MCHOKONOZI ABANANISHWA STUDIO ASIMAMIA MISIMAMO YAKE PALEPALE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Furniture_mix_tz
    @Furniture_mix_tz 3 หลายเดือนก่อน +14

    Watangazaji wapo chini ya kiwango. Kuna muda wanamuuliza maswali ambayo tayari amesha toa majibu... wakati mwingine mjitahidi kuelewa na kumuelewa unae muhoji.Thank

  • @MjukuuWaGarabuma
    @MjukuuWaGarabuma 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa jamaa ni zaidi ya hatari yaani kiufupi wachokonozi ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 2 หลายเดือนก่อน +8

    Uelewa ni kama frequency ya radio😅😅😂 unaamua mwenyewe 😅
    Sisi ni funza😂👏👏👏👏

  • @bshhdxgdhjjdhd7627
    @bshhdxgdhjjdhd7627 3 หลายเดือนก่อน +21

    Nimepata madini mengi🤝

  • @ngoilangamwano6302
    @ngoilangamwano6302 2 หลายเดือนก่อน +2

    Upo vzr sana mchokonozi naomba uendelee na mapambano yako

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dah hapa kazi ipo kwelikweli ,utakaa Sawa au utaporomoka km mtoto waudongo alotiwamaji 🎉

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q 2 หลายเดือนก่อน +12

    Ili nimuelewe ,,, naomba mungu awakutanishe,, na MAZINGE,, HANANJA,, MCHUNGAJI MGOGO ,, DOCTOR ELIE,,NK, HAPO BANDO LANGU SITALIJUTIA

    • @VctorMenlady
      @VctorMenlady 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umemsaha fr kamgisha

    • @cleophasmdollo3415
      @cleophasmdollo3415 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu na shetani pia wawepo

    • @bonfacenjogu4533
      @bonfacenjogu4533 หลายเดือนก่อน +1

      Na pia pastor Ndacha kutoka Kenya

    • @MackZube-eh1lp
      @MackZube-eh1lp 22 วันที่ผ่านมา +1

      Nyie nyote hamna kitu mnaelewa 😂😂😂

    • @godchila8013
      @godchila8013 22 วันที่ผ่านมา +1

      Hawataelewana unataka wagombane

  • @nasibu7258
    @nasibu7258 2 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu jamaa ukitulia vzr ukamsikiliza ana madini sanaaaa

    • @samwelishilabhi6005
      @samwelishilabhi6005 2 หลายเดือนก่อน +1

      Taja hata dini moja alilonalo😂😂

    • @JumaHija-d9g
      @JumaHija-d9g หลายเดือนก่อน

      Kasome dini yako broo kichwani hamna kitu humo

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 21 วันที่ผ่านมา

      @@samwelishilabhi6005 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MAKANZAGULWAMAYALA-fm5ns
    @MAKANZAGULWAMAYALA-fm5ns 3 หลายเดือนก่อน +8

    Da ni mazngmzo ya saa namadakika lkn nmeona ni km daka tano god work👏👏👏

    • @tunutv1
      @tunutv1 2 หลายเดือนก่อน

      Hakika

  • @FrankImanyi
    @FrankImanyi หลายเดือนก่อน +2

    Wachokonozi mpo sawa sana

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 3 หลายเดือนก่อน +7

    safi sanaaaa jamaaaa

  • @amanijoseph6764
    @amanijoseph6764 หลายเดือนก่อน

    I like the thanking..philosophy kaiva kijana..ana upeo mwengine..

  • @rajabukulwa4060
    @rajabukulwa4060 2 หลายเดือนก่อน +3

    Banger hizi

    • @KastorKremens
      @KastorKremens หลายเดือนก่อน

      Shetani ameweka maarifa yake juu ya huyu kijana Ili kuondoa imani za watu wa mungu watu wa mungu wanahitaji kuwa making sana

    • @simonpeter5300
      @simonpeter5300 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@KastorKremenshuu ni upeo wa chini wa akili

  • @lisavictor3102
    @lisavictor3102 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu kaka tupo wote kwenye high vibrations... Totally true.

