MAOMBI YA UPONYAJI -PASTOR MYAMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @tangaza2476
    @tangaza2476 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nipo nchini Kenya napenda nitoe sadaka yangu kwa ajili ya mke wangu,anaumwa umwa hovyo.

  • @BeatriceRobi-j5q
    @BeatriceRobi-j5q 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni🙏🙏🙏

  • @EdnahenryJuma
    @EdnahenryJuma 2 วันที่ผ่านมา

    Namshukuru mungu baada ya maombi haya mtoto wangu kifua kimemwachia

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu uniponye niweke huru na magonjwa rejesha afya yangu

  • @aminamohamed7134
    @aminamohamed7134 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu nimepokea uponyaji katika jina la yesu

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu uniponye na magnjwa ya baridi miguuni ,mishipa ya damu nyama na mifupa Baba uskie maombi yangu Amina

  • @emmanuelsamwel5924
    @emmanuelsamwel5924 ปีที่แล้ว +1

    Mungu niponye Allerge kwa jina la yesu

  • @dorydylan4089
    @dorydylan4089 ปีที่แล้ว +1

    Ameen Pastor

  • @doreenemmanuel9800
    @doreenemmanuel9800 ปีที่แล้ว +3

    Amen Mtumishi Mungu Naomba uendelee kimponya mtoto wangu

  • @KituRu
    @KituRu หลายเดือนก่อน +1

    Nimepata uponyaji wa mguu usiku huu wa trh 21/8/2024. Saa9 usiku huu.

  • @consolataanyambilile-mr5ph
    @consolataanyambilile-mr5ph ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu kwa uponyaji, huu nalikuwa mgonjwa sasa ni mzima

  • @KamwiraKakule-gt3hv
    @KamwiraKakule-gt3hv หลายเดือนก่อน

    Asante baba kwa maombi Nina shukuru mungu aku bariki uishi Siku nyingi Duniyani

  • @byaombemsafiri6803
    @byaombemsafiri6803 13 วันที่ผ่านมา

    BWANA YESU KRISTO ASIFIWE.
    NILIKUA NAUMWA TUMBO KWA MDA MREFU . Pia na mke wangu. Na magonjwa mengi yanapo jitokeza usiku.
    Aya ni mambo naweka. Na Kila nikiweka najiskia mabadiriko na usingizj unakuja . Amen

  • @fjglilian
    @fjglilian ปีที่แล้ว

    Kichwa changu kilikua chaniuma shetan ameshidwa katika jina layesu Amen

  • @YustinaKapinga
    @YustinaKapinga 2 หลายเดือนก่อน

    Naamini. Nimepokea. Uponyaji. Kwa. Jina. La. Yes. Ameen

  • @RechoMtweve-ei2yq
    @RechoMtweve-ei2yq ปีที่แล้ว +1

    Mungu ningome imalasana

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب ปีที่แล้ว +2

    Mungu nipone mwili wangu kupitia maombi haya

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu niguse katika afya yangu na kazi yangu na biashara yangu na mahusiano yangu na dalia zumba

  • @busingejuliet2665
    @busingejuliet2665 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aniponye amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢

  • @samprojects723
    @samprojects723 ปีที่แล้ว +3

    Nalikua mgonjwa wa tumbo na kujawa na hofu lakini Mungu kaniponya kupitia maombi haya amen! Amen amen

    • @AbasiChipungu
      @AbasiChipungu 6 หลายเดือนก่อน

      Baba mwanangu rehema abasi amepigwa kiuchumi apati mume muombee afunguliwe

    • @MiriamIbobo
      @MiriamIbobo 9 วันที่ผ่านมา

      Namshukuru Mungu kwajili ya maombi haya Mana nimefungua nimekutaa na maombi haya Mana najisikia ghafla nashindwa kupumua
      Lkn Sasa nimepata tumaini jipya kuwa nitaishi nipate kusimulia matendo makuu ya Bwana

  • @isayamngongo3270
    @isayamngongo3270 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu niponye maradhi yangu yote ktk jina YESU clisto

  • @JoyceSamwel-f2s
    @JoyceSamwel-f2s หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Mungu ninaimani nimepona magonjwa yangu yote

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungu wangu kwamtoa baba angu katika operation Asante mungu wangu 🔥🔥🔥🔥🙏🙏✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨

  • @AGNÈSMANDA-d9u
    @AGNÈSMANDA-d9u หลายเดือนก่อน

    Asante baba mchungaji kwa maombi 🙏🙏🙏🙏

  • @fjglilian
    @fjglilian ปีที่แล้ว

    Bwanayesu asifuliwe nashukuru mngu nilikua naumwa na mgongo nshku saii nskia vzri amen

  • @YustinaKapinga
    @YustinaKapinga 2 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea. Uponyaji. Wa. Vichomi. Kwenye. Mbavu. Asante. Yes. Kwa. Kuniponya. Ameen

  • @friedamkiramweni9736
    @friedamkiramweni9736 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa uponyaji wa migiu magiti ya muda mrefu .Mungu nijalie kutembea vizuri sasa.kwa neema yako.😢❤

