Woooi,for the first time tunaweza kusema tanzania has an icon,majibu yameenda shule,hamna kuropoka,majibu sio ya social media,this girl lives a real life and she is making the rest of us outside see ukweli uliopo kwa kila Relationship.these are the interviews to listen coz you can learn something that is real.thank you zamaradi.if you know you know.
Nakukubali sana Zamaradi u r so special woman. Wewe ni Super woman. Ukipendwa pendeka naamini na mumeo anakupenda sn ndo maana unaonyesha hisia ht nje watu tuone. Nakupenda sn na lyf style yako na mumeo. Mungu azid kuwatunza💖💖
A very calm and composed woman. Beautiful outside and inside. Loving and carying. I have learned alot from this interview. You have inspired and revived many marriages. Be blessed and keep the good work.
One of the best interview for my self, I real enjoy it. Millard kwa hakika wewe ni Legend kwelikweli kwenye tasnia hyo ya hbr na unaitendea haki ipasavyo, maswali yako yana mpangilio mzuri sana na yamebeba dhana halisi ya uhitaji wa hadhira, Zamaradi pia ametoa majibu yaliyo beba skills kubwa sana inayo ambatana na umakini mkubwa. Millard & Zamaradi you deserve the best
Nimekukubali Zamaradi hakika anastahili tuzo kwa jinsi ulivyoitendea haki interview yako. Mungu akujaalie hekma zaidi na zaidi katika maisha yako. Mpende zaidi mumeo ndo ubavu ambao Mungu alikutoa kwake. Be blessed dear. Watajifunza tu kutokana na hii interview watake wasitake.🥰
*Zamaradi* kiukweli ulivyoongea uyu ni mimi kabisa niko hivyo ila sijampata wakunipenda nikaweka mapenzi yangu kama wewe, ila kiukweli mimi ni wewe kabisa nikipenda napenda kweli kweli ❤️
Mm napwendwaa na mume wangu kuliko mdogo wangu zamaradi ila uwezo sina ila Allhamdullilah tunaishi na mume wangu duuu nashindwa hata kuelezee namuomba Allah atudumishe ktk ndoa yetu tuliee watt wetu
Mimi mwenyewe na mpenda sana mmewangu kuliko wanamme wote duniani sijui kwake sisemei moyo ila kiukweli nampenda kuliko kituchochote duniani nikisema hakuna atae niamini mimi bora niwenashida ila yeye awe ok kabisa nishinde njaa ye ashibe
Hongera Sana Zamaradi Nimeipenda Mno Statement Hii "Sifanyi Maamuzi Kwa Nilichosikia Bali Kwa Nilichokiona" Na Sababu Kubwa Umeonyesha Kwamba Ukifanya Maamuzi Kwa Kusikia Neno Moja Utaweza Kukosa Package Kubwa Zaidi. Ubarikiwe Mno ni Mama Unaejitambua.Mimi Huwa ni Mgumu Sana Kushiriki Text Yoyote Kwenye Public Lakini Kwa Hili Umenigusa.Ulindwe Mno na Alietuumba. "Lingine Nililolopenda ni La Mume Wako au Wote Kutokuwa Happy Kama Mwenzako Hayuko Ok" Mbarikiwe Mno Kwa Upendo Mkubwa
Mimi Nina watoto wawili wa kwangu na mapacha wa Mimi nayeye ila minaona kabisa akiwapa chochote atakuwaulizia Wala kuwapa ata miatano hajawahi na inaniuma ila kulinda upendo na vikwazo sipendi kuviongelea sababu ni moya wamtu nasiwezi zungumzia ilo! Wanaume Kama hao ni wachache..... Nimejikuta napata huzuni
Aiseeee da Zamaradi uko poa kwenye kuchanganua maswali na kuyajibu vizuri, hongera Mungu awape maisha marefu😍😘 NAWAPENDA
Woooi,for the first time tunaweza kusema tanzania has an icon,majibu yameenda shule,hamna kuropoka,majibu sio ya social media,this girl lives a real life and she is making the rest of us outside see ukweli uliopo kwa kila Relationship.these are the interviews to listen coz you can learn something that is real.thank you zamaradi.if you know you know.
