Kupata mwanamke mchangamfu,,,anayecheka kutoka moyoni,,mwenye hekima na busara ni vigumu kuliko kupata dhahabu mara tisa zaidi,... Ninashauri Pastor ufundishe pia maandalizi ya kisaikolojia mwanamke anayopaswa kuyafanya,,,uchangamfu ni adimu Sana kwenye ndoa nyingi Sana. Unakuta sawa mwanamke mcha Mungu lakini si mchangamfu bado ndao haitakuwa na furaha.
Bwana ni mwema nashukulu mungu Kwa kuwa nabarikiwa na mahubiri haya ila Nina swali ni jinsi Gani unaweza kubadili dini ya mtu hasa mulie nae kwenye mahusiano na ikitokea ikashindikana na Bado upendo upo je nichukue hatua gani
Pastor asante sana, kuna wakati unajikuta una mahusiano /umeoa binti lakini unakuta anakuwa karibu sana na wazazi wake mathalani baba yake yaani mpaka anakushangaza, mara nyingi hasa ukikuta baba yake ana kauwezo kifedha. yaani uko naye lakini unaona hata akiwa na changamoto /au issue ambalo hata mume anaweza kulitatua mtoto wa watu analipeleka kwa baba bila hata mume kuambiwa naamini hii ni changamoto kwa wengi sana pastor japo haiongelewi kuoa watu
nakuelewa sana paster na, ninakupenda pia, mimi ni muislamu nipo hapa brazil, siku hizi unachelesha mahubiri, kuyarusha mtandooni na pia, ninahitaji kuongea na wewe paster.
No one's like David mmbaga...he is my roll mod coz he is thinking a big something so that I love him..!!!!!!#
Mahubiri Yako yananibariki sana Mungu akutie nguvu usife moyo daima my pastor
Amen barikiwa Mtumishi wa Mungu🙏🏾🙏🏾
AMEN🙏...namshukuru mchungaji kwa kutufunza mema katika ndoa kupitia biblia takatifu,....nami nitasema ubarikiwe sana mchungaji mmbaga🙏
Posta nabarikiwa Sana na mafundisho yako!! Yamenipa Imani Thabiti
Kupata mwanamke mchangamfu,,,anayecheka kutoka moyoni,,mwenye hekima na busara ni vigumu kuliko kupata dhahabu mara tisa zaidi,...
Ninashauri Pastor ufundishe pia maandalizi ya kisaikolojia mwanamke anayopaswa kuyafanya,,,uchangamfu ni adimu Sana kwenye ndoa nyingi Sana.
Unakuta sawa mwanamke mcha Mungu lakini si mchangamfu bado ndao haitakuwa na furaha.
God bless you Pastor ,
Asante sana mtumishi barikiwa
Somo nzuri sana kabisa.
Ubarikiwe kwa somo hili tunabarikiwa San na tunajifunza ,Mungu AKUBARIKI
Ubarikiwe sana mchungaji mbaga, Mungu akulinde kwa mafundisho yako
Asantee Baba kwa mafundishaa mazurii
Aminaaaaa Pastor Mbaga Mungu azidi kukutumia
Be blessed pastor
Waaooo somo zuri sana tushindwe sisi tu.
great Sana👍👍👍👍👍
Amina Asante Sana.
Thanks Pr mmbaga uko vzr
Ubarikiwe mchungaji tunakufatilia na tumebarikiwa sana
Kwakweri mahubir haya yananibarik san,Mungu akubariki sana
Amen noted
Great 👍
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Amen and Amen,,haya mafundisho mazuri,,,,nimejuchuna sikio ,,,
Ameen pastor
Bora niangalie unafuu na nitakaloweza kulibeba
Amina ..
Amina
Tunabarikiwa sana Mungu azidi kukutumia
Mafundisho mazuri sana, Asante pastor
Amen be blessed Pastor Mmbaga 🙏
Amen be blessed Pastor Mmbaga
God bless u so much from Nairobi but pastor Siku hizi in_laws na mama wakwe ndio wanasambaratisha ndoa sana
Aksante kwa fundisho
Neno zuri pastor
Bwana ni mwema nashukulu mungu Kwa kuwa nabarikiwa na mahubiri haya ila Nina swali ni jinsi Gani unaweza kubadili dini ya mtu hasa mulie nae kwenye mahusiano na ikitokea ikashindikana na Bado upendo upo je nichukue hatua gani
Amina barikiwa
Pastor asante sana, kuna wakati unajikuta una mahusiano /umeoa binti lakini unakuta anakuwa karibu sana na wazazi wake mathalani baba yake yaani mpaka anakushangaza, mara nyingi hasa ukikuta baba yake ana kauwezo kifedha. yaani uko naye lakini unaona hata akiwa na changamoto /au issue ambalo hata mume anaweza kulitatua mtoto wa watu analipeleka kwa baba bila hata mume kuambiwa naamini hii ni changamoto kwa wengi sana pastor japo haiongelewi kuoa watu
Amen mchungaji barikiwa sana 🙏
Ni kweli
Kweli ndoa siyo agriculture pastor Mungu atusaidie sana tupate kilichochema.
Nakupata pastor
Hakika inabidi kujifunza sana tumjue mungu
Ubalikiwe sana mchungaji kwa ujumbe wako mzr
tuko ikulu😁😁😁😁😁😁
Ameen
💯✅
🤲🤲🙏🏽
Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
nakuelewa sana paster na, ninakupenda pia, mimi ni muislamu nipo hapa brazil, siku hizi unachelesha mahubiri, kuyarusha mtandooni na pia, ninahitaji kuongea na wewe paster.
Tafadhali Tuma namba yako nikuunganishe nae
🙏🙏🙏
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍.
Mchungaji mi nmebalikiwa na sisi mtukumbuke uku iringa
Naitaji adresse za pastor
Sehem ya kutumia akili unaomba" hii umenchekesha aiseh
😃😃😃 muhindi uote.
🙏🙏🙏🙏
ndoa siyo agriculture
"Ndoa sio Agriculture"
Amen
Amen