TUNAYE MUNGU ANAYEJIBU- 2021 BY SIFAELI MWABUKA. SKIZA *860*132# or 8708294 TO 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2021
  • #sifaelimwabuka #254799200738 #tunayemunguanayejibu
  • เพลง

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 ปีที่แล้ว +206

    Kama unaamini kuwa tunaye Mungu anayejibu maombi yetu na umemwona katika maisha yako sema amen,
    Haijalishi unapitia kipindi gani kigumu ila amini tu yupo Mungu na anajibu

  • @lilaccalmlife
    @lilaccalmlife ปีที่แล้ว +33

    Whoever is reading this, I pray for you that God visits your home today with Healings, Blessings, and Miracles. Amen💞

  • @lawrenceravasco8124
    @lawrenceravasco8124 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera nafuatilia kutoka KENYA,,

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @joycenshala1310
    @joycenshala1310 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika tumemuona Mungu kwa macho barikiwa mtumishi wa Mungu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @tumbousu
    @tumbousu 3 ปีที่แล้ว +16

    Nyimbo nzuri sifaeli

  • @priscafrenk22
    @priscafrenk22 3 ปีที่แล้ว +10

    Waiting

  • @fredrickmbiseofficialtz5337
    @fredrickmbiseofficialtz5337 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zako mtumishi zinaupako waroho mtakatifu mungu azidikukuinua zaidi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed

  • @kenxomken
    @kenxomken 3 ปีที่แล้ว +1

    East Africa. .......jijini Nairobi kenya....nice one

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @user-rj8ft2lc8m
    @user-rj8ft2lc8m ปีที่แล้ว +10

    I remember last year when my mother passed away nikafungua television nikakuta. Ukiimba mungu anajibu maombi kwani ilikua ni halo ngumu kwangu but wimbo ulinitia nguvu

  • @ministermosiromusicofficia2435
    @ministermosiromusicofficia2435 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwabuka nimebarikiwa sana tokea Kenya hii studio yaitwaje

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu

  • @nature.forlife
    @nature.forlife 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo kuna wakati nilikua kwenye majaribu mungu wetu anajibu hakika

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @mercykivindu4279
    @mercykivindu4279 3 ปีที่แล้ว +10

    Tunye Mungu njameni

  • @merrypeter209
    @merrypeter209 3 ปีที่แล้ว +33

    Ameeeen Kaka Mungu ndio kila kitu

    • @georgemanani1341
      @georgemanani1341 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ni mungu Big up kaka l'm so blessed

    • @faithafandi5797
      @faithafandi5797 2 ปีที่แล้ว +1

      Kila siku lazima nisikize huu wimbo...,and i watch more than 3times per day,may God keep you strong for this good work so that we can receive more songs 🙏🙏

    • @mariammnyinga1132
      @mariammnyinga1132 2 ปีที่แล้ว

      @@georgemanani1341
      À

    • @magafumnaku3796
      @magafumnaku3796 2 ปีที่แล้ว

      @@georgemanani1341 lmbmi

  • @user-rj8ft2lc8m
    @user-rj8ft2lc8m ปีที่แล้ว

    Hakika unabariki moto wangu

  • @steveartist8183
    @steveartist8183 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu sifaeli umbali uu ni Kwa mkono wa Bwana,ubarikiwe

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @pasuaraha1546
    @pasuaraha1546 3 ปีที่แล้ว +11

    Nabarikiwa sana

  • @MiriamSamuelke
    @MiriamSamuelke 3 ปีที่แล้ว +24

    From Kenya barikiwa

  • @ellyopata3242
    @ellyopata3242 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kipaji chako..Nyimbo zako zinanibariki na kunihimiza hapa kenya. mungu azidi kukubariki

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu

  • @anne-suzesaturne6485
    @anne-suzesaturne6485 2 ปีที่แล้ว +1

    Tout vidéo demoiselle sa ladanl yo bel

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @Colonelbunduki
    @Colonelbunduki 2 หลายเดือนก่อน +4

    i first heard this song while in prison..ilichezwa kwa Tv nikiwa remand...ilinipea nguvu sana

  • @sheilamtuweta6769
    @sheilamtuweta6769 3 ปีที่แล้ว +19

    wah ndio hio imeanza beautiful.barikiwa mtumishi

  • @antonymkoji884
    @antonymkoji884 ปีที่แล้ว

    Kweli tunaye mungu anayejibu maombi

  • @lilianzephania2403
    @lilianzephania2403 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @paulinem767
    @paulinem767 3 ปีที่แล้ว +7

