Ukisema zifundishwe makanisani huo ni ufinyu wa mawazo na ubaguzi kwani dr Elli sio mchungaji wewe nenda kanisani kwako hii ni ukweli wa maisha sio mahubri jamani
DEAREST LILIAN...I ENJOY YOUR HARDTOKS TO THE MAX. EACH TOPIC YOU PUT TO TABLE IS A GREAT LESSON FOR ALL AGES AND WALKS OF LIFE. GOD BLESS YOU GIRL...YAANI KNOW THAT YOU ARE A BLESSING TO ME. SIJAKUONA LOOONG TIME NAKUKUMBUKAGA SN. THIS IS RITTA FROM "UKOMBOZI CHOIR"🥰...HOPE TO SEE U. MUCH LOVE SIS🤎⚘
Huyu doctor nampenda😍😍😍
Dr.the way anaongea unatamani uendelee kumsikiliza,Asante sana kwa elimu hii🙏🏾
Kila mtu alie kwenye ndoa namausiani inapendeza kusikiliza 😮
Asante Sana Dr Elie kwa mafunzo mazuri
Dr wetu Mungu tunaomba aendelee kukutunza
Pia Dada yetu na timu nzima tunawashukuru kwa ubunufu wenu na majitoleo yenu
Dawa nzuri sana ya akili.
kwel Dr
I wish hizi busara zingefundishwa makanisani
Ukisema zifundishwe makanisani huo ni ufinyu wa mawazo na ubaguzi kwani dr Elli sio mchungaji wewe nenda kanisani kwako hii ni ukweli wa maisha sio mahubri jamani
Dr. Mimi nakuelewa sana.
Nampenda huyu Doctor
Nakupenda sana Lilian
DEAREST LILIAN...I ENJOY YOUR HARDTOKS TO THE MAX. EACH TOPIC YOU PUT TO TABLE IS A GREAT LESSON FOR ALL AGES AND WALKS OF LIFE.
GOD BLESS YOU GIRL...YAANI KNOW THAT YOU ARE A BLESSING TO ME. SIJAKUONA LOOONG TIME NAKUKUMBUKAGA SN. THIS IS RITTA FROM "UKOMBOZI CHOIR"🥰...HOPE TO SEE U.
MUCH LOVE SIS🤎⚘
Ladha inaendana na mtazamo wa mlaji hahaha salute doctor madam Lilian naona uko hives hapo hahaa
Dr alisomea fani gani
Mbn sikuizi humchukui dr Elie
Doctor anafafanua vizuri mpaka raha
Jamani mi nakapenda ka viviani🥰
Mungu akubariki sana
Nimejifunza kitu!!
Doctor huyo Ana madini sana
🇹🇿🇨🇩
😍😍😍
Bro anaongea rugha ngumu sana😇
Kichwa kimejaa vitu
Shukurni Dr yani unatupa dawa kabisa
...... Siwezi kujibu hilo swali nitakuwa disqualified kama dr wa saikolojia, mwingine angekujibu akufurahishe tuuu
Hekima