  • @WilondjaPelesa
    @WilondjaPelesa 3 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu jama anaupeo wajuu sana . Tunaomba arudi tena kwenye studio mara nyingine 🙏🙏

    • @jmanp1261
      @jmanp1261 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@WilondjaPelesa upeo wa juu? Juu wapi?

    • @WilondjaPelesa
      @WilondjaPelesa 2 หลายเดือนก่อน

      @@jmanp1261 upeo wajuu wa uwelewa

    • @elijahbaraka9470
      @elijahbaraka9470 2 หลายเดือนก่อน

      Neno upeo halipo ila ni nguvu za juu😂😂😂​@@WilondjaPelesa

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@elijahbaraka9470😂😂😂😂nyie nimbwa

    • @elijahbaraka9470
      @elijahbaraka9470 2 หลายเดือนก่อน

      @@bulugubujashi6378 kwa nini umenitusi bro?

  • @AmosiTimoteo
    @AmosiTimoteo 20 วันที่ผ่านมา

    Wachokonozi big up sana umeeleweka mkuu

  • @kenjaboy8070
    @kenjaboy8070 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah ujamaaa nikweree akika kunavitu anavisema nawew ukijifikilia nikweli mem naamini kwamba huyuu ameletwa kwetu watanzania kutu sanua maana tunaishi maisha yaki zangu sana tumejisahau 😇😇akiki2🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @SungweSimon
    @SungweSimon 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ongera san,ni kweli marekani hakuna fare kwa wanafunzi wote,From US, Michigan

    • @mackymilan
      @mackymilan 2 หลายเดือนก่อน

      Huy jaam yupo vizur

  • @EmmanuelMagesa-u1g
    @EmmanuelMagesa-u1g 3 หลายเดือนก่อน +34

    wachokonozii baadae hawa watakuwa tegemezii afrika nzima 🎉🎉🎉🎉

    • @SalumShaban-nq9sk
      @SalumShaban-nq9sk 3 หลายเดือนก่อน +5

      Hakuna kitu humo ni swala la muda tu! Mtakuja kumkataa.

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nakubali Hawa jamaa ni hadhina ya taifa

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hamna kitu hapo. Elimu yao Haina lolote, UCHAWI unasifiwa

    • @alainkanobayire2078
      @alainkanobayire2078 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hamna hovyo! Hawana lolote. Wape mda watapimwa watakuta ni vicha.

    • @yusuphjuma-oz6lt
      @yusuphjuma-oz6lt 3 หลายเดือนก่อน +1

      hao majamaa wanatakiwa wajilinde sanaa mana wanawafungua watu macho ,sasa waliojuu wanataka muendelee kuwa mazwazwa mazuzu muendeelee kutawaliwa na kushadadia Vitu badala ya kujijenga ninyi

  • @onlinefixtool
    @onlinefixtool 2 หลายเดือนก่อน +12

    Uyu-uyu Jamaa Atakuja kuokoka wacha Tuombe apa leo.
    >Baba ktk JINA LA YESU, tunaomba Uyu mtu wako akutane na WEWE, ni muelewa mzuri, ikiwa ameelewa ujinga kiasi hchi na kuleta madhara mabaya bac ni zaidi akiwa na akili ata leta impact nzur, Msaidie sana.Amen

    • @AhmedMohamedMadaiMadai
      @AhmedMohamedMadaiMadai 2 หลายเดือนก่อน +2

      Bora yeye kuliko ww unaemuqbudu mtu

    • @successplatformtv1823
      @successplatformtv1823 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @elizabethkasichana7005
      @elizabethkasichana7005 หลายเดือนก่อน

      Kuokoka😂ni upuuzi,unaokoka na nini,dhidi ya nini,ili iweje

    • @EmilyTembo-pg6tg
      @EmilyTembo-pg6tg หลายเดือนก่อน

      Kuokoka tayari maana amefaulu kuwa mbari na ujinga ambao unakandamiza watu wengi

    • @louisejeanne8306
      @louisejeanne8306 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie

  • @SundayMushi-n4d
    @SundayMushi-n4d 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mm nawaelewa sana wakuu

  • @FintanMkesha
    @FintanMkesha 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel mzee 🎉🎉🎉🎉 big up sana

  • @Amani-l9d
    @Amani-l9d 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤true wachokoz

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 วันที่ผ่านมา

    Wachokonozi _wachokozi tu!