    Kazi safi sana barikiwa

  • @jumazuberihomera6773
    @jumazuberihomera6773 3 ปีที่แล้ว +21

    Hongera sana Rafiki yangu Sifael nyimbo imebarikiwa

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 ปีที่แล้ว +6

      Nakushukuru Sana Mheshimiwa RC HOMERA from mbeya na asante Kwa sapoti yako katika huduma yangu Mungu akutunze daima mkuu

    • @modestshikilana4610
      @modestshikilana4610 3 ปีที่แล้ว

      Hongera sana kwa wimbo mzuri sana, Mungu azidi kukufanya uwe chombo cha utukufu mbele zake

    • @lilianratemo5637
      @lilianratemo5637 2 ปีที่แล้ว

      @@modestshikilana4610 hhuu pp

    • @jeanhabonimana4442
      @jeanhabonimana4442 2 ปีที่แล้ว

      @@modestshikilana4610 je suis à

    • @ericbahizi6526
      @ericbahizi6526 2 ปีที่แล้ว

      Hongera kwakutunga nyimbo nzuri nakushukuru mno

  • @mutiomusyoka6502
    @mutiomusyoka6502 หลายเดือนก่อน +2

    Soo touching,akika huyu Mungu anajibu maombi.
    Mungu nionekanie katikati ombi langu.🙏

  • @BenedictoNdaheze-lt5dd
    @BenedictoNdaheze-lt5dd ปีที่แล้ว

    Amen mtumish nyimbo nzuli

  • @blessedkenya8640
    @blessedkenya8640 3 ปีที่แล้ว +9

    Tuned

  • @Rohosaficarefoundation
    @Rohosaficarefoundation 3 ปีที่แล้ว +13

    Naisubiri kwa hamu .... Big up sana kaka mkuu I wish ningekuwepo niselebuke

  • @Ngolo63-b4h
    @Ngolo63-b4h 9 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kuhani Deborah Yesu hazidi kuinua kipawa chako amina

  • @EpifaniaBigaruka
    @EpifaniaBigaruka 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nyimbo nzuri sana

  • @fidelkisoi9388
    @fidelkisoi9388 3 ปีที่แล้ว +7

    Hakika tunaye anayejibu maombi yetu

  • @ashioyaanyembe2143
    @ashioyaanyembe2143 3 ปีที่แล้ว +6

    Ooooooh yeeeeees gloooooory 😭😭😭😭😭Kwa hakika Mungu Mimi amejibu maombi yangu Nina hushuda🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏽❤️

  • @Lizik140
    @Lizik140 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema🎉🎉

  • @Danchira_dan
    @Danchira_dan 2 ปีที่แล้ว

    Powerful ukitembea Kenya tujulishwe

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu

  • @BadBoy-eg2fb
    @BadBoy-eg2fb 3 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri sana mtumisho wa mngu

  • @danielisafariofficial6009
    @danielisafariofficial6009 3 ปีที่แล้ว +7

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu sifaeli mwabuka

  • @LawrenceMwai-s8i
    @LawrenceMwai-s8i หลายเดือนก่อน +1

    Nice one no turning back

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  หลายเดือนก่อน

      Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share

  • @user-gk2rv1yw3z
    @user-gk2rv1yw3z 2 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana kaka, I really love the song,

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 3 ปีที่แล้ว +13

    Tunaye huyu
    Mungu anayejibu maombi yetu
    Barikiwa sana mtumish sifael na mkeo

  • @metrinenekesa7963
    @metrinenekesa7963 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amen barikiwa sana mtumishi 🙏❤️

  • @lilianmwaro8174
    @lilianmwaro8174 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana brother sifael Kwa huo ujumbe,,

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed

  • @susanjumma953
    @susanjumma953 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri bro, haujawahi kutuangusha be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu

  • @priscafrenk22
    @priscafrenk22 3 ปีที่แล้ว +20

    Hatimaye video tumeiona amaizing sana mungu azidi kukupa nguvu mtumishi wa mungu

    • @Nuru.Gizani
      @Nuru.Gizani 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huu wimbo umeniingia sasa❤❤❤❤

    • @MuthenyaKimanthi
      @MuthenyaKimanthi 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Nuru.Gizaniln

