MTUKUZE MUNGU TU.BY SIFAELI MWABUKA. SKIZA sms SKIZA 69311525 TO 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2019
- #254799200738 #sifaelimwabuka
Music by sifaeli mwabuka performance MTUKUZE MUNGU TU (©) MWABUKA MEDIA LTD 2024
Subscribe for more official content from Sifaeli:
/ sifaelimwabukaofficial
Listen to Sifaeli mwabuka
TH-cam: / sifaelimwabukaofficial...
Audiomack: sifaeli mwabuka
Apple Music: sifaeli mwabuka
Spotify: open.spotify.com/artist/1o3pL...
For more information booking Sifaeli mwabuka
: WhatsApp+255769553055
call. +254799200738
Email: mwabukamedia@gmail.com
©2024 MWABUKA MEDIA LTD,all lights reserved - เพลง
Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!!
youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET TH-cam
onerpm.link/818041537428
Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS
SKIZA DIAL *811*117# OK
onerpm.link/392578501032
SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE
DIGITAL PLATFORMS
SKIZA DIAL *811*457# OK
±254799200738
HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all.
th-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/w-d-xo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
😅
Wenye tunaskiza hii ngoma 2024 nipeni likes😊
Be blessed
Wenye wako uku 2024 nipeni likes tukisongo,,, 🇰🇪twende nalo
Pamoja ❤
Watu WA 2024 tupeane likes
❤ goma zuri sana
Let's gather here again, the year is 2024. Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2023,,Munipe likes,,My son his form four candidate,,, Was dump with the father,, And promise to pay school fee when was joining form one,, At last he refused to pick my calls and block me 😭 😭😭😭😭 This song really encourage me,, To make my son dream come true....
Amen
😂nmeona sababu ulidumpiwa
❤❤❤amen
Ni gani hio😂😂@@Anto-ml4th
English was englishing😅😅😅
Simama tukuze Mungu tu.. wimbo wapendeza zaidi pia una mafunzo tele.
Kutoka 🇰🇪 tuko pamoja.
Hii wimbo mtoto wangu anaipenda Sana na ata ajafikisha mia mbili ukieka anajua simama simama mtukuze mungu mungu akubariki Sana na uzidi a
Kubariki wengine kwa nyimbo zuri
Mlungu akubariki sana kwa kutuinua kwa nyimbo safi.
Wengine wamekufa hatujui tutaonana nini😢😢wewe uko hai MTUKIZE MUNGU TU🙏🙏
Amen mungu Ana makusudi niweepo leo amen mtumishi wa mungu.
Oooh kweli mungu ametutoa mbali nikisikia hii wimbo roho inakaa kalibu na mungu sababu amenipigania sana mutumishi..... mungu akubaliki sana nyimbo zako.....lo!ubalikiwe na mungu akupe afya njema maishani
Amina Asante
mungu ni mwema kila wakat Kila sehem atukuzwe
Nimefiwa na mwanangu but this Song imenifanya nimsifu Mungu tu kwa yote ..God I thank you for everything
Hakika nyimbo zako ndugu ni mahubiri kwangu barikiwa sana ili uendelee kutuletea ujumbe mzuri kila siku. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
Napenda Sana kuskiza nyimbo zako huwa zanijenga kwa mambo mengi, mungu akupe uzima uzidi kuendeleza injili
Kila cku nikiamka asubuhi lazima nicheze huu wimbo kabla mume wangu aende kazini ,, 🙏🙏🙏🙏🙏
Nikiwa chini naweka nyimbo zako sinanitia moyo
Amen. MUNGU akubariki
Yani navyokupenda sifael Mungu ndo anajua napenda nyimbo zako sana zinanibaliki
Mungu akupe zaid
Amina
Ubarikiwe Mtumishi hakika nitakutukuza MUNGU
Mtukuze mungu kwa kila njambo ndiye Ebenezer
All the way from tiktok 🎉🔥💥💥💃💃🕺
Napenda nyimbo zako hunibariki sana,nashukuru ndugu zetu watazania, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakuombea meam mungu akuonekanie saidi .coz nyimbo sako snanfundisa moyo wangu
Vile ulivyo Simama simama mtukuze mungu tu,mungu akubariki
Amina nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu
❤❤Mungu azidi kukuinua sifael
Ubarikiwe Kwa nyimbo ñzuri 🙏🙏
Mungu atuongoze kwani safali tulio nayo Ni ndefu mungu atusaidie like zenu watumishi wenzangu balikiwa
