha na mbowe harafu utaskia serikali haina dini eenyi kizazi cha nyoka mungu awahurumie.
Yani maswali ya uyo mwandishi,,,ni utazani amuuliza mtuumiwa au mtoto wajirani ambaye hajawai muona katika mtaa anae ishi na kuku weke akiwa ameibiwa,,,naitaji kujua Elimu ya uyo mwandishi
Km ingekua muislam angeitwa gaidi, na ingesemwa vipi mtumishi wa Mungu wapate wafunzo ya kijeshi, nakumbuka wkt wa makamba mkuu wa mkoa kuna watu walikamatwa kwa kufanya mazoezi eneo la msikiti
@@ahmedsultan8561 Magaidi wote hufanya Mazoezi yao nje ya taasisi kubwa kama Nchi. Hii inaonyesha Uwalakini. Ni sahihi kuhisiwa ni mipango ya ugaidi. Tafakar..
Hongera kamanda Ila naona mwandishi hayuko deep Yuko to shallow kichwani Kwa maswali anayouliza huyo mwandishi inadhihirisha tz waandishi Sahvi ni weupe
Haya mahojiano yamenifundisha uvumilivu hata mtu akikuuliza pumba wewe mjibu vizuri tu. Huyu Padri ni mtu wa kujivunia kwenye nchi yetu. Sijui wenzake alioenda nao Cuba wapo wapi aisee😅 I hope they are doing great. Heshima kwenu
Dah!!!! Itoshe kusema, Mungu azidi kukubariki🙏🙏 kuna mengi natamani kuyasikia kutoka kwako, naamin kabsa yapo mengi Sana hatujayaskia na kuyafahamu kutoka kwako...stay blessed Dr.
This is a serious man....he knows more that what he tells, big up father!!
Ongera sana Fr Rimisho, Mungu azidi kukupigania nakukubariki,hakika Mungu anakutumia kimwili na kiroho,na Barikiwa sana na utumishi wako.🙏
we really miss you here in south sudan father, i hope you are still a militray father. we are really proud for the service you did to us here in Rumbek. our president is still giving example of your service. if you were still here you would have been given a rank of major general in the military
Brilliant Fr. Dr Henry Rimisho. This is what is called determination and working hard. Keep it up my brother. ❤️❤️🌷🌹🌷💐💐🌺🌺🌺
Mtangazaji hayupo makini kabisaa..kazi hamfai Sema kwakuwa anamuhoji padre ndiomaana anamvumilia..hongera Sana padre wetu umekuwa mfano wa kuigwa barikiwa🙏🙏
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa vipaji anavyotoa kwa watu wake hongera padri Remisho
Hongera sana Dr Henry. Umekuwa mfano mzuri sana kwa TZ.
Huyo mwandishi ana maswali ya wivu binafsi na wala hayajengi
Mwandishi ni kanjanja
Tanzania waandishi sahvi ni wa ovyo
Washazoea kureport habari za umbeaumbeq
😃😃😃wandishi makanjanja sana
Siyo maswali ya wivu ni maswali mazuri sana na ndiyo yaliyotufanya tupate historia nzuri ya mpiganaji na mtumishi wa Mungu.hawa watu huwa ni muhimu sana vitani na wanatumika sana sana
Congrats Fr Dr Rimisho for hard working you faced.
I was so blessed to meet this man of God.
Hongera sana Father Herny, ila mwandishi hana weledi wakuuliza maswali. Mwanahalisi Tv waandae wandishi wenu vizuri
Tyk Baba Rimisho.Hongera sana kwa kuamaliza....Mungu akulinde daima 🙏.
As you speak you look very wise and intelligent. Brilliant mind and brain. Bravo Fr Henry Rimisho. My home brother.
Kafundishika
Hongera Sana Fr. Dr Henry Rimisho
This is amaizing Father🌺🌺🌺🎉
❤❤Hongera Sana Father, Nimefurahi kusikia Lyalamo Primary School ya Sr.Kibassa. Tosamaganga ❤
Fr Rimisho....wenye wivu wajinyonge..hyo ndo baba lao...🙏❤️🎩🎓🙏
Hongera sana Father kwa kipaji kikubwa ulichojaliwa na Mwenyezi Mungu.
Hongera sana father,tumia vipaji hivi kuilinda imani.