    • @user-vz5si1fh7c
      @user-vz5si1fh7c 15 วันที่ผ่านมา

      Lll
      ​@@Nuru.Gizani

  • @celestinealimasi4699
    @celestinealimasi4699 3 ปีที่แล้ว +6

    Wow ubarikiwe sana baba wimbo nzuri sana

  • @aughstusmasila8673
    @aughstusmasila8673 2 ปีที่แล้ว

    Wow very nice song amen amen 🙏🙌barikiwa sana wimbo safi sana 🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @joycelukumay4957
    @joycelukumay4957 2 ปีที่แล้ว

    Ujawahi famta makosa Sifael👌👌💞

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @phylvitonyamusic352
    @phylvitonyamusic352 3 ปีที่แล้ว +6

    Wow baraka teletele mtumishi

  • @lydiamuli3328
    @lydiamuli3328 3 ปีที่แล้ว +4

    wow💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽tunaye huyu Mungu tunaye anayejibu maombi🙏🙏

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunae mungu safi sana barikiwa mkuu umetisha

  • @StanslausKipemba-h6c
    @StanslausKipemba-h6c 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awabariki na azidi kuwainua.

  • @hawardmhema1873
    @hawardmhema1873 3 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa mtumishi kwa nyimbo zako nzuri zinatubariki sana

  • @paschalkiniofficial123
    @paschalkiniofficial123 2 ปีที่แล้ว

    Nashukulu Sana YESU KRISTO maana Niko na wewe

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed

  • @johnmwangi1549
    @johnmwangi1549 2 ปีที่แล้ว

    Waw wimbo mutamu Sana tunaye kweri

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 3 ปีที่แล้ว +10

    Hakika tunaye huyu mungu anajibu maombi yetu wow am blessed mbarikiwe mtumishi nice video

  • @roseemmanuel2350
    @roseemmanuel2350 3 ปีที่แล้ว +18

    Waooh hadi machozi yanishuka😭😭😭😭😭 NAKUPENDA SANA KAKA ANGU..Mshauri wangu Mungu akulinde na kukuinua zaidi ya hapo ila cha msingi sana ufike MBINGUNI🤝🙏

  • @zembojames7762
    @zembojames7762 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka wimbo nzuli

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami .thanks for your support subuscribe my channel and share to others and God bless you

  • @janeshigami8769
    @janeshigami8769 2 ปีที่แล้ว

    Nafurahi sana kumuona mamake Marehemu Steven Kanumba......

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @CharlesDaudiOfficial
    @CharlesDaudiOfficial 3 ปีที่แล้ว +5

    Amen.. hakika tunaye mungu

  • @jacquilineminja8366
    @jacquilineminja8366 3 ปีที่แล้ว +4

    Director wako ni mkali sana, kazi nzuri sana

  • @klaraaga755
    @klaraaga755 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako hunitia nguvu,Mungu akuzidishie umarifu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @MwendaCharles
    @MwendaCharles 2 หลายเดือนก่อน +1

    amenionekania mungu na musukuru i love you ❤god

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimeiona bro asante sana kazi nzuri

  • @immanada9296
    @immanada9296 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kwel huyu mtumixh yuko vzr, mungu akuinue zaid

  • @user-xw8ld1bg7t
    @user-xw8ld1bg7t 5 หลายเดือนก่อน

    So sweet ubarikiwe mtumishi

  • @janejaneffer3071
    @janejaneffer3071 3 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo nzuri sifaeli,,,

  • @anyulajohnson234
    @anyulajohnson234 3 ปีที่แล้ว +5

    Finally mchungaji has done it. Ubarikiwe Sana . Kweli tunaye Mungu hujibu maombi

  • @jacobthuo4623
    @jacobthuo4623 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Kunaye Mungu ajibuye Maombi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      Amina asante sana nakushukuru mno kwa mchango wako kwangu kusikiliza kazi zangu nakuombea Mungu akubariki sana, share na wengine wabarikiwe pia subscribe my channel thanks

  • @pamelamurungapamelamurunga3843
    @pamelamurungapamelamurunga3843 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi kwa nyimbo za mafunzo na baraka

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @rosekofficial5152
    @rosekofficial5152 3 ปีที่แล้ว +18

    I can't wait

  • @blessingmwakalindile585
    @blessingmwakalindile585 3 ปีที่แล้ว +6

    Tunaye anayejibu maombi yetu .. Ahsante Yesu 👏

  • @kaswarajacques597
    @kaswarajacques597 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe saana

  • @LYDIAH-sr7oh
    @LYDIAH-sr7oh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Thank very a nice song.🎉🎉🎉🎉

