ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2017
  • Ambayo hujawahi kuyasikia kuhusu na Roma kutekwa , ilikuaje, maswali waliyoulizwa na Vyakula walivyopewa, Yote utayapata hapa
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 628

  • @mosesthoya9818
    @mosesthoya9818 5 ปีที่แล้ว +18

    Pole Sana Mwanangu Roma endeleaa Kusali mungu atakulipiaa

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 7 ปีที่แล้ว +10

    nimejaribu kuvaa kiatu chako kwa kwel kinanipwelepweta!!! yaan me nahisi ningekuwa nimeshakufwaaa kabisa!! yaan kuona tu hiyo mitutu me buriani!! pole baba ivan mpende sana mkeo maana Nancy alikuwa analia hana hali

  • @simiyuboj
    @simiyuboj 4 ปีที่แล้ว +6

    My fevorite rapper belive you me I love this guy very much..... Viva Roma

  • @mainajackson4197
    @mainajackson4197 7 ปีที่แล้ว +10

    Duuuu Pole xana Roma Ila nkushukuru mungu coz uhai ndio everything

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว +11

    Hizo Nyumba Ziko Boko, Kama waliwatupa Ununio, Nilishaenda Huko Mwaka 1995 Kwenye Maombi ya Kufunga Kwenye Retreat za TAFES, Kuna Magorofa Kama Magofu 6 Hivi ambayo Hayakaliwi na Mtu, Sijui sasa kama yapo Occupied. Ndiko walikompeleka Pia Dr. Ulimboka Na Watekaji Tanzania ni PSU.

  • @jeskamathias5613
    @jeskamathias5613 7 ปีที่แล้ว +15

    hujafa hujaumbika kaka yangu Roma ila yotee hayo Mungu pekee ndo mtoa hukumu

  • @jackyshizzle397
    @jackyshizzle397 6 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana ROMA.....Mwenyezi Mungu akupe ujasiri....Napenda sana kazi yako

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 ปีที่แล้ว +7

    Viva Roma, sanaaaaaaa, MZEE, uko juu baba. Huo Ndio ukweli baba hata mm pia makamanda wangu wawili wataleta ukombozi 2030

  • @ramaiddi4590
    @ramaiddi4590 6 ปีที่แล้ว +6

    Nimeanza kukueleewa tangia Salute had Leo.. Rudi shule kashike chaki. Taifa tuna uhaba wa walimu wa sayansi.

  • @wiliamsongolala5238
    @wiliamsongolala5238 5 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana ndg kwa yaliyokukuta,mungu yupo tu,

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 4 หลายเดือนก่อน

    Polesana roma mungu naamini ameshalipa maombi yako usikate tamaa cc tupo nyumayako pia mungu anakupambania sana c vyo hadisasa tusingekua ote pamoja

  • @victorsichimata387
    @victorsichimata387 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kaka Roma naomba mungu awalani kwa kukutendea Mabaya

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 5 ปีที่แล้ว +20

    Mimi namshukuru Mungu, na watu wenye mapenzi mema bila kumsahau mkeo, alilia sana sana nakumbuka alisema, kama mume wangu kafa basi wampe hata maiti ili amzike mume wake, jamani inatia huzuni!!

  • @jorodanusruragirwa2594
    @jorodanusruragirwa2594 7 ปีที่แล้ว +15

    namuona brother Roma katika ubora Wake

  • @patrickutouh6307
    @patrickutouh6307 3 ปีที่แล้ว +7

    Hakuna kipande kigumu ka hiki ukikisikiliza lazima ulie dah! Pole sana br Roma na nakukubali sana shabiki namba moja😭

  • @sweetbartcloud2787
    @sweetbartcloud2787 7 ปีที่แล้ว +10

    ninakubari sana kazi zako broo mungu aenderee kubariki kazi za mawazo yetyu poule san roma mnazalet time ikifika wataria na kusaga meno hooohaleluya

  • @dativajoseph1304
    @dativajoseph1304 6 ปีที่แล้ว +4

    du pole sana jembe ni wakati tuu unapitia.mungu yupo

  • @emanueljosephmahenge1079
    @emanueljosephmahenge1079 6 ปีที่แล้ว +5

    Pole bro, Mungu no mwaminifu na ndo maana bado unaishi, piga moyo konde atakuponya majeraha yako yote. Hongera bro Milad kwa kazi nzuri.