Nawakubari
.my.fr.wetu.kuwanamafuzo.yakijeshi.naukomando.nyinyi.nitaifa.kubwa.namunakuwa.wanyenyekefu.ogera.sanafrlindanchiyetu
Mungu akubariki sana baba yesu akupe nguvu zote
kutokuwa na familia kulimsaidia sana Padri kwenye kazi zake nyingi na nzito alizofanya. hongera sana Padri
Hii nayo fact
Hongera Sana padre unahistoria nzuri uliyopitia HATA uwezo WAKO wa NGUMU wa kikomandoo hiyo safi ..KWA kujilinda ..
Mungu alikuchagua tangu ukiwa tumboni mwa mama yako. 😘
Asante sana Father H. Mrisho kwa kuvitumikia vipaji vyako vyote kwa weredi na busara. I am proud of you Father Dr Mrisho ❤ 👏 ♥ 💙
Huo ni upumbavu mkubwa sana. Huwezi kuwatumikia mabwana wawili.
@@elishakayagwa9371
Huenda ni mpumbavu anayejitambua.
Kuliko mpumbavu asiyejitambua!!
@@elishakayagwa9371mpumbavu wewe na akili yako
Very proud to have a such Priest ,God bless you fr so that preach the word of God allover the world
Huo ni upumbavu kwani yanafaida gani kwa Mungu?
@@elishakayagwa9371 kwani hilo neno lako ulilosema kwamba ni upumbavu ,kwa Mungu lina faida? Food for thought!!!!
Huyu sio askofu njaa mwamakula, huyu ndio mwenyewe sasa, hongera sana kiongozi umeheshimisha.
Waoo tunajifunia kuwa nawe Congratulations Rev Dr
Hongera sana father,
Mungu akupe hatua nyingine zaidi
Hongera Sana Baba Rimisho
Safi sn mtumishi Mungu akubariki
Mwandishi hovyo kabisa! Hapo angekuwa Millard tungemfaidi sana huyu Fr
Hongera Baba kwa bidii zako mpaka kufkia hatua hyo
Nyerere alikuwa anaanda majasusi mapema sana wakiwa wadogo
Aise
Sasa majajusi tunashinda nao baaada huku wakionyesha bastola zao kiunoni
@@ChoroTesla 😀🤭
Baba hongera sana ❤️🙏🏻
Hongera xana, nchi yako umeitumikia vyema. Naweza kusema ni miongoni mwa wazalendo wachache. Mungu akujalie maisha marefu.
Sema Mungu amjalie mwisho mwema,/maisha mareu yenye baraka maana anaweza kujaliwa maisha marefu ye dhiki/yasiyo na baraka.
Aongeze CVs pia kwa kuusoma Uislamu kwania njema tu.
@@alhaddajmohammed4768 unawashwa
Padr namkubali sana,
Hongera fr natamani kuwa kama ww pia nafarijika na kuwa fahari kuwa mkatoliki
Safi ,ipo siku unalotamani Mungu atakujalia we amini tu
My Vice Rector at A.J Bukinda.
Am very proud of you.
Big up sana interviewer umehoji kisomi sanaaa congratulations 👏
🎉Wafilp 1:6 Amen 🙏🇹🇿
Namkumbuka sana sister kibasa walio soma iringa shule wanamjua hasaa shule zile ziokua chini ya rc
Irudishwe serikalini tena. Vijana wetu si wa Melalatu, wamellegea sana. Hawana uzalendo kabisa. Wako tayari kujiuza na kuuza nchi.
Hamko vizuri kwenye sauti ndugu zangu
Hakika ubarikiwe sana
Hongera sana Baba Padre.
MillardAyo mchukue interview huyu padre tutaenjoy,huyu mwandishi hayupo vizuri,,,
Wanao mfananisha na regnald mengi waje
hahaha we mshenz kwel hahaha aisee anafanana kweli na mzee mengi
Tumuombe Padre ombi moja: Uandike Autobiography yako. Tutainunua wengi.
Bahati nzuri, ukimtumia publisher wa kisasa utaweza kui publish kwenye lugha nyingi kwa wakati mmoja, k.m., Kiswahili, Kiingereza, Kihispaniola, Kireno, Kifaransa, n.k.
Akiona ni Wazo jema
@@trophywilson7211 Yule Father yuko vzuri. Haikosi ameshaisoma tayari na yuko anaifanyia kazi. Isipokuwa kwenye mashirika ya kiroho kutakuwa kuna taratibu zake ambazo itabidi azifuate na kuomba vibali kwa viongozi wake. Kwa upande wa jeshini pia mambo ya huko sio mambo ya kusimulia uraiani, labda kwa juu juu tu.
He knows more than he delivers....
