(OFFICIAL VIDEO) UNAPOPITIA WAKATI MGUMU MAISHANI || PR DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 183

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq หลายเดือนก่อน +2

    Amen pastor,
    You are precious to me through your sermons.
    Bless you.
    Haya mahubiri ni tiba kwangu.
    Kabla sijalala najitibu na clip moja.
    Mungu akuponye juu zaidi na zaidi.
    Unaniponya moyo.

  • @happinesedward625
    @happinesedward625 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika umenbariki pr Mungu akubariki

  • @rebeccamwangi9888
    @rebeccamwangi9888 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Pastor.. nimebarikiwa

  • @bakenganasalomon4557
    @bakenganasalomon4557 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nashukuru sanaa kuamafundisho ambayo umetufundisha

  • @jennifermazengo2606
    @jennifermazengo2606 5 หลายเดือนก่อน +3

    Be blessed pastor all the Sermon today was about me ican testify bz i am now longer suffering from Thyroid
    I have been living with this thyroid for about 6 years!But today when i was listening to this Sermon I touched my thyroid and say to God heal me Lord i have been through a lot,he healed me today and i can testify this evening
    Glory be to God the maker of heaven and Earth 🙏
    Mungu azidi kukubariki Mchungaji
    Mungu ameniponya
    Sifa na utukufu tunamrudishia yeye 🙏

  • @user-nv2ii9eu4j
    @user-nv2ii9eu4j 5 หลายเดือนก่อน +3

    Amen🙏 Mungu akubasaki sn mchungaji Mbaga wew umekuwa musada sn kwa watu wangi MUNGU uzidi kukupaka mafuta nakukutumia atakavyo 🙏

  • @luciageorge292
    @luciageorge292 หลายเดือนก่อน +1

    Amen pastor, ninajiskia amani sana nikikuskiliza na ninapata nguvu ya kusali mda mwngne swez lkn kwa maneno yako pastor ad machoz asee

    • @SophiaMarko
      @SophiaMarko หลายเดือนก่อน

      Pastor , naomba namba Yako ya simu,nahitaji kuwasiliana na wewe, ahsante sana 🙏

  • @kerryboggy9904
    @kerryboggy9904 5 หลายเดือนก่อน +6

    Amen,
    Pr. This message was specifically for me today, I was really down and now feel nourished in my heart,
    Thank you pastor, God bless you 47:28

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mch. Mafundisho yako yananibariki sana na tena yananiimiza na kuniongezea sana Imani Mwenyenzi Mungu akubariki sana na akuzifishie siku na miaka

  • @roseokongo3229
    @roseokongo3229 5 หลายเดือนก่อน +3

    Great message, thank you Pastor this is the voice of God.

  • @Alfamwanjoka
    @Alfamwanjoka 16 วันที่ผ่านมา +1

    Eee Mugu utuondolee uchungu ndani yetu saw saw na upendo wakooo

  • @schuby2749
    @schuby2749 5 หลายเดือนก่อน +9

    M. MUNGU azidi kukutunza na akubariki sana. Hili somo ni langu kabsaa. Eeh M. MUNGU azidi kukutumia Pastor David Mbaga 🙏

  • @jacqmhegi8039
    @jacqmhegi8039 หลายเดือนก่อน

    Amina Pastor we are really blessed

  • @vivianong8404
    @vivianong8404 5 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed pastor the sermon is about me am really heartbroken ,the word has blessed me alot

  • @zawadiernest1858
    @zawadiernest1858 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Mwenyezi Mungu ndiye mchungaji wangu atatufanyia wepesi katika mambo yetu tunayotamani atende

  • @sethkakule5369
    @sethkakule5369 หลายเดือนก่อน +1

    Mafundisho Yako yana ni j'engage sana

  • @stephenkiio2603
    @stephenkiio2603 2 หลายเดือนก่อน

    Be blessed pastor ❤

  • @Vel42
    @Vel42 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aamen Pastor nimebarikiwa sana na mahubiri yako.Yanazidi kuniponesha roho yangu iliyoumizwa na watu wa ukoo.