  • @MUSSADSDESALIMO
    @MUSSADSDESALIMO 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ajuwi alisemalo ...inalilai waina lilai laj....

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatar sana jamaa anaakili san

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna point Fulani nilibeba unakuta unateseka mtoto asome shule nzuri hasa ajue kingereza kumbe ni ujinga kwasababu wtakutana chuo na watoto wengi walisoma shule za Pesa nyingi chuo ni mabox asilimia kubw Hawa kayamba ni noma Sanaa akiri imesimama

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 2 หลายเดือนก่อน

      Hao wanaojiita wachokonozi WANAJUA KIINGEREZA VIZURI TU
      Jitambue ndugu

  • @KelvinTamba-j9z
    @KelvinTamba-j9z หลายเดือนก่อน +3

    Huyo jamaa ni mwehu totally,kitendo cha kusema mungu hayupo ni kiwango cha juu cha upotofu,mungu amsamehe sana hajui alitendalo.

    • @elizabethkasichana7005
      @elizabethkasichana7005 หลายเดือนก่อน +1

      Ok tuseme yupo,Yuko wapi,hebu tuoneshe😂

    • @KastorKremens
      @KastorKremens หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu amesema moyoni hakuna mungu kwahiyo huyu ni mpumbavu

    • @MackZube-eh1lp
      @MackZube-eh1lp 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@KastorKremensww ndo mpumbavu huyo mungu umewahi kumuona...?

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 17 วันที่ผ่านมา

      Iposiku utamuona na utajuta. Jiulize amekuumba nani. Kwani ulijua.kama utazaliwa. Mama yako siumemkuta na baba yako kutembea umejikuta kuongea.umejikuta basi kilakitu.utakikuta ​@@elizabethkasichana7005

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 14 วันที่ผ่านมา

      15:45 watu hawaumwi sasa huyu kweli mzima ????
      Hospital zipo kila corner na ma doctors wapo nawagonjwa wapo kisha ati Hakuna magonjwa ???
      Kumualika mtu kama huyu studio nakutenga muda maalum ni ishara tosha ya namna wa africa tulivo wajinga
      Mlitakiwa kumuita mmasai aongelee ufugaji wangombe tupate nyama na maziwa
      Bwana shamba aongele ukulima tuvune maindi
      Nasio kumuita mjinga kama huyu nakupotezea watu muda

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 3 หลายเดือนก่อน +20

    Jinsi ni ngumu kuwaelewa wachokonozi ndo hivo ilikuwa ngumu kwa babu zetu kuzipokea dini

  • @IBRAHIMOFFICIAL-k1c
    @IBRAHIMOFFICIAL-k1c ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Elim dunia ni dunia tu hutokaa uchunguze kazi za mungu

  • @HAMZAMIKIDADI-j3p
    @HAMZAMIKIDADI-j3p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safiii tutaelewana tuuuu

  • @WisdomJesuse
    @WisdomJesuse 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii in shida ingne tena tujiandae kupoteza jamii,du!

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 2 วันที่ผ่านมา +1

    Itakuwa vema sana wachokonoz wakutanishwe na mazinge.si wanahabari kwenye engorged hiyo ya kujua mungu yupo.wanahabari nyie nikutuletea habari walizo ongea kati ya wachokonoz na Dr sule.keanini hao hawamjui mungu elimu waliyo fundishwa haimjui mungu.sasa inatakiwa wakutane na Dr sule.