Vile ulivyo Ni mpango wa Mungu uwepo na si mpango wa mwanadamu hivyo mtukuze Mungu tu aliyekufanya uwepo Leo maana wengine hawapo hatujui tutaonana lini,wengine wanalia,wengine wamelazwa n.k lakini wewe uko mzima simama MTUKUZE MUNGU TU
Amen
Nitumie kwenye Watsap video hii mkuu
0766492798 Tedi
SIFAELI MWABUKA. Aminaa mtumishi uzid injilisha kupitia nyimbo
@@naomijohn6041 amen
Nafurahishwa sana na nyimbo zako zinanipa tumaini yakuendelea na maisha kama huu wimbo mm ninani
Amen amen ninakushukuru kwa kufuatilia kazi zangu Mungu akubariki usiache kushare na wengine, Amen thanks for watching my video God bless you more end don't forget subscribe my channel
Kupitia hisi nyimbo kweli naona mungu anawesa
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Napenda saana Nyimbo zako..wapi likes za wana Qatar......mungu akubariki sana
Hii ngoma inanikumbusha far God bless you .
Mungu akulinde usindi kutupa menono ya mwenyezi mungu
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
Nasikliza hii wimbo nikiwa hapa Somalia 🇸🇴, na sitarudi nyuma 😮
Nyimbo zako zinaniguza xana keep it up
Safi sana mkuuu kazi yako ni njema
Jaman nyimbo nzur maneno mazur napenda Sanaa mungu aendelee kukuinua mtumichi❤️
Still listening 2024 so hot ❤❤ Asante Mungu kwa zawadi ya uhai 🙏
Amina. Barikiwa sana
Mungu ako na kusudi nami nko uhai nakushukuru Mungu wangu kwa kunitoa mbali
amen
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL nilisikiliza hadithi yako kwenye kituo fulani hapa nchini Kenya, ilikuwa jumapili iliyopita ndani ya Milele FM radio
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL hadithi yako ilinitia nguvu sana
Malango yako yafunguke katika jina la Yesu
Hongera kamanda hujawai kukosea wimbo mtamu unabariki.
Hii nyimbo imenitia moyo sana...nakushukuru uliekaa ukatunga nyimbo hii....dunia hii inamajaribu sana bora tushnde makanisani tukisali#tumtukuze mungu tu
Kabisa
Inanipende za
Mwezi 6 from kajiado like zangu 🙏
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Baba. Ubalikiwe Sana Mungu akuinuwe zaid baba twakuombea
Wimbo uliojawa na utajiri mkubwa wa Kiungu
Nimebarikiwa nilivyo ni mpango wa mungu tuu
Mungu akubariki karibu kwenye channel TH-cam yangu Mungu akubariki na usikose ku subscribe asante
1w1
Nyimbo zako nizakubariki mtu, much love to God 🙏 from kenya
amen be blessed more thanks for watching and subscribe my channe
Nime barikiwa
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
MTUKUZE MUNGU TU hakika
Nlikuwa naisubr hii video jamanniiii barikiwa sana mtumishi wa Mungu
A dedication to all working in gulf countries mungu kwa yote😍😍😍😍😍😍mob love guys
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL cjt
kama sio mungu maadui zangu wangenimaliza
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL mungu akusaidie upate neema itokayo Kwa mungu
Bado nakupenda sauti tu ulibarikiwa.mm uskiza nyimbo zako zinaniguza
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
Hakika simama mtukuze Mungu tu. Nitamtukuza Mungu wangu
Mungu akupereke viwango vya Juu Sifaeli unanibariki mno mtumish wa Mungu ..
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
uko vizul mtumish wamungu mungu akubalik
Amina ubarikiwe sana
Ujawahi kukosea mtumishi wa Mungu..... I salute you... umenifanya ninunue redio niiweke kazini kwangu kisa tu nisikilize nyimbo zako zenye jumbe safi za kumtukuza Mungu
I juju ujbgr
@@raissaalimasi1704 pow nunua
❤iii😂o0o❤o❤000ddcc
Nitasimama kumtukuza Mungu siku zote za maisha yang..barikiwa mtumishi kwa nyimbo yeny ujumbe umenibariki
3. Shule la uchungaji ni mahali tu ambapo watu hujifunza mbinu za kuchezea saikolojia ya watu. Mnaona ? Wanajifunza hali na mwenendo za watu. Hii yote huitwa uchawi. Na hiyo ndiyo wanaficha watu [Kc.2v1-3] [Kc.57v8]
1. Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.
