Wa kukuchukia basi ni kichaa. Maubiri yako yote amazing Sana🔥👌 You're God sent. Na pia ucheshi katika maubiri yako ndio unaleta kuelewa Kwa neno zaidi.#ninapo fungulia TH-cam kukuskiza huwa natamani kueka screen kubwa Sana ulimwenguni tukutazame sote all over the world you preach facts.
Mungu akupe maisha marefu hapa duniani baba Mgogo. Huwa ninakuelewa sana. Barikiwa sana!
MUNGU akuweke zaidi mgogo
@@nesterygeho975 iiiiiiiiiiiiii8iiyuiii
Nakushukulu San wanaume wengi wanatabia hiyo kwahiyo wakilekebishe
Good bless u pastor
Barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho yako Mungu akuzidishie miaka tele.
HERI MAZIWA ULIONYONYA,NA TUMBO LILILOKUZAA.
Kweli Lina heri tumbo lilikubeba mchungaji,Mimi Nina mume kama unayemsema ni katili mno!!
Acha tu@@annabashasha1409
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Asante baba yaan kuna siku naenda makete kutoka mbeya dereva aliweka mahubiri yako aiseee mpaka mwisho wa gar kila mtu usha msema yaan
wanaume wanakera sana mungu akupe maisha mengi mchungaji najua limefika kwa wanaume
Barikiwa sana mchungaji kwa kutuelewa sisi wanawake🙏
Amina baba 🙏 🙏. Ningekuwa
Na uwezo Ningekualika Burundi. Utusaidie wa maman wengi tunateswa
Balikiwaaa mutumishiii
Aise pastor,,,2namwomba Mung akujalie uwepo wako milele ili elimu hii iwasaidie vizaz vijavyo!!!!!!! Amen!!!!
Unasema ukweli kbs mtumishi wa Mungu
Amina amina Baba napokea mafundisho mazuli
Ubarikiwe sana kwa mafundisho yenye kubadilisha maisha
Ahsante sana kwa kipindi
thanks pastor Daniel mgogo and God bless you 🙏 🙌. fundisho yako ilo nzuri
Ubarikiwe sana mungu akupe maisha malefu🎉🎉🎉❤❤❤
Mungu akubariki Pastor Mgogo Kwa mafundisho mazuri
Thanks pastor kwa mafundisho Yako from kenya 🇰🇪
Ameen unasema kwel mtumishi
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri
We kenyns we love u man of God....be blessed
Mungu akulinde pastor
Wa kukuchukia basi ni kichaa. Maubiri yako yote amazing Sana🔥👌 You're God sent. Na pia ucheshi katika maubiri yako ndio unaleta kuelewa Kwa neno zaidi.#ninapo fungulia TH-cam kukuskiza huwa natamani kueka screen kubwa Sana ulimwenguni tukutazame sote all over the world you preach facts.
Asante kwa mafundisho mazuri yanajenga
pastor mafundisho Yako imenijenga sna nimejifundisha maandiko
Pastor you are the best person congregation yale unaongea ni ukweli tu.
Nakupenda bure paSita mgogo wambie hao
Waambie baba hawafikirii kila wakati kuwanyanyasa wanawake
Amen pastor be blessed unatuherimisha sana napenda mafunzo yako from 🇰🇪
Amen pastor God bless u.
Uku drc tunakufwata 5 juu ya 5 Mungu akuongezeye karama
Continue receiving blessings pastor... Mungu akuonekanie🙏🙏🙏
Congrats pasta napenda mahubiri yko saana
Barikiw pastor kwa mahubir
Mungu akubariki sana kwa mafundisho
I swear if you came to kenya wallahi siwezi kosa semina yako
Ubarikiwe sana maisha marefu kwako
Mungu akubariki mchungaji 🙏🏿
Asante mchungaji
Ubarikiwe muchungaji ubarikiwe Sana baba
Mungu akubariki sana papa
Kabisa muungaji ubarikiwe
Amen mungu azidi kuk barik
Mchungaji ubarikiwe Sana
Ni kweli pastor ubarikiwe sana
Burundi tunabarikiwa namafundisho yako
Heri kufanya kazi mimi nilikua napigwa nikiwa mimba nashukuru Mungu niliondoka
Juliana....
Pole mamaa
Hatupishani zangu zilikuwa zinatoka niwakuzika tu watoto unafanya kazi mwanaume kakaa kwenye kochi una mihemelea na bodo unapigwa tu 😢
Burundi, paster naseema Amen. Asante
Umenifurahisha sana na maneno yako ya boko haramu
Good bless you so, much
Mungu awaurumie
Mungu akubariki mno mtumishi wa Mungu, yaani wa mama tunakazi .
Be blessed pastor
Ubarikiwe
Kweli nakuunga mkono
Barikiwa sana baba
Safi sana
Hatari Sana mgogo
Daniel iyo message ni ya nguvu barikiwa.
I always thank God for blessing me with a committed man 🙏🙏🙏
👏👏👍🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana pastor unabariki moyo wangu sana
Nakupendaga sana mungu akuweke sana kwaajili yetu wamama
Very encouraging message 👏 God bless you Ministry 🙏.
Amina mtumishi
Nina penda mafundisho yako pst mungu akupariki
Sema baba wapone
Balikiwa saana mchungaji mgogo nakupata vzuli
Asante mchungaji sambaza nondo
Amina 🙏🙏🙏 mtume
Barikiwa mtumishi wamungu
Blessed pastor sana hayo nishayapitia😢
Jamani mungu akupe maisha marefu pasta.
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe sana
Hahaha 🙌🙌🙌🙌🙌🙏barikiwa mchungaji kwa mafunzo
You're the best pastor God bless you
Ubarikiwe sana Mchungaji 👏
Ukweli Mimi nimembandilika God be with you
Ubarikiwe sana
ubarikiwe mchungaj kwa maubiri
Nakubari baba
Iyo kweri baba wanaume hawana uruma
Ameni pastor jamani
Daaaaaah jaman 😭kuna wanaume hawaskii kabisaa ata uweje woi
Wee Acha tuu
NAKUPENDA sana baba
Mungu akutie nguvu
Mungu akuongezeye kipao niko uko Congo bunia
Am so blessed with this wonderful lesson
Amen pastor
Be blessed man of God you always bless me
Uko vizur wajin
Nakupenda sana my paster
+254 tupo… zidi mchungaji. Baraka tele
Amen 🙏 ❤️❤️ very true 🤣🤣🤣
Nakupenda sana pasta🙏
Unajua kunielimisha mtumishi barikiwa sana🙏🙏🙏
This 🇯🇲 🇰🇪 has 👋 👌 🔥 😍 💯 that you can take
Amina Baba✍✍🙏
Nakupata kwa njia saafi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂I love you my all time pst 🙏
Barikiwa Sana past
Nakukubali babayangu
Mchungaji nakupenda ila mafundisho yenu yote anaanzia kati tutapata wapi mafundisho anae Anza mwanzo wake mmi Niko hapa Rwanda
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ barikiwa sana