  • @bonkemlawa1615
    @bonkemlawa1615 6 ปีที่แล้ว +2

    pole brother God will help you songa mbele kaza maisha ni mitihan kupanda na kuxhuka

  • @hairounmkangwa9505
    @hairounmkangwa9505 7 ปีที่แล้ว +6

    mchizi Roma kweli mpiginia haki husemwa mchiz we kaza tu hao vimbwanga tu wanga

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 ปีที่แล้ว +2

    Pole Loma Mungu atakulipia hapahapa Duniani.

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akusaidie. Nchi yetu ni nzuri, lakini matukio haya ni miongoni mwa mambo ya hovyo katika nchi yetu.

  • @lovekambua7413
    @lovekambua7413 7 ปีที่แล้ว +23

    Am in tears😭😭😭😭. Roma mungu akujalie waliokuteka they will never know peace in their lives

  • @wiliamsongolala5238
    @wiliamsongolala5238 5 ปีที่แล้ว +11

    Imeniuma cyo kidogo,maelezo yako yamenitoa machozi kabisa,duh!!,nikweli mungu yupo

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapo mm nimepata jibu Serikali ilihusika!!!!!!!🔛🔝🏃🏃🇹🇿

  • @happykimaya2762
    @happykimaya2762 5 ปีที่แล้ว +7

    Ayo nimependa maswali yako huko vzr Sana!

  • @mwangamussa793
    @mwangamussa793 4 ปีที่แล้ว +1

    Inawezekana mungu amekupitisha humo uone wananayotendewa wengi bila watu kufaha kinachoendelea mshukuru tu mungu na kumuomba sana mungu na kuiombea nchi hii kwa yale uliyoyaona

  • @sadiqsleemz6311
    @sadiqsleemz6311 7 ปีที่แล้ว +18

    unajua nini ALLAH ANAJUA UMEZULUMIWA YU PAMOJA NAWENYE SUBIRA

  • @noordyndinny
    @noordyndinny 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa taswira ya picha kwa kile kilichokukuta kupitia hii, una haki ya kusepa bongo mzee baba #muchRespect

  • @emmamabula6044
    @emmamabula6044 7 ปีที่แล้ว +7

    Daah pole sana but mungu ni mwema pia malipo yapo hapa hapa dunian kikubwa endelea kumtumain mwenyez mungu.

  • @saulmwakyusa1001
    @saulmwakyusa1001 7 ปีที่แล้ว +4

    nakuelewa sana Roma tisha mno by MnyaQ boy

  • @abasiamili4504
    @abasiamili4504 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yu pamoja nanyi vivavrom

  • @jackisongirani245
    @jackisongirani245 3 ปีที่แล้ว +8

    Maxhabiki wa mwana harakat a, k, a 2030 weka like hapa tujuane

    • @sagulajr2570
      @sagulajr2570 3 ปีที่แล้ว

      nikawaida katika maisha

  • @FAMASIKITAA
    @FAMASIKITAA 7 ปีที่แล้ว +16

    Daaaaaahhhhh hatimae umeamua kuwambia umma hayo yote then what Ila poa mm nilikuelewa from the first day kikubwa tuu uendelee kufanya mzik tunaotaka mashabik na watz kwa ujumla I appreciate you mkubwa #Roma shoutout Pole san kwa yote Mungu atatnda juu ya watesi wako Amin

    • @mohammedyjuma2475
      @mohammedyjuma2475 6 ปีที่แล้ว +1

      katuñizakiswahilizawatoto

    • @abdurissa1389
      @abdurissa1389 6 ปีที่แล้ว

      kjna mtazamo wangu acha sanaa jichanganye na mambo mengine Kwan jua hamna kisichowezekana mwisho wa yote utaacha family ikiumia

