KUNA MCHAGA MBISHI KAJENGA KWENYE ZIWA MANYARA PEKE YAKE 😳

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2020
  • JAMANI MSIPITILIZAGE TUU HAPA PALIJENGWA KWA AJILI YETU KAMA AMBAVYO MASANJA ALIPITA AKASIMAMA.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 50

  • @juliethkiwelu8182
    @juliethkiwelu8182 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa utalii wa ndani Dr. EM😊
    cheers

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤔nakupenda bureee God blessings you 👏👏I was happy to meet you here America

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 4 ปีที่แล้ว

    Frola yupo juu sana na mungu atamsimamia kwa kila hatua anayopitia asitishwe isivunjike moyo hiyo kazi anayofanya inavikwazo kuliko mafanikio!lakini mungu atampa wepesi

  • @lisasalum2462
    @lisasalum2462 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama umeona bodaboda kapita speed 120 kwenye kona gonga like ........

  • @mwalongojames1507
    @mwalongojames1507 4 ปีที่แล้ว +1

    Kupitia Wewe vipo vingi najua na naendelea kujua barikiwa sana

  • @wilbrodwemaonlinetv8379
    @wilbrodwemaonlinetv8379 4 ปีที่แล้ว

    Big up Masanja karibu tena Hme place Manyara

  • @geraldlaurent7465
    @geraldlaurent7465 4 ปีที่แล้ว

    Well done Dr masanja

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 4 ปีที่แล้ว +1

    Hilo eneo zuri sana nilifika hapo

  • @mwalongojames1507
    @mwalongojames1507 4 ปีที่แล้ว +1

    Kunawakati linakua bega😅😅😅😅😅

  • @lisasalum2462
    @lisasalum2462 4 ปีที่แล้ว +3

    Masanja huyo MURO mchoma samaki sio Jeri??

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 4 ปีที่แล้ว +1

    Ha haaa ati linaondoa magonjwa ha haaaaa

  • @Tiner_cakes
    @Tiner_cakes 4 ปีที่แล้ว

    Frola jamniiiii nimefurahi kukuona!

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 4 ปีที่แล้ว +1

    Ha ha haaaa majina ya watalii fx tu mwana wala hamfahamiani aisee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jumandutu2275
      @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว

      Hawajui uyoo 😂😂😂😂😂😂

  • @jumaigembemakula3698
    @jumaigembemakula3698 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother nachokukubalia wewe unaishi katika uhalisia (original life) kama pesa imeshindwa kukubadirisha hakuna kingine

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 ปีที่แล้ว

    Kwa matamchi ya majina ya ndugu zako watalii😂😂😂 kuywa thoda majina yatiririke..love u my pastor💪

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 4 ปีที่แล้ว

    Kweli huyo mchaga mtata

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 4 ปีที่แล้ว

    Masanja mmechukua tahadhari ya kushikana mikono wakati huu. Tunaogopa sana hili gonjwa la corona

  • @paschalkiniofficial123
    @paschalkiniofficial123 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama umesikia tisheti kama gazeti like kwa wingi

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Ukiangalia eti unapona uti, 🤔

  • @godblessmndewa4578
    @godblessmndewa4578 4 ปีที่แล้ว +4

    mteremko ni centigrade ngapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ramsikhamis7083
      @ramsikhamis7083 4 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀Nimechekaa mbaayaaa

  • @saidibobari3556
    @saidibobari3556 4 ปีที่แล้ว

    Floraaa

  • @jumandutu2275
    @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว

    Ziwa linapungua na kua bega 😂

  • @godfreykawibesele8545
    @godfreykawibesele8545 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha! Masanja slope ya nn???

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641
    @mwl.michaelsainethmlowe2641 4 ปีที่แล้ว

    Wewewee

  • @eddowkivuko6601
    @eddowkivuko6601 4 ปีที่แล้ว

    Yaaan nimecheka mzee wakidirisha taja tena hilo jina la mzungu wakwanza

  • @penielmbise5388
    @penielmbise5388 4 ปีที่แล้ว

    Masanja we mjnga kwel

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 4 ปีที่แล้ว

    Muro mbishiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 ปีที่แล้ว

    Umenikumbusha Mbali tulikuwa tunakamatwa kuwinda huko

  • @solomonmpuluma282
    @solomonmpuluma282 4 ปีที่แล้ว +1

    Masanja wewe ni bonge ya fix aisee!!

  • @hardsonchikole9996
    @hardsonchikole9996 4 ปีที่แล้ว

    Kama umesikia sentimita kadhaa za mraba gonga like

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 4 ปีที่แล้ว

    We kwl shida😆😆😆

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 4 ปีที่แล้ว

    Cm 37 za mraba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana kwa utalii wandani

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 4 ปีที่แล้ว

    Jamani angalieni korona kwa kushikana mikono. Mutambukizana corona

  • @joelmgaya4238
    @joelmgaya4238 4 ปีที่แล้ว +1

    Napajua.

    • @noelmakere9108
      @noelmakere9108 4 ปีที่แล้ว

      Hongera kuangalia ziwa manyara.

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 4 ปีที่แล้ว

    Centigrade 😂😂

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว

    Suuti iko dwn

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 4 ปีที่แล้ว

    Kuwa makini corona virus Emmanuel

  • @playboy6603
    @playboy6603 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 4 ปีที่แล้ว

    Slope ya centigrade?!! Masanja slope Ya centigrade?!!! 🙆🙆🙆🙆🙌🙌🙌🙌

  • @kwilasangwala201
    @kwilasangwala201 4 ปีที่แล้ว

    Centgrade mmmmmmh

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 4 ปีที่แล้ว

    Mwanangu hiyo namba ya sentigredi mbona kama haisomeki kwenye netiwoki??? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 4 ปีที่แล้ว

    Washroom nichooni

  • @joelmgaya4238
    @joelmgaya4238 4 ปีที่แล้ว

    mimi nipo Arusha natokea Makambako.

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 4 ปีที่แล้ว

    Corona vipi