Dully ndio muhasisi wa bongo flavour ambapo kipindi hicho walijaribu kumkatisha tamaa kwa kumuambia anaimba mwana sesele lakini mchizi hakukata tamaa mpaka ukachukua nafasi.
Mimi namuunga mkono dully ss tulitoa nyimbo inaitwa ukiwa na pessa mwaka 99 hakukuwa na uimbaji kama wa dully hata mwanagu nature alikuja nabdae trakyake jinnsi kijana akaimba naitwa ally fleva wa tmk wanaume
Dully I like your songs, feel appreciated from Nairobi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bigup kwa presenter ambaye Dully kampausha lakini hakutoka kwenye mood, that's professional
Duly brother from another mother I do appreciate so much you. Always smart alfa and omega
Watanzania tunajua ukweli mzeee Dully ndiye mwanzilishi wa bongo flavor Tanzania 🇹🇿
dully kama dully big up bro
love seeing chizn brain getting the respect he deserves....
Dah bro una mwili mzuri yaan unaonekana kijana Bado
Dully ndio muhasisi wa bongo flavour ambapo kipindi hicho walijaribu kumkatisha tamaa kwa kumuambia anaimba mwana sesele lakini mchizi hakukata tamaa mpaka ukachukua nafasi.
Big up dully Sykes acha wenye wivu wakatae ila ukweli utabaki pale pale pokea maua yako (#bongo flavor founder)
i never seen him cook like this
Eti we ni mbea😂😂
Hawataki kutoa maua hao..dully sykes ni muasisi wa bongo flavour
Kuna Bongo flavour na Bongo hip hop, bongo flavour muhasisi ni Dully skyes tumeshapigia mstari. Bongo Hip hop tunamjua Sungu ndio muhasisi

kwel