  • @JuliethMadrina-pk1hq
    @JuliethMadrina-pk1hq 2 หลายเดือนก่อน

    Napolea uzima nguvu na Nuru namimi ni mzima sasa ,Asante pasternak kwa maombi yako

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 7 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @ScholasticaMrango-rx4nz
    @ScholasticaMrango-rx4nz ปีที่แล้ว +1

    asante mungu nimepona Kwa jina la yesu

  • @khadijarajabu-tt5dn
    @khadijarajabu-tt5dn ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru mungu kwa uponyaji kichwa na shingo vilikuwa vinauma sana na masikio yalikuwa yanapiga kelele baada ya kusikiliza maombi nmepata utofauti mkubwa sana mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu

  • @evanohradi2087
    @evanohradi2087 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepona katika jina la yesu❤

  • @fatumamaila6233
    @fatumamaila6233 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Bwana YESU kwa uponyaji wako!!!

  • @NancyMwaibula7634
    @NancyMwaibula7634 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pastor nilikuwa naumwa kichwa kisogoni na pressure nikawa naskia ganzi na hofu sasa nimekuwa mzima kabisa ahsante YESU

  • @samweliantoni7707
    @samweliantoni7707 ปีที่แล้ว

    Mungu najuwa kwamaombi haya mimi nimzima kabisa Asante yesu kiristo

  • @elineemamalissa5270
    @elineemamalissa5270 4 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu nilikuwa naumwa. A tumbo sasa iv limepo poa Asante yesuekwa uponyajk

  • @Emmanuelikimota
    @Emmanuelikimota 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikua na maumivu ya mgongo nimepona baada ya maombi haya shetani ameshindwa kwa jina la YESU 🙏🙏🙏

  • @nyaokebaraka7865
    @nyaokebaraka7865 8 หลายเดือนก่อน

    Amina naomba mungu aniponye mifupa yangu iliyovunjika mara tatu iunge kwa jina la yesu

  • @EdnahenryJuma
    @EdnahenryJuma 5 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Kwa maombi haya mama alikua anakohoa sana usiku huu nimeshika kifua changu badala yake ameacha kukohoa na amepata usingizi shetani ameshindwa Kwa jina la yesu Asante yesu

  • @georginahmaxix
    @georginahmaxix หลายเดือนก่อน

    Tumbo ilikiwa inauma sana but maombi haya yamepunguza makali....asantee yesu sifa kwa yesu

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب ปีที่แล้ว +1

    Nataka nipone jino Lina uvimbe in name Jesus

  • @Akilunah
    @Akilunah ปีที่แล้ว

    Naamini nimepona katika jina la yesu kristo wa nazareth alie hai

  • @AdiaAssani-cv1iv
    @AdiaAssani-cv1iv 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba yesu uniponye magonywa tote kwenye mwili wangu naomba namwanangu utuponye leo

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب ปีที่แล้ว +1

    Nimepona moyo wangu Mungu akubariki uponyaji wangu udum

  • @joyskazungu9167
    @joyskazungu9167 ปีที่แล้ว +1

    Napokea uponyaji Kwa jina la yesu mungu akubariki sana pastor myamba

  • @MarcoKalonda
    @MarcoKalonda หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @ethelgivamakota7143
    @ethelgivamakota7143 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Maombi yamemponya jicho mwanangu. Asante Mungu

  • @RoseRuben
    @RoseRuben 8 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru mungu kwa kuniponya pamoja na familia yangu amen,

  • @YustinaKapinga
    @YustinaKapinga 2 หลายเดือนก่อน

    Nalikuwa. Mgonwja. Sasa. Nimepokea. Uponyaji. Ameen

  • @chaggatv818
    @chaggatv818 8 หลายเดือนก่อน

    Mtoto eliza pokea uponyaji kwa Jina la Yesu🙏🏾

  • @maryinyas9320
    @maryinyas9320 ปีที่แล้ว +1

    Napokea uponyaji kwa jina la Yesu

  • @Zogath-h2p
    @Zogath-h2p 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nilikosa amani na kuona uzito ndan ya moyo sasa ni mzm nina aman kupitia maombi yako🙏🙏

  • @sabinahabimana8240
    @sabinahabimana8240 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki na we pia

  • @mwanaidiraimwanaidirai5662
    @mwanaidiraimwanaidirai5662 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu mponye mamangu kipenzi anatungwa na mwiba chini ya mvavu ya left

  • @happytsalakushe141
    @happytsalakushe141 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 ปีที่แล้ว +1

    Baba mungu 🙏 kupitia maombi haya baba angu akote operation akiwa hai🙏🙏🙏🙏😭😭😭

  • @edithachibululu2419
    @edithachibululu2419 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu KWA uponyaji, watataharika, hawataweza.Wamekuja KWA njia 1, watatawanyika ktk njia 7.