    • @MkayulaDavid
      @MkayulaDavid วันที่ผ่านมา +1

      Dr sule hagusi huu moto wachokonozi wamesoma na kusoma tena sule ana elimu ahera pekeyake

    • @suratibrahim6417
      @suratibrahim6417 วันที่ผ่านมา

      Wachokonozi ni level nyingine sule ni nyau tu kwa moto huu

  • @franktiba1506
    @franktiba1506 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa kweli ni Tajiri sana

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 3 หลายเดือนก่อน +4

    MB zangu nimezifaidi

  • @WATUWAMJUEMUNGU
    @WATUWAMJUEMUNGU หลายเดือนก่อน +2

    Ukisema Mungu hayupo kwa experience niliyonayo na Mungu, nagundua kua ni NEEMA tu na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Wewe umeamua kuchagua upande huo, ila jaribu kutafuta kuhusu Mungu aliye hai Kupitia Yesu Kristo.

    • @fahadfrank4188
      @fahadfrank4188 13 วันที่ผ่านมา

      hamna kitu kinaitwa yesu , labda niuelewa wako zaifiu

    • @jamesmusonda1914
      @jamesmusonda1914 2 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo maana wasomi wengi hawamjui Mungu

    • @WATUWAMJUEMUNGU
      @WATUWAMJUEMUNGU 2 วันที่ผ่านมา

      @@fahadfrank4188 😂 pole mwenye kuelewa dhaifu. Bado hujui kitu mm sio Mkristo wa stories au mwamini wa hadithi za kusisimua.
      Namfahamu MUNGU binafsi, ukitaka kujua jambo tafuta kujifunza na sio kuiga falsafa za watu bila kujifunza.

  • @HelmanSolomon
    @HelmanSolomon 18 วันที่ผ่านมา

    mimi poa mchokonozi, nawakubari 100,100

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 3 หลายเดือนก่อน

    Nomaaaa familia 🙌🔥🙌🔥

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 2 หลายเดือนก่อน +2

    Masaa machache ingeweza iwe masaa3

  • @emmanuelmlangwa2539
    @emmanuelmlangwa2539 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm miliwai kuyasoma kwa kupitia. Magazine,sehemu ya unayo ongea na nikajifunza na kuelewa aina fulani za mawasiliano ambayo ni namba'herfi,ishala na maana tangi lakini kwako nimeongezea lukuki asante sana kwangu naona upo sahihi kwa kiwango kikubwa,tumetengenezewa kuogopa kwa akili ili tusiweze kudadisi na hata wanao elewa wa chache au wa naogopa kutoa iyo elimu,big up brother.

  • @shanarahiah
    @shanarahiah 3 หลายเดือนก่อน

    ENLIGHTENED man❤

  • @trending5452
    @trending5452 3 หลายเดือนก่อน +2

    Akili kubwa sana

  • @AsukuluAugustin
    @AsukuluAugustin หลายเดือนก่อน

    Yaani napenda sana maongezi ya uuyu mchokonozi

  • @christianflorence9461
    @christianflorence9461 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me I can speak and it happen the same ,we are correspondent and I speak with assurance no doubt .inner power of the body and intelligence acts up on

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu ni zaidi ya profesa ❤❤

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kiyama kimekalibia. Mengi yatatokea.mwenye akili atajua.

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 23 วันที่ผ่านมา

    Hongera mchokonozi umewaweka watangazaji wote hapo studio wako under control yako wamebaki kuduwaa hasa huyu huyo dada

  • @JovinMaftah
    @JovinMaftah 3 หลายเดือนก่อน +43

    Wachokonozi ni zaidi ya maporofesa

  • @el-hajjel-shabbaz8078
    @el-hajjel-shabbaz8078 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ebana eeh huyu jamaa ni hatari

  • @MrishoBuruhan
    @MrishoBuruhan 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nimekuelewa Sana wachokonozi eti uandaliwe moto wa mile izo ni kamba uongo kamili tulipigwa

    • @jmanp1261
      @jmanp1261 2 หลายเดือนก่อน

      @@MrishoBuruhan Basi nikuulize swali, mwanadamu alitoka wapi? Ilikuwaje mwanadamu akawepo?

