Science Media for Africa
Science Media for Africa
  • 28
  • 27 408

วีดีโอ

Ofisi ya Makamu wa Rais yaahidi kuendeleza ushirikiano na SUA katika kuhifadhi Mazingira nchini.
มุมมอง 42 หลายเดือนก่อน
Ofisi ya Makamu wa Rais yaahidi kuendeleza ushirikiano na SUA katika kuhifadhi Mazingira nchini.
Prof. Chibunda apongeza watafiti wa SUA kwa kusaidia kulinda Ikolojia ya Mito na Bahari ya Hindi.
มุมมอง 32 หลายเดือนก่อน
Prof. Chibunda apongeza watafiti wa SUA kwa kusaidia kulinda Ikolojia ya Mito na Bahari ya Hindi.
KIPINDI MAALUMU CHA UFUGAJI WA KUKU WENYE TIJA
มุมมอง 1.6K8 หลายเดือนก่อน
Kipindi hiki maalumu kimeandaliwa Chini ya Mradi wa kujenga Vyuo Vikuu Imara (BSU). Kipindi hiki kinalenga kuwafundisha Wafugaji wa kuku Mbinu bora za Ufugaji hasa za utengenezaji wa Chakula cha kuku ili kupunguza gharama kubwa za vyakula vya Viwandani.
TRADE Hub Tanzania - Crop Documentary
มุมมอง 339 หลายเดือนก่อน
This documentary is talking about the Trade, Development and Environment project (TRADE Hub), so researchers in this project investigates the policies and economic impacts of Sugar, Soy, and Coffee crops. The research identifies the economic, environmental, and social benefits and costs of implementing these policies. The results are expected to inform and facilitate the availability of sustain...
TRADE Hub Project Tanzania - Wild Animal and Wild Meat Documentary
มุมมอง 209 หลายเดือนก่อน
This Documentary is looking at the good work that have done by Researchers from Sokoine University of Agriculture (SUA), through the Trade, Development and Environment Project, i.e. TRADE Hub project on challenges related to trade and exportation of wildlife products, including the trade of live wild animals as well as trophies, and the best way to achieve a fair, just and sustainable trade.
Alcohol Harm Prevention and Violence Against Women: A Documentary
มุมมอง 26ปีที่แล้ว
Alcohol Harm Prevention and Violence Against Women: A Documentary
Acla Honey Enterprises Ltd: Beekeeping Impact in Tanzania
มุมมอง 238ปีที่แล้ว
In Tanzania beekeeping industry is underutilized to create impact on food production and employment,Acla honey enterprises ltd addresses these problems by designing a business model that build employability skills to youth and women and provide a reliable market of bee products and potatoes in Tanzania.In 10 years time,The company has impacted more than 10,000 farmers of potatoes and bee produc...
Green Resource Innovations for Livelihood Improvement (GRILI): A Documentary Journey
มุมมอง 34ปีที่แล้ว
Science Media for Africa is proud to present a documentary showcasing the Green Resource Innovations for Livelihood Improvement (GRILI) project. Implemented by Sokoine University of Agriculture (SUA) and partner universities and research institutions in Tanzania, in collaboration with the University of Copenhagen (UCPH) in Denmark, this collaborative research endeavor is supported by the Danish...
ELIMU KUHUSU KEMIKALI ZA MIMEA DAWA NA GURUDUMU LA USALAMA
มุมมอง 47ปีที่แล้ว
Video inalenga kutoa elimu kwa jamii na hasa watengenezaji wa dawa za asili zitokanazo na mimea dawa kufahamu kuwa mimea dawa inazo kemikali mbalimbali ambazo ndizo zinazotibu magonjwa mbalimbali wanayotibu lakini pia kueleza kwa kifupi namna ya kuzalisha dawa za asili zitokanazo na mimea ambazo hazina athari kwa afya na binadamu na salama kwa matumizi
