MAMA KUONANA NA MWANAE BAADA YA MIAKA 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2024
  • Mama amuomba msama mwanae Kwa uchungu kwa makosa yakuto kumjali na kumsaau kwa miaka 4

ความคิดเห็น • 830

  • @ommarabeid9862
    @ommarabeid9862 2 หลายเดือนก่อน +19

    Good sana Broo kwa hakika umefanya jambo kubwa sana kwa hiyo familia na Mwenyezi Mungu atakulipa🤲

  • @ayubusiwakwi1713
    @ayubusiwakwi1713 2 หลายเดือนก่อน +48

    Braza nice job Mungu akujaarie nimefurahia kazi nzuri

  • @jacklinealex2259
    @jacklinealex2259 2 หลายเดือนก่อน +136

    Miaka 15 sasa toka nimepotezana na mama yangu naamini Mungu u mzima wa afya, popote ulipo jua nakupenda hata siku tukionana mm siwezi kukuchukia

    • @user-ip7bw9kc5f
      @user-ip7bw9kc5f 2 หลายเดือนก่อน +10

      Ni keel upo Kam mm sikuonna na mama tangu2011 nmekutana nae mwa Jana lakn nampenda t n mama

    • @hasanimohamedi279
      @hasanimohamedi279 2 หลายเดือนก่อน

      jamn pole

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 2 หลายเดือนก่อน

      Daa ilikuaje nataman jujus pole sana

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 2 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢😢

    • @user-kv5om4ip2y
      @user-kv5om4ip2y 2 หลายเดือนก่อน +1

      Inshallah mama naimani alipo uko ni mzima 😭🙏ipo cku mtakutana

  • @sayuni123-kl6xk
    @sayuni123-kl6xk 2 หลายเดือนก่อน +37

    Mathayo 5:9
    [9]Heri wapatanishi;
    Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
    Blessed are the peacemakers: for they shall be called the children of God.

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 2 หลายเดือนก่อน +24

    Happy hueizi pata mama katika ulimwengu huu huyo ndio mamako alie kuleta duniani nakama angekua hakutaki asinge kuzaa sio vizuri kumuona mama analia 😢😢inaniuma sana natamani mamangu angekua hai Allah amfanyie wepesi Insha Allah

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 หลายเดือนก่อน +3

      Mimi mwanangu kaondoka nyumbani 2019 kaniachia barua anaenda kusoma china na tukikaa nyumba moja hakuniaga na alipofika huko akaniblock nikawa sina mawasiliano nae akarudi 2021akiwa na mimba kubwa kafikia hotel nikasikia kalazwa anataka kuzaa nikaenda hospital kumtafuta alipoambiwa mimi nimekwenda akaambia manerse hataki kuonana na mie na mpaka leo kaniblock kuna siku nikakutana nae dukani na mwanawe akanikimbia hao ndio watt wetu

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 2 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢😢Mungu awapumzishe kwa Amani Wazazi wetu.

    • @Sofiashabani780
      @Sofiashabani780 2 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaAli-of4gh pole mamangu ila msamehe kwani hajui afanyalo iko siku atakukumbuka nakutaka radhi

    • @Sofiashabani780
      @Sofiashabani780 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@femidayahaya4882 Amiin yarabil Alamiin insha Allah 🤲🤲

    • @muniraabdulrahman7184
      @muniraabdulrahman7184 2 หลายเดือนก่อน +1

      Dah....maumivu uliyonayo hayaelezeki jamani hii dunia inamambo mengi sana

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 หลายเดือนก่อน +6

    daaaaaah mpka nimeliaaa jamn msameheee tu jamnmdada afanan na mama sana kwakwel wazaz mnakosea san kuwatenga watot wenu mma kapg magoti msameh tu man hat ukiskia kafa leo utaumia zaidi ukaona bora ningongea nae tu hat mara mojaa

  • @diva_20162
    @diva_20162 2 หลายเดือนก่อน +16

    Wanafanana sana,, amsamehe tu mama yake tu Mungu ndo hakimu wa mwisho jaman

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 2 หลายเดือนก่อน +27

    Wewe mtoto huyo ni mama ako. Ujue radhi za Allah zimeambatana na za wazazi. Chunga mdomo wako. Haihusu mzazi kafanya nini. Utaharibikiwa ktk maisha yako. Na iko siku akifa utajuta kwa nini hukukaa mkatatua tatizo. Huyo binaadamu usisahau hilo

    • @lucypatric5860
      @lucypatric5860 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @deomushi1834
      @deomushi1834 หลายเดือนก่อน +1

      Ujawai kukanwa na mzazi wako ukajua uchungu uliyopo

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 2 หลายเดือนก่อน +37

    Nimekosa cha kuandika maana naogopa nitamkufuru Mungu😢 Binti msamehe mama yako.