    • @sadickndende1840
      @sadickndende1840 2 หลายเดือนก่อน

      Nzi ametoka wap?😂​@@jmanp1261

    • @jmanp1261
      @jmanp1261 หลายเดือนก่อน

      Mwanadamu aliumbwa na Mungu.

    • @jmanp1261
      @jmanp1261 หลายเดือนก่อน

      Mungu ndiye chanzo cha vitu vyote, pasipo Yeye hakuna chochote kilichopo.

  • @JogookichaaJr
    @JogookichaaJr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wachokonozi ni watu ambao wanakupa vitu ambavyo inatakiwa uumize akili kiufupi inahitaji maarifa na uelewa ili uwaelewe wana fact sana yani🎉✊

  • @IsabellaYoweri
    @IsabellaYoweri 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hiyo ya kusema ivyo kuna msukuma alikuwa pia anaweza kukutamka kitu na kikawa

  • @MarjangdaGidagwaruda
    @MarjangdaGidagwaruda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji Bado yupo kwenye levo ndg sana uelewaa

    • @mgsmartzgram
      @mgsmartzgram 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @MeshackMakoye
    @MeshackMakoye 13 วันที่ผ่านมา

    Baadhi ya mambo uko sawa lakini la dini Bado.

  • @SamweliJomo-zv4pf
    @SamweliJomo-zv4pf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman vip kuhusu ndoto kwa uelewa wenu

  • @robimwita7617
    @robimwita7617 3 หลายเดือนก่อน

    Amazing 😮

  • @Erik-kj5no
    @Erik-kj5no 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo kafundishwa namna ya kutokumjua mungu theologia ni kuamini mungu hayupo

    • @victorpetermasebo822
      @victorpetermasebo822 3 หลายเดือนก่อน

      Kweri kabisa

    • @SalumShaban-nq9sk
      @SalumShaban-nq9sk 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe umeongea kitu mbona mambo simpo tu angekuwa amekuja kutoka nje ya ulimwengu huu ingekuwa sawa lakin kaziliwa amesoma acha atumie maarifa yake kma alivyojifunza.

  • @ramanycore
    @ramanycore 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa ukimsikiliza unaweza unaweza kubaki Mdomo wazi😮😅

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi หลายเดือนก่อน

    Wachokonozi muko sawa

  • @SteveniNyoni
    @SteveniNyoni 7 วันที่ผ่านมา

    Ukovizuri kaka

  • @kinubikinubi7955
    @kinubikinubi7955 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huu ndo ukweri ambao waafrika tulifichwa big up brother 🤝

    • @jmanp1261
      @jmanp1261 2 หลายเดือนก่อน

      @@kinubikinubi7955 umetumia kigezo gani kuhitimisha kuwa huo ndo ukweli?

    • @ismailmajani9162
      @ismailmajani9162 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @sajo_lkm2781
    @sajo_lkm2781 20 วันที่ผ่านมา

    Fikra tunduwizi ✊🏾

  • @ZuhuraAwadhi
    @ZuhuraAwadhi 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mpumbavu anaetafuta umaarufu tv za siku hizi wanahoji mpaka wehu

  • @jmanp1261
    @jmanp1261 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo anamkufuru Mungu waziwazi. Maana Mungu ndiye aliyesema tutakufa kama hatutamsikiliza Yeye na neno lake.

    • @edesiuskuyasiwa6352
      @edesiuskuyasiwa6352 2 หลายเดือนก่อน

      Yeye kasema Mungu hayupo

    • @qimlaw6723
      @qimlaw6723 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu ushawahi kumuona au umekalilishwa?

    • @danielkullwa1613
      @danielkullwa1613 2 หลายเดือนก่อน

      Ha ha ha...ngoja siku ifike..😂..Huyo anayesema Mungu hayupo ndo atajua

  • @mazoyajr.5970
    @mazoyajr.5970 2 หลายเดือนก่อน +4

    Daaaaaah.........jamaa ni zaidi ya Profesor....!!