VECTOR BORN INFECTIONS
มุมมอง 475 ปีที่แล้ว
Predicting Vulnerability and Improving resilience of the Maasai Community to Vector- Born infections.
Tissue Culture Technology: A New Hope for Banana Farmers in Kagera Region
มุมมอง 1.9K5 ปีที่แล้ว
Science Media for Africa presents an impactful documentary that delves into the challenges faced by banana farmers in Kagera Region due to Banana Wilt Disease. Join us as we uncover the devastating effects of the disease on farmers and the groundbreaking intervention by COSTECH (The Tanzania Commission for Science and Technology) and Maruku Research Institute through the implementation of Tissu...
FEAR OF UNKNOW Tanzania Cotton Farmers Paying a Price
มุมมอง 3355 ปีที่แล้ว
As we think of the strategy of building industrial Tanzania we must not forget to look at where we will get the raw material. Cotton is one of the raw material we need in Textile industries. These are the Challenges that cotton farmers face in Tanzania that need to be addressed before start introducing the textile industries we need.
MTAZAMO WA WATUNGA SERA KUHUSU BIOTEKNOLOJIA TANZANIA
มุมมอง 535 ปีที่แล้ว
UWEPO WA MGAWANYIKO KATI YA WATU WANAOSEMA MATUMIZI YA MBEGU ZA GMO NCHINI USIBIRI KWANZA NA WALE WANAOTAKA MBEGU HIZO ZIANZE KUTUMIKA ILI KUTATUA CHANGAMOTO SUGU ZINAZOWAKABILI WAKULIMA NCHNI UKANIFANYA NIANDAE MAKALA HII. NDANI YA MAKALA HII NIMETOA NAFASI KWA WATUNGA SERA KUWEZA KUELEZA MTAZAMO WAOA AU MSIMAMO WAO KUHUSU KUTUMIA KUANZA AU KUTOANZA KUTUMIA MBEGU HIZO NCHNI. MAKALA HII ITAKUPA...
MAKALA MTAZAMO WA WATAFITI KUHUSU NAFASI YA BIOTEKNOLOJIA
มุมมอง 95 ปีที่แล้ว
CHANGAMOTO NYINGI ZINAZOWAKABILI WAKULIMA NCHINI IKIWEMO ZA MAGONJWA YA MIMEA,WADUDU,MABADILIKO YA TABIA NCHI UFUMBUZI WAKE NI WATAFITI WETU NCHINI. KUWEPO KWA MATATIZO SUGU YANAYOCHANGIA KUSHUSHA TIJA KWA WAKULIMA KUMEWAFANYA WANASAYANSI NA WATAFITI WETU KUONA KUWA MBINU ZA KAWAIDA ZIMESHINDWA KUTATUA BAADHI YA CHANGAMOTO HIZO NA HIVYO KUPENDEKEZA MATUMIZI YA BIOTEKNOLOJIA YA KISASA. MGAWANYIK...
UZALISHAJI WA MICHE KWA NJIA YA CHUPA TUMAINI JIPYA LA WAKULIMA WA MIGOMBA KAGERA
มุมมอง 2.7K5 ปีที่แล้ว
UZALISHAJI WA MICHE KWA NJIA YA CHUPA TUMAINI JIPYA LA WAKULIMA WA MIGOMBA KAGERA
Fall Armyworm: A Farmer's Nightmare
มุมมอง 7515 ปีที่แล้ว
Fall Armyworm: A Farmer's Nightmare
WOGA WETU UNAVYOWAGHARIMU WAKULIMA WA PAMBA NCHINI
มุมมอง 2526 ปีที่แล้ว
WOGA WETU UNAVYOWAGHARIMU WAKULIMA WA PAMBA NCHINI
KIAZI LISHE ''MKATE WA GAIRO''
มุมมอง 4326 ปีที่แล้ว
KIAZI LISHE ''MKATE WA GAIRO''
MAZAO LISHE NA FAIDA ZAKE KATIKA MWILI
มุมมอง 966 ปีที่แล้ว
MAZAO LISHE NA FAIDA ZAKE KATIKA MWILI
The first EJAT Award for SUAMEDIA
มุมมอง 1586 ปีที่แล้ว
The first EJAT Award for SUAMEDIA
KIWAVIJESHI VAMIZI ''JINAMIZI LA WAKULIMA''
มุมมอง 1.9K6 ปีที่แล้ว
KIWAVIJESHI VAMIZI ''JINAMIZI LA WAKULIMA''
Safari to sanje waterfalls in Udzungwa
มุมมอง 2218 ปีที่แล้ว
Safari to sanje waterfalls in Udzungwa
SAFARI KUELEKEA BONDE LA IHEFU NA USANGU
มุมมอง 1.1K10 ปีที่แล้ว
SAFARI KUELEKEA BONDE LA IHEFU NA USANGU
SAFARI KUELEKEA BONDE LA IHEFU NS USANGU 1)
มุมมอง 13K10 ปีที่แล้ว
SAFARI KUELEKEA BONDE LA IHEFU NS USANGU 1)
RUAHA NATIONAL PARK VIDEO
มุมมอง 1.7K10 ปีที่แล้ว
RUAHA NATIONAL PARK VIDEO
RUAHA NATIONAL PARK VIDEO 2
มุมมอง 48310 ปีที่แล้ว
RUAHA NATIONAL PARK VIDEO 2
My Slideshow
มุมมอง 2310 ปีที่แล้ว
My Slideshow