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 2 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢chango linaniuma kama kweli habari

  • @Yollah-ym7zg
    @Yollah-ym7zg 2 หลายเดือนก่อน +11

    Dah asee Kama hii n movie mmecheza basi mmecheza kwa hisia kali sana mwanzon niliona Kama igizo lakn mh🙌🙌🙌 mtoto unaeza kumtenga baba pengne lakn sio mama❤

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 2 หลายเดือนก่อน

      We wasema.....wanatengana vzr tu

    • @ebisomola9989
      @ebisomola9989 2 หลายเดือนก่อน

      Yes hata mm nimeona hiyo ni igizo maana hako ka happy. Nakaonaga kwenye. Move nyingi hapo wametupiga kupatana hawawezi kuja mbele ya camera. Jamani

    • @Yollah-ym7zg
      @Yollah-ym7zg 2 หลายเดือนก่อน

      @@ebisomola9989 wamecheza kwa hisia sana.. ila2 mwanzoni happy ndipo alipohalibu ukiangalia vizur kunaseem utagundua happy alikua anajua kilak2

  • @linahmlay8512
    @linahmlay8512 2 หลายเดือนก่อน +29

    Ndo maan kumuacha mtto ili niolewe siwez kabisa kwanza sitalla uko usingiz mungu niondolee pepo la utenganish

    • @nasrinassor9178
      @nasrinassor9178 2 หลายเดือนก่อน

      Aiseee wanawake akili zenu mnazijua wenyewe wallah tena mm mwanangu nitakuja kumsimulia namna mama yake alivyonitenda kwa sabbu anamipango na mwanaume mwingine kiukwel inaniuma saaana na nitamuelezea ukwel wote

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@nasrinassor9178pole ila naona sio wanawake tu ila dunia imeharibika kila mmoja anamakosa yake pia anakasoro zake

    • @linahmlay8512
      @linahmlay8512 2 หลายเดือนก่อน

      @@nasrinassor9178 jamani pole sana usimwambie muache tu mungu atampa athabu mwenyew

  • @mohammedbaraka9230
    @mohammedbaraka9230 2 หลายเดือนก่อน +6

    Broo kazi nzuri sana umefanya appreciate for you bro

    • @martinmkeke8528
      @martinmkeke8528 29 วันที่ผ่านมา

      Pole mama.kwauchungu uliyo.sikiya

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mama ni mama hawezi telwkeza mtoto akawa na amani anampenda sana na hiyo miaka 4 sio mingi sana ni kama vile utafutaji tu naamini hilo huwezi jua alikuwa na changamoto gani ilove you mama angu

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 2 หลายเดือนก่อน +33

    Kiukweli mnaoandika comment hapa hamjui maana ya mama kumkana mtoto wake kisa ndoa najua happy anamachungu mengi sana yakukataliwa na mamake mim ninachoshauri mpeni happy muda atamsamehe taratibu taratibu sio kumuhukumu maana najua maisha ya kukataliwa na mzazi yakoje hata wanaokulea pia ukifanya kosa tu kidogo wanakusimanga nakusema ndio maana mamako alikukataa acha kutusumbua mim namuombea tu happy kwa Allah ampe shifaa na amfungue moyo wake tena aweze kuungana na mamake🙏

    • @winniefridamaiko2775
      @winniefridamaiko2775 2 หลายเดือนก่อน +2

      Umeongea point sana

    • @DorisiZephania
      @DorisiZephania 2 หลายเดือนก่อน +2

      Niliwah kukataliwa na mama yangu ila mwisho nilimtafuta na Sasa maisha yanaendelea huyu bint anamaumivu sana ambae hajapitia hiki kitu hawez elewa

    • @rosemery3017
      @rosemery3017 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@DorisiZephania kabisa Doris mim mwenyewe namuelewa sana maana baba yangu hakuwahi nilea ila nilivyokua nimemtafuta na nimemsamehe pia na nimeolewa na mahari you angu kapewa yeye Soo namuelewa sana huyo binti wampe kuda tu kwanza atakaa tu sawa ❤️🙏

    • @ramadhanihamadi6304
      @ramadhanihamadi6304 2 หลายเดือนก่อน +1

      Psychological happy hayupo sawa ila mungu ni mwema yataisha

    • @RASHIDAMRISAMBALUSAMBALU
      @RASHIDAMRISAMBALUSAMBALU หลายเดือนก่อน +1

      Ndoa ikamfanya amsahau mtoto

  • @user-bm7km4bu3g
    @user-bm7km4bu3g 2 หลายเดือนก่อน +9

    We happy acha kuonyesha dharau kwa mama yako kabla yeye hajakukosea ww ulimkosea na kumsumbuwa kuadhibu na kumgombanisha na majirani kwa sababu ya napenz yake kwako hakuna kosa ambalo mama anaweza kulifanya kwa mtto na mtoto akashindwa kumsameh