Wau imeniguza bro mungu abariki
Napenda sana nyimbo zako mtumishi wa mungu,,popote naishi kuloose hope naingia TH-cam natafuta nyimbo zako nafeel roho yangu kupona again. Yaani yale magumu yote ninayoyapitia nyimbo zako sinanitia moyo sana may God bless you always.
Hakika ni Mungu Kwa umbali nimefika, kwangu ni Ebenezer, ACHA nimtukuze
Mungu aendelee kukwinua mtumishi
This song brings hope in thé life.
Nakukaribisha kwenye channel TH-cam na Mungu akubariki katika maisha yako usikose ku subscribe asante
Sema nami nakusikia mtumishi wa Mungu
We umetumwa na mungu utuhuburie kupitia hizi nyimbo wacha mungu akusaidie
Amen nitamtukuza Mungu ......nitamtumikia .
Amina hakika ipo nguvu katika kumtukuza mungu
Asante huu wimbo na Mimi ni nani. Havitoki masikioni mwangu kwani ndio rafiki wa karibu ninae ongea nao saivi. wapo marafiki lkn nakuwa mpweke sana lkn hizi nyimbo ndio naongea nao.
Asante Mtumishi. Mungu akuinue zaidi na zaidi
Vile ulivyo ni mpango wa mungu
Hongra kwa huduma.nzuri ubarikiqe
AAAAAMEN KUBWA MUBARIKIWE SANA KWA JINA LA YESU
Amina ubarikiwe
Amina mtumishi wa mungu by hosea
Wewe simama simama mtukutuze Mungu tu😍. Ujumbe konkii ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako huwa zinanibariki sana
hallelujah yesu wangu Simba wayuda you are only my father in heaven hallelujah amen ❤️❤️❤️❤️❤️
Be blessed
Mungu akutie nguvu jameni nabarikiwa sana
Amina
Yaaaan duu kakaa u real bless me jamanii jusajighwaa fijooo daaaaa ULYIMBO LWAKO LILINUBHUMI FIJOO...DAAA KIU YANGU TUSIPOONANA TENA APA DUNIAN BASI TUONANE BANDALINI KULE
Hongera kwa wimbo mzuri simama mtukukuze Mungu tu
Vile nilivyo ni mpango wa mungu asante mtumi,wa mung balikiwa Sana
Natazama hii wimbo nikiwa macha na sirudi nyuma kamwe🎉🎉
Sauti safiiiii
Wa kwanza kuangalia na kukoment! Naomba like zangu please🙏🙏🙏🙏
AMen 🙏 ❤ be blessed all singers
sehemu kutoka Kacou 6: Ufunuo kuhusu unabii wa Matayo 25:6
14 Katika mwanzo Mungu alitumika na watu ambao waliteseka sana duniani, Katika mwisho, Mungu anatumika na aina ya watu ambao waliteswa sana duniani... Na ni mwanaafrika ndiye Mungu atainua ili kutimiza unabii huu. Ndiyo maana nafikiri kwamba mtu hawezi kuwa mtetezi wa nchi isiyo yake.
