WOGA WETU UNAVYOWAGHARIMU WAKULIMA WA PAMBA NCHINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2018
  • Katika harakati za Mhe. John Pombe Mgufuli la kujenga uchumi wa Viwanda na kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati swala la upatikanaji wa malighafi za kulisha viwanda hivyo ni muhimu na lazima lipewe kipaumbele cha kwanza.
    Ili kuwa na viwanda vizuri vya nguo lazima kilimo cha Pamba kipewe kipaumbele ili kuweza kuzalisha Pamba nyingi itakayokidhi mahitaji ya viwanda vyetu katika uzalishaji wa Nguo.
    Wakati tukiliangalia hilo makala hii itakupa picha ya hali halisi ya kilimo cha Pamba na changamoto zake pamoja na mbinu bora zinazoweza kutumika kuondoa changamoto hizo kama zinavyofanya nchi nyingine duniani na kunufasha wakulima wa zao hilo pamoja na nchi hizo kwa ujumla.
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น • 2