Kuna kitu kizuri.sana nimekipata hapa kutoka kwa Padre
Hongera sana fr
Talented &gifted Father, may God bless u 🙏
Duuu hongera sana
Kulikuwa na maswali ya msingi sana kumuuliza huyu mwamba, Mtangazaji anauliza maswali ya kitoto tu
Hatari sana hii
Hilio ndiyo kanisa katoliki...mwenye masikio na asikie..
Kwa mtu aliyesoma ardhi architecture anamjua huyu mkulungwa vizuri. Ana CV nzito zaidi aliyoieleza. 2likuwa tunamfaidi darasani.
Safi
Padre nimekusikiliza kwa kina ila sijakupatia jibu we noma na TANZANIA kiboko
Angekuwa Sheikh angeambiwa Gaidi
hakika
😂😂😂 gaidi na katambulishwa na mkuu wamajeshi?😂😂 Mnapenda kujistukia nyie😂😂😂
@@shafiijuma2980kumbe mnajijua
Hongereni wachaga.Prophesas👌
Congrats padre
Hongera sana hata kama umepandikizwa kazi ya Mungu ni usalama wa raia wake pia. Nani aliyesema padre hawezi kuwa manajeshi? Mungu akubarikibsana
Father angeojiwa na Miradi Ayo tungeonjoi sana
yes 😋😋😋
Ila mwandishi hujaweza kubadilika na mazingira jitahidi kutofautisha interview zako na namna ya uwasilishwaji wa habari yenyewe.. huyu unamuhoji kama imetokea tuu umemkuta njiani ukaanza kumhoji wakati ni mtu muhimu sana!
Very smart Observation
Wewe Mwandishi ni Mpumbavu huna ethics huyo anakuzidi Kila kitu unauliza maswali kipumbavu sana, lkn kwa vile unauliza msomi amekustahi tu.
Duh uko njema aise dr...💪💪
but hilo vazi la kenya
Njoo uchukue Mali yenu
Sio vazi tu hata padri huyo ni mkenya ni wa kwenu 😆😆
Kumbe masters na PhD jamaa amae someshwa na serikali aisee huyu sio mtu wa kawaida na ame faulu kwa kiwango cha SGR
Kwa mwanajeshi kuwa mcha Mungu inawezekana kabisa lkn kwa polisi haiko vizuri bora mgambo.
Na andiko lipo ukibisha waliambiwa polisi wasinyang'anye mtu Mali yake Wala wasimshtaki mtu kwa uongo na pia watosheke na mishahara yao .
Luka 3:14
Tunakupongeza sana Padre! 👏 Kabla ya kusomea degree ya kwanza hapo Ardhi University, Padre tayari alisha hitimu degrees mbili. Kwa kufaulu degree yake ya tatu hapo Ardhi University, ina maana sasa ametimiza jumla ya degrees tano! Kweli anastahili pongezi nyingi. Wanafunzi wake watanufaika sana hapo chuoni. NB: Mahojiano haya yangeendeshwa na journalist mzoefu kama Millard Ayo, yangependeza zaidi, ila Padre amejitahidi sana kujibu kila swali kwa ufasaha na uvumilivu.
Charles Hilal
@@adammwita3150 Kweli, Charles Hilary yuko vzuri. Pia Gangana wa TBC anafanya homework kwa umakini. Millard Ayo naye. Nairobi yuko yule kaka mwenye Churchill Show, na pia Jeff Koinange wa Citizen, pamoja na yule kaka mweupe rafiki yake na Jeff. Siku za nyuma CNN walikuwa na dada Christiana Amanpour, alikuwa interviewer moto wa kuotea mbali. Interviewing ni kazi nzito, tusiichukulie poa. Wanaoifanya kwa makini inawabeba.
Kwa kweli, mwandishi wa habari anahitaji ku improve
@@frankmsisi149 Ni kweli. Ukiangalia vyombo vya habari vya nje, kila project anatafutwa mdau aliyebobea kwenye maswali husika ndiye aisimamie. Kwa mfano, interview hii haki yake angeiendesha architect au padre au mwanajeshi mstaafu. Hapo ndio utaupata ufanisi wa huduma.
@@adammwita3150 kwa mahojiano, TV interviewer mwingine wa Kenya ni Tony Gachoka. Yuko pia wa kike nikimkumbuka nitamuandika.