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungu wangu kwamyenyua Tena 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✨✨✨✨✨

  • @AbasiChipungu
    @AbasiChipungu 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu niondolee enia umeme urudi nipate pesa kwa njia rahisi nilipwe madeni yangu judico anipende

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 ปีที่แล้ว +1

    Ameen 🙏🏻

  • @YustinaKapinga
    @YustinaKapinga 2 หลายเดือนก่อน

    Nalikuwa. Nateswa. Na. Viungo. Vya. Mwili. Mabega. Magoti presha. Sasa. Nipona. Ameen

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 7 หลายเดือนก่อน

    I received i received i received i received

  • @jack-mx8et
    @jack-mx8et ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi nitatoa sadaka yangu ya uponyagi

  • @AishaMrisho-f4j
    @AishaMrisho-f4j หลายเดือนก่อน

    Asant mungu wangu ulie hai

  • @ZariMartha
    @ZariMartha หลายเดือนก่อน

    Mtoto wangu alikuwa na homa mingi na infections Ila ame pona asante mungu sadaka ntaipana🙏🙏🙏

  • @dinahbhoke2611
    @dinahbhoke2611 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeeeen 🔥🔥🔥🙏🙏✨✨

  • @jacksonsolomon3302
    @jacksonsolomon3302 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen asante Yesu nimepona Ameeen mtumishi ubarikiwe sana asante kwamaombi haya

  • @faigel
    @faigel 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu niponye UTI imekua sugu kwangu🙏🙏

  • @KlopiFg484
    @KlopiFg484 10 หลายเดือนก่อน

    Napona katika jina la yesu

  • @sylviamkanyikakenya624
    @sylviamkanyikakenya624 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi, nashukuru kwa uponyaji

  • @faizaally7776
    @faizaally7776 ปีที่แล้ว +1

    Nimetuma sadaka yangu , maombi Yako yanazidi kunisaidia

  • @happinessmchenya714
    @happinessmchenya714 ปีที่แล้ว

    Nimepona Kwa jina la yesu me sio mngonjwa tena

  • @RechoMtweve-ei2yq
    @RechoMtweve-ei2yq ปีที่แล้ว

    Amina mchungaj bawasili ilinibana sana kwasasa naendelea vizur

  • @fjglilian
    @fjglilian ปีที่แล้ว

    Ameen bwana yesu asifiwe nshukur mngu nilikua naumwa na koo lkn saii nshukuru mngu amenfugua katk jinalayesu

  • @marrymwinuka9494
    @marrymwinuka9494 ปีที่แล้ว

    Naomba mkumbuke kwenye maombi maana ndoa yangu inasumbua Sana mtumishi wa Mungu

  • @sophiamsuliche9487
    @sophiamsuliche9487 11 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen amen

  • @akyoo5761
    @akyoo5761 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen Mama angu LOY MGELLA na dada angu ELINAMI AKYOO wapokee uponyaji sasa iv wakawe Huru na wapokee Nuru Ameen

  • @mariammariamjuma9233
    @mariammariamjuma9233 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏽 nimepona katika jina la yesu kristo 🙏🏽barikiwa mtumishi

  • @PrackcidesSerende
    @PrackcidesSerende 7 หลายเดือนก่อน

    healings apon me 😢😢 3weeks kichwa mfukulizo God

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen nimepokea uponyaji

  • @AAa-d3v5s
    @AAa-d3v5s 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @shabanhassan8464
    @shabanhassan8464 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen 🙏 🙏 🙏

  • @lightnessgeorge8379
    @lightnessgeorge8379 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen malika mgonjwa sasa ni mzima

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory 11 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu sofa kwako

  • @mwanaidiraimwanaidirai5662
    @mwanaidiraimwanaidirai5662 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana pastor Kwa maombi Yako yameniponya high blood pressure sahii nko swa mungu akubariki

  • @queenwitty9655
    @queenwitty9655 ปีที่แล้ว

    😇😇ameni tumepona kimwili na kiroho

  • @KlopiFg484
    @KlopiFg484 10 หลายเดือนก่อน

    God please heal me

  • @linakibibijuma5272
    @linakibibijuma5272 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maombi ya uponyaji

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JescaHarrison
    @JescaHarrison 3 หลายเดือนก่อน

    nimepona amen

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumbo lilikuwa linauma sasa limepona nataka nipone uvimbe tumboni pia in name Jesus Amen

  • @gloriagidion7790
    @gloriagidion7790 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen and Ameen

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب ปีที่แล้ว

    Nimepona Kwa imani

  • @GraceElias-p9b
    @GraceElias-p9b 9 หลายเดือนก่อน

    Mngu anifungulie njia nkaweze kujifungua salama nmeumwa mda mlefu na sjifungui mngu tenda juuu ya hili kwa neema yako njia ikafunguke

  • @batistkatumbi782
    @batistkatumbi782 2 ปีที่แล้ว

    Napokea uponyaji kwajina layesu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 7 หลายเดือนก่อน

    Amen I received

  • @FaustnNgereja
    @FaustnNgereja 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory 11 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu uniponyaij

  • @sarahmbilinyi8504
    @sarahmbilinyi8504 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeen nimepona kwa Jina Yesu

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf ปีที่แล้ว

    Napokea uponyaji