MASANJA JINSI YAKUWA MASIKINI/KUNYWA MBAKA UJINYEE/HONGA/FANYA CRABU!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2019
  • MASANJA JINSI YAKUWA MASIKINI/KUNYWA MBAKA UJINYEE/HONGA/FANYA CRABU!!
  • เพลง

ความคิดเห็น • 135

  • @officialrich_b279
    @officialrich_b279 4 ปีที่แล้ว +65

    Kama umemuelewa masanja tujuane kwa like......!

  • @pesamaofficial9242
    @pesamaofficial9242 4 ปีที่แล้ว +21

    Dah Asiemuelewa Ana akili kabisaa tena Mi Kabla tu ajamaliza Mi nishamuelewa, anamaanisha nini Mungu akubaliki Kaka Masanja Tena sana,Akubaliki kwa hili Somo,kama na ww umemuelewa nipe Like,yako

  • @happykahuluda2078
    @happykahuluda2078 4 ปีที่แล้ว +9

    Hahahah watakaoshindwa kwenda kinyume cha dondoo hizi , wamekwisha😂😂😂😂😂

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 4 ปีที่แล้ว +1

    Kipaji cha hali ya juu. Hongera sana Emanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji...

  • @samwaryoba9953
    @samwaryoba9953 4 ปีที่แล้ว +1

    My best comedian all the time

  • @husinmatoto2290
    @husinmatoto2290 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana Mtumish

  • @lucasnyahi3281
    @lucasnyahi3281 3 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu,Akubariki sitafata kanuni hii nataka kuzidi kuwa tajiri.naamini utajiri wa kwanza kwangu ni kumpokea Bwana Yesu.Ubarikiwe machanja.

  • @jamesyonas6306
    @jamesyonas6306 4 ปีที่แล้ว +1

    Vice versa is true

  • @yasinikateula6605
    @yasinikateula6605 4 ปีที่แล้ว

    You have inspired me

  • @ousmanjuma3396
    @ousmanjuma3396 4 ปีที่แล้ว +3

    Hizi zina inspire sana ungekifanya kama kipindi

  • @pastorvincent9851
    @pastorvincent9851 4 ปีที่แล้ว +3

    Wewe ni mbunifu kupita kawaida. Ubarikiwe sana. Nakupenda nadhani napitiliza.

  • @anthonyjoseph4979
    @anthonyjoseph4979 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa Sana Bro Keep It

  • @umawatv6426
    @umawatv6426 4 ปีที่แล้ว +4

    #Masanja Mkandamizaji# Hebu andika Kitabu kiitwacho: "JINSI YA KUWA MASKINI" ili kuhamasisha Maendeleo ya Mtu binafsi.

  • @benedictkiteji5089
    @benedictkiteji5089 4 ปีที่แล้ว

    Umetisha sana

  • @abdoulsalamally6652
    @abdoulsalamally6652 4 ปีที่แล้ว

    Bright people got a lesson from this video, keep up the good work

  • @alfamtewa4245
    @alfamtewa4245 4 ปีที่แล้ว

    Umetishaaaaaaa

  • @lindajohn2156
    @lindajohn2156 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 4 ปีที่แล้ว

    Ushauri mzuri sana

  • @morisindabila1846
    @morisindabila1846 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mtumishi wa Nakuelewa Sana

  • @anifaally1179
    @anifaally1179 4 ปีที่แล้ว

    Mm. Nimekwelewa masanja somo zuri sana

  • @mauwakiza2120
    @mauwakiza2120 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @diiksondiki6084
    @diiksondiki6084 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀 mungu anakuona masanja ila mm nimekuelewa sana 🙏💪

  • @farajagordon4847
    @farajagordon4847 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa brother

  • @ivockmdenye4067
    @ivockmdenye4067 4 ปีที่แล้ว

    Nakubaliiiiiiiii somoo kaliiii

  • @PRAYAGAIN
    @PRAYAGAIN 4 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @alexkyando7155
    @alexkyando7155 4 ปีที่แล้ว +2

    Vice Verser is absolutely true

  • @alfredngongi7509
    @alfredngongi7509 4 ปีที่แล้ว

    nimekuelwa Masanja unacho maanisha, 😁😁ubarikiwe

  • @alexnowa9258
    @alexnowa9258 4 ปีที่แล้ว

    Sawa bro

  • @msafirimbeya3329
    @msafirimbeya3329 4 ปีที่แล้ว

    kaka hongera sana kwa kuelimisha jamii nimekuelewa sanaaaaaaa

  • @isayandege145
    @isayandege145 4 ปีที่แล้ว +1

    Hilo somo limeshiba sana,

  • @emanuelmuna2296
    @emanuelmuna2296 4 ปีที่แล้ว

    hahaa masnja bhana!! hili somo matata sana!!!

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 4 ปีที่แล้ว +5

    Hapa ndo pana ule usemi usemao "asiyejua maana haambiwi maana"

  • @issadini7824
    @issadini7824 3 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa umasikin kwa gharama.