  • @ninayamat8213
    @ninayamat8213 2 หลายเดือนก่อน +5

    Happy 😢😢😢mdogo wangu Huyo ni mama yako amekukosea mno lkn usimuhukumu msamehe tu kama alivyojieleza kweli kakukosea. Kumbuka kuna watu wanatafuta mama km wako lakn leo hawana so nakusihi mdogo wangu mzuri msamehe bure ili Mungu akufungulie milango zaidi hakuna kama mama😢

  • @user-cx7kd5re6m
    @user-cx7kd5re6m 2 หลายเดือนก่อน +32

    Kusema ukwl mama amenigusa sn kwa kuomba msamaha happy naomba umsamehe mana ss wenzako tunatafuta fursa km hii ila mpk ss hatujaipata👏

    • @Mokiwamuya
      @Mokiwamuya 2 หลายเดือนก่อน

      Na hatuwez pata🫠🫠

    • @lilianchacha5576
      @lilianchacha5576 2 หลายเดือนก่อน +1

      Walio na mama hawajali nafasi walio nayo... tusiokuwa nao tunatamani angeamka hata mara moja niisikie sauti yakeee, Pumzika kwa amani mama nakupenda sana, nakuheshimu na kukuthamini ulionifundisha siku za uhai wako kamwe sitaziacha... najivunia kuzaliwa kwenye tumbo lako.

    • @HopeMmbando-wb8ci
      @HopeMmbando-wb8ci 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@lilianchacha5576sio wote dada tupo ambayo tunamama na tunaogopa ata tuksikia anaumwa shogaa sema ndo hivy wengine Huwa hawajali kbsa

    • @user-gc3ec9wx6z
      @user-gc3ec9wx6z 2 หลายเดือนก่อน

      Kusema ukwel mtoto kakosea mama haistahik akuombe ww msamaha

    • @NaimahKhalifasalim
      @NaimahKhalifasalim หลายเดือนก่อน

      Miaka 4 tu happy dah una moyo ingekua mika yako yote

  • @moreenkasekwa9737
    @moreenkasekwa9737 2 หลายเดือนก่อน +10

    Happy kaumizwa sana kakosa upendo wa mama lkn naomba msamehe tu ni mama bado kwako

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 หลายเดือนก่อน +8

    Usimruhusu mama yako akupigie goti hata kama amekosea kwanza mzazi hakosei hata kama amekosa lkn tufany3 hajakosa maisha mengine yaendelee, subhanallah, Rabbi rahamhuma kama rabayani swaghira😢

    • @rhodangenzi
      @rhodangenzi 2 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba mwendelezo wake tujue hatima, maana imenitoa machozi hakika

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน

      Sana

  • @dinadina-es8yj
    @dinadina-es8yj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzazi atabaki kuwa mzazi no matter what,baraka zetu zipo kwao,na hata utoe sadaka kiasi gani kama humckilizi mzazi sahau kuhusu kufanikiwa,Samehe kama Mungu anavyokusamehe pale unapomkosea kila dk
    Love all mamas❤❤❤❤❤

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 หลายเดือนก่อน +8

    Happy msamehe mama mdogo wangu. Mama MTAMU happy Kuna watu wanataman kuwaamsha mama zao wanashindwa msamehe ni mama huyo msamehe. Waheshimu baba na mama Yako Ili upate miaka mingi na heri duniani haijalishi wanamapungufu Gani bado neno halibadiliki na halirudi mbinguni bila kutimiza makusudi yake😢

  • @juniorisaac-
    @juniorisaac- 2 หลายเดือนก่อน +13

    @Mr_Uky
    Watu kama happy wapo wengi lakin wanakosa pa kuongea
    Ni jambo sensitive sana (childhood trauma)
    Happy ndo mwenye uchungu sana kisaikolojia
    Alaf kulia ndo ina hitajika mana ina toa uchungu moyoni trust me.

    • @user-rw6bh2sw8r
      @user-rw6bh2sw8r หลายเดือนก่อน

      Mmmhh happy msamehe ijapokuwa ilikuumiza but mama ni mama

  • @BarnabaMush
    @BarnabaMush 5 วันที่ผ่านมา

    Kaka jitahidi Mungu akiongoze sana kaka hizi ni baraka tosha

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka ongera sana ❤❤😅na mtoto msamehe mama yako kakukosea sana.😂😂lakini yafanye yamekwisha .Mama ni mama .

