Umeimba vema mkuu wangu sema nashauri kwa nyimbo za kuonya kama hizi za kuonya hivi wanawake usiwavalishe suluari nimaoni lakini mkuu ila hongera nime like nimesabscribe pia
Ila nisamehe kama utanielewa vibaya na nikupongeze yaani umeiba vyema na mfano mzuri wa senga na anavyo jua kuekiti basi umepatia nadhani ujumbe wako wameelewa wengi wale manabii wakigaili hela za mboga wanawaza kua manabii basi wamepata ujumbe
Nampenda sana huyu baba anajua kuact😂😂😊😊more love from Kenya 🇰🇪 Daddy may God continue protecting you and blessing you 🎉❤🎉❤you always put smile on my face 😊 ☺️ ❤️
Team strong wenye twasema na akina waigiru iko wapi like ya Anoint from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 like plz
Nabii mtapeli hio ni ukweli sikuizi wanatumia kazi ya mungu vibaya wambiee waskie nimebarikiwa
Kiboko cha wachawi kula chuma icho😊😮😮😢😢😢
Jaman
From Kenya sijawai pata likes Kwa nyimbo zako😢 am ohangla gospel rhumba kazi safi my brother nipewe likes mukinifuata youtube 😅😅😅😅
Pia huku mko
😮😂❤ 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@@jjkinara6576 every one is an ambassador 😂😂😂😂 tunawakilisha kila pande mkuu
I will follow you
🎉🎉🎉❤❤ Gods work iendelee
Wimbo mzuri San Kwa nabii wa uongo🎉🎉🎉 pokes Maua yak mtumishi🌹🌹🌹🌹
Mungu asante Kwa kunifungua macho ya kiroho ...tusome bibilia jameni ..yaani unapata watu wako brainwashed hawezi wskajua ukweli...asante yesu.
From kenya, naomba utuletee zaidi nyimbo kama hizi zinafunza mengi na mungu akulinde
Anton Safi nimeipenda hii 🎉🎉🎉
Walioingojea video kwa hamu gonga like
Mungu akubariki msanii❤❤❤❤uishi miaka mingi kwa hii dunia❤❤❤🎉🎉🎉
Finally wimbo wa manabii feki inaendelea kuwafikia kwao,,barikiwa sana mtumish point taken ❤❤
Hii moto kabisa. Go go go go goooooo...... Nabii fake Kula Chuma hichoooo
Nakubali mwanao kazi iko nzuri mama
Mungu ndio Jina lake 🙏🙏
Anointing Aman King of Gospel...Watanzania na wakenya nipitieni twende UKAMBANI❤❤❤
Hongera❤❤ hongera❤❤❤ hongera msanii❤❤
Congrats wakule chuma hicho manabii wa uongo
Bwana Esau, hongela sana. Kwa Wimbo huu!
Jamaaniiiiiii😂😂😂😂 ameze kabisa hâta kikiwa chamoto❤❤❤❤❤❤❤
Jamani huu wimbo unaupako hakika Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri sana,,,Nawependa sana kutoka kenya Maua yangu ndo hiyo❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉🎉🎉
Ukisikia chuma ndo hiki sasa,mtumishi chukua maua yako🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe sana kwa nyimbo nzuri.
Wape vidonge vyao.wamezidi kuwatapeli watu wa Mungu.keep it up!
Yaaaah good job,nitakutaf
Fact be told,,Annoint wewe ni mtoto wa mungu. Barikiwa milele. Ishi kumtukuza mungu na usibanduke kamwe. Maanake kitakuramba. Tunakupenda sana.
🎉🎉🎉🎉 good 👍😊 work
Wale tumeletwa kutoka Facebook tukutane hapa😂❤
😂 umejuaje
Heheheee hii Ni tofauti sana hata kudance,Ni Rose muhando kabisa.🤣
😅😅😅
Hahaha tuko hapa
Kula chuma hicho,hiiii imeeenda😂😂😂😂 Anoint Amani hebu akuje kenya
Hata hapa Germany tunakwenda kabisa barikiwa Mtumishi
Florence ❤❤❤❤❤❤
Hongela kijana ujumbe mzuli Sana
Loving you from Kenya 🇰🇪 🇰🇪
Wee na unaimba sana Jitu la Mbinguni 😅
MUNGU NI MWEMA KING KASOLO 💪
Nice one hiyo niukweli
🥰🥰🥰aky hii wimbo n smart kama mwenyewe
Kazi yako ni mzuri kab😂😂😂nakupenda bro 🙏🙏🙏
Hongera 🎉🎉 moto moto wimbo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kulaaa chumaaa ichooo kibokoo ya wqchawiii
Waaah Moto iyo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kenya iko pamba na wewe kijanaa
Maboya tena.hakuna kitu pale .wote ni wale wale tu.
Yaaa Kasi njema wambie awasikii❤
Ongera mwanangu we una tisha balaaa.nazipenda mimiii
Wamejaa kila mahali sadaka ndio wanataka wakule😂😂😂😂😂😂😂washindwe mungu yuko karibu kurudi😢😢😢😢😢😢
Amen amen 🙏🙏 daddy wangu wakipeke 💃💃💃 lakubaliana na wewe daddy uko juu
Frère vraiment ni kweli ❤
Mi sijawahi kupata Like hata Moja
Jmn anoint namkubali sana simu yangu imejaa nyimbo zake ubarikiwe. Na Mungu
Can i prophesie😂😂😂 mungu akuzidishie mtumishi wa mungu
Kazii nzurii home boy Mbalizi yetu inajivunia wewe
Amen 🙏 umenigusa waaaaaaaaa hatari mungu akubariki Sana akutende mema siku zote wakenya wapi like 🎉🎉🎉
Pst josphine kiprop eee nikweli nyimbo ni..baraka🎉🎉🎉❤❤❤
Ni kweli siku izi manabii wengi hawakemei dhambi wanajifanya wanafanya miujiza wanapotosha watu hawasemi ukweli
Barikiwa sana,,,walishe chuma hichi🎉🎉🎉🎉
Imeenda kabisa paka uku Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
Hakuka kwa Yesu kuna rahaaaah saaaan❤❤❤❤❤
Wale chuma icho wamezidi amina mpendwa kazi nzur ubarikiwe
shetani kula chuma ichoo hongera sana baba angu mungu azidi kukutumia kwa mengi
Goooooooooood !!