  • @kingyehoshafatitvbornerys2496
    @kingyehoshafatitvbornerys2496 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekusoma ....Mimi huwa nafanya Hivyo lakin nashangaa Kila nikizitumia hizo pesa kesho yake napata nyingine...

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaaaaaaaa daaah nimechekaa saana

  • @paschalzacharia6708
    @paschalzacharia6708 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana masanja

  • @emmanuelherman7186
    @emmanuelherman7186 4 ปีที่แล้ว +8

    We jamaa una akili nyingi xn! Unazipata wap

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimepkupata pastor.....

  • @user-hf7be2wi6c
    @user-hf7be2wi6c 4 ปีที่แล้ว +4

    Aiseee 😂😂😂😂👌💪 yaani mimi umenifuza kitu apo mwakani nishajenga mjengo frani amazing sana 🏘👌💪😂😂😂😂👌 ila haka ni kaujinga ka kujenga

  • @immasmartboytz2300
    @immasmartboytz2300 4 ปีที่แล้ว

    😀😀👏👏😂😂nimekusoma

  • @majaliwagibson7295
    @majaliwagibson7295 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuuuhh Nimekupata

  • @winfridmsindo984
    @winfridmsindo984 4 ปีที่แล้ว +1

    Ulimdesi sana masanja

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 4 ปีที่แล้ว

    Somo zuri

  • @enockchaulema7726
    @enockchaulema7726 3 ปีที่แล้ว

    daah nimecheka sana

  • @saidmabrouknassor4229
    @saidmabrouknassor4229 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣 nimekuelewa sana kakaaaaa

  • @immanuelikuwa9897
    @immanuelikuwa9897 4 ปีที่แล้ว

    mafundisho ya mchungaji mgaya aka Masanja nomaaa!

  • @hildapatrick5945
    @hildapatrick5945 4 ปีที่แล้ว +3

    Yan we masanja umewaza nn mpaka ukaamua kufundisha hlo somo,

  • @briannyiti8234
    @briannyiti8234 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂 utafikiri mazuri

  • @maticsleokas1785
    @maticsleokas1785 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahhahahaha hii style yako ya komedi....

    • @imanikabuje3380
      @imanikabuje3380 4 ปีที่แล้ว +2

      Bro daaa! Nimekuelewa somo la nidhamu ya pesa barikiwa na mungu by pot Emmanuel kabuje

  • @griphamakore6325
    @griphamakore6325 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah masanja umenifurahisha

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye akili kaelewa pakubwa sana apo so bible akili
    Hapa ndo Kichwa kisichokuwa na akili ni Mzigo kwa Miguu..

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu6780 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka umenikumbusha mbaali saana.Mwaka 2007Nilikutana na mzee Mooja alikua anaombaomba msaada.Alipita baa nilipokua Napata mchemsho.Mzee alipokua anaingia watu wakawa wanamnyooshea vidole wakisema huyu mzee alikuaga Tajiri saana.Nikajiongeza nikamfuata nikampa 2000/=Nikamuuliza Mzee imekuaje ulikua tajiri na sasa ni ombaomba.Daaa Alianza kwa kwa kuniambia Mwanangu ukitaka kua lofa masikini kama Mimi Nitafute maana ni stori ndeefu.tukakutana kesho yake hapo hapo .Bar Mambo alionieleza daaa ni kama hayo ulionena masanja.Japo Yeye alizidisha zaidi. Coz Hata mke alifukuza na watoto aliwakataaa.Kukesha kwenye baaa na Kuwatuza wasanii ilikua ndo zake.Kuwanunulia viwanja madem ndo ilikua mtego wa kupatia mademu.Hakika dk za mwisho alianza na kulia coz hafahamu hata huyo mkewe alienda waaapi?

  • @Petermalenya12
    @Petermalenya12 4 ปีที่แล้ว

    Hiii sauti ya chwiiiiiiiiiiiiiiiiiii,! Hahahahah

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 ปีที่แล้ว +1

    Niaje msee..wacha niende na kinyume ya hii mwanawane

  • @simbasanajose6110
    @simbasanajose6110 4 ปีที่แล้ว

    hahahahahaha uko sawa

  • @agustinommasi1119
    @agustinommasi1119 4 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃😃😃😃😃weeeeeeeeeee

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 4 ปีที่แล้ว

    Dah!!! hahahaha

  • @mc_elishadai
    @mc_elishadai 4 ปีที่แล้ว +4

    Chief executive officer of Poor 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 4 ปีที่แล้ว

    Nangojea part ya wadada hahaha

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila lock imeachia kama umesikia hvyo like hapa

  • @sele2507
    @sele2507 4 ปีที่แล้ว +1

    Toa details

  • @hamisikareem648
    @hamisikareem648 4 ปีที่แล้ว

    Hatar sana

  • @josephmichael7071
    @josephmichael7071 4 ปีที่แล้ว

    Nimekueleea San mkuu kwa somo lko

  • @anthonyjoseph4979
    @anthonyjoseph4979 4 ปีที่แล้ว +2

    UTAKUA MASIKINI SUGU!!!!!!Hahahahahahahahaha.

