Elisha amekosa mentor . Nisamehe kama nimekosea kuandika. Lakin ameshiriki 4 time . Huyu jamaa ana kipaji nafikiri angepata mtu anayejua soko la muziki huyu Elisha ni star kabisa bss najua wanaweza kumpa mwongozo wa nni hafanye. Maan mmi naona Kuna namna anaweza kutoka bila bss
Mtu akisema ukweli mnaona anasema vibaya, salama anafanya sahihi kwasababu wanahitajika 6 ukichukua kila mmoja afu mwisho wa siku unampa matumaini yasio na umuhimu unajua hapo wako wengi zaidi ya 100 afu utoe sita tu
@@marselineooko6860 but ain't possible for Tanzanian people kwasababu hawaamini katika kushindwa hata sauti mbaya ye anaona ni yupo sahihi na hii ni kutokana na watu kutokuangalia what other nation do just assume kama tungepeleka this people kwenye America got talent nan angepita hapo yaan hata yule anashinda hapa asingepata hata nafasi kule
For really Salama is too much, Try to be nice some times. Being in industry for so long it doesn’t mean you have to be too much. Look at OMMY , Master and M . Try to be nice Salama please.
😂😂where do people buy this courage?😂😂mtaniua!! Anyway if you are watching from 🇰🇪tusalimiane hapa
Haaaaaahhhhhaaaa
Salama ndo Ian wa Tanzania😂😂😂
Mimi uyu🤚. Na uliza ni ukweli ama ni comédie ?😂😂😂😂😂😂😂
Haha tuko hapa😂😂
Elisha amekosa mentor . Nisamehe kama nimekosea kuandika. Lakin ameshiriki 4 time . Huyu jamaa ana kipaji nafikiri angepata mtu anayejua soko la muziki huyu Elisha ni star kabisa bss najua wanaweza kumpa mwongozo wa nni hafanye. Maan mmi naona Kuna namna anaweza kutoka bila bss
Jamaa mjuaji kinoma season iliyoisha ktk jumba alikuwa hata anaboa
Thank you
salama rekebisha tabia , nazani kila mtu ameona alivyo pita
Dimpoz big up sana uli sakimia wana bila kujali ni watu gani
Chief judge Fanya msimu ujao usimuweke salama maanake anakatisha tamaa hata wale ambao wanaohitajika kuongeza vipaji vyao tafadhari mtafute mtu kwenye busara kidogo. Itakuwa vizuri pia kumrudisha host wetu Idris Sultan
Salama ndiye Jaji makini
@@georgeigogo9259 she unprofessional
Salama hapindishi and l love such people.
Kudadadeki 😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 omy dimpo nakupenda omy dimpo naomba niwe mtumwa wako 😅😂😂😂😂😂
Hivi Bongo search pia yaweza endelezwa mpaka Kenya sisi tutashukuru
wafanye nn uku km amuez kuza vpaj kaeni
Ombi lako limeskika season 15 ni beyond borders.
Hivi huyu salama siku aimbe tumsikie anakazana hujui kuimba yeye anajua si vizuri kumchamba mtu hivyo ety hujui this is so emotional ,😅
Daah😂😂😂😂😂😂 ommy dimpomz ni falaaa sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ommy ni comedian
😂🤣🤣🤣 mshiriki namba 3 anafanana na aristote 😆😆😆😆
😂😂😂😂
Walai 😅😅😅 nacheka
Katika show ninazozipenda bongo starch
Nakubali san chama hili la boss.
