Ally Kamwe autaja udhaifu huu mkubwa wa Simba, amtaja mtu bora kwenye kikosi | First Eleven - Part 3
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Karibu kwenye show mpya ya Michezo hapa SnS iitwayo #FirstEleven ikiongozwa na Martin Kiyumbi. Mgeni kwenye episode hii ni Ally Kamwe, mchambuzi wa soka Azam TV
Umechambua vizuri sana bro
Mtangazaji unajua kuhoji umenifurahisha sana.
Very smart upstair
Backline ya Simba iliruhusu magoli machache sana, ukiacha mechi ya South Africa. Usisahau mechi zilizopita ukaiangalia kwa mechi moja.
Simba ni bora. Tumia neno kutereza ndo kile kilichotokea South Africa. Away match haikuwa moja mbona Simba hakufungwa goli nyingi.
NEXT awe George Ambangile
Atakuwa manyama
Hahahahahahaha kikosi bora
Tunamtaka George Ambangile
Ally unavutia uchambuzi wako
Unachambua vizuri Sana kaka upo sawa.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