Munafaa kumuheshim kama mkuu wenu vyote anafanya ni kwajili yafaida yenu msipo lipa ushulu mnadani ninani atawalipia madeni ta China mutacoloniziwa n'a Chine mspolipa mtii ruto
@@evansnzowa5710 Ala!, kaka kila binadamu duniani yupo na stress zake za kwake kutokana na mambo kadhaa wa kadhaa, hata mabilionare wapo na stress na ndiposa wanalindwa na bodyguards😂😅
Huyu ndiyo Ruto alikuwa akilipa pesa, wakidanganya wakenya mungu amemukubali Ruto, whaaaaaaa saitani ashindwe kabisa. Pia ukiubiri, ubiri kuhusu Tanzania, Wachana na Kenya, kabisa.
Ndugu yangu ni MUNGU ni MUNGU tu. Alivyomkubali mfalme wa Babeli Nebuchadnezzar hadi akamwita mtumishi wangu hivyo ndivyo atamkubali mtu awaye yeyote mradi ni yeye Mungu ameruhusu. Tusidhani tunamjua Mungu vile ju si rahisi kumwelewa vile tunadhani kakangu.
@@MaddieMoreno-i7i Uliza Tundu Lissu. Risasi kapigwa na Shetani? Katiba yenu ya mwaka wa 77 inawasaidiaje ikiwa viongozi wa upinzani wanaweza kushikiliwa na polisi. kisa , walipanga kuchochea vijana. Ikiwa Tudu alitiwa matudu, je wewe?
watu wanamusifu huyu mkora, mimi nilianza kufwata huyu mkora kutoka 2020, but siku ya kiama ikifika watu kama hawa ndiyo watakuawa kuni ya kuchoma wenye dhambi.
Haya sasa Hata anaongelea “umbea” kama unavyo sema ila bado umechukua mda wa kumsikiliza na bado ume comment Haya nani tahira. Mr. Paul acha makasiriko chukua jembe ukalime
Ukweli mtupu mchungaji😂😂❤❤
Mungu alinde inchi yetu ya kenya iwe na amani
You have spoken the pure truth , it's not easy to leave with human beings, we are never satisfied.
May God continue to bless our pastor Mgogo for his good preachings and teachings
Mungu akupe miaka mingi paster mgogo unasema ukwel mtupu hatakama hatutoi sadaka tuko hpa tu kwa uponyaji wa moyo ipo sku tuaitoa hiyo sadaka
Nywele zimebadilika 😊😊😊
Mungu awe name pastor
Kuongoza hii kenya inataka mungu karibu
Niukweli muchungaji 🙏🙏🙏🙏❤️🇪🇺🇩🇪🇩🇪🇩🇪 Amen
Be blessed pastor your massage is targeting me peter from Kenya 🇰🇪
😊😊😊
napenda maneno yako mtumishi wa mungu, my God plss u
Uko vizuri mchungaji
😂😂😂😂 pastor much love 🎉🎉 from Kenya Amen very true 👏👏🙏
UPO SO DEEPER MCHUNGAJI.
Amen pastor😮😢🎉😂❤
Much love from Gen z 😂😂 na siku moja uje 🇰🇪 tukusalimie mchungaji
HII CHURCH IKO KENYA AKO KENYA BADO
😂😂😂
Muchungaji amen amen thank so much
Much love pastor
Ubarikiwe mchungaji
Sema ukweli mtumish mungu atusaidie
😂😂😂much ❤❤❤ from kenya
Kweli mchungaji
Mahubiri iko juu 🙏🙏🙏
Nice preching
100% point you saide
Saafi saana mchungaji
Kenya sio mchezo moto wa kuotea mbali sio kupenda kwao
Kenya atuna amani.🇪🇸🇪🇸
Ila maubiri ni kuusu yesu stori za maisha hazipo ni yesu tuu ndio yupo kwenye bibilia
Stress nyingine zinaletwa kwa sababu ya watu kupotezwa, kukamatwa ovyo, kuvamiwa, kuuliwa, kupandishiwa kodi nk.
Sati Mr pastor I love you 😅
You're informed mr. Paso
Mwanadamu ni ngumu kuishi nawo
Kenya ni kwetu pastor ruto lazima atii
Munafaa kumuheshim kama mkuu wenu vyote anafanya ni kwajili yafaida yenu msipo lipa ushulu mnadani ninani atawalipia madeni ta China mutacoloniziwa n'a Chine mspolipa mtii ruto
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hubiri ya Bible sio ya raisi wetu tunapenda Dr Ruto
Mchungaji ruto mwenyewe sio binadamu ,atakaaje na binadamu
Shetani ww pepo chafu bt mind
@@WillisAli mukundu WA mamako mbwa wewe
@@WillisAli nikome nitakutusi adi kwenu
Sasa wewe ndo binadamu na unasikiliza mahubiri
@@collinstsieta3216 kaoshie kundu latoa uvundo ,usijaribu kujibu text zangu
mimi ndie ninaeuza nyumba naviwanja vya ulisi chanika
Kitabu gani cha Ruto kinapatikana kwenye biblia kwnn wajungaji wa tz,kuhubiri Kenya
watu hawajamuelewa pastor sabb wanakimbilia kukomenti fyuuuuu muwe munaelewa kwanza
😂😂😂😂😂 pastor
Hubiria wa Tanzania.Ruto si kama Suluhu.