  • @deone728
    @deone728 7 ปีที่แล้ว +22

    Mungu atakulipia Roma....malipo ni hapahapa duniani

  • @princesalumu981
    @princesalumu981 7 ปีที่แล้ว +13

    Vivaaa roma vivaaaa am on my way to ZIMBABWE

  • @maxmillan7664
    @maxmillan7664 7 ปีที่แล้ว +4

    pole sana mkuu ROMA

  • @alexsdogan7790
    @alexsdogan7790 7 ปีที่แล้ว +4

    Daaah pole sana kaka angu,

  • @waleoofficial6816
    @waleoofficial6816 7 ปีที่แล้ว +5

    Daah ! pole sana bro

  • @missagatha1756
    @missagatha1756 7 ปีที่แล้ว +15

    dahhh! pole sana Roma ila ucjali malipo ni hapa hapa

    • @ramadhanabdalah3728
      @ramadhanabdalah3728 6 ปีที่แล้ว

      miss Agatha yotemaisha

    • @visaa8203
      @visaa8203 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe wasiojulikana wa najulikana, kwa sababu wasiojulikana hawana time ya kukaa au kumzuia mtekwaji wao kwa muda mrefu hivyo. Ni chombo kimoja tuu ndio kinaweza kumuweka mtu kizuizini kwa muda mrefu.

  • @separatebetres5315
    @separatebetres5315 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awalaani hao majitu wafe mmojammoja

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 7 ปีที่แล้ว +9

    Jaman!!!Pole Roma

  • @Isackkayanda
    @Isackkayanda 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Roma mungu yu pamoja na wew

  • @aizackdidas9792
    @aizackdidas9792 7 ปีที่แล้ว +15

    pole sana kaka Roma Mungu yuko pamoja naww

  • @elishalucumay9766
    @elishalucumay9766 7 ปีที่แล้ว +7

    Na wale watu waliomteka Roma walipatikana usijali mungu ndo atawahukumu waliokufanyia unyama

  • @gitongamukira3749
    @gitongamukira3749 6 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana Roma. Maghufuli must Go. Serikali ya Tanzania lazima iwajibike

  • @eddyeddy6071
    @eddyeddy6071 7 ปีที่แล้ว +24

    Duu Tanzania inakwenda wapii pole bro

  • @jeremiahkiberenge834
    @jeremiahkiberenge834 7 ปีที่แล้ว +6

    4rever bro roma

  • @vitaliskipingu6238
    @vitaliskipingu6238 4 ปีที่แล้ว

    Mungu anaona kibaya na chema na yeye in mwenye haki so haki yako mungu atakulipia ucjali

  • @godfreyreuben4554
    @godfreyreuben4554 ปีที่แล้ว +1

    Pole sanaa broo

  • @sundayndazi1761
    @sundayndazi1761 7 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana

  • @chrispinetungaraza4531
    @chrispinetungaraza4531 7 ปีที่แล้ว +3

    pole kaka Roma.asante Millard kwa kutujuza. duh.

  • @denicymichael6284
    @denicymichael6284 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah roma umenifurahisha apo ndio mmmh walivunjw si kidole cha mwisho huwa nakiimba imba

  • @Tanurulafikra2410
    @Tanurulafikra2410 4 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana *Rais* Wangu wa 2030

  • @eduardobabou3022
    @eduardobabou3022 ปีที่แล้ว

    Mkwasi wa mistari mumemfanyia nini sipendi kuskia hili tukio......but always strong Roma kama roma ♥️♥️♥️♥️

  • @joycelugano2228
    @joycelugano2228 4 ปีที่แล้ว

    Kaka uwe na Amani Mungu adhihakiwi atakulipia Mungu anajibu Tuuu majibu ni hapa hapa kuna maisha zaidi ya haya.

  • @queenqueen-du3ht
    @queenqueen-du3ht 7 ปีที่แล้ว +4

    pole'sana'#mungu' ndio mungu'atakulipia

    • @genius8524
      @genius8524 4 ปีที่แล้ว

      Tz nch yaajabu sana.inauma kusikiliza mateso uliyopitia

  • @WebPeter13
    @WebPeter13 3 วันที่ผ่านมา

    Daa!

