MASANJA AFUNGUA KANISA JINGINE JIPYA KIBAHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2021
  • MASANJA AFUNGUA KANISA JINGINE JIPYA KIBAHA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
    Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
    Jumatano saa9 -12 jioni
    Ijumaa saa 9-12 jioni
    JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
    Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
    +255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI
  • เพลง

ความคิดเห็น • 55

  • @deborahdelly6254
    @deborahdelly6254 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Pst kwa kazi njema ya Mungu ubarikiwe sana

  • @elisharichard4558
    @elisharichard4558 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz njema sana mtu wa mungu

  • @noahmwaipaja7725
    @noahmwaipaja7725 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubalikiwe sana mtumish

  • @christophermgonzo711
    @christophermgonzo711 2 ปีที่แล้ว +2

    Endelea kumtumikia Mungu kwa Mali zako na Mungu atakukumbuka ktk ufalme wake. Jina la Bwana Yesu lihimidiwe Sana .

  • @elishadaiemmanuel7785
    @elishadaiemmanuel7785 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana sana BISHOP EMMANUEL MGAYA

  • @abelmkuvasa4044
    @abelmkuvasa4044 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh!

  • @mariamlohhay538
    @mariamlohhay538 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mchungaji Mungu aendelee kukutumia kuinua wengine hasa vijana.

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sanaaaaaa baba angu, Askofu Masanja kwa kazi hii ya MUNGU

  • @isaacsifatv123
    @isaacsifatv123 2 ปีที่แล้ว +1

    Good job servant of God

  • @lilianmkelewele7489
    @lilianmkelewele7489 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongeleni sana mtumishi

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema kaka masanja ubarikiwe

  • @jacksonmhonzwa4894
    @jacksonmhonzwa4894 2 ปีที่แล้ว +1

    Iende mbele injili 👏👏👏👏.Haleluya

  • @shegashega2421
    @shegashega2421 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki Sana mtumshi

  • @ibrahimlameckministry1867
    @ibrahimlameckministry1867 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe San

  • @gabrielchristopher1979
    @gabrielchristopher1979 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Bishop

  • @science_fact93
    @science_fact93 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @joshuasitta293
    @joshuasitta293 2 ปีที่แล้ว

    Mungu NI Mwema Sana, Kazi isonge mbele

  • @MESSENGERWORLD1978
    @MESSENGERWORLD1978 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen,, God bless you bishop

  • @Mara_Gold_Film
    @Mara_Gold_Film 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki

  • @kadashijunior2141
    @kadashijunior2141 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo jamaa amesoma chuo biblia na nihaki kwa kila mweny wito kufanya kz ya MUNGU,hv mtu ulkuwa unauza maji ya kandoro kichwan leo umeinuliwa kwa dolali unashindwa nn kumheshimu MUNGU na kumtumikia kwa akil,Mali na nguvu zako zote?big up brother

  • @joelmsawile1718
    @joelmsawile1718 2 ปีที่แล้ว +1

    Saf Sana pastor

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi Saana hii

  • @charlesnkasi9904
    @charlesnkasi9904 2 ปีที่แล้ว +1

    Injili ya Kweli isonge mbeleeeeeeeeee

  • @AnnastaziaJOtama
    @AnnastaziaJOtama 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba naomba tu nijiunge na kanisa lako jamani napenda utumishi wako

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 2 ปีที่แล้ว +1

    Gloire à Dieu

  • @peterjulius8510
    @peterjulius8510 2 ปีที่แล้ว

    Peter julius

  • @lusajojoram4522
    @lusajojoram4522 2 ปีที่แล้ว

    Hivi huu uaskafu unagawiwa Kama njugu masanja tayari kawa askofu

  • @ibrahimlameckministry1867
    @ibrahimlameckministry1867 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akutangulie masanja nitakuja kuimba siku

  • @manassetawe9675
    @manassetawe9675 2 ปีที่แล้ว +1

    Kanisa hili la Free church lipo kibaha gani maana kibaha kubwa .

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 2 ปีที่แล้ว +3

    Watu wawe huru wafunguliwe waondokane na mateso sio kufungua makanisa meeengi afu watu wanaingia na kutoka na vifungo.uwingi wa makanisa sio tija kinachotakuwa watu wafunguliwe watumish mtoil watu waondokane na vifungo

    • @naylinekiv6642
      @naylinekiv6642 2 ปีที่แล้ว +1

      Ukiona hospitali zinajengwa ni ili wagonjwa wapate mahali pa kusaidika!!! Asipojenga makanisa, basi labda tumashauri ajenge nyumba za kupangisha, au ajenge baa!! Halafu tuone kama hao watu watafunguliwa huko!!!

