"Nimeumia sana" GODBLESS LEMA AUMIZWA NA TAARIFA ZA MCHUNGAJI MSIGWA KUHAMIA CCM //ATAMANI HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @MsetiMagabe
    @MsetiMagabe 8 วันที่ผ่านมา

    Peter mungu anakuona

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 วันที่ผ่านมา +1

    Umefanya vizuri Lema imebidi Msigwa aondoke Mbowe kamfanyia vibaya yeye ndiyo aliyopanga kumtoa Msigwa ili kura apigiwe ba tule mwenye sura kama Nyani

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 7 วันที่ผ่านมา

    mzee wa kazi pole sana,ila ukweli CHADEMA uongozi wa juu kuna shida.1.Ubinafsi wa Mh Mbowe ajenge taasisi sio kuigeuza sacoss yake.2.Mhe Lisu ni mtu intelligent sana na mkweli,amelalamika sana hivi majuzi kuwa CHADEMA imepewa hongo kubwa,na akaonya pesa hizo akiziita za Mama Abdul hazitawaacha salama.3.Kina Halima Mdee na wenzie swala likoje?CHADEMA shida ipo kubwa japo CCM kuna majizi na mafisadi

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 9 วันที่ผ่านมา +2

    Afadhali angehamia kipindi cha ndugu yake JPM.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 9 วันที่ผ่านมา +1

    Amechelewa sana na anaendekeza sana njaa,angehamia kipindi kile cha Magufuli angekula dodo.

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 9 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema ni watu siyoo mtu kwahyo mtu awezi kuwapa tabu watuuu wapo waxuri ndani ya chama kuxidi yeye

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 9 วันที่ผ่านมา +2

    Magret polepole wewe ndo saka tonge na richawa lililo kubuhu la mama kulemba

  • @ottomap-u2i
    @ottomap-u2i 9 วันที่ผ่านมา +1

    nibora kuwa ccm ijulikane. kuliko kuwa chadema na mawazo ya ccm.

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyekiti wenu ndugu Mbowe ndiyo tatizo kubwa bana.

  • @mohamedmoledina6403
    @mohamedmoledina6403 9 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema panueni democrasia acheni kumlalamikia msigwa

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 7 วันที่ผ่านมา

    Nimeumia km MCH anaweza kuondoka wakati Huu nguvu mliyotumia kuhamasisha umma Leo mmeanza kubomoa Tena hv mpaka lini

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 9 วันที่ผ่านมา +3

    EPHESIANS 6:12 Vita vyetu sio juu ya Damu na nyama bali juu ya principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 7 วันที่ผ่านมา

    Wanasiasa kama hawa kama tungekuwa somalia mnamalizana nae tu

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 9 วันที่ผ่านมา

    Wana siasa ni wanafiki

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu.hajamchagua.yuko.atayekujabora.zaidi.kuliko.msg

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 8 วันที่ผ่านมา

    Mbowe ndo amekufanya uwe mbunge miaka kumi ngoja tuone utakako enda

  • @RobertMushi-yh7re
    @RobertMushi-yh7re 9 วันที่ผ่านมา

    Haya Silaa alifanya hayo hayo muwe makini

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 9 วันที่ผ่านมา

    CHADEMA BADILISHENI UTARATIBU LA SIVYO WATU WATASHINDWA KWA KWENDA, MSIGWA HAJAPENDA KABISA KWENDA CCM , NI HASIRA 2 KUTOKANA ZULUMA ZA UCHAGUZI

  • @rahiyamohamed65
    @rahiyamohamed65 9 วันที่ผ่านมา

    Alisema akienda ccm nyumba yake na magari yake yacjomwe moto

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mchezo umekwisha Chadema hampati kitu tena kwanini nilishasema Chadema ni Wasaka tonge tu hawana lolote nyie wazee mtoke Mbowe utoke kwenye Uwenyekiti Msigwa umeleta raha sanaaaa karibu Ccm yetu

  • @henrymligo2440
    @henrymligo2440 7 วันที่ผ่านมา

    Msigwa unatamaa ya madaraka na pesa.

  • @AYUBURUGOYE
    @AYUBURUGOYE 9 วันที่ผ่านมา

    LEMAKAZAMWENDO TUNAKUTEGEMEA SAAANA MUNGU AWE NAWE ILAKWELI KUAGANAKUNATIA HUZUNI HASAKWA ANAYE ONDOKAANA ACHAUKIWA HATAKAMANIMBAYA MSIGWA RUDI TAFADHALI WEWENIMCHUNGAJI ONYESHA NURU IWAKE MIMISINALOLOTE LAKINISITANGITANGI

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 9 วันที่ผ่านมา

    Kama kweli unasimamia unachokiamini huwezi kuhama kwa sababu tu umekosa cheo. Wanasiasa mnawakosesha wananchi imani. Ina maana na hata prof nae angekosa cheo angeacha chama tuu? Hakika huko ulikoenda haufiti.

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 8 วันที่ผ่านมา

    Ccm inavuna ilichopanda

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 9 วันที่ผ่านมา +1

    Msigwa shezi kabisa tena shizi sana

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 9 วันที่ผ่านมา +2

    Msigwa asingehama mwenyekitiwake angemfanya chochote wee lema si unajuwa???? Mambo yale ya chachawangwe ilikuwa hatareeeee!

