*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA* TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo. wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
Mimi nna kuku karibu 80 nafuga mtindo wa nusu huria lkn uzalishaji ni mbovu kabisa navuna kwa siku mayai 15 au sivuni kabisa. Nakosea wapi? Natumia utaratibu wa chanjo vizuri. Kiafya kuku wako vizuri sina vifo changa moto ndogo ndogo nazipata lkn nazirekebisha vizuri
Kàtikà ufugaji huria umesisitiza kuweka layers concentrate lakini hukuitaja katika mfumo wa nusu huria ambapo kuku hawapati virutubisho tosha. Je umeshau au haihitajiki. Naomba ufafanuzi.
Nawakubalii xnaa tokea niwafatile nimekuwa na kuku wengi xna mngu awabariki sema mm naomba nijuwe njanjo ipi ndo nzuri kwa kuku wakienyeji ili wasiumwe cz mm nawapaga alovera na ndulele BC plz
*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA*
TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo.
wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
Mimi nna kuku karibu 80 nafuga mtindo wa nusu huria lkn uzalishaji ni mbovu kabisa navuna kwa siku mayai 15 au sivuni kabisa. Nakosea wapi? Natumia utaratibu wa chanjo vizuri. Kiafya kuku wako vizuri sina vifo changa moto ndogo ndogo nazipata lkn nazirekebisha vizuri
Unapotumia lugha ya nusu ndani nusu nje unamaanisha wasiotoka bandani?
Hicho ni chakula cha wakubwa au vifaranfa?
Kàtikà ufugaji huria umesisitiza kuweka layers concentrate lakini hukuitaja katika mfumo wa nusu huria ambapo kuku hawapati virutubisho tosha. Je umeshau au haihitajiki. Naomba ufafanuzi.
Shukraan sana kwa Darasa.
Nina kuku wa umri tofauti (kuanzia kuanguliwa mpaka miaka miwili) je naweza kuwapatia fomula hii?
Mahindi paraza ndo yakoje??
Sielewi maana ya mtindo wa nusu huria tafadhali nifahamishe
Mwalimu kati ya layers na broilers wapi wanalipa snaa?
Wote Wanalipa vizuri tu
Wow
Naomba nisaidiwe kueleweshwa mahindi paraza ndio yapi ayoo????
Nawakubalii xnaa tokea niwafatile nimekuwa na kuku wengi xna mngu awabariki sema mm naomba nijuwe njanjo ipi ndo nzuri kwa kuku wakienyeji ili wasiumwe cz mm nawapaga alovera na ndulele BC plz
Fatilia hiyo
th-cam.com/video/2ylukSfYAgU/w-d-xo.html
Mkuu naomba mawasiliano yako
Asante,,, ila naomba kujua hii ni shida ipi.. Vifaranga wang wakishaanguliwa kuna baadh wanapinda shingo wanaangalia juu mda wote sijui ni kwann,,,
Huwa unawapa vitamin?
samahani huu mchanganyiko wa kuku kubwa tu? au hata wanaokua
Wakubwa
@@changamkiafursa ninawapatia,, yan imekuwa kwa kuku 10 waliototoa lazima vifaranga wa2 kati ya 90 wamapinda shingo kichwa chaangalia juu
Kuku wako wapata vitamin kila siku?
Mkuuu tupe fomula ya chotara
Chotara Ipo Naifanyia Majaribio ili nipate ya gharama Nafuu
je kuku wa kienyeji akila nyanya anapata mazara gani
Choka gani na tafadhali yaweke hayo majina ya vyakula kwa English
Limestone
English version
Maize bran 20kg
Whole Maize14kg
Soya/ Sunflower 7.5kg
Dagaa 5.5kg
Limestone 3kg
Je ukisha changanya hii chakula cha mfumo wa nusu ndani nusu nje je utachanganya tena na concentrate au ni hivyo tu basi unawapatia kuku