  • @SamweliJomo-zv4pf
    @SamweliJomo-zv4pf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Awajamaa ni unstoppable

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nashukuru nimeitafuta hii ndefu nilikuwa napata short 2 saiv hii ndefu xana

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 3 หลายเดือนก่อน +1

      kama mm🎉🎉🎉

  • @iemsunnah5517
    @iemsunnah5517 3 หลายเดือนก่อน

    Nomaa saana aisee

  • @stevenmwamba-tm6ox
    @stevenmwamba-tm6ox หลายเดือนก่อน

    Akili,nyingi

  • @christianflorence9461
    @christianflorence9461 2 หลายเดือนก่อน

    Maarifa yana nguvu sana that's why they will never understand what you mean bro keep it up

  • @FanuelSosthenes-y1w
    @FanuelSosthenes-y1w 3 หลายเดือนก่อน +2

    je anachoongea ni kweli au ni sahihi

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli na ni sahihi pia

  • @Kassmiddayoh00068
    @Kassmiddayoh00068 3 หลายเดือนก่อน +6

    Naelewa kwa nini babu yangu alisema akifa watu wasilie lakini hakunaga aliemuuliza kwa nini,sasa naelewa.

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana mtu akifa anakuwepo dunia anaishi na ndo maana ukiona mambo hayaendi waenda kwa kabuli lake waenda fagilia na ukitoka hapo mambo yanaenda sawa

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq หลายเดือนก่อน

    Hawa vijana ni intelligent, watawala wanawalia mahesabu wawazimishe.

  • @KelvinSarapi-bk1gr
    @KelvinSarapi-bk1gr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Akili kubwa

  • @MirajiKhamis-f7b
    @MirajiKhamis-f7b 2 หลายเดือนก่อน

    Bangii mbaya😂😂😂

  • @MirajiHemedi
    @MirajiHemedi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amesetiwa hivyo na nani, au amesetiwa na Mungu?

  • @Lolekulaizer-b9t
    @Lolekulaizer-b9t 3 หลายเดือนก่อน +1

    I wish to meet this guy

  • @edwardnkungu4226
    @edwardnkungu4226 หลายเดือนก่อน

    Kweli machizi wapo studio . Mtu asiyemtambua Mungu ni chizi pekee

    • @KastorKremens
      @KastorKremens หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @KastorKremens
      @KastorKremens หลายเดือนก่อน

      Hata wakisoma mpaka levo ya ishilini wataishia kudanganya wajinga Kwa mafundisho yao

  • @MAYAGILOMASALU
    @MAYAGILOMASALU 3 หลายเดือนก่อน

    This man is salt of the world 🌎

  • @StanleyMihambo
    @StanleyMihambo 19 วันที่ผ่านมา

    Ni kama namuelewa jamaa namwomba kama atakubali aanzishe kipindi atuwezeshe tujielewe sisi ni nini!Amina.

  • @nishatiog5379
    @nishatiog5379 7 วันที่ผ่านมา

    Haya ni maarifa kutoka magaribi...nilishawai yasikiliza yanaongelea kuhusu frequency...inakuja na mmb ya meditation...awe mkweli na akubari kuwa amejifunza huko

  • @HamadShaibungonyani
    @HamadShaibungonyani 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo jamaa kataja pepo, kaijuaje wakati anasema Mungu hayupo, kailijuaje neno pepo

    • @bellasi349
      @bellasi349 8 วันที่ผ่านมา

      Kwani we hayo maneno uloandika umeyajuaje simple tout😅

  • @frankimjulius4260
    @frankimjulius4260 3 หลายเดือนก่อน +19

    Bora uamini mungu yupo cku ukifa usipomkuta basi ila kuamini ayupo then ufe umkute utaita maji mmaa😂

    • @usanifumaandishi7519
      @usanifumaandishi7519 2 หลายเดือนก่อน

      Fikra za kijinga hizi

    • @FrankHarrison-z4l
      @FrankHarrison-z4l หลายเดือนก่อน

      Hakuna mungu brother

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 26 วันที่ผ่านมา

      Kabisa ndugu yangu

    • @bellasi349
      @bellasi349 8 วันที่ผ่านมา

      Umkute wapi sasa n'a wewe😂

  • @SisoPotashiumz-c7n
    @SisoPotashiumz-c7n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa NECHA