Millard ayo you are the best at interviewing you ask intelligent respectful questions very very calm and mindful of avoiding embarrassing questions
Absolutely
I just love Zamaradi saana she’s smart and wise
She has just made me shed tears. Wanawake wenye kuwa appreciate waume zao namna hii sijui wako nchi gani siku hizi. Mola aibariki ndoa yenu.
Tupo TZ
Jamani zama ni mzuri halaf mstarabu pia anahekima sana Mungu awalinde na family yako
Hata mi nahekima pia🤗🤗
This lady's confidence is on another level.shes one in a million continue loving ur husband
Zamaradi always on point and millard is also on point with the questions...now thats what a good interview is 🔥🔥🔥🔥
When two wise people meet
Ur very smart Sister in general, God bless u and marriage plus your family
Kifupi natambua kuwa hakuna mwandamu aliye kamilika taswira ya mapenzi yao yanaonyesha kuwa zamaradi your the best lady anayejua thamani ya mme..
Zamaradi juu, juu, juu zaidi. MWENYEZIMUNGU akufanyie wepesi Inshallah.
I love the phrase"kuogopa huzuni ya kesho ambayo hata huijui"
Nakupenda sana zamaradi Allah awape maisha marefu ww pmja na mume wako 😋😘
Amiin
Nakukubali sana Zamaradi u r so special woman. Wewe ni Super woman. Ukipendwa pendeka naamini na mumeo anakupenda sn ndo maana unaonyesha hisia ht nje watu tuone. Nakupenda sn na lyf style yako na mumeo. Mungu azid kuwatunza💖💖
Zamaradi the Brain power girl 💥
BEST INTEVIEW IN 2022 IN THE WORD ZAMALAD UNAUTIMAMU SANAAAA👊👊👊👊
Sauti inasikika vizuri sana Hongera sana vifaa vizuri 👏
Very good siri ya mtungi anaijua Kata. Zamaradi .i love you . Una Akili nyingi sana
Huyu dada anafanana kweli na mtoto wake mmoja hv🙌🙌🙌
Jamani wanawake wote wangekuwa na akili kama zako ,wanaume tungeishi kama tuko paradise
Dah! Zama nimependa sana unavyomuelezea mumeo!
Kuna these three women are very smart kuna Zamaradi,Faidha ally na Irene(wa jua Kali) ndugu these women🙌🙌 so smart kwa akili
Asante Zamaradi umejuwa kuonyesha jinsi unavyoidhamini FAMILIA YAKO. Mungu azidi kuwalinda💗💗💞
Hongera sana dada uko poa
Da Zama ni dada mstaraabu na mwenye hekima nakupenda Zamaradi.
Yakujifunza ni mengi kwakweli kwa Zama
Zamaradimketema ni 1 tu yaani umeongea nondo za maana 👏👏👏❤❤❤dah
This is a matured , educatif
interview with much wisdom !!!
Kiukweli zama mpk umenona kwa kupendwa. MAASHALLAH.
Najifunza sana kwako nakupenda sana nakuombea kwa Allah uwe na ndoa yenye baraka amani siku zote za maisha yako Inshallah
Maswali ya akili na majibu ya akili pia
🤣🤣🤣🤣🤣Wamekutana wote wapo juu
Zamaradi nakuaminia natamani nikija Tz naomba nije unipe intervju
Upendo ndio Kila kitu hongera dada zama
Mama samia uyu dada naona umjari yuko vizuri kwakweli.mpangie sehemu nzuri nakuomba Sana🙏🙏🙏 ana uelewa mkubwa.
I LIKE THIS LADY VERY MUCH . SHE KNOWS HOW TO PUT HERSELF LIKE A IT SURPOSE TO BE.
Zamaradi is one smart lady 👏🏽👏🏽 wooow! Just wooow!!
Well spoken mtoto wa kwetu I'm proud of you.
Ni interview nzuri sana na yenye funzo ndani yake... kwa maswali na majibu haya JAMAA ndo alitakiwa umuweke BANGO Ms. Zamaradi
A very calm and composed woman. Beautiful outside and inside. Loving and carying. I have learned alot from this interview. You have inspired and revived many marriages. Be blessed and keep the good work.