Salama na master J. mm ni moja fan base wenu muhimu
Kutoboa kwenye bongo star search nikazi unaimba huku unachambwa😂😂
😂😂walah kazi ipo
@@neemaayubu1786 😂😂tena sio kdg
🤣🤣😂😂😂😂
Hhhhh ati unaimba hapo hapo unachambwa
Hivi mmemuona salama alivyoingia jamani Hadi watu wanaogopa kumshika lol 🤣🤣🤣
😂😂😂😂Ommy Jaman eti nilijua tu😂😂😂😂😂😂eti vyen
Duuuuhhhh!!!! watu wa konde mna kazi kweli😀😀😀😀
Elisha wewe ni 🌟 ndugu yngu
Elisha nailed it...cause you are my Fantasy
Huyo jamaa watatu bro hajui kukata tamaa.. keshashiriki mara kibao alafu anaimba wimbo huo huo bana 😁😁😁
Salama acha roho mbaya Kwan ww unaweza kuimba unawavuja moyo watot wawt Kwan kama hawez kuimba cumwmbie kawaid ty mpka umseme vibaya
Official Ben bizzo from Kenya moto
Salama yuko period 🤗
😁😁😁 mganga wake
😅😅😅😅
Nawapenda sana Ommydimpoz na Rita
aliye sikia staili ya panua paja toka kwa salama like
Sio vizuri kupingana jamani Salama hapo naushauri unatakiwa kududi mtu asipate misongo mwitu
Salama anazingua sana eeeeeh...😂😂😂
Mbeya watu wengi wanavuta Bange
🤣🤣🤣
Bongo Ina vijana WA hovyo snaaaa
Ila mwaka huu master anahuruma jaman🇰🇪🇰🇪 salama wauwe🤣🤣🤣🤣
Salama don’t Know what she’s looking for 😂🤦🏽♂️
🤣 🤣 🤣 🤣 Jamani humu ndani Kuna burudani jamani 😂😂😂😂😂
😂😂😂bss kuna watu wako so funny
Ila salama jaman kama ana roho mbaya sijui ata simuelewi 😂😂😂 sometimes yes sometimes No
ommy and stick-on guy made me cry , plzzz ommy help that guy
Ila Salama jamani huwa maliza 🤣🤣❤️
Big up my friend elisha kama buti mnooo
Salama change ure behaviour maana watu wanakuogopa mnooo sio vizuri bwana daaah unakera
Mtu akisema ukweli mnaona anasema vibaya, salama anafanya sahihi kwasababu wanahitajika 6 ukichukua kila mmoja afu mwisho wa siku unampa matumaini yasio na umuhimu unajua hapo wako wengi zaidi ya 100 afu utoe sita tu
She just needs to be calm nd sensitive when dismissing someone
Mm binafsi nampenda salama na mikwara yake lakin inawafanya watu wajitahidi kufanya vizur
@@marselineooko6860 but ain't possible for Tanzanian people kwasababu hawaamini katika kushindwa hata sauti mbaya ye anaona ni yupo sahihi na hii ni kutokana na watu kutokuangalia what other nation do just assume kama tungepeleka this people kwenye America got talent nan angepita hapo yaan hata yule anashinda hapa asingepata hata nafasi kule
@@upendomorris7140 kwaiy sis ni WA america au
Salam elewa watu ni wanadamu wanamioyo pia
Mwenye kipala kanambia sinjui kuimba
Nitakuja bongo star kwa ajir ya ommy
Iyi show niya kuchekesha tu🤣🤣
Salama bana.Watching from Qatar
Salama yuko hovyo anaroho mbaya .
Ila dorin 😂😂😂unawashwa
Meena ally😂❤️ agh just love you
Honestly we need the other guy back he was funny !!
Salam anazingua sana
Jamani elisha inatakiwa ujishushe Mungu atakusaidia
Wapuuzii woteee majaji..hampendi nyimbo za diniii
hyo dem ameimba ngoma ya otile brown amenibariki
salam hana tofauti n jini kisirani
For really Salama is too much, Try to be nice some times. Being in industry for so long it doesn’t mean you have to be too much. Look at OMMY , Master and M . Try to be nice Salama please.
