My favorite artist with my favorite songs asante sana Mtumishi kwa nyimbo tamu za injili zinazonibariki sana ninapozisikiza. Mungu azidi kukubariki na jamii yako yote rudiako ile ya 'Neema' ❤️💚🔥😊🙏🏾
Basi bwana kwa waliobahatika kusikiliza huu wimbo huyu ndie msanii wa nyimbo za injili zenye ujumbe aliyewahi kutokea nchini Tanzania 🇹🇿 mnamo mwaka 2024
Yeyote aliyehusika kwa masomo yangu nasema asante especially my dad was a teacher,na yeyote aliyehuska kuharibia huyu mtumishi jina atii amekufa accident may God forgive you
Leo niko nje kidogo na nyimbo ya leo ... Mimi nakupa pole na mambo yaliyoyokuwa yakiendelea hapo kati. Nakuombea uishi miaka mingi sana pia nakupenda toka utoto wangu.
Apa Saudi Arabia wanibariki sana Mtumishi wa Mungu,Mungu azidi kukupa nguvu,hekima na kibali kwa utunzi wako bora wa nyimbo za baraka za injili 🙏🏾😊🙏🏾❤️💚
Asante sana ndugu Bonny Mwaitege kwa wimbo huu "Mwalimu" nimeupenda sana, nami ni mwalimu sina cha kukupa ila nakutakia maisha marefu kutoka kwa Mungu. Umenikumbusha mwalimu wangu wa darasa la kwanza
God bless you mwaitege. Your songs imeleta baraka kwa maisha yangu,' mungu akuongezee miaka mingi uishi dunia hii uendelee kuubiri injili ya yesu christo
I didnt further my studies cz of finances but am grateful for teachers being part of my life i can express myself in a crowd with confidence and th3y also looked after me while away from my parents in school may God bless you abudantly
Yani watu walikuwa wanauwa mtumishi wa Mungu hivi kwenye mtandao yet alikuwa behind the scenes na song tamu hivi,ubarikiwe uishi miaka mingi sana ❤from kenya we love you with my entire life
Hii ni kali wallahi ,naskiza hata twenty times but sitosheki aki woow very touching song dedicated to our teachers 🎉ubarikiwe mtumishi wa Mungu nyimbo zako za bariki
Kama unapenda mwaitenge nipe like nitashukuru 🙏
❤ bien papa bonny je suis enseignant en RDC je suis très intéressé de cette dernière
Napenda sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My favorite artist with my favorite songs asante sana Mtumishi kwa nyimbo tamu za injili zinazonibariki sana ninapozisikiza. Mungu azidi kukubariki na jamii yako yote rudiako ile ya 'Neema' ❤️💚🔥😊🙏🏾
Bonnie hii ni heat song of the year wapende wasipende ❤wa likes ya Kenya jameni
c nlckia amekufa
c nlckia amekufa
Congratulations 👏🎉🎉🎉🎉🎉
KAMA UNAKEMEA ROHO YA KIFO ILIYOZUSHWA KWA BONY WEKA LIKE HAPA 👍
Hii NI Kali mtumishi be blessed 🙏 wapi like zangu
Live long bony mwaitege ❤❤ nyimbo zako zina mafunzo sana 🇰🇪🇰🇪
Kenyan' ndani ya nyumba letini likes za mtumishi wa mungu hapa❤❤❤ maisha marefu kaka na nyota yko iendelea ngungaah! Walimu mungu hawabariki sana😊😊
Basi bwana kwa waliobahatika kusikiliza huu wimbo huyu ndie msanii wa nyimbo za injili zenye ujumbe aliyewahi kutokea nchini Tanzania 🇹🇿 mnamo mwaka 2024
yan walikua wanataka wazike nyota yako mapema hivo...kwa iman neema ya Mungu iwe juu yako kwa kila hatua unayo chukua
Imagine na hawajui kuimba, washindwe
Mimi ni mwalimu na huu wimbo nimeupenda sana una mafunzo mazuri na umenibariki
Mungu awabariki sana walimu wote waliochangia kwenye safari yangu yakujua kusoma nakuandika vzr❤
Bwana akabariki KAZI ya mikono yako
Mimi leo ni engineer, lakini mpaka leo nakumbuka kazi ya walimu wangu, kufika hapa sio mafanikio yangu bali ni mafanikio yao... Walitaka nifike huku❤
Nzuri sana mtumishi wa MUNGU bonny mwaitege
Nice one ❤❤❤❤❤❤🎉
Wakwanza...courage Freddy from DRC CONGO 🇨🇩
Nairobi Kenya well presented... mwalimu barikiwa... Kali sana
Yeyote aliyehusika kwa masomo yangu nasema asante especially my dad was a teacher,na yeyote aliyehuska kuharibia huyu mtumishi jina atii amekufa accident may God forgive you
Ubarikiwe kaka angu Mungu akuinue zaidi
Wimbo Mtamu Mungu Akubariki Milele Na Milele Amina Ndugu 🙏
From Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi ndugu yangu nipewe likes mukinifuata youtube 😅😅😅😅 wapi likes za bonny
Wanao kubali kuwa wimbo huu ni mzuri like nyingi hapa na makopa ya kutosha🎉🎉🎉
Leo niko nje kidogo na nyimbo ya leo ... Mimi nakupa pole na mambo yaliyoyokuwa yakiendelea hapo kati. Nakuombea uishi miaka mingi sana pia nakupenda toka utoto wangu.
