MAZAO LISHE NA FAIDA ZAKE KATIKA MWILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2018
  • Mara nyingi tumekuwa tukisikia swala la watu kula mlo kamili ili kupata virutubisho Muhimu ambavyo vinatakiwa na mwili na kusikia athari za mtu kukosa mlo kamili.
    Kwenye makala hii nimeangalia tatizo la ukosefu wa lishe kwa mifano na madahara yake lakini kuelezea kupitia wataalamu namna bora na rahisi za kukabiliana na tatizo hilo kwa kutumia vyakula ambavyo vinapatikana kwenye maeneo yetu.
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น • 2

  • @kaanaelimoshi5474
    @kaanaelimoshi5474 6 ปีที่แล้ว +1

    Santee sana kwa elimu hii nzuri nimejifunza jambo kupitia makala hii