BSS 2022 SE13EP08 FULL SHOW
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2023
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - บันเทิง
Asagwile amerudi kama yeye yule wa zamani ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Oyah wanao mkubaliiiiiiii tgun tozzy gonga like
It's Fonabo 4 me , don't cry my friend. you really touched my heart when you cried. yu got a big talent our burna boy of Tanzania
Nampenda sana Meena Ally jaman huyu Dada anajitambua zaidi😍🤗
am with neemantigonza ALL to JESUS
No one got me goose bumps like Tozzy. long live Tozzy King
Asagwile ww ni the best bro nakukubali from USA
❤ uyo kaka wa kitambaa cheupe katisha shana
Yesu ni bwana nimemkubali
Rose Muhando she is Typing
AM WITH YESU NI BWANA petro jailos Mungu awabariki sana
Poa mm niko ndani sijachelewa wanangu jamani kenya 🇰🇪 kwanza hapa
Patrickiiiiiiii❤️❤️❤️ na aswagileee
Fonabo wewe nakupenda sana wewe tukopamoja ukitoboa ni takitaftia Tamasha huku Marecan
Asagwile Umeua kipenz so Amazing 🔥🔥🔥😍♥️💯
Waaah salama amenona mashallah
😄😄kanishangaza
Naipenda sana bongo star search
Asagwile on top
Nampenda rafkiangu asagwilee jaman uuuhhhh😂😂😂 gwigwi ii u killled it
Petro sauti ya Mamlaka. 🌟
🎉
Patrick Alsina 💯💥💥💥
Fred ix the best
Mbona atuona ma judge wote wakisema😥🤣🤣🤣daah jirekebisheni Tunataka kuskia maoni ya kila judge!
exactly, wanakata kata sana
Anaweza yote kaka huyu🙏💪
Hv yule demu wa pank kaimba kitu gani hapa ndio kuna mambo ya ajabu
But all in all Alfred Ngarenaro boy Ana Masihara sana hafanyi vile inatakiwa na kipaji kikubwa alichonacho. Fonabo mtu mbad sana tofaut na wengine kbsa aisee
Top three Alsina au swagile mmoja wapo Coz wanafanana kitu fulani hv na wengine ni Fonabo na Yule dogo wa hip hop anajiita T.
Exactly! Wanamutoa Alfred yeye ana baki 😒😒
Huyu Patrick si alikuwa season 9
I thought asagwile aliwin pamoja na sarafina season 9
Sichoki kuangalia jmn
Patrick yuko vizur
TGUN mkali sanaaa MUNGU akutangulie
Huyu fonabo anajua bwana ahhhh 🙌🙌🙌
ASAGWILE NOMA SANA💯⭐🔥
Msanii wetu gwigwi mwenyew
Kaimba fresh kinoma 🙏
Nani?
T.Gun toz my artist
Ii all star inakaa kama wangali mikoani
Fonabo, Asagwile, Patrick 😇😇
Agnes yuko sawa kweli
Julius kafanya nini mbona sielewi????
Patrick 🔥🔥
Jamani Salama kanenepa mashalla
Moto 🔥🔥 lazima uwake hapa
Nassib is out of Africa MUSICIAN 100%
Neema swai🔥🔥🔥
souti iangaliwe kama inakelele nyingi
Petro jairoz all the way
Nipo wa pili
My favorite alisina with Leonard Sunday
Asagwile🔥🔥🔥🔥
So sweety
Aswangile jamani nimekuja hapa Tena mwaka huu kutazama Tena nimekupenda bule
Mwema Safi Sana ❤
Gwile Boy 👏
Kyusa boy
Neema is killing ze show
Asagwele ❤
Asagwile unatisha broo
Mina u are too loud plz present slowly
Tgun💥💥💥💥
🎉❤Asangwile ni nomaaa
Fonabo is another level mtoeni kwa mashindano huyo jamaa ni International
Sunday and asangwire is my favourite, salute guys
Our gwigwi never disapoints
Fonabo haukutakiwa kurudi hapa tena bro
Kauli mbiu ya salama mwaka 2022-2023 ni Tabasamu
THE BEST SHOW IN BSS HISTORY😍
TAFUTENI WATUNZI, WAIMBAJI SIO WAIGIZA NYIMBO ZA WATU
Wa kwanza nipeni lake zangu
Sio lake ni likes
Lake Victoria, Nyasa au Tanganyika?
Lake ni nini sasa
Alsina 🔥🔥♥️. Tgunn♥️ Leonard♥️ fonaboooo ♥️♥️♥️♥️♥️♥️asagwile ♥️♥️♥️♥️♥️♥️juliusss♥️♥️♥️♥️♥️
🎉🎉🎉🎉🎉❤
Oyaa❤❤ petro weatal mwanang
Gwigwi nakupenda buree wangu
Napenda
Leonard fire
Huyu Fonabo asiposhinda mfunge hayo mashindano yenu
Namba nne nko hapa
Mrs energy
Patric umeua sn ❤️😍🔥🔥🔥
Wasenge kweli mnatuekea marudio ya nn sa mnatumalizia bando letu bbn
Woow
If only the presenter stops shouting Lina is too loud
Na kukomenti kuna namba 😄
😄😄
Mwanza lini hyo😂 nikaone live
Asagwile 💕💕
Haya sijui nisemeje
Cjui ni marudio cjui muendelezo!!!! sielewi!!!
Mwanza lini hyo 😂 nikaone live
Mutupiye video zote jamani
Huyo majed sijui nani bora katoka 😂
Mh
Watatu???
Albert waoo
Sa kama mmemtoa Alfred msipange kuja A town
Asangwileeeeeeeeee🎉🎉🎉
Fonabo Atari sma 🎉♨️
Macha ako sawa
Mbona hii n marudio
Ndio n mchongo huu hta Kal xjamuona
Mm ndo w kwanz
Julius 💥💥
Patric nomaaaà
Mbn mnafeli jmn mnatuwekeaj haya maridio tene 😒😒
Mina hips katowa wapi manzi ya chuga
Mina ni mpemba uyo si chuga
Watatuu
Tgun tozzy
Nina kipaji