Sasa apo kuwazalisha hao kuku wenyewe kwa wenyew huoni kua unafanya inbreeding. Na ambayo inakuja kumtesa mkulima sana hasa magonjwa na pia hao kuku wanaeza wasitage kila siku hata kama kuzazi chao ni mayai makubwa. Mi nawashaur wafugaji wachukue vifaranga F1 kwenye makampuni yakuaminika watapata tija. Lkn hiii yakua na kuku2 alaf unawazalisha inakua na madhara makubwa mno. Kama mayai ya kuku ni madogo tumia GLP. Mayai yataongezeka ukubwa. Na pia lishe bora hivyo tu. Hayo yako ya porojo acha kuwadanganya wafugaji
Naomba kujua kuku anataga mayai mangapi katika life span yake? Nataka kujua nikifuga kuku wa kienyeji hivyo nnahitaji kujua atataga mayai kwa muda gani Hadi ninapotakiwa kumuuza kwa nyama.
Ok Kaka ila azisha mapema halafu Nina kuku wangu wa kiswahili ila tatizo kubwa linonisumbwa Mafuwa nishatumia dawa karibu zote ila kuku bado Mafuwa yanawasumbuwa
Very useful
Asante sana
Imekaa vizuri aisee!
Safi Sana ndugu yangu
Somo zuri,je vifaranga kwenye border wanakaa hadi afike wiki ngapi yangu kutotolewa
nimeyapenda mabanda,utegenezaji wake ni shs ngapi
Nasikia kuku akinenepa sana hatagi vzr?
Sawasawa Bwana shamba
🙏🙏🙏
Tumeelewa bwana shamba
Namb yko ya whatsp
Sasa apo kuwazalisha hao kuku wenyewe kwa wenyew huoni kua unafanya inbreeding. Na ambayo inakuja kumtesa mkulima sana hasa magonjwa na pia hao kuku wanaeza wasitage kila siku hata kama kuzazi chao ni mayai makubwa. Mi nawashaur wafugaji wachukue vifaranga F1 kwenye makampuni yakuaminika watapata tija. Lkn hiii yakua na kuku2 alaf unawazalisha inakua na madhara makubwa mno. Kama mayai ya kuku ni madogo tumia GLP. Mayai yataongezeka ukubwa. Na pia lishe bora hivyo tu. Hayo yako ya porojo acha kuwadanganya wafugaji
Naomba kujua kuku anataga mayai mangapi katika life span yake? Nataka kujua nikifuga kuku wa kienyeji hivyo nnahitaji kujua atataga mayai kwa muda gani Hadi ninapotakiwa kumuuza kwa nyama.
Hakika nipo na ww na hakuna mradi ninao upenda sana kama mradi wa kuku na ninafaham kupitia representation yako nitayafaidi mengi sana...
Tupo pamoja sana
Kuku wangu wanachelewa kutaga nifanyeje wanaumri wa miezi 9 ss
Kweli Kama muna grupu la WASP tuuganisheni ata kwa malipo 0777246171
Bado hatujaweka group Ila tutaanzisha group hilo bila malipo yoyote nia yetu ni kuielimisha jamii