BSS ARUSHA KIJANA ALIYETOSWA NA SALAMA AMCHANA ASEMA ''SISI SIO MILIMA SIO SALAMA KAMA JINA LAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • BSS ARUSHA KIJANA ALIYETOSWA NA SALAMA AMCHANA ASEMA ''SISI SIO MILIMA SIO SALAMA KAMA JINA LAKE
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 21

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we ปีที่แล้ว +3

    Kwa hilo kijana umeongea kweli sio vizuri anatikisa kichwa kabla mtu hajaimba sio saw

  • @NeemaMollel-j1e
    @NeemaMollel-j1e 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli hata Mimi Kuna mahalo naonaga salama akijiona yeye ndo yeye hakuna mwingine lait Kama angelijua hicho kiti wamekalia wengi na wamekiacha asingelikuwa hivyo angetenda wema tu kwani wema no akiba na ubaya nap ni akiba salama wewe kuwa Malini hii no dunia mama acha nyodo

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo salama hajawahi kuwa msanii hajui mziki hawa wote wanajua mziki sema ni chuki za hawa wazanzibar

  • @ShalulaWazili
    @ShalulaWazili 11 หลายเดือนก่อน +1

    Oya mm nashid na namba za ao jama ndaikutaje

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว +2

    ma judge wachaguliwe random kila mchezo

  • @salminshwaibu826
    @salminshwaibu826 11 หลายเดือนก่อน

    sio salama hakutakiwa aitwe salama🤣🤣🤣🤣🤣chuga 1

  • @MateiPs-kr9tg
    @MateiPs-kr9tg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pambana medy naqbal man

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 ปีที่แล้ว

    WEWE BIBI WEWEEEE, MBONA UNALOPOKA TU BIBI....
    KAMA NI KUMPIGA CHURA TEKE, SASA NINI MNALALAMIKA??
    🙄MLIKUWA MNASHANGILIA ALIVYOKUWA ANATUKANA HOVYO.. LEO SASA MNAJILIZA NA KUPAYUKA PAYUKA TU.....
    KAMA WEWE BIBI UNAJUA SHERIA, BADALA YA KUJICHORESHA MTANDAONI SI MKATE RUFAA JAMAANI????

  • @MwanaidiKika-f5q
    @MwanaidiKika-f5q 11 หลายเดือนก่อน

    Salama sidhani Kama si salama kwann unakuwa na katabia kakuona we ndo mungu mtu ktk mashindano we umeshatoka jaribu kuwa na kauli

  • @christianinyoka-cr7tz
    @christianinyoka-cr7tz 11 หลายเดือนก่อน

    dogo pambana utatoboa mkali achan na salam

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 10 หลายเดือนก่อน

    Tanzania inamijinga sana

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa salama anakuaga na katabia kake fulani hivi hata mm simfagilii kabisa

  • @sospeterurassa9894
    @sospeterurassa9894 11 หลายเดือนก่อน

    Naunga mkono kijana huyu kwamba washiriki wapewe second chance na waulizwe vipaji vya ziada walivyonavyo ili vipaji vionekane kwa upana ili kuwasaidia wananchi

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 11 หลายเดือนก่อน

    Yani hao majaji wanakatisha watu

  • @jumamboga9652
    @jumamboga9652 11 หลายเดือนก่อน

    Dogo anajua kujielezea sana yuko vizuri

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว

    wana watu waoooo msijisumbuweee tapeli kama tapeli wengine

  • @MwanaidiKika-f5q
    @MwanaidiKika-f5q 11 หลายเดือนก่อน

    Ni anaujinga Fulani ndo guns hats mtoto

  • @PerpetuaKinallo
    @PerpetuaKinallo 11 หลายเดือนก่อน

    Mnyamisi kama. Mnyamisiii

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 ปีที่แล้ว

    Chuga km chuga

  • @magrethmalobola5470
    @magrethmalobola5470 ปีที่แล้ว

    Salama sio salama😂