"Tulimchoka MCHUNGAJI MSIGWA Ni Kama MGONJWA ALIYEFARIKI" SAADA MWENYEKITI BAWACHA AMPANIKIA MSIGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 17 วันที่ผ่านมา +3

    Dada uko vizuri hongera sana

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 17 วันที่ผ่านมา +3

    Msigwa hana tofauti na mchungaji Tito

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mtu jasiri ni yule anayepambana na changamoto na sio kukimbia changamoto

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 17 วันที่ผ่านมา +1

    Dada unamajibu sahihi sana. 🎉

  • @AmosiAmosi34nyeriga
    @AmosiAmosi34nyeriga 17 วันที่ผ่านมา +2

    Dada uko vizr kwakujibu

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 17 วันที่ผ่านมา +2

    Acha azunguke watakao mfwata wabovu kama yeye

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa dada

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 16 วันที่ผ่านมา +1

    Naona hadi mtangazaji anakosa maswali

  • @frankpeter-of8xp
    @frankpeter-of8xp 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jadilini mambo mengine msigwa achaneni nae.

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sister una akili nyingi. Hongera sana

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 17 วันที่ผ่านมา +2

    Vizurii sana Aunt

  • @knight6757
    @knight6757 17 วันที่ผ่านมา +2

    🤑...Tumbo....

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 17 วันที่ผ่านมา +1

    Anatafuta kama atapata nafasii ya ubunge kwa tuketi ya ccm.

  • @nelsonshillah6618
    @nelsonshillah6618 15 วันที่ผ่านมา

    Mara nyingi wanachama wa chadema huwa wako imara mno ndiyo maana huwa wakija ccm wanapata uongozi

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 17 วันที่ผ่านมา

    CCM siipendi! Lakini chadema siipendi kuliko ccm,,, watanzania ndio hawa hawa,, hawata badilika,,hata muasisi wa chadema, alikua fisadi mkuu wa zamani ndani ya CCM, hata kufikia hatua ya kupishana na nyerere. Kwahiyo hata chadema ni majambazi wakuu, walokimbia kutoka mpango wa iba kidogo kutoka CCM, na wamejipanga, kuhamishia bank kuu ya tanzania kuipeleka kilimanjaro. Na wanaoisukuma chadema kwenda mbele, ni kama ngazi ya kuwafikiaha wahusika

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona kim Johung raisi waChina n raisi wa kudumu kutokana na wanavyo muamini watu wake na sisi Mboye ndiyo mwenyekiti wetu wa kudumu mpaka MWENYEZI MUNGU aseme basi sio nyinyi wezi wa kura

    • @knight6757
      @knight6757 17 วันที่ผ่านมา

      KIM JOHUNG🤔

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 17 วันที่ผ่านมา

      Msenge wewe, mwenyekiti adumu milele! Amekua baba ako? Baba ndie atae dumu milele,, chadema ni chama cha matapeli kuliko matapeli wa CCM.

  • @PascalNgwenga-vs1eu
    @PascalNgwenga-vs1eu 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hv kwann mtu akihama chadema mnaponda, nakubaliana na msigwa hatuna hoja

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 17 วันที่ผ่านมา

    Wanachadema wa kike na kiume wako vizuri, imara na thabiti wako sawasawa hata ccm wanalijua hilo.

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 17 วันที่ผ่านมา

    Swali langu Ni hili Msigwa Ni mchungaji wa kanisa gani?

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 17 วันที่ผ่านมา

    Kama msigwa nimchungaji nashindwa kuelewa waumini wake huwa anawahubiria kitu gani au Alisha mwasi Mungu?

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 17 วันที่ผ่านมา

    Dada uko vizuli mikono

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 17 วันที่ผ่านมา

    Wapo wengi wataingia kwenye chama hicho.

    • @knight6757
      @knight6757 17 วันที่ผ่านมา

      🤑

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r 16 วันที่ผ่านมา

    Kujadili mambo ya kina Msigwa ni kukosa mada ongeleeni mambo ya msingi siyo matangopori ya kina Msigwa,zitto aliondoka chadema,Wilbrod slaa aliondoka, na wengine wengi chadema vp imeteteleka?acheni kumzunguzia Msigwa mbona kila wakati msigwa kwani Msigwa nani?kafukia talanta huyo kwenye uwanja wa siasa kwisha habari yake subirini mtaona yake,subirini mtaona kitakachoendelea juu yake kwani ninani aliyetoka chadema halafu akawa na kibali kwa wananchi?awaulize covd 19 kama wanaweza wakauzika kwa wananchi kwa habari ya siasa kwisha habari yake

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 15 วันที่ผ่านมา

      Uko sawa. Nami suala la Msigwa linanitia kichefuchefu.Ameshaendaaaaaa. To hell with him

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 17 วันที่ผ่านมา

    mtangazaji umeongwa kila kitu wewe ni Msigwa tu

  • @AmosiAmosi34nyeriga
    @AmosiAmosi34nyeriga 17 วันที่ผ่านมา

    Dada uko vizr kwakujibu

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 17 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo chadema imekuwa sakos baada kushindwa uchaguzii inamaana wakati akiwa kiongozi alikuwa ana ongoza sakos