ความคิดเห็น

  • @sahraoui691
    @sahraoui691 หลายเดือนก่อน

    I look forward to your visit and the establishment of an apiary in Tanzania 🎉🎉

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว

    Can you please give reasons why Royal tour didn't include Ruaha NP. and Nyerere NP/Selous Game Reserve?

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว

    Kwani Royal tour ni ya Northern Tanzania tu ? Siyo southern, western au eastern Tanzania??

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว

    You have provided a Royal tour only for Northern tanzania parks , what about one of Ruaha National Park and mahare mountains in tĥe west? Also another one for Western Tanzania, and yet another one of Southern Tanzania?

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว

    We need a Royal tour documentary for ruaha national park and Mahare Mts.

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada ปีที่แล้ว

    Nchi imebarikiwa sana hii but wapigaji wanairudisha nyuma

  • @mecky8993
    @mecky8993 ปีที่แล้ว

    Ruaha Iringa Tanzania karibu mbuga

  • @mecky8993
    @mecky8993 ปีที่แล้ว

    hii ndio Ifadhi ya Ruwa Iringa Tanzania mecky mseya

  • @swaleheurassa4535
    @swaleheurassa4535 ปีที่แล้ว

    Mwanzo mlikuwa wapi?

  • @dadkarimaminmirza9703
    @dadkarimaminmirza9703 ปีที่แล้ว

    Wanajifunza kuhusu kilumo

  • @NtanunuraWillsonBaru
    @NtanunuraWillsonBaru ปีที่แล้ว

    Kulima ni muhimu tutaishije Bira chakula cha msingi ni kutafita maji ya ardhini sio blabla kila kitu kutegemea mvua watu wenye akili huwa wanatafuta njia mbadala sio kuongea tu

  • @jemimap.ndejembi8981
    @jemimap.ndejembi8981 ปีที่แล้ว

    GOD has given human beings enough land to live on and enough land for animals as we’re all part of his creations therefore we have to stop being greedy and leave the national park for animals that’s their home People of GOD maeneo ya wanyama ni kwa ajili ya wanyama wa MUNGU tuliheshimu hilo

  • @jemimap.ndejembi8981
    @jemimap.ndejembi8981 ปีที่แล้ว

    Calvin tunaomba update ya recent video tuone kilichofanyika katika kipindi cha miaka 9 🙏🏾

  • @hoseamhabuka1072
    @hoseamhabuka1072 ปีที่แล้ว

    Kilimo mna kijua au ndo mnakijua cha kwenye daftari

  • @user-ir2jo7bl6k
    @user-ir2jo7bl6k 2 ปีที่แล้ว

    🇧🇩🇧🇩🇧🇩🥰🇧🇩🇧🇩🇧🇩

  • @Truth4ever
    @Truth4ever 2 ปีที่แล้ว

    Mmariiiii

  • @kevimwa7519
    @kevimwa7519 5 ปีที่แล้ว

    Amaizing

  • @MarcoMngongo
    @MarcoMngongo 6 ปีที่แล้ว

    where is the swahili version

  • @adamwarucha1629
    @adamwarucha1629 6 ปีที่แล้ว

    surely this is a dangerous to farmers

  • @chaulasilla4126
    @chaulasilla4126 6 ปีที่แล้ว

    May God's blessings be with you Shem congratulations keep it up

  • @kaanaelimoshi5474
    @kaanaelimoshi5474 6 ปีที่แล้ว

    Nimepata kitu kupitia makala hii asante sanaa

  • @gwabaralameck6587
    @gwabaralameck6587 6 ปีที่แล้ว

    Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.

