Asante sana kwa breakfast mr Joel!!mimi tayari nimeanza networkmarketing biashara naiona rahisi sana kwa vigezo ulivyovitaja!kiukweli natamani watu wangejua urahisi wa biashara hii bas tu tunatofautiana uelewa.get blessed mwl
Asante Sana Joel nilikuwa nataka niwe na carwash ila nimeanza na small carwash naosha magari Madogo na pikipiki Nina mwezi mmoja na ni passion yangu kuosha gari alafu ing'ae najua nitaiongeza thamani office yangu kila sekunde ya siku yanguu
Asante sana Joel m ni kijana ambaye nimekuwa nikikufatilia sana,Mimi kama mm ni mtu ambaye napenda kuvaa kuwa na muonekano mzri,natamn niwe mfanya biashara wa nguo Ila na shwinda kubajeti kwa kile nicho kipata kaka naomba unisaidie kwa ushauri wako kakangu...
I think people they need financial education b'cuz a lotta people they love an aeroplane but it doesn't mean they can fly it....we need to feed our minds right materials to become financially literate...Thank you brother Joel, God bless u fo' yuh teachin
Asante kaka joel mimi wazo la biashara ni nalo tena kubwa na linapesa ila mtaji ndo tatzo ila uzuri wa biashara hiyo inahtaji kuanza hata na mtaji mdogo si lazima uwe na pesa nyungi kwa siku za uson ila utaanza kujiongeza taratibu namshukulu Mungu nimeanza na kidogo nilichonacho
Ubarikiwe Sana kaka. Hakika Mungu anakutumia kutufikia sisi nduguzo. Kaka Mimi nimeanza biashara ya usafir bodaboda ila niliye mkabidhi kanitoroka nimeumia Sana. Nifanyaje kaka yangu na ni biashara ninayoipenda. Pia je nikitaka kuwa na biashar tofauti tofauti kuna tatizo. Maana maono yangu ni kuwa na zaidi ya moja. Kama Kilimo, ufugaji wa Kuku, usafiri, na nyumba za kupanga. Nishauri kaka
Asante Sana kaka Joel Mimi kwa muda huu nimenuia kujifunza kutoka kwako naamini baada ya muda naamini matunda tutayaona #we will meeting at the top// Thanks
Shukrani sana kk kwa chakula ambacho unatupatia katika ubongo. Kiukweli napenda sanaa kufanya biashara ya kufungua tuition center lakini nashindwa kujua naweza nianzaje naomba msaada wako kk
Asante sana kaka Joel toka nimeanza kukusikiliza nimekuwa mtu mwenye mawazo chanya kichwani mwangu kaka, na moja ya wazo langu ni kuanza biashara ya chakula namaanisha kuwa na mgahawa wa chakula, na ndoto yangu kuwa na mgahawa mkubwa unaotambulika naomba ushauri wako kaka
Nikweli kaka Joel mimi nina milion moja nawaza kufanya biashara lakini nashindwa kupata jibu ni biashara gani nifanye ambayo nitamuweka mtu na kuweza kumlipa maana mimi nimeajiriwa, Ni mwezi wa pili sasa sijapata jibu la biashara gani nifanye.
Habari mm natengeneza meza kwa kutumia cement na no nzur tu lakin bado sijajulikana na sipati wateja na sijui chakufanya ili kupromot bidhaa zangu na si hivo tu pia naongeza thamani kwenye Rasta za kawaida na kuzibadilisha kuwa za kuvutia lakini wateja hamna so sijui njia ya kufanya ili kusonga mbele
Asante sana Mr Joel ila na mimi nina shida naomba ushauri wako Mr mi mpaka sasa Nipo tu nyumbani natamani sana Nifuge kuku wa mayai na kwa ajili ya biashara na mi sina mtaji naomba ushaur wako
Asante sana bwana Joel Nina mtaji kama lakitano hivi nilikuwa nikifanya kazikwa bamdogo ya kuuza duka na nataka kufungua kibanda changu JE hapawez leta mgogoro hapo kati ya mim na BA Mdogo?