  • @masnondofundi5637
    @masnondofundi5637 7 ปีที่แล้ว +12

    Viva viva roma kicho kukuta watanzania tuna asila na hao wasenge walo kutekà

    • @godfreymbwambo4460
      @godfreymbwambo4460 7 ปีที่แล้ว +1

      SAFARI NYINGINE AKIKAMATWA ATARUDI AKIWA KAMA "ULIMBOKA" NDIPO ATAKAPOELEWA KWAMBA SAA NYINGINE BANGI NI MBOGA YA MAJANI, KUDADEKI!!!!! POVU? HAHAHAHHA!!!!!!

    • @petergaudence9816
      @petergaudence9816 7 ปีที่แล้ว

      godfrey mbwambo wamezaliwa

    • @petergaudence9816
      @petergaudence9816 7 ปีที่แล้ว

      Wamezaliwa na kuajiriwa kutesa

    • @greyfive_tzt3861
      @greyfive_tzt3861 7 ปีที่แล้ว

      pole Brother ivi ninani anaweza kufanya hayo alafu kimya hakuna hatua yoyote mungu anawaona watekaje!!!!!!!!!!!

    • @emmanuelmarco9122
      @emmanuelmarco9122 6 ปีที่แล้ว

      Masnondo Fundi haisee pole sana jamaa

  • @goodluckmmole8076
    @goodluckmmole8076 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah😭😭pole sana brother Roma Zimbabwe

  • @benbenedict2720
    @benbenedict2720 4 ปีที่แล้ว +2

    Usirudi baki huko huko nje ya nchi hadi kieleweke

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana bro

  • @kelvinzablon2090
    @kelvinzablon2090 4 ปีที่แล้ว

    pole kakangu......mwakilishi toka Kenya

  • @kiganjaprimetz8245
    @kiganjaprimetz8245 7 ปีที่แล้ว +6

    Millard big up maana kuna waloshindwa kuhoji

  • @emmanwelkomba4791
    @emmanwelkomba4791 หลายเดือนก่อน

    Kaamarekani kaka umeteseka sana

  • @hamisi8
    @hamisi8 7 ปีที่แล้ว +38

    hayo ndiomaovu ya serikali ya udikteta ya Magufuli ambayo Watanz wengi vipofu wakiisifu kila kukicha

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว

    Pole saana MUNGU atawahukimu wote napamoja nahyo aliyewatuma wakufanyiehivyo

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 5 ปีที่แล้ว +2

    Majibu watapata mbele ya kiti cha hukumu. Imenitoa machozi upya jamani. Halafu hii inatupa fununu kuhusu watekaji. Mungu anusuru Taifa letu kwa vitendo vikatili vilivyotokea na vinavyoendelea

  • @stevenk5899
    @stevenk5899 7 ปีที่แล้ว +3

    pole sana roma

  • @geofreymatto6710
    @geofreymatto6710 6 ปีที่แล้ว +4

    Pole Bro.. 2030 Good Thinker, Thank for Thinking about TZ 18yrs comming...

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 4 ปีที่แล้ว

    Duuuh pole sana kwakupgwa hadi machoz iseee kiukwel matukio mengne yasikie tu kwa mwingne ila usiombe yakupate wasamehe tu ukiw km ww mwanadam ulieshika dini unaesali haya ya dunia mwachie mungu akutetee hao waliokufanyia hvyo hukum yao ipo kwa mungu

  • @floramsacky3929
    @floramsacky3929 ปีที่แล้ว

    Ilileta taharuki mpaka kanisani likaomba kwaajili yake, Mungu akupe Maisha mema na akulinde zaidi ya yote akuangazie nuru ya uso wake

  • @clivemuseveni7786
    @clivemuseveni7786 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka blatha Mungu yuko nawe kwa kutetea wanyonge

  • @winebernad3908
    @winebernad3908 7 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana Mungu ndo kila kitu kwetu

  • @ludaday7428
    @ludaday7428 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Roma pia Mungu atawalipa tuu mahayawani hao

  • @davidlissu9099
    @davidlissu9099 7 ปีที่แล้ว +4

    Pole kijana roma

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +1

    Viva Roma Viva 👊👊👊👊

  • @graytonndamgoba4805
    @graytonndamgoba4805 7 ปีที่แล้ว +1

    ROMA.Reserch what is ECG in pretorial.you will get the answer of what you went through.keep strong in christ