19 Na hakuna mtu anayeweza kumtumikia Mungu juu ya uso wa dunia nzima isipokuwa tu anakumbusha kile Mungu iko anafanya hapa. Ndiyo maana nachukia wakiinjili, wabaptisti, wafoursquare, na kadhalika... Nami nawaonya jihadharini nao! Hatuna sehemu pamoja nao! Msiwe wanafiki na msiunde mapambano mengine dhidi yetu! Wao ni kunguru. Na tai zinapopiga kelele, makunguru nayabaki kimya. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. Unapo mhubiri muislamu au mukatolika kwa kumtuma katika kanisa la wabaptisti au la wapentekosti, basi umefanya nini? Ulibadili tu mfungwa seli gerezani. Ni lile lile zizi moja la Shetani. Na wewe ni sauti ya vurugu dhidi ya kile Mungu anachofanya hapa! [Kc.108v21]
#PKPCHANNELTV
51. Mimi Kacou Philippe, sikufa msalabani kwa ajili yako lakini mimi ni balozi na mpatanishi kati ya Mungu nanyi leo hii, mimi ni msemaji wa Mungu leo hii, ninashika funguo za Mbingu na wakati mimi ni hai duniani, hakuna mtu anayeweza kuokolewa isipokuwa tu kupitia mimi. Balozi sio roho fulani wala maiti bali mtu aliye hai. Maneno yangu peke ndiyo maneno ya Mungu yenye uzima kwa wokovu wako leo hii.Manabii ni miungu katika mwili wa mwanadamu, ndiyo maana maneno yao ni neno la Mungu. Na unapaswa kumpata nabii aliye hai wa wakati wako kabla ya kufa kwako na yeye ndiye atakujulisha Mungu. [Kc.95v1] [Kc.136v37]
1. Je! Mmeona mpango wa jengo maarufu la kidini la Abidjan, Kanisa Mtakatifu Paulo? Ni wavu iliyozinduliwa na Shetani. Na hii ni picha ya majengo yote ya Kikristo nje ya Ujumbe huu. Yote ni nyavu za Shetani. Mbali na ujumbe wa kinabii kutoka kwa Mungu, hizi ni nyavu za Shetani. [Kc.1v9]
#PKPCHANNELTV
1. Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.
Mungu akubariki kaka mwabuka wimbo ni mzuri sana yani
Thank you so much for your encouraging songs..God bless you Ndungu.
Haleluyaa yatupasa tumtukuze MUNGU kabisa !AMEEEN
Wengine hawapo hapo sasa Baba angu amelala Leo huu wimbo unaniliza sn jamn cjui tutaonana lini umejua kunigusa kakaangu mungu azidi kukuinua milele daima
Nasikia raha sana nikisikiliza nyimbo zako😂
Before Mom passed yesterday
Tumeskia this sweet song till the end
Eiiiii Rest In Peace 🕊️ Mom
Haya kaka Mungu akubariki Sana kazi mzur, saut nzur Hakika Uko na baraka kubwa Sana
Wimbo huu umenibariki sanaa Amina
I real like your songs they are blessing
Jinsi ulivyo simama mtukuze mungu,apewe sifa mungu wetu kila siku.
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Nashukuru Mungu Kwa waimbaji kama nyinyi,nazidi kupata tumaini katika hii safari.
Nitasimama nimtukuze Mungu siku zote za maisha yangu. Amenitendea mema maishani mwangu.
Amen 🙏🙏 23 ♥️
Safi sana jembe unatupa raha
Mungu ❤❤❤❤❤ hallelujah
yesu mtuku lala this byoutil amen
Jinsi nilivyo, Nakushkuru Yawe. Barikiwa mtumishi, wimbo nzuri wa kujipa moyo.
Sifael,wewe ni mbarikiwa.Jina la mungu liimidiwe.
Na ilike waaah
Ubarikiwe
Nilikua nausubiri huu wimbo
Have you been up since we have a look and let me to do with it. It is so much for all the best way togo. I will have to be the
Ntamtukuza Mungu tu hakika Asante mtumishi wa Mungu wa ukweli isiye na mbwembwe
AMEN AMEN, ALL GLORY AND HONOUR BE TO GOD FOREVER AND EVER AMEN
Thanks for following up with my work. Please like, subscribe and share with others. Be blessed.
Mungu aendeleye kukuongeza ngunvu
Amen. Be blessed
Kazi nzuri mwabuka
Wimbo uko poa sana melodi za kutosha na vocal kama lote congeraturation my bro and god blees you (wewe simama mtukuze mungu tu)
Tutukuze Mungu kwa neema na fathili zake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪naskizanga nyimbo zako nikiwa
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Ubarikiwe mtumishi mungu ni mungu
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Mungu awabariki Sana kwa ujumbe huu muhimu sana. Unasaidia mwingi.
Vile nilivyo ni mpango wa Mungu niwepo kweli mtumishi baraka nyingi kwako Mungu azidi kukuinua katika kazi ya kumtukuza Mungu
Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼
This song makes feel very humbled...lots of love from kenya ❤