WOMEN MATTERS - UNAMTAMBUAJE MWANAUME ANAYEHUSIANA KIMAPENZI NA WANAUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 หลายเดือนก่อน +7

    Aunt Sadaka jitahidi uwe na subira Mr Sukambi anapoanza kuelezea mtazamo wake unadakia haraka sana anapoanza kuongea, kila mtu apewe muda wake bila kuingiliwa mpaka amalize.
    Asante

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli yaani

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 หลายเดือนก่อน +3

    🤔Asanteni kwa majadiliano mazuri yenye mafunzo na uamsho wa maisha yetu ya kila siku 🤝

  • @HaniyaKisingo
    @HaniyaKisingo 20 วันที่ผ่านมา

    Kipindi kizuri sana

  • @rosemarykipesha3898
    @rosemarykipesha3898 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asanten mmetufumbua macho mambo mengi

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 หลายเดือนก่อน

    Nimependa ati nyonyo la baba mwanzo baada ya hapo la mtoto😅😅😅😅

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekubaliana na huyo mama alivyosema kuna lijamaa lina mkontrol mume au kijana ambae hataki kufanya ushoga ila hilo jamaa lishamfanya mke 😭 ila jamani muwafatilie na wale wazungu wanaingia hapa Tz na kujifanya wanafadhili vijana huko mikoani au vijijini tena wanajenga mahusiano mazuri na makubwa na jamii iliyo wazungukuka kumbe nia yao ni kuwafanya vijana mashoga 😢

  • @UpendojohnTango
    @UpendojohnTango 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kutuelimisha

  • @JoyfullRwechungura
    @JoyfullRwechungura 4 หลายเดือนก่อน

    All in all Mungu kwanza,hata tukikaa vikao ama tukawa na mada nyingi atutoboi

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe kwa kipindi kizuri.

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo mama aliegusia ishu ya simu na kunyonya 2months yani yeye tu ndio amebonga point kubwa mno

    • @Miryambanks0
      @Miryambanks0 4 หลายเดือนก่อน

      yaan mxieew

    • @hlb4lyf701
      @hlb4lyf701 4 หลายเดือนก่อน

      Konyanya nn?

  • @rebbywealth9869
    @rebbywealth9869 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nikisummarise walichosema.... behaviour pattern ndo jambo la msingi,
    Pay attention to the relationship of your husband and men in his life

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 4 หลายเดือนก่อน

    Si mfanye research kujua damage upande upi zaidi

  • @iamanoutstanding_creation
    @iamanoutstanding_creation 4 หลายเดือนก่อน

    Point zote ni za Msingi...,,,Ila ni kweliii malezi na Kufundisha Watoto shule zote za Primary Boarding Zifungwe waweke ziwe Day school

    • @iamanoutstanding_creation
      @iamanoutstanding_creation 4 หลายเดือนก่อน

      Shule za Bweni ziwe tu Kuanzia Sekondari ili Watoto wetu tuwajengee misingi na Hata kazi pia wazazi ikifila Saa 10 wasitishe kazi warudi kwenye Malezi.... watoto wengine wana haribiwa na Mahouse girl au Houseboy

  • @rebbywealth9869
    @rebbywealth9869 4 หลายเดือนก่อน

    Kijana mwenye miaka 30+ akiamua kua na mwanaume au mwanamke alomzidi miaka mingi let say 15+ hapo ana akili timamu na anajua anachokifanya acheni wavune wanachopanda.........
    Ila mama au mbaba wa late 30s na kuendelea kuwa na binti au kijana wa kiume wa ealry 20s or even 18,19 yrs hiyo ni typical paedophilia iliyopoa, na kinachotafutwa hapo ni manipulation ya kijana mdogo tu

  • @btylove1870
    @btylove1870 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wanaoshinda gym. Wanaume wanaochukia ma gay mpaka huwa wanawaombea wafe. Wanaume ambao wana marafiki wanaitana bro kila sehemu wapo wote. Wanaume walio bakwa na uncle zao... Kama TZ wapo wengi sana na wengi wameoa au wamezalisha wanawake tofauti ili wafiche mapungufu yao utaskia mimi rijali nina watoto kibao😂

  • @lindajackson7080
    @lindajackson7080 4 หลายเดือนก่อน

    Hili nalo la baba kua anaomba kinyuma na maumbile mala kwa mala si dalili ya ushoga ???

    • @hlb4lyf701
      @hlb4lyf701 4 หลายเดือนก่อน

      Mmh

  • @veronicahlusekelo5205
    @veronicahlusekelo5205 4 หลายเดือนก่อน

    Nina hitaji namba ya huyu anti sadaka kwasababu nna shida sana naitaji anisaidie kuweka akili sawa nahic nachanganykiwa

    • @imanimwakinga4934
      @imanimwakinga4934 4 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kumtafuta pia deo sukambi akakusaidia, page yake iko TH-cam hapa.

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 4 หลายเดือนก่อน

    Na Mke jee ikiwa hataki tendo la ndoa huwa ana nini?

  • @chapter2719
    @chapter2719 4 หลายเดือนก่อน +2

    Fanyeni video kwanini mume hataki tendo na mkewe sababu ni nini na mke afanyeje

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hana shida ya kiafya yeyote basi ni wazi ana mchepuko au michepuko huko nje.... utajua wewe unafanyaje kupambania kombe au kuaga mashindano

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 4 หลายเดือนก่อน

    Hilo limama lililovaa nuo nyekundu halijatulia linarukiarukia tu mada hovyo hovy

    • @florachuwa4542
      @florachuwa4542 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusamehe bure.

    • @HaniyaKisingo
      @HaniyaKisingo 20 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢Mungu akupe ufahamu