Ntaka kufungua biahara ya eletronic coz nko na experience nayo bt cpital yangu ni kidogo ya kuanzisha bt nkaona nifungue duka coz hiyo ndo rahisi kulingana na hela nilizonazo je inaeza work nikitafuta pesa nyingine
Ahsante kwa elimu nzuri unayotoa kwa watu naomba kuuliza kitu mm namtaji wa 700000 katik biashara ya m pesa Ila nilitaka nitoe 200000 nirekebishe kibanda kwani mwanzo nilikuwa nafanyia nje kwenye mwanvuli so naona niongeze samani ya bihashara yangu kwa kuibland je nitakuwa sahihi katika ili?
Kikweli hiii video nimeangalia wakati sahihi nazani mungu ana mipango mikubwa na mimi maana nlikua nataka kughairi kufanya biashara ambayo nlikua nataka kuifanya kwa kuona mtaji ambao hautoshelezi lakini kumbe naweza nikaaanza na nilichonacho thex br joel
Bro ahsante kwa masomo yako mazuri mimi ninataka kuanza biashara ya kukodi vyombo mfano viti, sahani masufuria kwenye shghuli jee! Mawazo yangu yanalipa? Naomba msaada wa mawazo
Masomo mazuri napata hamasa zaid ya kupanua biashara zaidi asante bro joel
Asante sana kwa breakfast mr Joel!!mimi tayari nimeanza networkmarketing biashara naiona rahisi sana kwa vigezo ulivyovitaja!kiukweli natamani watu wangejua urahisi wa biashara hii bas tu tunatofautiana uelewa.get blessed mwl
Lily Kessy Ameen thank you
Samahan naomba kuuliza hiyo biashara ya networkmarketing ndo ipoje
Asante advice nzuri
Mafunzo mazuri jamani tunakuombea mungu azidi kukufunulia mafunzo kinywani mwako maana kuna kitu tunapata hongera kaka.
sheillah chisika nashukuru sana Sheillah
Asante Sana Joel nilikuwa nataka niwe na carwash ila nimeanza na small carwash naosha magari Madogo na pikipiki Nina mwezi mmoja na ni passion yangu kuosha gari alafu ing'ae najua nitaiongeza thamani office yangu kila sekunde ya siku yanguu
Justine Mmbando Safi sana kijana
Naomba uniandikie whatsapp yangu hio +25761103872 huo ndio mradi wangu
Wakala wa tgps,mpesa na airtelmoney
Asante sana kakaang kwa kunijibu swali langu nafalijika kuona nimewasaidia na wengene ambo inawezekan walikuwa wanaogopa kuuliza ASANTE SANA KAKA Joel
Basam Tv karibu sana tuendelee kujifunza na kushare na wengine
Asante sana Joel m ni kijana ambaye nimekuwa nikikufatilia sana,Mimi kama mm ni mtu ambaye napenda kuvaa kuwa na muonekano mzri,natamn niwe mfanya biashara wa nguo Ila na shwinda kubajeti kwa kile nicho kipata kaka naomba unisaidie kwa ushauri wako kakangu...
Safi Sana mimi ninaujuzi wa ufundi umeme nahitaji nifungue duka la vifaa vya Umeme naomba muongozo
Asante kwa somo nzur kwel mwaka huu nimewaza kuanzisha biashar
Asanteee me natamani nifanye biashara ya duka la mikate
Broh asante nimeelewa somo! Mm nataka kufuga bata.
Napenda Sana kuuza nguo llanuza mazao nafaida inasumbua
Napenda sana biashara ya nafaka kweli ninapenda mno , mungu anisaidie 2021 hii nifungue duka langu , japo la m. 4 tu nitaanza nayo.