Dr Henry yuko vzr, shida ni huyo mtangazaji hajajipanga,maswali yake hayako organized,anafanya interview isinoge
Blessed mind⛪🙏
Kwa Huyomkatoriki kuvaa nguo za kijeshi hali yakuwa ni padre hongera ni nyingi sana na serikali imefumba macho kama haipo vile ila angekuwa shehe wangemjulisha na mbowe harafu utaskia serikali haina dini eenyi kizazi cha nyoka mungu awahurumie.
tulia wewe ushaambiwa mafunzo ya kijeshi kapatia cuba tena akiwa na miaka 11, wewe ukiwa na miaka 11 si hata kamasi ulikuwa hujui kutoa??
@@drjbmsige4098 nafurahi kuona kwamba umejibu hiyo ni uthibitisho kwamba hiyo ni pressure point na ujumbe umefika
Kweli we jembe mikono enyewe ina sema
Ni kwa sababu ya tabia zenu za kuua na ugaidi
@@nancychuwa4870 bado na wewe ni miongoni mwa watanzania walionezeshwa sumu ya udini.
Wao uru the best hom
Hongera padre.. karibu Kenya
Yani maswali ya uyo mwandishi,,,ni utazani amuuliza mtuumiwa au mtoto wajirani ambaye hajawai muona katika mtaa anae ishi na kuku weke akiwa ameibiwa,,,naitaji kujua Elimu ya uyo mwandishi
Sahihi kabisa
😂😂
😂😂😂
Umenifanya Nicheke Sana 🤣
Nc baba
Born in 1969, 1984 kaenda Cuba after a year of training akarudi akiwa na 12 or 13 years of age..........
It troubled me as well
1984 ukitoa 1969 unapata 15 years.
Watu hadimu sanaaa hawa
👏🏼👏🏼
Jesuit hili
Ongera sana fr.mimi karne unanikumbuka?.
Km ingekua muislam angeitwa gaidi, na ingesemwa vipi mtumishi wa Mungu wapate wafunzo ya kijeshi, nakumbuka wkt wa makamba mkuu wa mkoa kuna watu walikamatwa kwa kufanya mazoezi eneo la msikiti
@@ahmedsultan8561
Magaidi wote hufanya Mazoezi yao nje ya taasisi kubwa kama Nchi. Hii inaonyesha Uwalakini. Ni sahihi kuhisiwa ni mipango ya ugaidi. Tafakar..
Mwandishi wa habari ovyo sana...yan hauna hata Nidhamu
Hongera kamanda
Ila naona mwandishi hayuko deep
Yuko to shallow kichwani
Kwa maswali anayouliza huyo mwandishi inadhihirisha tz waandishi
Sahvi ni weupe
Kuna media zingewah nafac hii interview ingekua impressive zaidi..
@@francomwacha2262 exactly
Haya mahojiano yamenifundisha uvumilivu hata mtu akikuuliza pumba wewe mjibu vizuri tu. Huyu Padri ni mtu wa kujivunia kwenye nchi yetu.
Sijui wenzake alioenda nao Cuba wapo wapi aisee😅
I hope they are doing great. Heshima kwenu
Hiyo sare ni jeshi la nchi gani
Hongera sana
😂😂😂😂
Mtangazaji anaonyeshwa thesis mbalimbali anabaki kushangaa tu,hajui kinachoendelea..
Shule jamani..shulejamani...
Catholics waache tu, yaani falsafa plus theology n.k lakini wanyenyekevu unaweza uchukulie poa!! I guess huyu Ni jasusi wetu kabisa
Upo sahihi kabisa.
Walio debe tupu ndio wanapiga kelele.
Aiseee! Huyu mtu nimeshindwa kumuelewa ila siyo kwa nia mbaya
Watu waende shule jamani..mwandishi wa habar jingajinga sana
Hapo ndo upekee wa kanisa unaonekana...mapadre ni wanajeshi na wengine majasusi.
Mwandishi hovyo hovyo sijawai ona kabisaaa
Naweza kupata namba yake?
Fother naomba namba yako mkuu wangu 🙏🙌
Tafuta vitabu vyake utapata no
Ndugu hasila
Mwandishi mbona hujui kuhoji asee😀wahoji kma kma polis.
Safari ndefu sana lakini yenye mafanikio bila kukata tamaa.
Mtangazaji una maswali ya hovyo
Sahv kuna tatizo kubwa la waandishi
Huyo mwandishi anamuhoji padri utafikiri anamuliza maswali mondi konde au baba levo
Da mwanahlis jitafakarini asee, mwamtuma mtu akahoji akiri kubwa hivo du! Anahoji kma police du?!