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 6 ปีที่แล้ว +2

    Roma msiri sanaaa dah

  • @ashaakidotkidotlyova2881
    @ashaakidotkidotlyova2881 7 ปีที่แล้ว +2

    pore sana kaka daa kumbe ilikuwa makubwa hivo jamani mungu atawalipa japo itachukua muda ila mungu yupo

  • @abdulmkatupemkatupe7974
    @abdulmkatupemkatupe7974 7 ปีที่แล้ว +8

    Pole sn 2030 Mungu atawahukum insha-allah

  • @deolekulepimbinaniweweauli2869
    @deolekulepimbinaniweweauli2869 6 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ya bashite,ipo siku itajulikana

  • @user-on3cq5pm1w
    @user-on3cq5pm1w 4 หลายเดือนก่อน

    Duuuh una haki ya kutokurudi bongo mzee

  • @fettyally333
    @fettyally333 3 ปีที่แล้ว

    Dah pole sana sikujui lakini hisia zimenijia ssana.mateso gani hayo. Ila mungu amekupigania sana na utazidi kufika pale unapotaka

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 7 ปีที่แล้ว +11

    roma kweli nimelia dah mungu atawalipa

  • @momembe9980
    @momembe9980 7 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana ndugu yetu ndio Tanzania yetu hiyo haina jinsi

  • @asantebabakoyi3893
    @asantebabakoyi3893 5 ปีที่แล้ว +3

    Kinachoniumiza zaidi hausemi walicho kuoji ili tukajuwa watanzania tatizo takutekwatekwa

  • @samwelching5051
    @samwelching5051 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atalipa ROMA usiogope bro

  • @mahelamnazaletinmm880
    @mahelamnazaletinmm880 3 ปีที่แล้ว

    Dah mungu atalipa ibra ucjal

  • @sospeterkedmonchitema
    @sospeterkedmonchitema ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi kuna watu wamepitia maisha magumu sana

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว +8

    Viva #Roma

    • @hamismalimungu9959
      @hamismalimungu9959 7 ปีที่แล้ว

      mkundu ww

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว

      Hamis Malimungu wee kuma la mamako kama mkundu unakuwasha lete hapa nikutue kenda mkundu maji wewe

    • @paulnada6354
      @paulnada6354 7 ปีที่แล้ว +1

      Hamis Malimungu kuwa kichaa cyo mpaka uende kuokota makopo, namaanisha wewe ni kichaa japo utajidai upo sawa

  • @paymushi3529
    @paymushi3529 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapo nimambo yakisiasa na lazma roma usisema dola ndiyo wenyewe akuna ktakacho fwata ni kumkabth mungu tu

  • @lmanimapunda4208
    @lmanimapunda4208 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kaka.

  • @damasbarnabas2753
    @damasbarnabas2753 7 ปีที่แล้ว

    Da ryme of magic attraction god stand for u

  • @emmanueldaniel8445
    @emmanueldaniel8445 7 ปีที่แล้ว +1

    axante blooodaaa% maneno yako yataja komboa nchi yetu ( 2moro if not 2day ). pole xana our fighter%

  • @khadijaarkam5701
    @khadijaarkam5701 6 ปีที่แล้ว

    Ni miezi ss ila bado inahuzunisha sana pole sana #roma

  • @ashaakidotkidotlyova2881
    @ashaakidotkidotlyova2881 7 ปีที่แล้ว +4

    mungu mwema kweli hata hivo ulivotoka hivo asant mungu zidisha maombi

  • @veryzua
    @veryzua 6 ปีที่แล้ว +4

    I am from Rwanda guys. But this is too much, guys. The war that Tanzania has never faced you faced it alone; you Roma. Justice for Roma

  • @charlesased
    @charlesased 7 ปีที่แล้ว +3

    20:07 ROMA amesema ukitaka kwenda chooni unafungwa macho then unakuwa unapewa direction. 22:23 anasema wakina MONI wakiwa wanapita koridoni waliona shati ya ROMA imelowa damu!!! Ya kaisali muachie kaisali 🙌🙌. Zimbabwe ngoma kali lakini,22:50 anasema ukiwa unaenda chooni unapita unaona koridoni.

  • @kulwakabembo643
    @kulwakabembo643 7 ปีที่แล้ว

    pole sana Mungu yu nawe daima