Mafundi wawili wamekutana noma sana,😍😍🔥🔥🔥🔥
Beutiful lady with good spirit good soul all the best
Nimemsikiliza huyu dada kwamakini kwakweli ningependa afanye ata mshauri wandoa ikiwezekana atakwa semina za ndoa atufundishe kuhishi kisela
Fatilia pegi yke mshaur mzur tu mbona
Acheni zama ajidai na mumewe kwanza tendo la mume kukuta na watoto wa 2 na kuwalea km wanae swala la kumshukuru mungu kwa kweli big up zama
Surw
Kabisa mashaallah🥰
Nimeipenda interview inafundisha sana
Zama you changed my perspective. Thank you so much
Interview za Zama na Faiza I can't skip these two women are extra intillegence
Nilitaka aulizee swala la faiza ila naona zama kam swichOff millard asiulize maswali ya Faiza au shamsa. She is smart and I love her🌹❤⚘
I love u so much zamaradi💕💕love u from south africa🥀💐🍾🥂🥀🥀🍾🥂💐🥀🍾🥂💐🥀💐🍾🥂🥀💐🍾🥂🍾
So smart , and lovely 😍 amazing enterview
One of the best interview for my self, I real enjoy it. Millard kwa hakika wewe ni Legend kwelikweli kwenye tasnia hyo ya hbr na unaitendea haki ipasavyo, maswali yako yana mpangilio mzuri sana na yamebeba dhana halisi ya uhitaji wa hadhira, Zamaradi pia ametoa majibu yaliyo beba skills kubwa sana inayo ambatana na umakini mkubwa.
Millard & Zamaradi you deserve the best
Nimekukubali Zamaradi hakika anastahili tuzo kwa jinsi ulivyoitendea haki interview yako. Mungu akujaalie hekma zaidi na zaidi katika maisha yako. Mpende zaidi mumeo ndo ubavu ambao Mungu alikutoa kwake. Be blessed dear. Watajifunza tu kutokana na hii interview watake wasitake.🥰
Zamaradi yuko grateful sana wengine ukiwafanyia mema wanakuwa hawaelewi wanaona kawaida
Zamaradi thx alot acha nkae ntulie thx alot millard kwa ths interview appreciate
*Zamaradi* kiukweli ulivyoongea uyu ni mimi kabisa niko hivyo ila sijampata wakunipenda nikaweka mapenzi yangu kama wewe, ila kiukweli mimi ni wewe kabisa nikipenda napenda kweli kweli ❤️
Vizuri kama uko hivo muombe Mungu azidi kukufanyia wepesi ila utampata inshallah!!!
Mungu atakupa chaguo lako
Weuweee saum kweli 😍🥰🥰🤗
Nakupenda sana dd zamarad llove you so much😘😘😘❤️❤️❤️🙏
A Brilliant Lady
Mwanamke jasir...mwanamke wa ukwel hongera sana zamarad kwa upendo kwa mmeo
Jaman ukwel kwa tanzania hii wanawake wa aina ya zamaradi 100 kwa 1.daah umeniinsipire sana.
Mm napwendwaa na mume wangu kuliko mdogo wangu zamaradi ila uwezo sina ila Allhamdullilah tunaishi na mume wangu duuu nashindwa hata kuelezee namuomba Allah atudumishe ktk ndoa yetu tuliee watt wetu
Mimi mwenyewe na mpenda sana mmewangu kuliko wanamme wote duniani sijui kwake sisemei moyo ila kiukweli nampenda kuliko kituchochote duniani nikisema hakuna atae niamini mimi bora niwenashida ila yeye awe ok kabisa nishinde njaa ye ashibe
Wanaume muna mana basi
This lady is so Intelligent i love her since day one
This woman is very smart inside out I love the way she talks Yaani unajisikia tu raha kumsikiliza akiongea.
Thxs Zama...nimejifunza mengi sana kwa hii interview..ila millard was very keen najua amejifunza kitu
Ila millard ayo una macho mazr ,,halaf pia munafanana na Zama sura km mapacha
very good madam zamaradi nakupendaga sana
Zamaradi ww ni mdada wa kipekeee sana unakila za kuzaliwa nazo nakuombea tuuuuuu uzidi kupanda thaman AMEEN
Itoshe kusema huyu ndo star ambaye Yuko vizuri kichwani
Nakupenda sana Zamaradi nikiwa mkubwa nawish kuwa kama wewe,ua my role model hii ndo beaty with brainp
Mashallha dada hangu umeongeya mpweti sana mana mm yalinikuta hayo yah ukeweza
Zama napenda Sana imani yako mbele ya mungu mungu akuzidishie na akujaalie mwisho mwema
From Germany
I love this lady
The First Tanzanian Lafy speaking fluent English
Na mwenye Heshima kamili
😀😀😀the first Tanzanian lady?!, that's so narrow
First Tanzanian lady to speak fluently English???like serious?? Are u mad?