Mungu akupe nguvu mutumishi wa mungu
Huu nimtu wetu tunampenda Sana turamukunda iburundi araduhezagira cne
Kama ww umefurahi kuona Bony mwetege tujuane Kwenye Like
Napenda sana nyimbo zko natamani nifikie kiwango hicho,,,mimi ni mwimbaji mgeni nisaidie jinsi ya kusonga mbele kwenye uimbaji barikiwa mtumishi🙏🙏🙏
Bwana abarikiwe kwa wimbo mzuri
Apa Saudi Arabia wanibariki sana Mtumishi wa Mungu,Mungu azidi kukupa nguvu,hekima na kibali kwa utunzi wako bora wa nyimbo za baraka za injili 🙏🏾😊🙏🏾❤️💚
🙏🙏🙏 sijui nikupe hongera aje bonnie maana hii kali sana
Asante sana ndugu Bonny Mwaitege kwa wimbo huu "Mwalimu" nimeupenda sana, nami ni mwalimu sina cha kukupa ila nakutakia maisha marefu kutoka kwa Mungu. Umenikumbusha mwalimu wangu wa darasa la kwanza
God bless you mwaitege. Your songs imeleta baraka kwa maisha yangu,'
mungu akuongezee miaka mingi uishi dunia hii uendelee kuubiri injili ya yesu christo
i am sooo blessed with this songs of bonny mwaitege
Just wow ❤❤ uishi miaka mingi mtumishi injili iende mbele,,, team Bony wapi likes zenu
Kama Una penda hii nyimbo nipe likes❤❤❤❤❤❤❤❤
Naupenda sana huu wimbo
Go a head bro...shetani na uvumi wake alishindwa na atashindwa kila wakati...wimbo mzuri sana
Mungu azidi kukutumia Mtumishi kazi yako njema najifunza mengi kwako
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ,waalimu wapewe kongole,hongera sana kwao walindwe na Mungu siku zote🎉🎉🎉🥳🥳🥳💃🏻💃🏻💃🏻🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amina n'a pokea
amen very nice voice guys well done Bonny 🙏🙏🙏 amen that's true 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah moyo wangu furai Kwa mungu kabisa amen 🖐️🖐️🖐️ hallelujah ❤❤❤
wimbo mzuri sana barikiwa mtumishi wa mungu kwa kuwakumbuka walimu ni watu wa muhimu sana kwenye jamii.❤❤❤❤👏👏👏👏
👍👍🙌🙌🙌👏👏Mungu akubariki sana kazi safi .Niko kenya
Mungu Akubariki Sana Mwaitege kwa kuzikonga nyoyo za watanzania kwa uimbaji wako wa nyimbo za Injili wa kwanza nikiwa mimi
Amina ubarikiwe mtumishi.
Am in love with the song😂 ooh Bony Mungu akubariki kwa kuwakumbuka walimu wetu hongera sanaa👏👏👏👏
I didnt further my studies cz of finances but am grateful for teachers being part of my life i can express myself in a crowd with confidence and th3y also looked after me while away from my parents in school may God bless you abudantly
😢😢 nyimbo nzuri mtumishi wa mungu
Nice song keep it up brother 🇰🇪 nimebarikiwa sana mtumishi 🇰🇪
Yani watu walikuwa wanauwa mtumishi wa Mungu hivi kwenye mtandao yet alikuwa behind the scenes na song tamu hivi,ubarikiwe uishi miaka mingi sana ❤from kenya we love you with my entire life
Entire family I meant
Live long bony mwaitege,am in Kenya,napenda nyimbo saana
Adui wa nyimbo za Gospel
Ila kwako unatumaka niyapende kwajichojicho
Akika ushaka niteka
Ongera ❤❤❤
Mungu awabariki walimu wote 🙏🙏❤️💯
HAKIKA WALIMU WABARIKIWE SANA🙏🎉
Mungu azidi kukutunza mtumishi tunakupenda sana
MBONA HIVI NALIA😢 MTUMISHI IPO SIKU. NAKUPENDA SANA...HAPA KENYA.
Mwaitege, Kaka unaimbaga yaaani vizuuuri. Barikiwa mno🎉
Mwenyezi Mungu akuwezeshe mwimbaji bonny mwaitege na walimu wote❤
Boni mwaitege ni mwanamuziki nampe'daka saaana, anajuwa imbia mungu,,,
Pongezi sana kwa walimu wote duniani🎉❤
Mungu atazidi ku bariki waalimu wetu, na gouvernement ya kila inji iangalie mushara nzuri kwa wao.