  • @ZenaAlly-ib1xo
    @ZenaAlly-ib1xo 2 หลายเดือนก่อน +13

    Kiukweli wazazi Huwa Wana kosea sanaaa na Huwa wanajisahau kiukweli kiatu Cha epiii Mimi ninakijua lakini heppy msamee mama na umuombe mungu akuondolee machungu

    • @hoglamumbee344
      @hoglamumbee344 2 หลายเดือนก่อน

      Tupo wengi sana

    • @user-hk3vr7wh5c
      @user-hk3vr7wh5c 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wengne mpaka leo baba zetu wametukashfu ba kutukanassc watotowao bila ht kosa

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 2 หลายเดือนก่อน +21

    Umeniliza😢 sana kiledio jaman Yani nimeumia sana heppy msamehe mama mama ni mama tu nimelia sana na nimeumia sana sitaki kujua alikufanyia Nini ila msamehe mama I love you mama nampenda sna mama yangu mungu aendelee kuwaweka wazazi wote duniani ❤❤❤🇹🇿

  • @tinahminja2452
    @tinahminja2452 2 หลายเดือนก่อน +4

    Alafu kanafanana na Mama ake Msamehe tu Mama Anaraha yake bwana mm nimemjua Mama angu nikiw mkubwa na nadeka utadhni nimezaliwa jan na mm ndo binti yake wa kwanza nampenda kuliko chochote ❤❤ ata sikutak kujua kwann aliniacha

  • @BarnabaMush
    @BarnabaMush 5 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda sana kaka yangu hi nzuri

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kaondok 2020 mpka sasa anamiak 17au 18 Mzazi ni mzazi tuu❤❤

  • @mosesndyeki3368
    @mosesndyeki3368 2 หลายเดือนก่อน +5

    sasa ivi ndo vitu vya kupost bro, and GOD bless you cos umefanya kitu kikubwa sana, happy mama ni mama na mzazi cku zote uwa hakosei bali uwa anateleza tu,alaf mmefanana sana yaan nimeangalia mpaka mwisho lakn nais kama cjatumia bando sababu ni story nzuri sana,inatukumbusha tusichoke kusamehe.🙏🙏🙏

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 2 หลายเดือนก่อน

      Mmhh kweli wajinga ndo waliwawoo😂😂 ni wasanii hao kama huamini andika jina la movie inaitwa DUNIA NYENGINE utaiona apa u tube 😂😂

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 หลายเดือนก่อน

      ​@@EddahBure-te7ft😂😂😂😂😂😂serious

  • @paulpeter_official6359
    @paulpeter_official6359 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaah Good job,,,GOD BLESS YOU Mr💪💪💪😭 Hii kitu ni kubwa sana Mungu awezi kukuacha

  • @victarbuliga5100
    @victarbuliga5100 2 หลายเดือนก่อน +1

    daaaaaa!!!! Inauma sanaaa, Wazazi tunachangia sanaaa tena sanaaaa kuongeza watoto wa mtaani.

  • @victarbuliga5100
    @victarbuliga5100 2 หลายเดือนก่อน

    Inauma sanaaa tena sanaaaa really. Hongera sanaaaa Mr. Uky kazi nzuri.
    Happy msamee tu Mama ameshatambuwa kosa.

  • @user-dv9bx9eh8s
    @user-dv9bx9eh8s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani sijiwezi inaishia kutiiririsha machozi tu mm!! Happy!! Mdogo wangu anajua umepitia mengi!! Ila nakuomba samehee!! Mama amegundua amekosea ameomba msamaha'' asingekupenda asingekutafuta, samehee upone na mengi Happy!!!

    • @getrudaleonard8323
      @getrudaleonard8323 2 หลายเดือนก่อน

      Wee mkaka unajua Tena unajua Zaid
      Mungu akukuze Zaid usaidie na wngn

  • @user-ym3ww4iv7y
    @user-ym3ww4iv7y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizuri kazi inayoifanya niyakimungu munguakibariki

  • @slimdadybaishe2537
    @slimdadybaishe2537 2 หลายเดือนก่อน +1

    Broo mungu akubariki sna kungalisha mtu na mwanae ni jambo kubwa sna kuliko kitu chochote kile kwenye maisha una fungu kubwa kwa mungu"

  • @joseentanga
    @joseentanga 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mahojiano manzuri sana kaka
    Umefanya kazi nzuri lakini imekuwa fupi tunaitaji kujifunza