I think people they need financial education b'cuz a lotta people they love an aeroplane but it doesn't mean they can fly it....we need to feed our minds right materials to become financially literate...Thank you brother Joel, God bless u fo' yuh teachin
Kendrick Menson thanks for aprrciations
Joel Nanauka naitaji kitabu kaka nipo tabora 0688418424
Nikweli kaka joeli me ngu akubaliki mafundisho mazuri sana
Asante kaka joel mimi wazo la biashara ni nalo tena kubwa na linapesa ila mtaji ndo tatzo ila uzuri wa biashara hiyo inahtaji kuanza hata na mtaji mdogo si lazima uwe na pesa nyungi kwa siku za uson ila utaanza kujiongeza taratibu namshukulu Mungu nimeanza na kidogo nilichonacho
Thanks kaka Joel Mimi ninahitaji kuanza biashara ya uuzaji wa kuni za kupikia naomba ushauri wko
Nimefurahia bro somo lako natamani nianzishe biashara ya mgahawa Ila sijajua njia gani nitumie kuanzisha
Asante kwa mafunzo yenu tu na wasikiya
Nashukuru sana kwa elimu unayotowa binafsi inanijenga na kuniinuwa sana
Napenda sana urembo mtaji ninao lkn sina ujuzi katika hii biashara nisaidie
kila Siku ninavyoamka lazima nipate kinywaji from Joel nanauka
Je nawezaje kupanga ili kujua faida na hasara katika maandishi
Truth
Mm nataka kuanza biashara ya kitunguu saumu na nlishanunua na mbegu ila market naiwaza sana
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Nataka njia nzuri jinsi ya kukuza duka
Daa Mungu akubark sana
Asante sana kk Joel mm nataka kufanya biashara ya kuuza kuku wa kienyeji
mariam Masatu safi sana miriam usisubiri uanze na wengi.Anza na unachoweza
Wao nilianza biashara kidogo ya uzaji vyakula kama dengo mahalagwe ila nikafa moyo nikafunga ila napo kuskia ivo namoyo wakurudia
ahsanteee kwa muongozo mzuriii😘
Thanks kwa knowledge unayotupatia.... Mimi Nafikiria kuwa mjasiriamali wa mtandao.
Simon Fredy ndo biashara inayokwenda na karne tuliyonayo ,,mm nimeanza tayar karibu tupambane!
Lily Kessy.... Pamoja Sana..... Tusaidiane ktk kujengana kimawazo
Simon Fredy 0759219177 nchek tubadilishane ujuzi
Lily Kessy poa poa!!!
Ubarikiwe Sana kaka. Hakika Mungu anakutumia kutufikia sisi nduguzo. Kaka Mimi nimeanza biashara ya usafir bodaboda ila niliye mkabidhi kanitoroka nimeumia Sana. Nifanyaje kaka yangu na ni biashara ninayoipenda.
Pia je nikitaka kuwa na biashar tofauti tofauti kuna tatizo. Maana maono yangu ni kuwa na zaidi ya moja. Kama Kilimo, ufugaji wa Kuku, usafiri, na nyumba za kupanga. Nishauri kaka
Asante sana kwa somo. Ubarikiwe sana
Farida Mkesso Ameen
Nimejifunza kitu. Asante
Nashukuru sana kaka Nanauka mimi nawaza Kuuza Asali hapa ila napata hofu kubwa sana kubwa sana kuanza biashara hii
Great broh
Asante Sana kaka Joel Mimi kwa muda huu nimenuia kujifunza kutoka kwako naamini baada ya muda naamini matunda tutayaona #we will meeting at the top//
Thanks
Shukrani sana kk kwa chakula ambacho unatupatia katika ubongo. Kiukweli napenda sanaa kufanya biashara ya kufungua tuition center lakini nashindwa kujua naweza nianzaje naomba msaada wako kk
Napenda kuuza nguo.. Mfano madera.. Lakini kila nikiangalia nakuta ni wengi sana mitaani kwetu wanauza... Naishindwa lakufanya
Hakika ubarikiwe sana. Maana kila ninapofuatilia vipindi vyako, naona kuna mwanga mbele yangu. Ninahitaji kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji.