    • @modeemojombo5662
      @modeemojombo5662 2 ปีที่แล้ว +1

      Kufunguliwa kutategemea na imani yako.
      Km unaenda kanisani kutembea na kushangaa mavazi utahama makanisa hadi uchakae.
      Tusipowapongeza kwa kufungua makanisa tutapongeza ongezeko la vienge vya waganga wa kienyeji.
      Acha watu wapate pa kuabudia katika Roho na Kweli dada.

  • @benjaminchakwe9815
    @benjaminchakwe9815 2 ปีที่แล้ว +1

    Piga KAZI ya MUNGU usisikilize maneno ya watu

  • @evalinegideon3982
    @evalinegideon3982 2 ปีที่แล้ว +2

    Kibaha kubwa location plz kibaha mailimoja.....! Kwa matiasi...!! Au wap

  • @essanfesto3049
    @essanfesto3049 2 ปีที่แล้ว +1

    Amin

  • @pakapakatuondoke6785
    @pakapakatuondoke6785 2 ปีที่แล้ว

    Taka Askofu Wa kisasa jamani

  • @fredkyara3278
    @fredkyara3278 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka masanja. Isiwe ni ktk harakati za kumwinua lucfaer. Na kumtumikia kupitia madhabau za kifrimasoon kaka. Laana ya Mungu haitokwacha salama. Ila kama unamtumikia Mungu wa kweli kwa uwaminifu ubarikiwe

    • @naylinekiv6642
      @naylinekiv6642 2 ปีที่แล้ว +1

      Lucifer hawezi kuinuliwa kwa kutajwa jina la Yesu!!!! Huwezi kuitangaza Tanzania kwa kuitaja Kenya!!! Emmanuel Mgaya( Masanja) anamtumikia Mungu!!!

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  2 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe mwanangu kwa Kumuelewesha uyo

    • @modeemojombo5662
      @modeemojombo5662 2 ปีที่แล้ว +1

      Mnaoingiza ushetani kwenye kazi njema ya Yesu Kristo mna nini?
      Kwa nini huanzi na jema...kupongeza kazi nzuri na kuwatakia mema?
      Je, hayo ndiyo yaujazao moyo wako??

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa nini maneno hayo? Umeona nini? Au ushaingia kwenye kivuli cha mungu kumbe unamtimikia shetani?

    • @peteronesmo5433
      @peteronesmo5433 2 ปีที่แล้ว +1

      @@FeelfreechurchHongera Sana kabisa

  • @josephatmtweve6534
    @josephatmtweve6534 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako mtumishi

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi hii imevamiwa sana mchungaji askofu ndiyo nini?

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji amenyoa denge hizi siku za mwisho.

    • @elicknyega7317
      @elicknyega7317 2 หลายเดือนก่อน

      Hakika ndugu tuamke

  • @reecemweneb2259
    @reecemweneb2259 2 ปีที่แล้ว +1

    Free church? angalisho wapendwa,uyo ni free,mlishajuwa.

  • @josephhaule9123
    @josephhaule9123 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja niungane na waathene nione Kama nikweli hiyo huduma ipo sahihi Kama yatuagizavyo maadiko?

  • @pakapakatuondoke6785
    @pakapakatuondoke6785 2 ปีที่แล้ว

    Uko WAP nataka nije

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 2 ปีที่แล้ว +4

    Siku hzi bhna mtu akitaka kustaafu kazi anayofanya anafungua kanisa ndyo maana mtu ananunua uwanja anajenga ni watu tu kuingia nakupelaka mafungu ya kumi kazi nikubebwa tu sadaka makao makuu

    • @naylinekiv6642
      @naylinekiv6642 2 ปีที่แล้ว +4

      Inaonekana hii bishara inalipa sana!! Sasa nakishauri, ufungue na wewe halafu tukeletee fungu la kumi!!!

    • @shiplegcm4948
      @shiplegcm4948 2 ปีที่แล้ว

      @@naylinekiv6642 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @heriethmbelwa4127
    @heriethmbelwa4127 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mkuu milele na milele🙏