Heko kwa walimu wote duniani,heko kwa babangu ambaye ni mwalimu❤
Gloire au seigneur vous êtes encore envie Papa bony, Que le tout puissant vous garde encore longtemps pour nous au nom de Jésus-Christ ❤️🙌🏾🙌🏾
Walimu wote mungu awape maisha marefu yenye afya na amani tele,wimbo mtamu kweli ,ndugu mwaitenge.mungu awabariki sana walimu na njamii zenu.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ubalikiwe sana baba yetu MUNGU aendelee kukutumia sawasawa na vile apendavyo yeye
Wow nice song God bless you mtumishi bonny mwaitege🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzur kaka yng mungu akupandishe juu juu juu zaid❤❤❤ nabarikiwa mno na nyimbo zako❤🎉🎉🎉
Congratulations brother kwa kuwakumbuka walimu, ishi sana kaka
Niliona poster fb eti RIP Bonny,,my heart almost burst 💔,you will live long Bonny in jesus name🙏
Asante sana walimu wangu,ufunuo wa kimbingu, your deserving to be a father of gospel music in the world
Walimu tunasema ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai.🎉🎉
❤❤❤❤❤ mungu abariki mwalimu
Be bless mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania 🎉🎉
finally teachers tumefikiwa,,,asante mtumishi wa Mungu
Amen bro bony mwaitege kwa ujumbe mzuri sana
Siamini nacho kiona mm Kaka umetupa ijiri zuri Kama nimpenzi ya mungu jina lake limidiwe
Amen mtumishi wa mungu n kweli walimu wabarikiwe sanaa nawe pia ❤ 😮
Mungu azidi kukuongezea siku, Hautakufa bali utaishi Ili kuyasimulia matendo makuu ya MUNGU ❤
Nakukubali sana wewe mtu unajua sana kuiba ubalikiwe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bwana yesu naomba uwasaidie familia yote na kuwapa faraja ya mioyo na watanzania wote kwa umjula
Mungu aibariki kazi yako baba❤
Hakika Mwalimu ni Mtu wa muhimu sana ❤️ katika maisha ya kila mwanadamu. Apewe maua 🎉🎉🎉🎉🎉❤ Mwalimu
Just finished my KNECK exams today. Glory to God. God bless our teachers. 🇰🇪
Burundi tunapenda nyimbo zako🎤🎤💕💕 ahsante sana Be Blessed
Walio kuzushia kifo watangulie wao kaka mkubwa,remain blessed God's servant.
Kazi nzuri mtumishi wa Mungu, hakika Mungu akubariki sana
Nice song, God bless you more 🙏🙏
Hii ni kali wallahi ,naskiza hata twenty times but sitosheki aki woow very touching song dedicated to our teachers 🎉ubarikiwe mtumishi wa Mungu nyimbo zako za bariki
Big up sana bro Mwaitege nikupongeze kwa kazi yako nziri mno
Amen Man of God mungu akuifadhi hadi colobow
Hii ni kali mtumishi may God bless you and protect you
Bonny mungu akubariki na akupe nguvu mfanyie kazi hii nayo ni nzuri bro❤❤❤❤
Wimbo mzuri mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki Sana, Ombi langu ni kusafiri Tanzania siku moja, Miziki yenu ya Nyimbo za injili hubariki Sana 🙏 🇰🇪
hongera saaana baba qwa ujumbe mzur❤❤❤ mungu akupe nguvu uzidi ku2pa mazur na ktubaliki🙏🙏🙏🙏🙏
Good song,,,wanaokutakia kifo ya mapema watokomeee uko mbali kabisa much love❤❤
Kazi Safi mtumishi....appreciating teachers.
Nguli wamuziki wa injili nakukubali sana mungu akubariki sana Niko Congo RDC
Mtumishi Mungu akubariki sana Bony Mwaitege,nyimbo zako huwa zina mafunzo sana
Be bless man of God 🎉🎉🎉🎉 walisema umepata ajali heti umeanga kumbe waongo... Mungu akuzidishe miaka 20 Zaidi ya hile alikuwa amekuandalia.❤❤❤❤
Napenda sana ile wimbo mwanangu soma nawekea watoto wanatia bidii bonnie thanks
Poleni sana ndugu na dada zetu kwa kumpoteza mpendwa.Mungu wetu akawatie nguvu,katika wakati huu mgumu.
More Grace pastor tuna kupenda huku Zambia kalibu
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏 umbali huu YESU ni Ebenezer 🙏🙏 utafika mbali mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
Ahsante sana,barikiwa na Mungu kwa kutambua kazi ya mwalimu❤❤
I have been waiting this song 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