  • @user-yu9dc6cj4c
    @user-yu9dc6cj4c 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu na akubariki maana masomo yako mchungaji yanaponya hakika basi tubadilishe leo ❤❤

  • @danielymwakalambile6095
    @danielymwakalambile6095 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimaombi yangu kwa Mwenyezi MUNGU azidi kukutumia kwaviwango vyajuu barikiwa sanaa 🙏🙏

  • @user-sp2pp1ht6m
    @user-sp2pp1ht6m 15 วันที่ผ่านมา +1

    Asante paster,Mimi labda nikushuru Kwa ajili ya Mwenyezi Mungu,naona hii post ni miezi mitano iliyopita km sijakosea ila Mimi nimeona Leo mwezi wa nane,hakika nilikuwa natafuta namn ya kuondokan na msongo wa mawazo uliopitiliza gafla ikaja hii post,imenisadia Kwa kiasi kikubwa sana ila naomba km Huwa mnapitia comment za matukio yaliyo pita km comment yangu itasomwa,nimetokea kuamini na kukubali mafundisho yako,naomba maombezi yako jina langu ni Stella Petro,Asante.

  • @dionicyndelwa663
    @dionicyndelwa663 21 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @yohanaanthony3422
    @yohanaanthony3422 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hatimaye Familia yetu imefikia wafuasi 200k. Mungu atukuzwe kwa wema wake mkuu, maana anatenda mambo makuu na ya ajabu.

    • @jacklinetowet6703
      @jacklinetowet6703 5 หลายเดือนก่อน

      Ntapataje kuongea na mchungaji?

  • @lilianmbwambo8932
    @lilianmbwambo8932 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu, nakuomba mfungue kaka yangu kutoka katika vifungo vya ulevi na uvutaji wa bangi. AMINA. . Barikiwa sana mchungaji mbaga.

  • @bevinmtendo8714
    @bevinmtendo8714 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika wewe ni Mwalimu wa neno la Mungu! Mungu amekuona maarifa ya kutosha juu ya neno lake la uzima! Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @mamdaliko2362
    @mamdaliko2362 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Pastor unaongowa ndugu zangu Hulu Zambia Bwana azidi kukutumia,unaongowa watu❤❤ your sermon.

  • @NyamariFaith-qu1jm
    @NyamariFaith-qu1jm 5 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa neno ,mungu azidi kukuongoza n awe mjungaji wako pastor am so blessed may you be blessed too in Jesus name amen

  • @lawrencemsangi3837
    @lawrencemsangi3837 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mtumishi wa Mungu Mimi ni Mluther ila ninabarikiwa sana na masomo yako maana masomo yako hayana udini na uthehebu ila ni kuwaleta watu wote kwa Yesu Mungu akubariki sana

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  5 หลายเดือนก่อน

      Ameeeen

    • @joshuanyamle4834
      @joshuanyamle4834 3 หลายเดือนก่อน

      Pastor naweza pata wasilani wako kuna mambo nahitaji msaada mkubwa ​@@MahubiriPrMmbaga

  • @joycethomas6619
    @joycethomas6619 5 หลายเดือนก่อน

    Pastor waombee watoto wangu mwenyezi mungu awapatie afya njema na muovu asipate nafasi juu yao..kwa jina la yesu na Amini

  • @marrynzota6820
    @marrynzota6820 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu ni pendo🙏

  • @josephatnyandoro-kv7py
    @josephatnyandoro-kv7py 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Asante kwa mafundisho mazuri ya kibibilia ,nmejifunza mengi kutokana na fundisho la hili Mungu azidi kukutia nguvu kwenye hii kazi ya utumishi🙏🙏

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni mpango wa Mungu wa Mbinguni niamgalie kipindi hiki.
    Nakiri sana,NIMEBARIKIWA❤

