Bwana asifiwe,haya mahubiri yako pastor mgogo yamenizungumzia mm hata kanisani niliacha kuenda lakini after kusikiza mahubiri ninaona narudi kanisani,bwana akubariki sana
Acha Baba Mchungaji mi niliachana na mme wangu kwa zalau ilifikia hatua ulimwambia una shida anakwambia najuta kuishi na mwanamke aliyetoka family ya kimasikini
Nakufatilia sana mchungaji,hakika mm ata sio mtu wa kanisa,lkn mahubiri yako poster...aki n facts tupu....unafundisha hali halishi ya maisha...nahisi unaongea na ndoa yangu
Wow nabarikiwa sana
Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏 ❤️
Amena ubarikiwe mtumishi❤❤🎉
Bwana asifiwe,haya mahubiri yako pastor mgogo yamenizungumzia mm hata kanisani niliacha kuenda lakini after kusikiza mahubiri ninaona narudi kanisani,bwana akubariki sana
Muhache pasta afundishe hivo kwamaana mahadili yame momonyoka nahapo tunamuhacha mungu ,ubarikiwe pasta
Ubarikiwe mchungai maana kuna watu nawaubiri wananiambia tabi zawapendwa naumia sana
Barikiwa sana dad wape vidonge
Amen 🙏 🎉mungu akubariki sana
Rusha maweee .🎉🎉🎉
Hello Pastor,ambayo unayo hubiri,ninaipia katika unyumba yangu,ni Mimi James Ku toka Congo
Teaching for the season..Amen
Maadili ni sehemu ya neno mpendwa
Ameeen 🙌 balikiwa sana
Amen amen baba ubarikiwe sana
Amen ,baba rusha mawe❤❤❤❤❤
Amen🙏🙏🙏
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha
Ameen ni kweli kabisa Kuna watu hawakiziki kwa kila jambo unalolifanya
Amen amen thank so much pasta Daniel Mungu akubaliki ni hapa DRC CONGo tunakufata viruli uku
Amen.Mungu azidi ku kulinda Muchungaji
Amen
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu
Wow baba ,,endelea ivoivo
Amina mtumishi fundisho njurisana
Sure
Amen pastor neno lako tamu sana
Amen pastor bariki sana umenena ukweli
Ndio kweli paster 😊❤❤❤
Ubarikiwe sana pst
Amin....somo zuri kweli
Yes madharao yameshorotesha manyumba fuatenimafundisho ya magogo
naitwa j mayai nakuelewa sana
Inauma sana,uzuri nimeokoka
😂😂😂pastor thank kwa mafundisho mazuri❤❤❤
Hellujjay
Mungu akupe maisha marefu
Amen nice teaching
Hey pst ubarikiwe sana coz Mimi ndiye tunaishi kijeshi jeshi na mzee,hata hajawai kuniambia I love 💕 you na Niko na yeye na Miata 23
😂😂😂😂 haki pastor nakupenda
😂😂😂😂😂Pastor unanichekesha.from Burundi😂😂😂
Ni sababu alicheat kwa hiyo hawezi ona kitu mzuri tena 😊
ameni😂😂😂😂
This guy is a comedian. Who said church is not fun😂. Thank you
Nikweli
AMINAKUBWASANA ❤
To be continued
👏👏👏👏🙏🙏
Nipe number nitume sandaka jamani Somo tamu kweli❤❤❤
good
😂😂ukweli pastor wanaume wengi hawasemi msaala wao
Acha Baba Mchungaji mi niliachana na mme wangu kwa zalau ilifikia hatua ulimwambia una shida anakwambia najuta kuishi na mwanamke aliyetoka family ya kimasikini
😢
Waa ...yenu kali
Anakua amekuokoa kweri
Mme wangu mimi ume mgusa ndio zake hizo anajikuta mkimya wambie hao akisikia ujumbe huu ana badilisha kabisa😅
😂😂😂😂😂Ameen❤❤
Nakufatilia sana mchungaji,hakika mm ata sio mtu wa kanisa,lkn mahubiri yako poster...aki n facts tupu....unafundisha hali halishi ya maisha...nahisi unaongea na ndoa yangu
Mke wangu ako na dharau sana poster...alafu nahisi ananicheat kwenye ndoa, mchungaji niafanyeje?
❤❤😂amen
😂😂😂😂 et ufe kwaajil ya tapel
Yote ni ubatili, usimlidhishe asiye lidhishwa
😂😂😂 Amen 🙌🙏
hydrate the the Hyun uh no
😅😅😅😅
wewe pastor unafundisha madili kuriko neno na nivizuri tu
😂
You're right dear Andre. Japo kuwa na maadili hakutoshi ili mtu uende Mbinguni ingawa ni muhimu
Enda uhubiri neno kipawa chako kipi? mbinguni hukanyangi 🧐🧐
Kwan neno gani la Mungu unalitaka?
Ameeen
Amen🙏🙏🙏🙏
Amena❤
😅😅😅😅
Amina
Amen!!!
Amen🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
unatisha.mugogo