Kuku wangu ni wa kienyeji ila akitaga mayai hayazidi màtano sijui shida ni nini. Vyakula wanaokula ni vichwa vya dagaa, pumba, masaro ya nyanya, mabaki ya chakula kama ugali, mboga spinach na alovera. Wanakaa ndani. Ukimnyanyua hivi ni wazito sana sijua kama kuna mahali nachangia kutokutaga mayai mengi
Wape dawa za minyoo. Kisha uwe unawaachia nje kwa muda fulani maana kuku WA KIENYEJI anahitaji mazoez . Pia kwenye chakula chako ongeza madini ya chokaa na mifupa
OK angalia ivi.. Kama wananyonyoka manyoya hawatataga, baridi pia hawatataga, kama Wana hara wawatagi, mafuta yakiwa mengi Hawatagi,lishe mbovu Hawatagi na pia umri mkubwa utagaji pia upungua. jaribu kuangalia ivyo kugundua chanzo,
Asante kwa Somo kumnyinyoa manyoya ya mkiani Yana adhari
Hayana shida
Asante nimeelewa
Barikiwa Sana ndugu 🙏🏿
Asante san kak
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii
Safi kabisa
Barikiwa Sana ndugu
Nataka mafundisho jinji ya ufugaji kuku wa kienyeji
Endelea kufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii
Asante
Barikiwa Sana ndugu
Jaman nidawa ipi niwape kuku anaevimba mwili
Mwili umevimba sehem gani
Napateje mayai ya kuku wa kienyeji kutoka Agalus?
Upo wapi ndugu
Je nifanye ili awe anajitahidi utotoaj? Kanxia labuda mayai 15
Hutegemea na ubora wa kuku,, na umbo lake, pia ongeza joto ktk kiota kwa nguo zaidi
Naomba namba ya sm tafadhli.
OK tutakutumia
Naomba kujua kuku akifikisha wiki3 ale chakula gani
Bado ale stater hadi wiki ya 7/8 kama wa ASILI ila kama ni chotara wape stare wiki 6kisha growers
Naomba namba ya simu
Ok
Kuku wangu ni wa kienyeji ila akitaga mayai hayazidi màtano sijui shida ni nini. Vyakula wanaokula ni vichwa vya dagaa, pumba, masaro ya nyanya, mabaki ya chakula kama ugali, mboga spinach na alovera. Wanakaa ndani. Ukimnyanyua hivi ni wazito sana sijua kama kuna mahali nachangia kutokutaga mayai mengi
Wape dawa za minyoo. Kisha uwe unawaachia nje kwa muda fulani maana kuku WA KIENYEJI anahitaji mazoez . Pia kwenye chakula chako ongeza madini ya chokaa na mifupa
Asante nitafanya hivyo.
@VicentTarra okay
Salamu kakangu kuku wangu aina ya kuroiler hawatagi sijui shida nn?
Kama barid imeanza utagaji upungua vp Mwanzoni walikua wanataga au
@@AGALUSTV salamu kakangu wako na mwaka sasa
OK angalia ivi.. Kama wananyonyoka manyoya hawatataga, baridi pia hawatataga, kama Wana hara wawatagi, mafuta yakiwa mengi Hawatagi,lishe mbovu Hawatagi na pia umri mkubwa utagaji pia upungua. jaribu kuangalia ivyo kugundua chanzo,
Umri mkubwa ni miaka mingapi kitaalam? Naomba msaada
Miezi 6+
Dawa ya mafua ya kuku ni zipi msaada pls 👊🌹🌹
Zipo nyingi Sana ndugu apo nenda tu duka la mifugo lililo karibu yako
Kwema mkuu kinachosababisha kuku asitamie ni nn
Ana asili ya uchotara
Naomba dawa ya ndui
Andika you tube tiba asili ya ugonjwa wa ndui by agalus TV