  • @isabellawangari1183
    @isabellawangari1183 3 ปีที่แล้ว +9

    Wow, amazing baraka tele.mungu azidi kukupa nguvu mtumishi.Amen

  • @namukosedamali5953
    @namukosedamali5953 3 ปีที่แล้ว +5

    From Dubai
    Be blessed 🙏🙏🙏

  • @mosesmalumbe6946
    @mosesmalumbe6946 2 ปีที่แล้ว

    Kazi safi barikiwa kakangu

  • @brntweve1289
    @brntweve1289 ปีที่แล้ว

    Santee sana mtumishi

  • @joyjune3446
    @joyjune3446 3 ปีที่แล้ว +3

    hakika tunaye mungu amina

  • @ericmutuma758
    @ericmutuma758 ปีที่แล้ว +8

    There is God in Heaven,after listening to your songs sifaeli my mother got healed in Jesus name

  • @janetmutisya5977
    @janetmutisya5977 2 ปีที่แล้ว

    Oh yes hallelujah tunaye mungu anayejibu maombi kweli

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed

    • @janetmutisya5977
      @janetmutisya5977 2 ปีที่แล้ว

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL nilisubscribe kitambo

  • @ajestinasanga4438
    @ajestinasanga4438 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kama ninavo Barikiwa Mtumish

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @jolejole3737
    @jolejole3737 3 ปีที่แล้ว +7

    God bless you

  • @rachelmgoo3946
    @rachelmgoo3946 3 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo mtamu🔥🔥🔥🔥🔥 ubarikiwe mtumish wa Mungu

  • @marcelloya7626
    @marcelloya7626 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa baba wa mungu 👏👏👏

  • @ruthgloriaobonyo
    @ruthgloriaobonyo 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli tunaye Mungu ajibiye maombi yetu🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami, thanks for your support please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @suzanfelix8065
    @suzanfelix8065 3 ปีที่แล้ว +3

    Nilipopitia majaribu wengi walisema nimemuacha mungu kumbe walisahau kuwa ninae mungu🙏

  • @anyerarichard3768
    @anyerarichard3768 3 ปีที่แล้ว +7

    Mbarikiwa mtumishi wa mungu...nice song#greetings to Mr Briani kariuki ...

  • @samuelekisa6075
    @samuelekisa6075 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mungu anajibu maombi yetu kinyume na matarajio ya wanadamu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @hellenmweu2474
    @hellenmweu2474 2 ปีที่แล้ว

    Hakika tunaye Mungu anayejibu maombi yetu.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @everythinginlife8647
    @everythinginlife8647 3 ปีที่แล้ว +13

    Hongera ndungu yangu wimbo mzuri kazi yako inapendeza Mungu akubariki 🙏🙏👏👏💖💖💖 from 🇰🇪

  • @alexkaunga4407
    @alexkaunga4407 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli tunaye Mungu anayejibu maombi yetu...Wimbo unabariki sana

  • @dduccfic928
    @dduccfic928 2 ปีที่แล้ว

    Hakika tunaye Mungu anayejibu maombi yetu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @bettynakazibwe
    @bettynakazibwe ปีที่แล้ว

    Form Uganda be blessed

  • @bevalinemasitsa5911
    @bevalinemasitsa5911 3 ปีที่แล้ว +3

    Kabisa kunaye mungu anaye jibu maombi, uwa na barikiwa n nyimbo zako sana mutumishi wa mungu

  • @sylviamutheu4333
    @sylviamutheu4333 2 ปีที่แล้ว +3

    Your songs🥺🥺🥺 they've away of talking to me

  • @philyskasaya7317
    @philyskasaya7317 3 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa wimbo mtamu sana barikiwa

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @evarestngaiza7310
    @evarestngaiza7310 ปีที่แล้ว

    Sifael hongera mi rafiko Yako ngaiza

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  ปีที่แล้ว

      Asante sana na Mungu akubariki sana,thanks for your support and be blessed more!

  • @marylogedi105
    @marylogedi105 3 ปีที่แล้ว +8

    Asanteni kwa wimbo muzuri sana🙏👍🥰 Mungu ahimidiwe ,atukuziwe kwa kazi zote anatenda ❤🤗

  • @maurineken7630
    @maurineken7630 2 ปีที่แล้ว +4

    Wow nice song much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @zaburonimeshacki5917
    @zaburonimeshacki5917 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi mung azid kukutumia