I remember the days you used to produce DVDs on the topics of prophecy. They opened the eyes of many people Pastor. We used them to God's honour and glory. It is even more relevant now. AMEN.
Mungu Ani funze zaidi ku kaa katka Neno lake na ku ngangania Imani ya kweli. MUUMBA MUNGU atunze watumishi wake wenye ku Nena ukweli wa Neno takatifu ya Mungu, tunzwa na muumba Mungu wetu Mchungaji Dr David
Bwanawee mcungaji siku kwa siku unazidi kutupeleka mbinguni kwa nguvu hata kama mioyo yetu migumu kama ya farao ❤❤❤
I remember the days you used to produce DVDs on the topics of prophecy. They opened the eyes of many people Pastor. We used them to God's honour and glory. It is even more relevant now. AMEN.
Tunazidi kubarikiwa kazi ya Mungu haitasimama❤
Mungu azidi kukubariki pastor
Mungu Ani funze zaidi ku kaa katka Neno lake na ku ngangania Imani ya kweli. MUUMBA MUNGU atunze watumishi wake wenye ku Nena ukweli wa Neno takatifu ya Mungu, tunzwa na muumba Mungu wetu Mchungaji Dr David
Mungu wa binguni akulinde
Amen 🙏 mchungaji kwakutupa abari nzuri sana❤🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe pasta
Siku haipiti bila kukusikiliza ,nabarikiwa sana na mafunzo yako
Mungu akubariki daima🙏
Amen
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
𝘑𝘪𝘯𝘢 𝘭𝘢 𝘉𝘞𝘈𝘕𝘈 𝘭𝘪𝘣𝘢𝘳𝘪𝘬𝘪𝘸𝘦, 𝘯𝘢 𝘠𝘈𝘞𝘌.. 𝘢𝘮𝘣𝘢𝘳𝘪𝘬𝘪 𝘮𝘵𝘶𝘮𝘪𝘴𝘩𝘪 𝘸𝘢𝘬𝘦 𝘬𝘸𝘢𝘢𝘫𝘪𝘭𝘪 𝘺𝘢 𝘶𝘵𝘶𝘬𝘶𝘧𝘶 𝘸𝘢 𝘫𝘪𝘯𝘢 𝘭𝘢𝘬𝘦.