  • @user-dy5ik1sm2d
    @user-dy5ik1sm2d 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mch mbaga napitia wakati mtumishi mpaka nilichanganyikiwa moyo mda mwingine unauma naomba uniombee nasumbuliwa na nguvu za giza nimtu wakuota vitu vibaya nang'atwa navitu usiku kwenye ndoto nimeomba sana mtumishi kama ninavitu vyao kwa kuto kujua niombee nikafunguliwe

  • @kulwamwenura-np9hx
    @kulwamwenura-np9hx 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nguvu na Imani katika changamoto nazopitia mchunge mwanangu mungu wangu ,amen

  • @mainawanjiru7819
    @mainawanjiru7819 5 หลายเดือนก่อน +2

    Pastor pray for my family,, business,our spiritual life, our sda church,those against us becoz of faith and finally sda globally. May God continue using u these last days

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  5 หลายเดือนก่อน

      Blessings to you! Am praying for you

  • @JudithAuma-yv6ll
    @JudithAuma-yv6ll 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru mungu nimengi nimepitia lakini nazidi kuuona mkono wa mungu ukizidi kunitendea mema

  • @user-po6vs5qq9l
    @user-po6vs5qq9l หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana pr

  • @neemamwanjala
    @neemamwanjala 5 หลายเดือนก่อน

    Asante, mtumishi, nikweri unatumiwa na Mungu. Naomba vitabu vyako vyote, ulivyopita kuandika tafadhari, na gharama yake.

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen barikiwa Sana pst kwa masomo yenye kunitia moyo maan at nilikua nimekataa tamaa lkn Mungu. Nmwema

  • @NesthaSimeoni
    @NesthaSimeoni 5 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU naomba kuulizia nawezaje kupata kitabu ulichoandika Cha Siri ya maombi yaliyojibiwa nipo Nairobi Kenya

  • @perisbosibori8524
    @perisbosibori8524 5 หลายเดือนก่อน

    Thank you LORD for You're not yet done with me, You're my SHEPHERD; I shall not want. GOD bless you abundantly Pastor Mmbaga for this timely and wonderful message, 🙏🏻 🙌🏻 .

  • @lucasrisper6584
    @lucasrisper6584 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Pr hubiri hili lilikuwa kwa ajili yangu leo, hakika MUNGU wangu ni Mchungaji mwema’ nimebarikiwa na kuponywa moyo wangu.

  • @rosemnzava4696
    @rosemnzava4696 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika ujumbe wa leo ulilengwa kwangu .
    Mjukuu wangu amepotea muda sasa na hatujui aliko maana ni mraibu
    Ubarikiwe mtumishi wa Bwana Mungu

  • @stoostoo4664
    @stoostoo4664 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mutumishi kwa somo lako zuri sana limenifariji na limenitia nguvu mpya ubarokiwe sana

  • @HeritierBgugamo
    @HeritierBgugamo 4 หลายเดือนก่อน

    Pr ubarikiwe sana,na AMINI Siku moja tutaonana chini ya juwa kama sivyo huko kwetu MBINGUNI nakuombea Pia niombeyeni Pia

  • @agneschinguku8273
    @agneschinguku8273 2 วันที่ผ่านมา

    Nilikua wapi kupata haya madini jamani eeh Mungu nisaidie haya masomo yasipite bure kwangu yanitoe kiwango kimoja kwenda kingine

  • @Leo200981
    @Leo200981 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana kwa somo hili, hakika limekuja kwa wakati wake

  • @user-jt8yr1li7b
    @user-jt8yr1li7b หลายเดือนก่อน

    Amini nimebalikiwa san

  • @josephnsabiyera6900
    @josephnsabiyera6900 5 หลายเดือนก่อน

    Naguswa sana moyoni mwangu, mungu apewe sifa milele na milele

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Pastor Mbaga Mungu azindi kukutumia kutysaidia kukua kiimani

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo 4 หลายเดือนก่อน

    Amen tunamshukuru MUNGU, hatuna lolote zaidi ya UPENDO WAKO, MUNGU akulinde pastor

