Kwenye Ndoa ni Afadhali mgombane kuliko kuigiza, Hamtodumu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Kama umejifunza kitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:
Facebook | / madamleilaabubakar
Instagram | / madam_leila_abubakar
Tiktok | / madam_leila
@radionuurfm
Usisahau Kubonyeza neno SUBSCRIBE
Pia usisite kutuandikia (comment) maoni yako.
Mashallah mashallah barakallahu ghaflaa HII nzuri mwenyezi MUNGU mtukuf akujalieni MAISHA mazuri Wew pamoja na khatibu 🤲
MashaAllah kaka khatibu na madam Leila Leo umetufikia
Mungu alibariki, na azidi kukuongezea maarifa, maana unatoa dalasa kubwa
Ameen
Ubarikiwe sana dada yake ❤
Allah akujaliy kira laheri
Nimimi😂😂😂 kbsa wa kusahau jmn nawaza San vitu vng kusahau ndio ka sawaaaaaaa yaan daah mpk nikahis ni ugonjwa jmn
Jazakallah khayran
Kuweli kabisa❤
jamani wanaweke kuhishinaho hinahitaji subra sana changamoto ninyingi sana mimi Nina mke lakini analala nachupi ukimwambia kwanini unalala nachupi hanijibu chochotte nifanyeeje
❤🙏🙏🙏
Dah madam hapo kwenye kusahau mumenigusa, yani mie nimsahaulifu, mkimya, mpole halafu hua natenda tu.
Dada kamaulijua majangayangu
Madam leilah samahna kama itakuwa nimeongy jmb ambalo si mahala pake, lakin madam ñipo kweny mtihan nahitaji msaaada wako, mwenzangu kila nikimfahamish kuhusu Maisha anasema nimsubirie afike nyumbn ndio atanitekelzy Yale ninayo mfahamisha, hivi karibun tunaenda kuw mke n mume please 🙏🙏 naomba msaada wako
nipigie namba yangu iko hapo juu
Asalam aleikhum warahmatulh wabarakatuh. Madam leilah naomba number pls nimeangalia hapo juu haipo
Da kwenye safari hapo tpo weng
U ligusa moyoni mwangu
Hii radio kama ni ya kiislam nashangaa inawezaje kumuweka mwanamke huyue mjinga.
Usimbeze anasema ukweli wenyewe
Mwenyewe umekosa kumwita mjinga
Ujinga unaujua?
Sidhani km wewe uko Sawa kwanza maongezi yk yanaonesha wazi unahitaji therapy Tena ya siku 40 Bila kupumzika
Huyu jamaa ni kichaa saana anaongea Bila kujua chochote.