Mifano ya ruto na ndoa unaleta mifano za uongo azifanani
Anaubiria vitu hajui,
Usije hukumu wakenya sisi ni wazalendo bana wachana hayo maneno unataka kujiingiza
Angalau wengine wacheke mana wengine wamezeeka kwa sababu ya stress
Habari za kenya ziache kama zilivyo,nyie watanzania endeleeni na uchawa wenu,habari zetu kenya tuachiane wenyewe
Amesema ukweli
❤❤🎉🎉
Baba unatuma naliya Aki nahaya mahubiri 😭😭😭 stress, stress stress nikitu mbaya kwa mtu, Aki baba unaongea Mambo tunapitia kweli 🤦🤦
Ruto anatuchukia kama matapiko yake sisi kama wanainchi wa kenya, ndoo kwa maana ana tudhulumu bila huruma
Inaonekana stress zimekujaa 😂😂
Inaonekana stress zimekujaa 😂😂
@@evansnzowa5710 Mimi nipo sawa msee!, soma text yangu vizuri uilewe sio tu kujibu.
@@evansnzowa5710 Ala!, kaka kila binadamu duniani yupo na stress zake za kwake kutokana na mambo kadhaa wa kadhaa, hata mabilionare wapo na stress na ndiposa wanalindwa na bodyguards😂😅
@@marieheiss6560 stress itatuua hakuna namna 🤣🤣🤣
Hall Robert Williams Jeffrey Martin Sharon
😂😂😂😂😂na bado kiumbe bado Kiko half time
Habana ni raisi wetu tumwombee
Kenya hiongoswi na ulemavu wa akili, zakayo atashuka
Wewe na ruto hamna tofauti. Nyinyi wote ni wezi. Uhuru alikuwa mnono hata akiwa rais.
Upuzi kanisani.
Unahubili au unachekesha
When Ruto leaves power they will start Praising him ...Humans are funny.Ask Our Lord Jesus
Wee ongea ya TZ ya Kenya hutaelewa
Tz kuna amani Hamna cha kuongelea tunawaonea huruma Yani jirani Hamna amani Sio poa
Huyu ndiyo Ruto alikuwa akilipa pesa, wakidanganya wakenya mungu amemukubali Ruto, whaaaaaaa saitani ashindwe kabisa. Pia ukiubiri, ubiri kuhusu Tanzania, Wachana na Kenya, kabisa.
Ndugu yangu ni MUNGU ni MUNGU tu. Alivyomkubali mfalme wa Babeli Nebuchadnezzar hadi akamwita mtumishi wangu hivyo ndivyo atamkubali mtu awaye yeyote mradi ni yeye Mungu ameruhusu. Tusidhani tunamjua Mungu vile ju si rahisi kumwelewa vile tunadhani kakangu.
Nabado ss kama genz
There was a time they used to preach the gospel of Jesus Christ. Sasa ni comedy 😅
Pastor ombea ruto arukwe na akili😅😅😅😅😅😅😅
NO PLEASE DON'T WISH HIM BAD THINGS GOD KNOWS
😂😅
Akiona imemlemea nchi atuachie
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏🙏
yaani watanzania kwa kila given day Kenya and Kenyan's is daily news kwa midomo Yao ,, just let us be Kenyan's,,,
My dear tunawaonea huruma tunataka na nyie muishi Kwa AMANI kama sisi watanzania tunavyo ishi
Sasa sikza nikupashe hizi,,,, fagieni kwenu
@@MaddieMoreno-i7i Uliza Tundu Lissu. Risasi kapigwa na Shetani? Katiba yenu ya mwaka wa 77 inawasaidiaje ikiwa viongozi wa upinzani wanaweza kushikiliwa na polisi. kisa , walipanga kuchochea vijana. Ikiwa Tudu alitiwa matudu, je wewe?
Nivile uko Tanzania, kama ungekuwa Kenya, ningetuma Gen z wakuone kando.
Uoni ako deliverance church utawala😂😂😂
watu wanamusifu huyu mkora, mimi nilianza kufwata huyu mkora kutoka 2020, but siku ya kiama ikifika watu kama hawa ndiyo watakuawa kuni ya kuchoma wenye dhambi.
Punguza stress 😂😂😂
@@evansnzowa5710mwambie atafute maombi 😅😅
But this pastor like talking about Kenya 🇰🇪
Sababu anawaonea huruma
Someone has said Pastor need Gen Z greetings
Sasa naamini kumbe ulikua comedian, wapisasa na maneno ya maraisi?
Unafaa kufungua salon maana injili yako ni ya umbea tuu
Kinacho kuuma ni nini?
Mahubiri yako siyapendi unachochea migogoro ya kisiasa mchumi KENYA
Maombi ni muhimu
Ukweli huruma shindwe @@LameckOtuomameshack
Haya sasa Hata anaongelea “umbea” kama unavyo sema ila bado umechukua mda wa kumsikiliza na bado ume comment Haya nani tahira. Mr. Paul acha makasiriko chukua jembe ukalime