Hila senga jamani😂😂 me nakukumbali san❤❤
Ameen Ameen Ameen from Kenya 🇰🇪
Nmeipenda congratulation my kakaa Blessed
Ukweli nabii fake wakule chuma hicho😊🎉🎉🎉❤❤❤❤
This song oooooh...I wonder eishhhii.. powerful na hawa siki
Aman hongera sana mungu AKUPE MAISHA marefu
What a wonderful song wow✅✅✅✅✅
Imeandikwa kuwa nyakati za mwisho kutakuwa na nabii feki na Wakristo watakimbilia miujiza kwa nabii feki kuliko kufuata njia sawa. Matthew 7:14-15.
Amin
0:52From kenya love annointt aman
Safi sana Annoint much love from Kenya
🎉🎉🎉
Yeeeeeees 🎉🎉❤😂😂😂 keep going dear friend 💞 hallelujah 💝 🙏🙏🙏
What a wonderful song . Jameni nipe like zenu ndugu zanu wa kenya . Sisi tuko south Africa 🇿🇦 tunawapata
Wauuuu hi imeenda kabisa ubarikiwe sana
Nani kaka wewe wooooow🔥🔥🔥🔥🔥 wachome kabisa daddy 🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Wimbo una jumbe mzuri ilauwasilisha wa shetani,mungu hawezi kuwa radhi❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Huu wimbo ume nikumbusha istoria ya nabibi kijana n'a nabibi mzee mimi ni Kasay Baraka from Beni town Dr Congo
Wimbo wa baraka sana,umenifanya nijurudie sana🙏🙏🙏🙏 .Barikiwa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I'm so proud of you Annoint , what you say is true. God bless you man ⭐⭐❤💙🇧🇫
Huu wimbo Yule😌
From kenya ii nayo imeenda 👏
Filamu iii ikisha isha apana tena kutu fanya tena mambo za uchawi sie wengine kuwa tunaziogopa sana 🎉 mukiendrleya huwa hatuta wa fwata tena!!!!😊
❤❤ hallelujah 🙏🙌 ujumbe umefika huku Europe 🌍😊
Waaaoo nukuri urampimbara ahubwo uzuze muhira unyigirize abana
Amen, from kenya
So powerful💖song
Barikiwa sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nimependa saana.mungu nimmoja kaimba kwaniaba yawote.WALE CHUMA HICHOO
Mungu akupe kibali katika kazi ya kwako🎉🎉🎉
Wow nice one mtumishi wa Mungu
Wimbo una ujumbe mzuri ila uwasilishaji wa shetani, Mungu hawezi kuwa radhi na wakata viuno na secular dance
Sawa kabisa
Kabisa yani ...ujumbe hauendani na uwasilishaji wake
Hivo viuno vya nn kwenye kazi ya Mungu.
Anamtukuza shetani
Hongera Kaka angu kwa KAZI nzuri
Hiyo verse ya mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Kwanza hapo vile umesema mgogo wewe umeweza kabisa enyewe hii imeenda
Umeimba vema mkuu wangu sema nashauri kwa nyimbo za kuonya kama hizi za kuonya hivi wanawake usiwavalishe suluari nimaoni lakini mkuu ila hongera nime like nimesabscribe pia
Ila nisamehe kama utanielewa vibaya na nikupongeze yaani umeiba vyema na mfano mzuri wa senga na anavyo jua kuekiti basi umepatia nadhani ujumbe wako wameelewa wengi wale manabii wakigaili hela za mboga wanawaza kua manabii basi wamepata ujumbe
Pia kwa nyimbo za kukemea tabia mbaya za manabii asingeingiza na kumsifia nabii wake humo maana anafanya nyimbo ionekane ni ya majungu na siasa
Bora wavae surual kuliko vmin maana hazjawabana
Wavae nguo za heshima sio kimini Wala suruali
@@pomyale2952Hao aliowataja ndo waanzilishi wa mitume na manabij Tanzania ,Wamejitaidi kulinda ukrsto ndo maana amewatolea mfano 🙏
Good work Annoint we love you song's
this is more fire...kulaa hio
Nampenda sana huyu baba anajua kuact😂😂😊😊more love from Kenya 🇰🇪 Daddy may God continue protecting you and blessing you 🎉❤🎉❤you always put smile on my face 😊 ☺️ ❤️
Mr.Senga❤
Wazanzibari wapi like jmn
Hongera kwako ndugu nyimbo zako karibia zote zinafundisha na kuinjilisha
Umeidance Vizur nimependa video iko highlights
Another level kura chumahicho
Hii nyimbo iko namafusho kweli mm natoka kenya likes.song
Kaka tatizo moja2 unaka mauno wewe umeokoka cheza kwanizamu
nyimbo nzuri saana ila nashauri mauno yapungue au yaatolewe Bro ❤