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 9 วันที่ผ่านมา +2

    mimi nilitarajia atahamia ccm tangia enzi za magufuli ila sihui kilimzuia nini mwendo wake ulikua unaonyesha dhahirr mjinga huyu

  • @fidelludemwa7223
    @fidelludemwa7223 9 วันที่ผ่านมา

    Lema mwenyewe anaondoka mda wowote usione anaumia ni sababu ya ( FARU JOHN) JANA alikuwa kapiga kubwa anajirambatu ndiyo maana TINDILUSI 😅😅😅😂😂😂😂 KATOKOMEA KUSIKO JULIKANA KWA SABABU YA MBOOOWE CHAPOMBE

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kwanini msigwa anaandikiwa cha kusema

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 9 วันที่ผ่านมา

    Uyu anatamaa na viewo ata ccm wajiagarie mana ni hatari kwao

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 9 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli. Viongozi mnatufundisha nini! Mimi wanachama wakawaida. Nitakuaje! Sijui uchu wa madalaka! Sio mbaya tuliumia na Akina halima mdee mwisho tumezoea. Na wametokea majembe mazuri.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 9 วันที่ผ่านมา +1

    Yuda

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 9 วันที่ผ่านมา +1

    Njaa

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l 9 วันที่ผ่านมา

    CHADEMA ilikuwepo kabla ya Msingwa hajajiunga na CHADEMA kwahiyo msiwe wanyonge kiasi hicho
    Lets join to push on our Political part
    Msigwa alisha kuwa mnafiki siku nyingi sana

  • @sjdbxjdhsudjxjhd615
    @sjdbxjdhsudjxjhd615 9 วันที่ผ่านมา

    Dah kwa utaratibu huu unfiki unaendelea

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 9 วันที่ผ่านมา

    Kumbe msigwa kilichokuweka chadema ni cheo, umeamua kuunga mkono wezi?, ningekuona wa maana sana kama ungehamia ACT

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 9 วันที่ผ่านมา

    Msingwa ni msenge for real ataendelea kuma mpaka mwisho shenzi sana

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 9 วันที่ผ่านมา

      Inaonekana una kisa na msigwa maana umemtukana tusi kubwa jamani.

    • @stevenjackson4985
      @stevenjackson4985 8 วันที่ผ่านมา

      Jiandae kuwatukana wengi maana wengi bado watahama.

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 9 วันที่ผ่านมา

    Hapa kuna kitu cha kujifunza hatuna upknzani kabisa kwani huwezi kuwa mpinzani una njaa

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา +1

    Njaa haina baunsa🤣

  • @pantaleolaurentlaurentkavu2011
    @pantaleolaurentlaurentkavu2011 9 วันที่ผ่านมา

    Siasa za uongo.daima hujenga chuki.tanzania tunahitaji maendeleo.Sgr.barabara .miradi usalama elimu.

    • @khalifasaidi7001
      @khalifasaidi7001 9 วันที่ผ่านมา

      Historia ya mwenyekiti huwa ni mbaya hakuna aliyeingia angazake alafu akasalimika, mfano zito kabwe au yaliyomkuta chachawangwe,,,,,huyo ni mwenyekiti wa maisha

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 9 วันที่ผ่านมา

    Njaaa tuu apo uwaziri

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 9 วันที่ผ่านมา

    Hata samia atawaumiza na kuwafukuza watu kwanini haufukuzi wati Zanzibar why shenzi sanzi sana

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mzee acha akafie Kwa wazee wenzie huko

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 9 วันที่ผ่านมา

    Mipango yetu kuivuluga ccm

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 9 วันที่ผ่านมา

    Angevumilia kwani lazima awe mwenyekiti nafasi si zipo nyingi kuwa mvumilivu kama makonda kaka benchi mda gani huyu sio mwana siasa kwasababu huu angalieni historia yake Ali ingiaje cdm baada ya mwakalebela kukataliwa na wananchi umuhimu

  • @Ahdall
    @Ahdall 8 วันที่ผ่านมา

    Rubbish

  • @estermark
    @estermark 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu alishaonyesha sikunyingi tangu alipolipiwa fain na makofuli huyu aendetu

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hili ni pigo kwa chadema japo wanajikaza tuu.

  • @user-dk3ou5yk2f
    @user-dk3ou5yk2f 9 วันที่ผ่านมา

    MUNGU MWENYEZI atakuhukumu sawasawa na usaliti wako Umetimia imani ya watu wa Iringa kukuamini kama Mchungaji kumbe ni Yuda Iskariote Sawa utapewa uwenyekiti wa CCM na hatimae utapitshwa bila kupingwa kuwa Rais vyeo ulivyonyimwa na MBOWE LKI kwakuwa MUNGU ni WA haki atatenda haki

  • @ibrahimsirajikaru1010
    @ibrahimsirajikaru1010 9 วันที่ผ่านมา

    Kesho nawe kamfate

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 9 วันที่ผ่านมา

    Yaani huyu hastahili hata kumwita mchungaji mwiteni tu msingwa msaliti mkubwa wewe Huna ata aibu kauso kakavu

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 9 วันที่ผ่านมา

    Kumbe msigwa ulivyo kuwa unapiga kelele kuhusu bandari ulikuwa mnafiki mkubwa, kumbe wewe ni ziro brain

  • @MonayLai
    @MonayLai 9 วันที่ผ่านมา

    Ila jamani tuwe wakweli hy mchungaji kama dishi lilishayumba siku nyingi tokea wakati wa maguila ila tu nafsi ilimsuta ndio akaasita ila sasa njaa haina aibu safari hii ameona heri kuingia kwenye pango la wanyang’anyi nimgemuelewa kama angeamua kurudi tu kanisakutumikia uchungaji wake?

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 9 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli,ametoka kwenye genge la majambazi ameingia kwenye chama cha walafi

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mwisho wa hatua moja ni mwanzo wa hatua nyingine
    Nawahakikishia Msigwa atachuja kisiasa soon
    Na wala CDM Haitashuka viwango eti kwa kuwa Peter Msigwa kahamia CCM

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 วันที่ผ่านมา

    Usimie.lema.wako.wengi.wazuri.wenye.uwezo.mkubwa