  • @user-up9hi9un7j
    @user-up9hi9un7j 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika BWANA MUNGU ni mchungaji wetu anajua yote tunayoyapitia .azidi kukubariki na kukutumika 🙏🙏🙏🙏

  • @user-pe9hl6ks6m
    @user-pe9hl6ks6m 5 หลายเดือนก่อน

    pr mungu akubariki addelina mume amemuombà msamaha amani imepatikana tuendelee kuwaombea wafunge ndoa na wamjue mungu wa kweli

  • @maureenmwakipesile2549
    @maureenmwakipesile2549 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu afungue kijana wangu Amon atoke katika Magereza, mashimo na mahandaki.
    Atoke gizani.

  • @NashonNdanzi
    @NashonNdanzi 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana pastor nimetiwa moyo na somo hili zuri

  • @annyirene
    @annyirene 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Mwenye enzi akuzidishie mchungaji

  • @NtaweAndre-lv9sb
    @NtaweAndre-lv9sb 5 หลายเดือนก่อน +1

    Akika Mwenyezi Mungu nimwaminifu ❤

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mchungaji MUNGU akuongezee maisha marefu sana

  • @felixniyonkuru8377
    @felixniyonkuru8377 2 หลายเดือนก่อน

    Mchngaji umegusa changmot ambao ninaipitiya kbx

  • @user-ew6tr5jk2o
    @user-ew6tr5jk2o 5 หลายเดือนก่อน

    Be pleased pastor ❤❤❤akika unaniba moyo katika haya maisha

  • @BonfaceChacha-sp8un
    @BonfaceChacha-sp8un 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe pastor..niliibiwa documents zangu za shule original certificates pamoja n simu ,nguo,simu ,pesa lakini nashukuru saana mungu ashukuriwe kw Kila jambo

  • @ephrasiashay0881
    @ephrasiashay0881 4 หลายเดือนก่อน

    Amina Mchungaji Asante kwa neno la matumaini ubarikiwe sana

  • @gladnessarego4334
    @gladnessarego4334 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu, mtengeneze kijana wangu Christian mtoe kwenye giza,muweke kwenye zizi ulilokusudia

  • @user-ds5gv5fw6h
    @user-ds5gv5fw6h 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu ni mwema nabarikiwa sana pastor

  • @samuelgona6622
    @samuelgona6622 5 หลายเดือนก่อน

    God bless you PST MUNGU akupe maisha marifu

  • @YustaMbilinyi
    @YustaMbilinyi หลายเดือนก่อน

    Mchungaji ubarikiwe sasa nimeanza kuelewa

  • @papalutumba3439
    @papalutumba3439 5 หลายเดือนก่อน

    AMEN PASTOR! MUNGU AKUTUNZE KWA AJILI YA MANKIND

  • @lightthomas9064
    @lightthomas9064 5 หลายเดือนก่อน

    Amina barikiwa sana duh ujumbe mahusisi kwa maisha yangu

  • @user-mt5dv4gz2f
    @user-mt5dv4gz2f หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki Mtumishi wa Baba.

  • @joycelanda8987
    @joycelanda8987 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu naomba umponye mwanangu Irene Sengele kutoka Hali mbaya ya ugonjwa usiojulikana ,naomba umuokoe kutoka roho ya mauti inayomuandama Sasa pale hospital Amina!!