  • @gwabaralameck6587
    @gwabaralameck6587 6 ปีที่แล้ว

    Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.

  • @gwabaralameck6587
    @gwabaralameck6587 6 ปีที่แล้ว

    Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.

  • @gwabaralameck6587
    @gwabaralameck6587 6 ปีที่แล้ว

    Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.

  • @gwabaralameck6587
    @gwabaralameck6587 6 ปีที่แล้ว

    Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.

  • @Science-Media-Africa
    @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

    Thank you soo much

  • @kaanaelimoshi5474
    @kaanaelimoshi5474 6 ปีที่แล้ว

    Hongera san kwa kazi nzur ya kuelimisha jamii

  • @kaanaelimoshi5474
    @kaanaelimoshi5474 6 ปีที่แล้ว

    Santee sana kwa elimu hii nzuri nimejifunza jambo kupitia makala hii

  • @jacquelinemajenda3364
    @jacquelinemajenda3364 6 ปีที่แล้ว

    Congrats Mr Calvin, Kwakweli wakati sahihi ni wakati wa Mungu endelea kumtumaini na kuongeza juhudi katika kazi zako. Wewe ni shujaa

  • @kaanaelimoshi5474
    @kaanaelimoshi5474 6 ปีที่แล้ว

    Wakati wa Bwana ukifika hakuna anayepinga hakika ulikuwa wakat wako Mungu azidi kukupigania na kukutetea katika kazi ya mikono yako

  • @elizariwa971
    @elizariwa971 6 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri sanaaa

  • @elizariwa971
    @elizariwa971 6 ปีที่แล้ว

    hongera kaka

  • @onesmonyinondi7874
    @onesmonyinondi7874 6 ปีที่แล้ว

    Well done Kelvin.

  • @vumilianandonde1104
    @vumilianandonde1104 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana na inaelimisha sana. Big up afisa kilimo( Saidi Babu)

  • @gwabaralameck6587
    @gwabaralameck6587 6 ปีที่แล้ว

    This is a type of information that farmers need to combat the issue of low yield in production. Very helpful information and we hope to receive more of this type information from this source 👏👏

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Thank you soo much, so lets take this information to farmers

  • @jacquelinemajenda3364
    @jacquelinemajenda3364 6 ปีที่แล้ว

    Elimu hii inabidi iwafikie wengi zaidi ili kupambana na hawa wadudu ambao haswa wanaharibu mazao ya chakula na kuleta janga la njaa

  • @jacquelinemajenda3364
    @jacquelinemajenda3364 6 ปีที่แล้ว

    Viwavijeshi Vamizi,a serial dangerous disaster for farmers. Thanks for this informative work

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Thank you lets fight together and help our farmers

    • @jacquelinemajenda3364
      @jacquelinemajenda3364 6 ปีที่แล้ว

      kwakuwa Kilimo ndio uti wa mgongo,hivyo kila mtu anapaswa kuelewa hili tujitahidi kuelimishana kuendeleza sekta hii ya kilimo hususan Tanzania. Asante kwa Elimu hii

  • @vickymgaiwa4150
    @vickymgaiwa4150 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @mariemachilu4290
    @mariemachilu4290 6 ปีที่แล้ว

    A very informative documentary. Taarifa ifikie walengwa wengi zaidi ili kupata suluhisho.

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana. tushirikiane kufikisha ujumbe na elimu kwa walengwa na wapendwa wetu wakulima.