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs หลายเดือนก่อน +2

    Hapy kitoto kizuri jaman akajaolewa nije kuchumbia jamani😘😘😘

  • @user-wj3tc3fb9s
    @user-wj3tc3fb9s 2 หลายเดือนก่อน +7

    Uky good akuzidishie

  • @franklelow5021
    @franklelow5021 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dhuuu..... Happy please msamehee mama...
    ilo chozii..... Sio poa dada etu uyo ni Mama

  • @Rosemaryhamisi
    @Rosemaryhamisi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Usilie semeni wa kwenye swaumu ngumu ya chado films mungu akutie nguvu

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh หลายเดือนก่อน

    Am writing this as a Mom but advice to you young girl a mother is the second God...nine months its not a joke find a place in ur heart to forgive her. Sending hugs from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @pillyramadhani3726
    @pillyramadhani3726 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mzazi akosei happy hicho kiburi bila yeye kukuzaa usingesimaa na hao walioonyesha upendo baada🙏 shukuru mungu Kwa kila kitu

    • @happinessheri9936
      @happinessheri9936 2 หลายเดือนก่อน

      Aise aise aise kwani mzazi sio binadamu 😂😂😂anyways

  • @nyakatievents
    @nyakatievents 9 วันที่ผ่านมา +1

    Sema hatakama mnaect mko safi😅😅

    • @ShamimHassan-qm1et
      @ShamimHassan-qm1et 2 วันที่ผ่านมา

      Sio Kila kitu ni maigizo vitu vingine ni serious fuatilia vzr Kam we ni mfuatiliaj

  • @user-bx5yg3if2x
    @user-bx5yg3if2x 2 หลายเดือนก่อน +12

    Cjui ni mama na mwana lkn ninachojua mimi ni waigizaji wote hapo mmetupiga😂😂😂😂

    • @MariamHassani-ey6su
      @MariamHassani-ey6su 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo na mim nashangaa hawa waigizaji wanatuigizia awa

    • @tysonkayanda1648
      @tysonkayanda1648 2 หลายเดือนก่อน +1

      tumepigwa kwel

    • @user-sk1yd4pw1v
      @user-sk1yd4pw1v 2 หลายเดือนก่อน +2

      Uyu si yupo kwenye kundi la chado la uigizaji

    • @twariqzungu5001
      @twariqzungu5001 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wametpiga ao wote waigizaj wap kundi moja 😂

    • @user-rm9iz3yi5c
      @user-rm9iz3yi5c 2 หลายเดือนก่อน

      Namiye naamini wanaigiza maana sijaelewa

  • @user-dz2xr9bc6g
    @user-dz2xr9bc6g 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mama mzuri kwel yaan kam mtot t❤

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 2 หลายเดือนก่อน +6

    Heshima Iko wapi leyo tumefika sehemu mama anamuomba msama mtoto wake hii laana kubwa mama ata afanye Nini kwa mtoto Hana kosa watoto wa zama hizi Dah Mungu mlaze pema mama Angu pamoja na watu wema😢😢😢😢😢😢😢

    • @user-lq2ey3vg4h
      @user-lq2ey3vg4h 2 หลายเดือนก่อน

      Mama mwenyew amejua kosa lake

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-lq2ey3vg4hhata kama ana kosa mzazi ni mzazi tu

    • @user-jl3pz9dz2g
      @user-jl3pz9dz2g 2 หลายเดือนก่อน

      Weee hujui kafanyiwa Nini, kikubwa wa patane tu waondoe sumu zote.

    • @MagdalenaLyimo-vw4ns
      @MagdalenaLyimo-vw4ns 2 หลายเดือนก่อน

      Kama alimtupaa Kwa ajili ya mwanaumee. Mnataka heppy afanyeje

    • @skbonita4117
      @skbonita4117 2 หลายเดือนก่อน

      Kwahy mama afanye makosa alafu mtoto ndio aombe msama kweli usiombe yakukute huyo mtoto najua maumivu yake

  • @MiceyekMarithe
    @MiceyekMarithe 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubarikii sanaa bro kazi nzuriii ❤❤

  • @user-go1fb8uj8p
    @user-go1fb8uj8p 2 หลายเดือนก่อน

    Kukataliwa na mzaz asa mama inauma Sana yani sana.ila Mama katambua kosa lake labda alikuwa na Asira kutokana na kuachana na babaake. Na mama hakutaka kuonekana Yuko karbu nae sana ili hasihalibu mazingira ya alipoolewa. Ila happy lazima Atajirudi tu na kumsamehe mama 🙏🙏

