ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nimependa iyo pamba ulovaa na mazingira pia. God bless u pasta.
Unagusa sehem kubwa. Sana ya maisha ya vijana na unafundi mwenye kuyashika. Na ayashike yatakuwa ni ufunguo wa maisha yake ?? Amen paster
Amen 🙏🙌 papa
Weeeee Mungu ni mwema sana nimejifunxa kitu kikubwa sana God bless you pastor 🙏
Amen mafundisho mazuri sana
Umegusa maisha yangu Ahsante pastor leo nimekuwa huru tena huru kweli kweli.
Barikiwa mtu wa baba
Mungu akuwekee ulinzi Hadi mwisho wa makambi haya kabisa, maana una tuimarisha viema.
Pastor unanibariki sanaaa
Basi mm niliziona dalili hizi lakini nilikuwa mjamzito tayari wa mapacha, lakini tuliachana, watoto wako miaka saba, sasa apo nifanyaje
Ninabarikiwa na mafundisho haya mungu aendelee kukuongoza zaidi kukuweka katika nuru zaidi
Hakika pst Mungu atusaindie 2
Amina,barikiwa mno pastor
Pastor Mungu aendelee kukutumia, maana unaongea uhalisia tunaefuatilia tunapona kwa jina la Yesu.
Ubarikiwe Kwa mafundisho hayo
Amina vijana tunajifuza yaliyo kweliii Mungu akubariki pr...🙏
Ndiyo mtumishi hinaitajika macho ya Mungu hili tukubali kuitazama mapenzi
pastor upo vizur👍
Pr David mmbaga somo zur Sana...ntatumia kuoa kanuni hzo
Asante Sana pastor ubarikiwe
Ubarikiwe mtumish
Amen
Amn
Kama ena asilimia 90 ya ivyo wefundisha na mwaguhana tayari na wafikwa kugurumijao uteaze? Gaya du sa Mshauri iki😂😂
Tungoje ukoanga nikayaaaaaa😂😂😂
Pastor Mungu akusaidie zaidi Ili uzidi kutusaidia kutambua ukweli
Yani haya yamenigusa japo Niko kwenye ndoa Yani umenibaliki mnoo
Yaniii ni kweli kabisaa mchungaji
Ubarikiwe sana mtumishi.ila masomo Yako yamepungua Sana.Kulikoni......!!!!???
Ni mafundisho ya kutufanya sisi vijana kujifunza zaidi na kuchukua hatua kabla ya kuhalibikiwa.
kweli kabsa hata mmi nimewhi kuulizwa jambo kumbe nilishawahi kuulizwa majibu yakawa tofauti aisee kiliwaka 😆😆😆😆😆😆😆
Mchungaji ni kweli tupu, Mungu akubariki, wengi tumepitia ila Bwana ashukuriwe kwa ustahimilivu wake
Nice
Jamani mbona mimi sikuona hizo dalili, lakini yamekuja kutokea nimeisha barikiwa watoto 4muda mwingine naona kama ndoto
Amen Mungu atusaidie sana🙏
Pastor umenena yatugusayo vijana na tutalajiayo ila nikumtegemea Mungu tu
Na mm nilikua nikikatazwa huyu mjamaa nlevi but sikutilia maanani,sai ndo najuta
Mafundisho yako yanatubariki mungu awe nawe
Asnte paster
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
Direct to me
Mwenye masikio na asikie
Ò
Balikiwa San ujumbe mzuli vijana msikie

Ubarikiwe sana mtumishi.
ila masomo Yako yamepungua Sana.
Kulikoni......!!!!???