    • @JenethMdee
      @JenethMdee 4 หลายเดือนก่อน

      MamA mdee

  • @KitoJohn
    @KitoJohn 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Munguakubariki sana kwa mahubiri mazuri sana

  • @maranathachoirsdaishasha
    @maranathachoirsdaishasha 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa Mahubiri
    Tunakusihi kutuombea tuna wanafunzi watakaofanya mitihani ya kisecondari hapa Drc muji wa ishasha tunao taka usaada wa maombi utakapo kua na maombi usisahau

  • @nyatichabuga5527
    @nyatichabuga5527 5 หลายเดือนก่อน

    This is my message am going through alot,now i feel am getting strength

  • @ISAYACHENGO
    @ISAYACHENGO 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukuinua poster David kwa injili hii yako maana imenito Mahali ........,

  • @SmilingFarmhouse-cb2ez
    @SmilingFarmhouse-cb2ez 5 หลายเดือนก่อน

    😢asante mchungaji mbaga Mungu akubariki sanaa

  • @jacklynestella5497
    @jacklynestella5497 4 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa,asante mtumishi ubarikiwe

  • @bulayikushaha8661
    @bulayikushaha8661 4 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa mtu wa MUNGU na mafundisho

  • @estherysimon291
    @estherysimon291 5 หลายเดือนก่อน

    Naamini bwana ndiye mchungaji Wang katika Kila jambo ubarikiwe pr ,mmbaga

  • @LeahIsaya-iy5fr
    @LeahIsaya-iy5fr 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @user-lo3lh3hu3y
    @user-lo3lh3hu3y 5 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe pastor

  • @JosephObale
    @JosephObale 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe, samahani pr naweza kuongea na ww binafs.

  • @liberatusnoel4300
    @liberatusnoel4300 2 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji mbona umenisema mimi? Daaah Mungu atusaide

  • @stevenaakiney1322
    @stevenaakiney1322 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Asante Sana pasteur. Mungu akubariki Sana na kufwata nikiwa RDC

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 5 หลายเดือนก่อน

    Amen, ubarikiwe san mchungaji

  • @MaikoMnkondya-bd6jo
    @MaikoMnkondya-bd6jo 5 หลายเดือนก่อน

    Kwahaya magumu ninayopitia MUNGU nisaidie kupitiahilisomo alilolinena mtumwawako lililotokakwako NIMEAMINI ❤

  • @zawadiernest1858
    @zawadiernest1858 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mwenyezi Mungu ndiye mchungaji wangu

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu Hakubariki Sana Mtumishi wa BWANA 👏

  • @RachelNze
    @RachelNze 5 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu akuongezeye mengi zaidi

  • @LevinaRutashongerwa
    @LevinaRutashongerwa หลายเดือนก่อน

    Huo wakati labda unapitia wewe mimi nira yangu ni nyepesi kabisa nalala nakula nakunwa sasa hapo ugumu huko wapi unajipangia ya kwako kichwani. Baba sipendi mahubili yako mimi sio msabato

    • @EligiusRichardGoldenboy
      @EligiusRichardGoldenboy หลายเดือนก่อน

      Kaa Kwa kutulia wewe Hauna Roho wa Bwana ndomaana makasiliko yasiyo na maana 😅

  • @christalgrandberry9283
    @christalgrandberry9283 5 หลายเดือนก่อน

    The lord is my Shephard i shatll not want pralm 23-1 lord i trust in you Amen❤❤❤❤❤

  • @joharissa2020
    @joharissa2020 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @SamuelNgeli-xi6oj
    @SamuelNgeli-xi6oj 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu akuwezeshe Pia akuzidishiye .

  • @omwegasheilah1583
    @omwegasheilah1583 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @AnithaEliack
    @AnithaEliack 3 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali mchungaji naomba unipatie namba yako

  • @henrysospeter2508
    @henrysospeter2508 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina, samahan naomba no.yako mchungaji

  • @user-fg9zg8yi8q
    @user-fg9zg8yi8q 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks pastor god Bless you ❤❤❤❤

  • @AnnaJohn-zm2ud
    @AnnaJohn-zm2ud 4 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa 🙏🏻

  • @user-td5kq4fn7i
    @user-td5kq4fn7i 5 หลายเดือนก่อน

    Amina pr, ahsante sana sana

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 5 หลายเดือนก่อน

    Aminaa🙏🙏hakika hili somo nikwaajili yangu

  • @mbarikiwambarikiwa6479
    @mbarikiwambarikiwa6479 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sn kupitia ww mtumishi🙏