ELIMU KUHUSU KEMIKALI ZA MIMEA DAWA NA GURUDUMU LA USALAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2023
  • Video inalenga kutoa elimu kwa jamii na hasa watengenezaji wa dawa za asili zitokanazo na mimea dawa kufahamu kuwa mimea dawa inazo kemikali mbalimbali ambazo ndizo zinazotibu magonjwa mbalimbali wanayotibu lakini pia kueleza kwa kifupi namna ya kuzalisha dawa za asili zitokanazo na mimea ambazo hazina athari kwa afya na binadamu na salama kwa matumizi
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น •