Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Video) SMS SKIZA 8633371 TO 811 TO GET THIS SONG
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 มี.ค. 2018
- Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Music Video)
Hauwezi Kushindana was inspired By Philip 4:6. The song is off Goodluck Gozbert's New Album "Shukurani"
Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": • Goodluck Gozbert - Kin...
Follow Goodluck Gozbert
Instagram: goodluckgoz...
Subscribe to TH-cam Channel: / @gozbertministries
Credits:
Audio: Produza Paulo
Video: Director Destro
Hauwezi Kushindana Lyrics
Hauwezi kushindana, oh kushindana
Na mwanadamu mwenye kinywa
Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
Ukiendelea unawapa kichwa hao
Basi laza imani rejea vitani
Wakikuona waseme umekuwa sugu
Acha waongee acha waseme seme
Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo
Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno
Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea
Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
Ungejifunza ukimya haunanga hasara
Fulani we fulani una shida gani
Na uongo wanini Mwogope Mungu
Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
Mimi nimeshakwambia
#GoodluckGozbert #GozbertMinistries #HauweziKushindana
Wangapi tuko uku 2024.gonga like apa tukisonga🎉❤
Am muslim bt hii nyimbo nilikuwa naiskiza sana coz ilinipata mimi hadi mandungu hadi marafiki lakini mwishowe mpaka baba watoto aliniacha lakini nami mungu haachi. Mja wake leo niko mbali another country nashukru mola
Wenye umekuja hapa kuskiza huu wimbo leo May 2024 gonga like na ubarikiwe sana na ushikilie imani ya mungu🎉🎉 hallelujah
Jamani wale tunao sikikiza his nyimbo 2023 tuko wp kama hii nyimbo inakufalij weka like
Sitachoka kukoment huu wimbo .Kila mwaka lazima ni Comment👏👏💗💗
kama unamkubali gonga like yako hapa please Thank
We kaka sauti tu Mungu kwely kakubariki nayo daaah kazi nzuri sana ... Gonga like kama una mkubali Goodluck 👍👍👍
hawa watu wa👎 mbona hamskizi ujumbe uliobebwa kwenye wimbo... God bless you Gozbert,am a Muslim but can't stop listening to your songs....
Am here 2024 ni nyimbo Bora yawakati wote tunasemwa jamani lakini huyu Mungu nyie acheni tu🙏🙏
Kenyans gonga like tukiendelea kubarikiwa.....
2024. Hoyeeeeeh❤
800 years of blessings to everyone who likes this with faith ! ✨
Wenye tuko huku 2023, nipeeni likes🔥🔥🔥
Hongera sana brother ❤huu wimbo una historia kubwa sana katika Maisha Yangu😢💔❤️❤️❤️🥰01.02.2024
Aki hiii nyimbo sijui ni mm pekee naskia rahaa aki juuu utamu uko kwa hiii nyimbo wacha tu 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉napenda nyimbo pls na mwenyewe nyimbo 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉love you from kenya 🇰🇪 God bless you brother 🙏 ❤️
Nawashukuru Sana Kwa Kutazama Ujumbe Huu Kupitia Ukurasa Wangu Huu wa TH-cam,
Juu wimbo unanikumbusha maali nimetoka.hadi natokwa na machozi nikiusikia
Iam here because this song really touches my husband and siz......and its beginning to roll my tears down😢😢😢
Kupigwa Vita ni kawaida isikusumbue, wewe Ni mti mwenye matunda zoea mawe. Am encouraged
How many Kenya's are listing for this song July 24 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakurugenzi let us vote in peace we need peace this coming Election