  • @user-du4zp1gw7x
    @user-du4zp1gw7x 2 หลายเดือนก่อน

    Jomonii miaka mi4 tu anakuwa hvyo wakti watu wanamiaka daaah nimeumia but mama ni mama,Mama angu nakupenda sana haijalishi utfnya kipi kwangu nitakupenda daima 🥰

  • @japhetjulias-hf6oo
    @japhetjulias-hf6oo 2 หลายเดือนก่อน

    Kilichonifurasha ni happy kulia...pole sana happy msamehe mamaako hata yeye ni mwanadamu tu kukosea kwa mwanadam nikawaida Asie kosea ni Mungu peke ake😭😭

  • @user-ij2po2jw2f
    @user-ij2po2jw2f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana kaka nakukubali

  • @edmackmbilinyi8651
    @edmackmbilinyi8651 หลายเดือนก่อน +1

    Daah unaweza ukalia kumbe wanatuigizia aiseee 😂😂 ukicheki ile move ya (bravo dunia nyingine ) utalud apa kucheka na sio kulia tena😅 wapewe mauwa yao kwakutugizia mapicha pichaa

  • @realmeamyna30
    @realmeamyna30 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeumia sana wazazi hawa yaani ninyi wazazi ninyi yote sawa Tunashukuru Mungu yupo tuu anatutetea watoto wenu lakini kama asingelikua Mungu huyu Dunia labda ingesema na si Mbingu
    Kukosa malezi ya mama na baba inauma na mpo its real pain tunapitiaga mengi magumu sana kwa kukosa uwepo wenu sijui mnakuaga na shida gani ila Sawa ngoja tuishike Amri ya Mungu KUWAHESHIMU NINYI tusikosee Mungu katika hili😢

    • @skbonita4117
      @skbonita4117 2 หลายเดือนก่อน

      Sana sana😢

  • @michaelmagoma546
    @michaelmagoma546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upendo wa mama kwa mtoto ni kitu mhimu sana, kinapokosekana mtoto hukosa mapenzi ya dhati kwa Mama yake.. Binafsi imenitokea nimeamua ku-move on na maisha yangu.. ila mambo kama haya huwa ni mazito na huwa yanapasua moyo..

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 วันที่ผ่านมา

    Hata ukimkana sasa hivi ipo siku utamtafuta tuu usicheze na Mungu ,mama mlilie Mungu mtoto atalutafuta tuu.

  • @abdillahchilai1185
    @abdillahchilai1185 หลายเดือนก่อน

    Broo umefanya kazi nzuri moaka unatuliza na ss amakweli hakuna kama mama

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 หลายเดือนก่อน

    Wow so nice man I'm proud of you my brother to make them happy this family🇿🇦🇧🇮

  • @HidayaNgala-uk8tt
    @HidayaNgala-uk8tt หลายเดือนก่อน

    Happy msamehe mama kumbuka amekuzaa akiwa na umri mdogo, kumbuka na yeye alikua mtoto alikua na akili za kitoto, kumbuka hata wewe unaelekea kwenye umama ebu sahau yote msamehe mama we happy iyo ni laana mama anakupigia magoti msamehe mama happy

  • @user-qm3lq9ci3t
    @user-qm3lq9ci3t 10 วันที่ผ่านมา

    Yaaan shukuru mungu mama ako kaja kukutafuta wengne wanataman Ata kutafuta ivyo

  • @user-xc4or2vp6l
    @user-xc4or2vp6l 20 วันที่ผ่านมา

    Mnaambiwaga na wanaume wapya ukiwa na mimi sitaki kumuona mwanao nawe unakubali. Unaishije na m wanaume mbinafsi asiyempenda mwanao.

  • @Jackson_Kisanga
    @Jackson_Kisanga 24 วันที่ผ่านมา

    Katika contents nzuri ambazo umewahi kufanya ni Hii. Hongera sana

  • @PendoNdahan
    @PendoNdahan หลายเดือนก่อน

    Mama nimama na wapenda sana love mom💞,,,,,, pumzika kwa amani mama angu💌penda sana mama.

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 2 หลายเดือนก่อน

    Keep it up kazi nzuri sana

  • @glorysamwelsamwel-mq8hh
    @glorysamwelsamwel-mq8hh หลายเดือนก่อน +1

    Habari yako kaka samahani na Mimi natafuta mama angu tokea mwaka 2015 mpaka sasa sijaonana na mama angu na nilimpigia simu ili nikuone sehemu anayo ishi akakata simu tokea kipindihicho sijaongea nae tena Wala kumuona machoni pangu sijui kafa ama yupo hai ata namba ya simu Sina anaitwa rose rabson mlay naomba msaada wako plz 😭😭😭