  • @kareemrobert2581
    @kareemrobert2581 6 ปีที่แล้ว

    Nice job

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana Mkuu. Tuwaelimishe na wengine wamjue maana wengi hawajui

  • @Science-Media-Africa
    @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

    Tusaidiane kuelimisha Watanzania wenzetu juu ya mdudu huyu hatari kwa Mazao nchini.

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      +Abdul Shango (CEO HKC) ahsante sana. Niunganishe nao

  • @happynessmnyanyi5737
    @happynessmnyanyi5737 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana Calvin, binafsi nimejifunza vitu vingi na naamin pia kila atakaeiangalia documentary hii atajifunza kitu. Ombi langu ni kwamba wakulima wazidi kupata elimu zaidi na namna ya kukabiliana na hao wadudu lakin pia ni jukumu la kila mmoja wetu tulioangalia video hii kuwajibika kwa kushare na wenzetu ili pia wajifunze kitu hapa.

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa ahsante sana. ujumbe ukiwafikia wengi elimu itasambaa zaidi na tutakuwa tumejenga uelewa mpana kwa jamii zetu hasa wakulima.

  • @maxigamandossi9107
    @maxigamandossi9107 6 ปีที่แล้ว

    Bonge la documentary aisee nimeipenda sana The content is well organized, the video is well planned and edited. Imetufundisha mambo mengi pia imetutaadharisha kuhusu mdudu mbaya wa mazao Keep them up keep them come

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana Dr. Maxgigama tushirikiane kuelimisha wakulima wetu wamjue mdudu huyu maana athari zake ni kubwa.

  • @amneswaya3910
    @amneswaya3910 6 ปีที่แล้ว

    hongera.Tumejifunza

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Nashukuru kama umejifunza kitu wafundishe na wengine kwa kuwaonyesha nao waangalie au kuwasimulia ili elimu isambae.

  • @Truth4ever
    @Truth4ever 6 ปีที่แล้ว

    Hii yenyewe, tunahitaji mambo haya ili kuwatahadharisha wakulima. Kaka hongera binafsi nimeipenda na nitahakikisha inawafikia wengi.

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana ni vizuri iwafikie watu wengi zaidi ili elimu hii iwasaidie

  • @kaanaelimoshi5474
    @kaanaelimoshi5474 6 ปีที่แล้ว

    Hao wadudu ni tishio sana kwa sisi tunaotegemea kilimo kama njia pekee ya kujikwamua kimaisha uhodari wao wa kuharib mazao ni janga sana

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Wakati Serikali ikiendelea kupambana na wadudu hawa kwa kushirikiana na wadau wengine na sisi tuendelee kutoa elimu kwa jamii ili ijue namna ya kukabiliana nae.

    • @kaanaelimoshi5474
      @kaanaelimoshi5474 6 ปีที่แล้ว

      CALVIN GWABARA ni kweli katika hilo ondoa shaka

  • @annyrobyt1307
    @annyrobyt1307 6 ปีที่แล้ว

    Endelea kuelimisha jamii wajue namna ya kukabiliana na ugonjwa huu

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Ahsante Roby tusaidiane kuelimisha jamii hasa wakulima juu ya wadudu hawa hatari kwa usalama wa chakula

  • @HOPEMEDIATZ
    @HOPEMEDIATZ 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri Calvin

  • @suzanecheddy
    @suzanecheddy 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri.hongera sana hii elimu kubwa kwa wakulima.

    • @annyrobyt1307
      @annyrobyt1307 6 ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri sana brother,big up !

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana Suzane ni jukumu letu kuwaelimisha wakulima wajue matatizo haya na namna ya kuyatatua maana wengine hawawajui kabisaaa

    • @suzanecheddy
      @suzanecheddy 6 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ila elimu hii isiishie kwenye mitandao ni vyema ikaenda vijijini huko ambako hakuna TV,na social media itawanufaisha zaidi na kujua jinsi ya kutatua matatizo ya uharibifu wa wadudu wengine wengi

    • @Science-Media-Africa
      @Science-Media-Africa 6 ปีที่แล้ว

      Hii nipo radhi media yoyote iirushe pamoja na kwamba tunairisha pia kwenye tv station yetu ya Chuo kikuu cha sokoine cha kilimo SUA -SUATV