  • @mankonlentv7776
    @mankonlentv7776 4 ปีที่แล้ว +2

    mgaya nimejifuz kitu 😂😂😂 usipotumia akili utakua maskin wakutupwa kazkaz ndo msing gomg laik kam umemuelew mgaya

  • @abediguitar2214
    @abediguitar2214 4 ปีที่แล้ว

    Good exaggeration bro

  • @cmotheboss2587
    @cmotheboss2587 4 ปีที่แล้ว

    Ww umefanya hvyo?

  • @denicmsigwa5199
    @denicmsigwa5199 4 ปีที่แล้ว

    We kweli matehenya duh

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 7 หลายเดือนก่อน

    Serikali yetu inatufanya masikini kama ulifanya na serikali miaka zaidi ya 30. Retured unapewa 20,000/= kwa mwezi Kikwete akatuonea huruma akatuongeza mpaka 100,000/= awamu ya 5 hawakuwa na shida na sisi wazee. Awamu ya 6 ndiyo basi tena hana hata kutuona. Ni hiyo hiyo lakini wakati wao kwenye sitting allows ni zaidi ya laki tatu. Kwa hayo unayosema ni comedi tu mbona huwambii serikali wanavyo waliowafikisha hapo walipo. Ndiyo Makonda anasema kanyamazeni kwa sababu tumemaliza wakati mbona Inchi nyingine wazee retired ndiyo matajiri wanakula pensions zao kilaini sana

  • @isejemedia6760
    @isejemedia6760 4 ปีที่แล้ว

    We mkali nakuku bali kaka

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 ปีที่แล้ว +2

    Semo hili lifanye kinyume ndio utafanikiwa sana

  • @kennedyjohn6788
    @kennedyjohn6788 4 ปีที่แล้ว

    Napia ungemwambia asisahau kulaiki mwanawane

  • @yusuphmlekwa4645
    @yusuphmlekwa4645 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ntapataje hiyo pesaa ili ntumbue hivyo?

  • @qemuelnade448
    @qemuelnade448 4 ปีที่แล้ว +2

    ukitafsir kinyume nakufuata utakuw tajiri.

  • @issarajabu1386
    @issarajabu1386 4 ปีที่แล้ว

    %100

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

    Part 2 ipo wapi

  • @davidulenje1264
    @davidulenje1264 4 ปีที่แล้ว +5

    AISEE MM BADO CJAELEWA UMEFUNDISHA KIWANGO CHA UMASKINI WA DIGRII NAOMBA URUDIE NIFANYEJE KUPATA PHD YA UFUKARA

  • @noelmunuo4660
    @noelmunuo4660 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha how can dada become a poor,

  • @timotheopoiti378
    @timotheopoiti378 4 ปีที่แล้ว

    ASante kwasomo zuli

  • @rogersmasofa6549
    @rogersmasofa6549 4 ปีที่แล้ว

    unazingua mchungaji

  • @alfredjoakim1107
    @alfredjoakim1107 3 ปีที่แล้ว

    Yani nimekuelewa sana masanja nn unaamanisha yani niatali

  • @mussahassan8751
    @mussahassan8751 4 ปีที่แล้ว

    hahaha mtumish me nataka unifundishe jinsi ya kuwa tajir

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 4 ปีที่แล้ว

    HOW TO BE

    • @leonardmdegela4258
      @leonardmdegela4258 4 ปีที่แล้ว

      Ten nyingi mii naacha buku msapulo wa nyadundwee jelo helaa yikwila

  • @giftmkumbwa1331
    @giftmkumbwa1331 4 ปีที่แล้ว +2

    hahahah ndio sifa ya msanii, ubunifu%

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha

  • @philomenasjohn9083
    @philomenasjohn9083 4 ปีที่แล้ว

    Mb zangu hazijaenda bure

  • @ramadhanibrahim7619
    @ramadhanibrahim7619 4 ปีที่แล้ว

    Kwa wenye akili watakuelewa umeongea point sn

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 4 ปีที่แล้ว

    🤣😂😅😁🤣😂😀

  • @samsonezekiel970
    @samsonezekiel970 4 ปีที่แล้ว

    Watu wanatoboa pua badala ya kutoboa kimaisha

  • @guccij3549
    @guccij3549 4 ปีที่แล้ว

    😂

  • @dogosafi178
    @dogosafi178 4 ปีที่แล้ว +2

    How to be a pua person 💀😂😂

  • @jullyl628
    @jullyl628 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂🤣

  • @samgeorge823
    @samgeorge823 4 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha ha

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @muhambwetvonline
    @muhambwetvonline 4 ปีที่แล้ว

    Wasio kunywa pombe na bado hatuna hela tujuane hapa

  • @tazamaelimbise8467
    @tazamaelimbise8467 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahahahaahah

  • @nananana4885
    @nananana4885 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @gilbertboniphace2539
    @gilbertboniphace2539 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

    Amka saa 5 anza kuangalia movies, kisha anza kibashinia siasa, nunua mi bundles, Kata utumbo . Wee. Si nunui tena mi bundles za ma mb.