Ubarkiwe sana
Hongera kaka unafundisha vzr big up
Nimepata moyo wallah I can Try
Asante sana kaka Joel nmejifunza kitu
je kama passion haipo kabisa
Asante sana kaka Joel toka nimeanza kukusikiliza nimekuwa mtu mwenye mawazo chanya kichwani mwangu kaka, na moja ya wazo langu ni kuanza biashara ya chakula namaanisha kuwa na mgahawa wa chakula, na ndoto yangu kuwa na mgahawa mkubwa unaotambulika naomba ushauri wako kaka
Nimekupata yakuwa nikyanza nanilicho nacho ....asante bro
I liked much
Nashukuru Kaka nimepata maarifa juu ya biashara natamani kuifanya biasha lakini sijui ntafanya biashara gani
Bro thanks
Asante kaka joo..me bdo inaninuia vigum sana coz jmii inayonizunguka wat wachache na ndipo nataka kufanya biashara lkn cjui n gani
Unaweza pia kufungua duka la bidhaa jumla na rejereja
Poultty Farming
Biashara ya nguo it’s my dream can u help me for more information about how i can handle this business brother joel
Vzr
Hi j Naomba nifundishe njinsi yakutumia miamla ya pesa napenda lakin faida ndogo sijui nakosea
good bro iko vzr
great job
Nikweli kaka Joel mimi nina milion moja nawaza kufanya biashara lakini nashindwa kupata jibu ni biashara gani nifanye ambayo nitamuweka mtu na kuweza kumlipa maana mimi nimeajiriwa,
Ni mwezi wa pili sasa sijapata jibu la biashara gani nifanye.
Ni biashar ya genge kaka nina uzoefu nayo na inalipa vizuri niajir tupige kazi kama mwajir wako
Umeongea point bro
somo zuri endelea kuweka makala zaidi na zaidi kaka
Ubarikiwe kiongoz..nakuelewamnoo...
Nawezaj kufikia malengo yang katka biashara.
Safi
Thanks my blood brother gd will keep you today $ 2morrow
Mudy Homange Ameen
Good
Asante kak mm nimeasha na kutengeze Karanga za mayai,ubuyu na cripic japo.ndoto yangu ni kufunga kuku
Stella on Mwangabulap wow aisee hongera sanaaaa
Daaaah asante kaka nimejifunza mengi sanaaa
Hilo nitatizo kubwa ,mwingine anajua na hela na asijue kitu Cha kufanya, mwingine hana na ana idea ya biashara,
Kaka Uishi miaka mingi kwaajili yeti tunatamani tuendelee kujifunza mengi zaidi kutoka kwako God bless you
Elizabeth Zabron Ameen nashukuru sanaa
Habari mm natengeneza meza kwa kutumia cement na no nzur tu lakin bado sijajulikana na sipati wateja na sijui chakufanya ili kupromot bidhaa zangu na si hivo tu pia naongeza thamani kwenye Rasta za kawaida na kuzibadilisha kuwa za kuvutia lakini wateja hamna so sijui njia ya kufanya ili kusonga mbele
Napenda kufanya ufugaji wa kuku,lkn mara kadhaa na feli
Thankx Sir
Asante sana kaka; mm nawaza kuwauzia wanafunzi wenzangu vocha za rejareja hapa chuon
Kama mpo wengi saana uza hata karanga ...kuna watu huwa wanakula mda wote
Na jitahid unavouza uwekeze nje ya chuo ili ukimaliza chuo uwe na uwezo wa kuendelea ku survive
Asante sana Mr Joel ila na mimi nina shida naomba ushauri wako Mr mi mpaka sasa Nipo tu nyumbani natamani sana Nifuge kuku wa mayai na kwa ajili ya biashara na mi sina mtaji naomba ushaur wako
Mie mtaji wangu mdogo natka kufungua biashara ya kuuza chips na mayai naomba ushauri kwko ww!! Asant sana
nashkuru sana kaka kwa kunifumbua,kwan nilitaman sana kuanza biashara ckunyingi lakn ckuwa na ufahamu juu ya biashara gan nifanye.🙏🙏
Upo vzuri
Thank you bro mm nko n challenges nataka ya nguo mara tena y cereals so nko 50.. 50 aky🤣🤣🤣
Ubarikiwe kaka
Clean shop
Napenda Sana biashara yanguo na viatu ilanashidwa kusubutu naomba erimuyako Kaka
makini sana kaka mimi niko na ww kama samaki na maji mungu awe nawe
Asnt sana
Asante sana bwana Joel Nina mtaji kama lakitano hivi nilikuwa nikifanya kazikwa bamdogo ya kuuza duka na nataka kufungua kibanda changu JE hapawez leta mgogoro hapo kati ya mim na BA Mdogo?
