UTACHEKA VITUKO VYA KIBWANA,ALI KAMWE NA JOB/WARUSHIANA MANENO KISA USAJILI WA AZIZ KI,CHAMA NA DUBE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en...
NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE TH-cam CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtvtz
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv
Yanga rahaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Chama yanga
Kibwana anahitaji msemaji kama mimi,hawa wanamuonea, mimi team Kibwana( japo tumefungwa) next season tutajipanga🤣🤣
Duuh mnatupa wakati mgumu sis kama mashabiki wa yanga 😂😂atakae funga ndo tutamshabikia kiukweli alaf kibwana unataka kutuvua ubingwa ety penat sio mchezo kwaiyo Azam atujawafunga
😂😂😂😂😂
Mbona kama mnamuonea kibwana jaman
Hii familia hatari sana
Watu wafupi always tunaonaga kam tunaonewa vile yani 😂 ila kibwana
Job anacheeeka uko nyuma htr
Mbona kamwe na job mnaongea sana mnamuonea kibwana😅😅😅😅
Nyie mnamuonea Kibwana
Kibwana anaongea sana...
Kimwan anaongea Sana