MOTO MWINGINE WAWAKA MAGOMENI, WATEKETEZA MALI, MASHUHUDA NA ZIMAMOTO WAZUNGUMZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2022
  • Moto umewaka January 23, 2022 maeneo ya Magomeni Mapipa katika nyumba iliyokuwa ikifanyiwa biashara ya kuuzia Vyakula na Zimamoto wakafanikiwa kufika eneo la tukio na kuuzima moto huo.

ความคิดเห็น • 66

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu tumekukosea baba tusamehe Sana tulipokosea 😭😭😭moto umetoka sokon na umeanza majumbani😭😭😭

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 2 ปีที่แล้ว +8

    Moto moto jamani maombi yanahitajika mauwaji ya kikatili watu tunauwana wenyewe kwa wenyewe tanzania yetu imebadilika sana kuuwana nje nje lingine moto moto waislamu wakristo maombi yanahitajika tuiyombee nchi yetu poleni na janga la moto 😭

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamii YETU hakika imeguswa sana. MATUKIO ni mbaya kupita maelezo mungu tumrudie tu kwa uaminigi..

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +5

    Ayo tv mnajitahdi Sana ila muwe makini na msibweteke na kusifiwa kwenu Kuna hawa sauti na habari SNS wanakuja Kwa kasi sana.wanafatilia habari za ndani na nje ya nchi na kuzileta kwenye mtandao.msijisahau wenzenu hawalali usingizi Kwa ajili ya kutaka kuwa juu yenu.kuwekeni makini na msome alama za nyakati

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah yani mungu wangu tunusulu waja wako tunyooshe kwenye njia ilio nyooka ahsante

  • @sagumosospeter9963
    @sagumosospeter9963 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atunusuru kwa majanga haya ,unaenda hatua tano mbele alafu unarud kumi nyuma

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +3

    Linanipa wasiwasi sana hili neno lilohifadhiwa kwa kila tukio utasikia uchunguzi unaendelea mwisho wa siku hatupati jibu nini chanzo ndo kwanza tunaletewa mabalaa mengine mmhu Astaghfirullah laadhwim 😒 inshaallah ipo siku ukweli utadhihiri na sio mbali siku chache tuu allah atajibu maombi,kwa wote wanauhusika na mauaji pamoja na haya matukio ya moto yakutia khasara wananchi pamoja na serikali

  • @evordmussa1155
    @evordmussa1155 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu bariki Tanzania na uongozi wake

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 ปีที่แล้ว

    Mwaka wa moto moto Tanzania ya moto baba

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @ukhutykhadija9714
    @ukhutykhadija9714 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman jaman polen sana mtaan kwetu 😭😭😭😭Mungu wangu

  • @abdallahamir9234
    @abdallahamir9234 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa wa mwanzo anapenda sana kula,
    Yaani mishkaki ndo kaona kitu cha kuokoa.
    #POLENI WOTE MLIOPATWA NA HUO MTIHANI.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

    Ayo tv mnajitahdi Sana kutuletea updates mbali mbali.Hongereni sana

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 ปีที่แล้ว

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu poleni sana

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 2 ปีที่แล้ว

    Duh shibam hapa yaani nemeshapiga msosi sana poleni sana wandugu

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 ปีที่แล้ว +1

    Maeneo yabiashara moto kila mahali mauaji kila siku

  • @msalikemedia
    @msalikemedia 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Said mpemba 😭😭

  • @ngamanyajoshua839
    @ngamanyajoshua839 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mtu Inabidi aondoke Dar Ili Mambo yatulie Aisee.. Haiwezeka

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 ปีที่แล้ว

    Agenda ya Wahujumu uchumi
    Inaendelea serikali kuwa makini utafiti wa kina ni muhimu sana

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mambo ya moto navifo

  • @bakamuubakamuu1556
    @bakamuubakamuu1556 2 ปีที่แล้ว +1

    Amefanikiwa kuokoa mishikaki😂😅

  • @aishajuma18
    @aishajuma18 2 ปีที่แล้ว

    Motooo, Motooo Tanzania ya moto moto😭😭

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaa shibam oteli ni kwetu uko jamani ya miaka mingi polenisana

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

    MICHOSHO UNA CHOSHA WATU BWANA UTOPOLO ORIGINAL ) NISALIMIE MZEE ALI MNYAMA OG.)