Hongera sana zamaradi uko powa sana umetoa funzo kubwa kwa wanao hukulia ndoa powae
Zama unajua kujibu bravooooo
Millard u're the best in East Africa
Mungu awape maisha marefu yenye furaha cku zote za maisha yenu na familia yenu
Fikra ziko tofauti..kuna tatizo kwa maisha ya ndoa ya zamaradi... kuna jambo haliko sawa
Sawa kaka🤣🤣🤣
you are a beautiful woman pia unaongea vizuri sana dada mimi ni mrundi
Interview zuri Kabisa umeongea vizuri.
Masha Allah ❤️❤️
Da Zama nakupenda, umeongea vzr sana
Pendaneni sana hadi wenye wivu wafe
Awww nampenda huyu dada... big brain 👏🏻👏🏻
Dada anajitambua sn Kama angekuwa mwingine angeongea mengi mnoo ila simple tu.
I salute you Zam😊
Asantee . Mama juju kwa kuhamasisha wanawake safii sana mama jujju
Kabisaa Dada Zama...I love u for da sake of Allah..Big Up Big Sister...❤️❤️
Leo mara ya 10 nairejea hii interview Wallah Naipendam.Good
sijui hiyi interview nii download ili niwe naisikiliza pale nitakapokua sina bando?
haki we mama unakitu ndani mwako
Big my sister, Mwenyezi Mungu akubariki kwa moyo wa upendo kwa mume wako
Nampenda sana huyu dada ❤️
Zam unaweza fundisha wanawake,eneo ili ,big up dear
I love her mindset
Intelligent woman, tuishi kwa moment iliyopo
JAMNI NAMPENDA SNA ZAMA ANA AKILI NYINGI NA ANAUPENDO WA UKWELI
Hongera Sana Zamaradi Nimeipenda Mno Statement Hii "Sifanyi Maamuzi Kwa Nilichosikia Bali Kwa Nilichokiona" Na Sababu Kubwa Umeonyesha Kwamba Ukifanya Maamuzi Kwa Kusikia Neno Moja Utaweza Kukosa Package Kubwa Zaidi. Ubarikiwe Mno ni Mama Unaejitambua.Mimi Huwa ni Mgumu Sana Kushiriki Text Yoyote Kwenye Public Lakini Kwa Hili Umenigusa.Ulindwe Mno na Alietuumba. "Lingine Nililolopenda ni La Mume Wako au Wote Kutokuwa Happy Kama Mwenzako Hayuko Ok" Mbarikiwe Mno Kwa Upendo Mkubwa
🥰
subhanaAllah tujitahidii kufunika kichwaa
Woow umenifundisha kitu Zamaradi,unajibu vizuri sana,mwenyezi Mungu alinde ndoa yenu🙏
So beatifull lady
Nice my sister Zamaradi
Yaani nime enjoy entervws yote nakupenda zamaradi
THE BEST INTERVIEW IN RELATIONSHIP
Kila mtu ana lugha yake ya mapenzi. Done
Mashallah tabarallah Allah awasimamie katika ndoa yenu Zama
Vijana tafuten ela, am insist this siri ya maisha ni uchumu, mme wa Zama anamzigo wakutosha.
😎😎😎😎
Ukitaka kushinda moyo wa mwanamke mwenye watoto we wapende watoto wake,hiyu kaka anawapenda sana watoto wa zama kama wanae
Kabisaaa
Mimi Nina watoto wawili wa kwangu na mapacha wa Mimi nayeye ila minaona kabisa akiwapa chochote atakuwaulizia Wala kuwapa ata miatano hajawahi na inaniuma ila kulinda upendo na vikwazo sipendi kuviongelea sababu ni moya wamtu nasiwezi zungumzia ilo! Wanaume Kama hao ni wachache..... Nimejikuta napata huzuni
Daah pole
@@annasilayo1405 pole sana mpnz niwachache sana
@@annasilayo1405 pole sana dear