  • @MohamediMkwamba-xb7mu
    @MohamediMkwamba-xb7mu หลายเดือนก่อน

    Broo unafungu lako kwa mungu sinaga shobo za kuandika comments ila hii brother imenigusa mungu akujaalie zaid broo big up sana broo

  • @OliverJudeey
    @OliverJudeey 2 หลายเดือนก่อน +5

    Bora ata huyu mam kajuwa kosa lake ....wengne ndo wazid kutuvunja moyo

    • @hope30807
      @hope30807 2 หลายเดือนก่อน

      Hawaoni makosa Yao zaidi ndio unaambiwa Mama ni Mama japo inauma mana unakuta hawanadiliki

  • @user-md6oz8vb5g
    @user-md6oz8vb5g 2 หลายเดือนก่อน

    Sitamani ata kuona chozi la mamaangu love more mamaa ,msamaha ni kitu bora sanaa ni mama uyo et happy

  • @HAWAMAULIDI-zl5xd
    @HAWAMAULIDI-zl5xd 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa mbona tunawaona wanaigiza wote kule kwa director bravoo (bravo genius)na pia kwa chibu wameigiza wote kwenye series ya (dunia nyingine)walikua mtu na wifi yake na zingine nyingi tuu yani I’m so confused !!!
    MAIGIZO📌

  • @aminamohamed4845
    @aminamohamed4845 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aloooo inaumizaaa sanaaa ila boraaa kama wamekubalianaaa na kusameheana

  • @SiaVitalisi
    @SiaVitalisi หลายเดือนก่อน

    Happy huyo ndio mama huwezi Pata mama mwingine katika hii Dunia 💖 ❤️ 💓

  • @OnesmusCharo-dd2si
    @OnesmusCharo-dd2si 18 วันที่ผ่านมา

    Weeh mdada sipoa hta kama mama amekoseya haipaswi mama kutowa machozi tena unaongeya ujasiri kabisa hyu sijuwi kama ni mamangu majozi ya mama ni chungu sana dada

  • @meiyamsellem5280
    @meiyamsellem5280 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mama ni mama tu hata awe vp 😢

  • @alexsulle9683
    @alexsulle9683 2 หลายเดือนก่อน

    Dah sijui niseme nini ila hakuna kitu kizuri kama msamaha Mr uk mungu akubariki sana😊

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilijua ni ualithia kumbe mnaigiza uyo mnae mwita mama na uyo binti ni wasanii wa cram vevo na mwakatobe wanacheza pamoja wamecheza naile mwakatobe mchawi amempa mimba uyo bint ampi pesa ya kula nauyo mama anamfariji ni mdogo wake😂😂 kumbe mnaigiza 😂😂😂mimi nilijua ni vyaukweli seee

  • @athmanially4789
    @athmanially4789 2 หลายเดือนก่อน

    Nimetoa machozi walahii😭😭bro kazi nzuri

  • @esajackjack3032
    @esajackjack3032 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona video imeishia apo Bado muafaka atujapata😢 Ila huzuni daah adi nimetoa chozi Mimi apa ooooh ❤❤❤

  • @almashabill3652
    @almashabill3652 2 หลายเดือนก่อน

    Dah mpaka machozi yamenitokaa mungu awepe maisha marefu wazaz wetu❤

  • @joanbwahama-rx3tc
    @joanbwahama-rx3tc 2 หลายเดือนก่อน

    Alfu huyu dada ni muigizaji na anajua kuigiza ❤❤❤❤

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 24 วันที่ผ่านมา

    Binti unakuwa na hasira ya kumchukia mama yako seriously?kisa hakukupa mudaa tu wa kukulea ,watu wanatelekezwa wadogo na bado wanatafuta wazazi wao ww binti Acha maisha ya maigizoo aseeee😢😢umenikera Sanaa pia ww mwanamke ukikua utajuaa

  • @getrudaleonard8323
    @getrudaleonard8323 2 หลายเดือนก่อน

    Happy ukizaa na ck
    Ukibeba Mimba,,,ukazaa utamthamini uyo Mama,,, Mama ako anapiga goti kwako binti

  • @GeorgiaUrio-bk4bb
    @GeorgiaUrio-bk4bb 2 หลายเดือนก่อน

    Watu hamuelewi happy kapitia Mangapi hamjui kwaiyo Mwacheni adi hasira zake ziishe kabisaa japokua mama naomba msamaha inabidi happy apewe mda

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmhhh huyu mama na huyo binti si ni wasanii hao niliwaona kwenye movie ya DUNIA NYENGINE nashangaa hapa kwa hilo 😂😂

