Askofu anaumwa kolona? Acheni kuparamia vya wazungu. Mungu wa watu weusi anatulinda na kutuponya magonjwa yote tofauti na huyu wa hofu za viitwavyo kolona.
@@rwenenahomechannel1634 Basi ngoja nkupe katekesi ya elimu dunia na afya: kuvaa barakoa hiyo sio kuumwa korona...Ila mtu akiwa na maradhi ya mfumo upumuaji Fulani ndio hua anavaa barakoa N-95 ili asiambukize wengine ..mfano mtu mwenye kifua kikuu sugu anavyosafirishwa lazma avae...lakn...barakoaa hizo za kawaida husaidia Tu kuepusha dropplets kusambaaa ( matemate) ambayo pia ni njia ya maambuzi ya korona
Nilihudhuria hii misa nikiwa kikazi Dodoma, walijitahidi sana watoto waimarishwa....Mungu awabariki wanaparokia ya Watakatifu wote Nzuguni🙏🙏🙏
Natamani mwanangu aje awe na katekesi nzuri hivi dahh
Mungu awabariki watoto hawa kutetea imani hadi kufa!
Najivunia kuwa mkristo tena mkatolic.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Proud to be RC
safi sana
Kazi nzuri walimu wa dini
Hongereni sana makatekista
Wamejitahd kwakweli MUNGU aendelee kuwakuza kwenye iman katoliki
Amina
Wameiva kweli kweli
ilikuwa wapi hii mkuu boresha kidogo, na walikuwa wanafanya maandalizi ya sacrament ipi kati ya kipaimara au komnio?
Soma vizuri kwenye description ndugu yangu
Hii ilikuwa jpil tar 19/Dec/2021 parokiani Nzuguni jimbo kuu la Dodoma
Alitoa sakrament ya kipaimara pia
Askofu anaumwa kolona?
Acheni kuparamia vya wazungu.
Mungu wa watu weusi anatulinda na kutuponya magonjwa yote tofauti na huyu wa hofu za viitwavyo kolona.
Kwanini usikae mbali badala ya kuja kuweka komenti za kitoto
Unasoma la ngapi saiz?
@@flova7022 🤣 la mwanzo.

Huna akili