Lakin.yote na yote Yesu alisema mwanadamu hataishi.kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo kwa kinywa.cha.Mungu mbaga.nilifikili.mtumishi kumbe mfamasia
Mzee wakristo wengi tumekuwa na juhudi nyingi katika mambo ya kiroho tu na wala si katika maarifa pia, yupo sahihi maana anahimiza utunzaji wa afya na nikipi tule ni kipi tusile kwaajili ya afya yako kama mtoto wa Mungu akiturejesha katika ulaji wa kale ambao mwasisi wake ni Mungu mwenyewe, si kila kitu ni kupinga tu kama una akili timamu utaona vema asante!
Dr una flight ideas. Kuna vitu unaongelea, then unaacha, unaongelea kingine. Mfano umesema maziwa fresh, ukaacha, ukataja maziwa ya mgando, ukarudi kutaja mkate sasa wengine tunapenda tujifunze lakini inakuwa confused.
Mch SI mvhoyo wa elimu yaani una roho ya kipekee....hupendi tuugueugue Mungu na akuongezee maarifa na hekima zaidi na zaidi 🥰🥰
Vyakula Kwa Afya ya Akili 🧠
Vilivyo Vizuri: Maziwa Mtindi, Chia seeds, dark Chocolate, parachichi 🥑 (Kula unavyoweza), Karanga🥜, Almonds, Korosho(Wanaume wa miaka 40+ usikose mfukoni), mbegu za maboga.
Pia penda ku-brend(hauuwi virutubisho) kuliko kupika
Visivyo Salama ❌: Maziwa fresh 🥛 (Yanachangia kuzeeka mapema), mikate 🍞, Soda(Ukiiona iite Sumu)
Safi🎉
Hahaha😂😂
Yaani wewe nimfalme wa kutujiza, mungu akuweke daima
Amina
Maziwa hayafanyi...ukue haraka
damaziwa fresh jaman naacha kumbe ntakua mzee kabla ya mda
Asante sana kwa Elimu
Lakin.yote na yote Yesu alisema mwanadamu hataishi.kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo kwa kinywa.cha.Mungu mbaga.nilifikili.mtumishi kumbe mfamasia
Mzee wakristo wengi tumekuwa na juhudi nyingi katika mambo ya kiroho tu na wala si katika maarifa pia,
yupo sahihi maana anahimiza utunzaji wa afya na nikipi tule ni kipi tusile kwaajili ya afya yako kama mtoto wa Mungu akiturejesha katika ulaji wa kale ambao mwasisi wake ni Mungu mwenyewe,
si kila kitu ni kupinga tu kama una akili timamu utaona vema asante!
Nakupata genius Mbaga
❤
Hamjagusa ndizi lakn
Nimeomba pastor atupe somo namna ya kuzuia na kuponya kipara
Hiii muhimu sana
🙏🙏🙏i lack alot of learnings 😮
😂😂😂😂😂 Mikusu, Misaula, Misasati nk lringa Kalenga ulibaha
Pastor naomba ufanyie utafiti upala
😂😂 upala umefanyaje
Brain 🧠
Please Doctor nisaidie dawa ya H pylori imenisumbua for a long time is there natural foods to heal it? Currently working in gulf.
Grate kiazi mboga Kisha kamua upate kijiko kimoja kunywa dakika 30 kabla kula chakula.
Luka alikuwa Dactari
What is parachichi please
Avocado
TIKIWA HATUNA PESA TUNA NYANYASIKA KWA KUKOSA MILO YA MAANA TUKIPATA PESA YUNANYANYASIKA KWA MASHART KINAO
Kuna confusion sana kwenye mambo ya vyakula kwa afya zetu,
Naomba kujua kitabu kinachofafanua haya nisome kwakweli
Somo zuli sana
Vya balidi kingulia bwana
unaweza kuhifadhi sehemu nzuri ambayo havipati baridi
Hivyo viazi tule bila kuvipasha moto au tuvipashe moto.
@@sophiesadick5510 ture vya moto tusire vipolo
Pastor anasema ni muhimu kupasha
Dr una flight ideas. Kuna vitu unaongelea, then unaacha, unaongelea kingine. Mfano umesema maziwa fresh, ukaacha, ukataja maziwa ya mgando, ukarudi kutaja mkate sasa wengine tunapenda tujifunze lakini inakuwa confused.
@@sophiesadick5510 mm naona dr aandae group tuwe tunajifunza topic moja kila sk ilituerewe kwa ufasaha
Maziwa fresh kaeleza vema, sikiliza tena