    • @user-lq3zz7dt8r
      @user-lq3zz7dt8r 2 หลายเดือนก่อน

      hata mimi niliwaona huko

  • @user-nr8tn4ew3t
    @user-nr8tn4ew3t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hajamani simaigizo aya yupo mama yake happy ameigiza kama dada yake happy Kwenye sineik boy😂

  • @mwanaidymickdady7848
    @mwanaidymickdady7848 2 หลายเดือนก่อน

    😢 sio mamaangu me jaman nisingethubutu apige ata goti all in all i love u all mama❤

  • @HarunaMawa
    @HarunaMawa หลายเดือนก่อน

    Anaelaani nimzazi wakike mandiko yamesema
    Mama kukubeba tumboni pasipokutowa mimba inatosha.happy epuka laana yamama kwakusamehe pasipo kuangalia nyuma

  • @Zakia1-wh3jw
    @Zakia1-wh3jw 2 หลายเดือนก่อน

    Happy dunia nzima hutakuja kuona mm ako nakitu kingine mm ni mm unaonaje mm anakupigia magoti lana kwa mungu tena chozi Lake usije ukalizarau Happy chozi rinanitoka kweli ss tunatamani kuwona wa mm

  • @user-mv2ou6jw7p
    @user-mv2ou6jw7p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bora ume kubari kosa mama saizi zingatia maisha ya happy Sasa

  • @rachelireginald848
    @rachelireginald848 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kunawatu tunatamani kuwa na mama apa duniani lakin atuna daaaaah😢😢😢

  • @simonimarcel3082
    @simonimarcel3082 25 วันที่ผ่านมา

    Inakuaje mnilize na Mimi😂😂

  • @edickostanley2324
    @edickostanley2324 หลายเดือนก่อน

    Yaan acha tu ndugu yangu, Kuna maisha mtu unaweza pitia Hadi ukahisi unaota ndoto, maana huoni sababu yamsingi ila MUNGU ni mwema kwa yote.

  • @totosadru6850
    @totosadru6850 18 วันที่ผ่านมา

    Dah! Ndo maana mm nilikubari kwa lolote lile Bora niwe Na mtt wangu pembeni😢

  • @shukranbory7021
    @shukranbory7021 หลายเดือนก่อน

    niMeumia nimelia ... Allah tupe moyo mzuri na safi

  • @sheholajunior-lk7jp
    @sheholajunior-lk7jp 2 หลายเดือนก่อน

    Ukauzu WA kweny move Mpk Kwa mwanao daah SEm lkn saf mam ni mam❤❤❤

  • @stevelunaku1679
    @stevelunaku1679 2 หลายเดือนก่อน

    Hio ni movie 😂 huyo mama ni actor kwenye series 😂😂😂😂

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 2 หลายเดือนก่อน

    Happy abwtakiwa amsamehe mama Ila wamama wajifunze kupitia hili mapenz ya mtoto na mama yanaanza tangu anazaliwa, kunyonya, kutembea Hadi kukua na upendo unakuwa ni wamikele Ila watoto wanajega chuki moyoni ambayo huwa haiishi kabisa, mama anapoolewa na mwanamume mwingine na kuwaqcha watoto nyuma upendo wake unakuwa na watoto ambao Yuko nao sasa Kwa mume mwingine yalishanikuta hayo na nilikuwa nalia Kila siku mpaka nilipoondoka kwake nilipitia magumu mengi ya kunyanyadika na kudimangwa mama aliogipa kusema kama ana watoto wengine Kwa mume wake na Kwa watu kuogopa kuonekwna mzee ukienda kwake anasema mtoto wa dada yake lakini Kwa sasa tumemsamehe na dada yangu ndiyo anamlea Kwa sasa tujifunze kuhusu hili

  • @shukurusyriack3504
    @shukurusyriack3504 หลายเดือนก่อน

    Kadada kazurii sana aisee,nimekapenda, kadada msamehe mama yakoo

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 หลายเดือนก่อน

    Unapo samehe na mungu anakufungukia milango ya baraka.nadhani hepy thaman kubwa iweke kwenye kubeba mimba na kukuzaa basi kwailo unapaswa kumsamehe.

  • @zeilamagelanga3972
    @zeilamagelanga3972 หลายเดือนก่อน

    Huenda alivopata mume mpya akamwambia hajawahi kuzaa ...mambo ni mengi sana duniani

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 26 วันที่ผ่านมา

    Mama kumtelekeza mtoto wa miaka 13, hajui anakula wapi analala wapi anapitia magumu gani coz of upendo mpya. Huyo dogo amepitia maumivu makali ndio maana hataki kuonana wala kuongea na mama. Mama alikosea, atafute njia sahihi za kuomba msamaha na sio thru content creators.