Sssszzzzzssss
Sssszzzzzssss
Sssszzzzzssss
S***s*ss
S***
Salam S.K ako mrude sana
Salama wewe pilipili 🤣😅🤣😅971
This Judges are really confused people with talent are been kicked out with disrespect but people with no talent wanakubaliwa how🤔🤔🤔🤔🤔
Andika kiluga chako,hizi mbungi zikaushie
Unbelievable 🧐
@@simulizitanzania2571 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Host uko na upuuzi mwingi 😂😂😂
Salama unazingua 🤣🤣🤣🤣
Tena sana
Kweli bana
Anaumiza wangine mara mbili mbili why is she there self ?simpendii ppfff
Dah huyu mkongo 52:36 wasimuache please, Anajua sana
natamani sku moja bongo star search wakose hata mshiriki mumoja ili wakome.wapuzi wanazingua washiriki
Idriss kaenda wapi munazingua sana leta Idriss apa
Unaona huyo binti anafaidi sana ..kupata fursa kuma wewee
I watching this drunk and watched ommy as khaligraph jones
Diamond platnumz si amsign elisha
8:41 Beathone 👍
29:40 background beat ya mziki gani? kwa yoyote anae ujua wimbo comment hapo chini asante.
Salama utarogwa wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anyway I love you 😘😘
Alogwa mara ngapi
@@Mina.15 😂😂😂😂😂
Noma sanaa
Salama sometime sio mnafikii
Daah
Jaman😅😅😅
BANGI sanaaa
So we all missed idriss sultan
We have really missed him, alikuwa anajua
dada salam ukovizuli san simama iviivi kwenye msimamo wako dad
Hawa judges walitolewa wapi.....😀😀I'm here for the judges baaasii
Nibora itenganishwe mashindano ya nyimbo za kidini na nyimbo zingne kuwe na pande mbili za majaji
Jamani wewe mtangazaji Kitulo haipo Mbeya iko Makete-Njombe tafadhali
Bro kitaulo vipi meena😂😂😂😂leo mm nacheka mpka basi yaani
Awape moyo watu wajitahid asa yeye ana mvunja mtu moyo
Mbn nyimbo za dini hawazpend majaji?
Salama sio poa
Ila mbeya daaaa😂😂😂😂
Salama acha kubana sana ma underground
Anaepaka kucha rangi kaniliza😢😢
Thank God Salama is not even my relative 😭😭she’s so rude
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
To my opinion she's not rude it's just that she's too straight and most people can't handle it
Mbona BSS hampelekii Kigoma au co Tz kule??? I believe that mkipeleka Kgm mta Enjoy kule kuna majini wa vocal an vocalist hatariiiiiii nendeni bx
Salama kwanini anamajibu mabaya kama hatokua na shida siku moja
Walioshiriki na kifik dar wasirudie ten tumechok kuwaona kila siku waachien wengine wapate nafasi
Kabisa
Salama analeta uhuni sana Haya mashindano hayawezi kuwa international kwa upuuzi huu pumbavu kabisa.
Salama ndiye jaji makini
@@georgeigogo9259 hawajuwi ao
We ndo huelew kinachohtajika
Salama ana mdomo hata wenzake hawapi Amani khaaa
Mbona anafanana na ARISTOTE 😄😄
the soundtrack at the begining.....name please
Wa Kwanza ameua aki
Huyu salama anaroho mbaya. Unawakatisha watu tamaa
live performance ndo tunataka kabla ya hii acheni upuuzi BSS vipande vyote tushaona weeks 4 sasa.
😂😂😂😂huyo kaka wa nivute kwako katisha
Sauti imenyooka😂😂
YAAANI SALAMA ANANIFURAHISHAAA HAHAH
Salama ananikeraaa Msimu Huu.
Salama hujamaaaa analia...hahahaha
Salama utakuja kurogwa unawakatisha sana tamaa watu
Salama unakula nn weweeee.. hyo jamaa wa Gita kaua
Meena siulikuwa waimba pia, kuliendaje?
😄😄😄😄kumbe we minaAli yan mnara hivo
😂😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅 salama mweeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu 😂🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