  • @vickisansiaphares8925
    @vickisansiaphares8925 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh tz yangu polen wahanga wa tatizo😒

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

    People,stay tune cause our Almighty GOD LORD is Saying something through fire.😎

  • @saodashabani2652
    @saodashabani2652 2 ปีที่แล้ว

    Dah poleni jamani shibam mitaa yetu iyoo

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว

    Poleni toweni faida mutengeneze tena hapo ndo utajua faida ya kuweka hakiba

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nawashauri wenye majengo dar wote waweke kamera ndo zitanasa kila kitu.

  • @Womanofpurple
    @Womanofpurple หลายเดือนก่อน

    🥺🥺🥺

  • @msafirimatingo4447
    @msafirimatingo4447 2 ปีที่แล้ว

    Uchunguz bado unaendelea,

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว +6

    Uongozi ni nyota kutoka kwa mungu, NYERERE +JPM TUTAENDELEA KUWAKUMBUKA DAIMA. TANZANIA KWA SASA INATESEKA.

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeiona Tanzania tu? Nigeria yanapozaliwa makanisa mengi ya kiroho, Ethiopia, Afghanistan na kwingineko hali ikoje? Turudi kwenye maandiko matakatifu kuwa Siku za mwisho zimekaribia

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      KAMA UONGOZI NI NYOTA BASI KAWAFUFUWE HAO ULIOWATAJA TUNA WAKUMBUKA KWA MAISHA MAGUMU 2. KADANGANYE WAJINGA WENZAKO FALA WEWE NA NYOTA ZAKO.

  • @happydunstan9631
    @happydunstan9631 2 ปีที่แล้ว

    Jaman labda ni gesi chanzo. Ila mshumaa mchana hapana

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว +1

    Tulisha sema mkuu wa mkoa dar es salaam ajiuzulu hii ni nuksi. Mama samia mtoe.

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmm jaman kuna nini tz

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +2

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @pelegrinmwamba1594
    @pelegrinmwamba1594 2 ปีที่แล้ว

    Zimamoto wanapewa taarifa saa nane na dk 52 wao wanakuja saa tisa dk 2 afu anaulizwa swali kwanini wamechelewa kufika eneo la tukio anajibu taarifa zimechelewa kuwafikia hii ndo Tanzania

  • @mbarakaubuguyu7448
    @mbarakaubuguyu7448 2 ปีที่แล้ว

    Wawekezaji after

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว +2

    JPM mtamkumbuka daima

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      KWELI USEMAYO ALIBANA VYUMA MPAKA MABINTI WA SHULE UNAWATIA GREESE KWA CHIPS KUKU BUKU TATU UNATOMBA CHIPS KUKU UNATOMBA KWA NINI TUSIMKUMBUKE.

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 ปีที่แล้ว

    Turudi kwa Allah tunayo ya tenda yana mchukiza Munfu acheni zina kubandika makucha mirasta kujichubua na mengineyo uchu wa mali pia

  • @annestamwinuka
    @annestamwinuka 2 ปีที่แล้ว

    Semeni na leo ni mateja tena wamewasha mishumaa walijisahau ?

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 2 ปีที่แล้ว +4

    Ni maneno ya magufuli tutamkumbuka wakati alipokuwepo ayakuwepo mambo hayo lakin sasa yamezidi siku aiishi ujasikia kifo wala moto

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว

      Sasa hilo ni suala la mtu binafsi sio Serikali

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      UNA UHAKIKA NA UNAYOYASEMA??? UNAWEZA SEMA MBELE YA MOLA WAKO KAMA ENZI YA MAGUFULI YALIKUWA HAYAPO HAYO MTOTO WACHA FITINA ZAKO NIKUULIZE KWANI MAGUFULI ALIKUWA MALAIKA AU MTUME WA MUNGU??? WACHA KUSIFIA UJINGA

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo kipind cha magu kulkua hakuna vifo kumbe unaumwa kweli wee ndio iliongoza kwa ivo vifo usituzonge

  • @msafirimatingo4447
    @msafirimatingo4447 2 ปีที่แล้ว

    Et tumepigiwa simu saa nane lkn tumefik saa tisa,haraf et changamoto ni taarfa hazifk kwa wakat,MM NAONA CHANGAMOTO HAPO SIO TAARIFA ILA NI RUSHWA.

  • @hilalidismas9261
    @hilalidismas9261 2 ปีที่แล้ว +2

    Msije mkajisahaulisha Kuna kauli alizungumza maguu tutamkumbuka

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      KWANI MAGU KASEMA YEYE AKIFA ATAKUWA ANARUDI KUCHOMA MOTO???

    • @zainazaina9301
      @zainazaina9301 2 ปีที่แล้ว

      Baba tuta kukumbuka Daimaa

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 ปีที่แล้ว

      Utamkumbuka peke ako