  • @MeshackZachary
    @MeshackZachary หลายเดือนก่อน +1

    Umeleta Machizi studio jaman angalia hta Ninyi hamuelewi wanachosema

  • @JumaHija-d9g
    @JumaHija-d9g หลายเดือนก่อน

    Mungu kweli hana hasira, duuu hatar hii

    • @KastorKremens
      @KastorKremens หลายเดือนก่อน

      Kabisa maana mungu uwezo wake ni mkubwa sana ndio maana amenyamaza kama angeamua hawa ni sisimizi tu mbele zake

  • @nelsonamani9489
    @nelsonamani9489 13 วันที่ผ่านมา

    Mambo mengi anaongelea nadharia

  • @pastorieofficial1629
    @pastorieofficial1629 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji umevuruga kabsa 😂😂😂😂😂

  • @mohammedomar2297
    @mohammedomar2297 2 หลายเดือนก่อน +1

    malanyigi wanaadam atuja zoea kuski hivi vitu lkn jamaa anaonge vizuli sana😅😅

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 หลายเดือนก่อน

      NDIO SOMO LA THEOLOGY NI ZAIDI YA UONGO WA FINI
      KWA SS AFRICA SOMO HILI SIO SANA NI KITU KIPYA.

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 วันที่ผ่านมา

    Wanaua watu vip na wakati we umesema hakuna kufa

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawatakia maisha malefu maana unajuwa kufikili hongele

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika TV nisilaha yakivita 🎉🎉

  • @Eliyaphilipo
    @Eliyaphilipo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna ukweli wowpte kwa wachokonozi wanapotosha jamii

    • @KastorKremens
      @KastorKremens หลายเดือนก่อน

      Tena wengi wanao wasikiliza hawa wasipokuwa na neema ya mungu na kuzichunguza nyakati wataangamia

  • @Ngarambeboy
    @Ngarambeboy 29 วันที่ผ่านมา

    ELIMU NZURI SANA HIYO

  • @SamwelNyabulu
    @SamwelNyabulu หลายเดือนก่อน

    Angetufafanulia utofauti kati ya maji ,moto ,udongo na ewaa kwa maisha ya binadamu

  • @WisdomJesuse
    @WisdomJesuse 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hapo wachokonozi,kwenye Mungu umekiri nimesikia umeshirikisha Mungu

    • @saifyassinomar3018
      @saifyassinomar3018 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa makini kumsikiliza, utaelewa kuna baadhi ya wakati anarejea yaliyosemwa katika vitabu vya dini

  • @christianflorence9461
    @christianflorence9461 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilichokiona hapa shule IPO tena kubwa sana na exposure IPO ya kutosha ,big up

  • @SimonShoo-m4b
    @SimonShoo-m4b 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ukifatilia historia za hawa wanaojiita matajiri namba 10 wa dunia hakuna ata mmoja amemaliza chuo hapa lazima tujifunze kitu

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 3 หลายเดือนก่อน +4

    Neno Mungu ni uwepo upo. Angesema kua mwili unakufa lakini Roho haifi. Na sisi tunaishi kwenye duniani kwakua tunakanyaga. Na sio kila jambo limetokana na mzungu

    • @Kassmiddayoh00068
      @Kassmiddayoh00068 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe uko na upeo wa chini sasa baki na uelewa wako wa chini.

    • @successnetwork411
      @successnetwork411 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@Kassmiddayoh00068

  • @mtowarohokajificha3333
    @mtowarohokajificha3333 6 วันที่ผ่านมา

    Uyo jamaa nakataa mungu kumbe ukimsikiliza vizuri kumbe anadhibitusha kuwa kuna mungu ndiomana anasema kuna watu walitoka na wanyama wao kwenda kuomba mvuwa walimumba nani kama sio mungu na alitaja pepo na pepo yanani ya mungu kwa mm namuona kama rasta fareye uyo anavyo ongeya kwa kuhama kuhama kama mvuta bange