HI
Ntaka kufungua biahara ya eletronic coz nko na experience nayo bt cpital yangu ni kidogo ya kuanzisha bt nkaona nifungue duka coz hiyo ndo rahisi kulingana na hela nilizonazo je inaeza work nikitafuta pesa nyingine
Natamani Sana kufungua BOOK SHOP
Natamani nianze na biashara ya kuuza mkaa na baadae kupeleka nje ya mkoa. Mungu anisaidie
Sant san kak nimekuelew vizur
Sante sana kwa ujumbe, mm nataka nifanye biashara ya car wash & detailing naomba ushauri.
ussikhamis ussi Anza kuchukua hatua tafuta mahali sahihi
Joel Nanauka; Nashkuru nitaanza hivi punde tu je, unaweza kunipa tips za mahali pa kuanza hiyo biashara yangu, labda mazingira yake yaweje?
Ahsante kwa elimu nzuri unayotoa kwa watu naomba kuuliza kitu mm namtaji wa 700000 katik biashara ya m pesa Ila nilitaka nitoe 200000 nirekebishe kibanda kwani mwanzo nilikuwa nafanyia nje kwenye mwanvuli so naona niongeze samani ya bihashara yangu kwa kuibland je nitakuwa sahihi katika ili?
Mm nifungo lkn na penda sana biashara ya chakula kiujumla napenda sana kupika kaka kuliko kushona nguo
Nikwel Kaka mm Nina laki tati Kama kianzio lakin nashindwa nibiashara gan nianzishe
Big up
Barikiwe Noel...
Napenda niwe na hardware ya spare za magari naweza kuanzia wapi wakat mtaji wangu kwa sasa ni mdogo?
Jaman mie natamani nianze kwenye matunda na mbogamboga maana naona ndio ninazoziweza kwa sasa
(ni ) chunga Sana kutika kazi zako ukiitumiya hii erufi mambo mengi Sana utafer uxjipe mda Sana mber wewe amua 2 anza nakile kipo mbele yako
Kikweli hiii video nimeangalia wakati sahihi nazani mungu ana mipango mikubwa na mimi maana nlikua nataka kughairi kufanya biashara ambayo nlikua nataka kuifanya kwa kuona mtaji ambao hautoshelezi lakini kumbe naweza nikaaanza na nilichonacho thex br joel
Big up Brother! Nina hitaji kuanza kufanya biashara ya Supu ya ng'ombe, unaweza niongezea maarifa juu ya kwanza vyema.
Nlipenda NIANZE biashara ya mpesa chuon lakin naona weng wanatma pesa chuon nasi kutoa nakutoa ndio knafaida kulko kutuma
Ahsante Sana broo Joel
Bro ahsante kwa masomo yako mazuri mimi ninataka kuanza biashara ya kukodi vyombo mfano viti, sahani masufuria kwenye shghuli jee! Mawazo yangu yanalipa? Naomba msaada wa mawazo
Good bro,,,n zaidi ya chuo