Lillian Mwasha Tv
Lillian Mwasha Tv
  • 92
  • 295 659

วีดีโอ

TPT - TOA HUKUMU KWA WABAYA WAKO
มุมมอง 4914 วันที่ผ่านมา
Time to Pray Together (TPT) June Edition #prayer #forward #maombi #jesus #yesu #tpt
TPT - Hii hali Sio Sawa, USIKUBALI IENDELEE
มุมมอง 7614 วันที่ผ่านมา
Time to Pray Together (TPT) June Edition #prayer #forward #maombi #jesus #yesu #tpt
WOMEN MATTERS - UNAMTAMBUAJE MWANAUME ANAYEHUSIANA KIMAPENZI NA WANAUME
มุมมอง 8Kหลายเดือนก่อน
WOMEN MATTERS - UNAMTAMBUAJE MWANAUME ANAYEHUSIANA KIMAPENZI NA WANAUME
WOMEN MATTERS - NAHISI MUME WANGU ANA MAHUSIANO NA RAFIKI YAKE
มุมมอง 1.8K2 หลายเดือนก่อน
WOMEN MATTERS - NAHISI MUME WANGU ANA MAHUSIANO NA RAFIKI YAKE
WOMEN MATTERS - KUACHANA KWA SMS BAADA YA MAHUSIANO YA MIAKA 3
มุมมอง 2.2K2 หลายเดือนก่อน
Karibu WOMEN MATTERS. Kwenye Episode yetu la leo tunaongelea suala la dada aliyeachwa KWA KUTUMIWA SMS na boyfriend wake baada ya kuwa naye kwenye mahusiano ya mapenzi kwa miaka mitatu #women #womenmatters #wanawake #mahusiano #boyfriend #breakup #marriage #friends #sms
WOMEN MATTERS - JE NI SAWA KUOLEWA NA EX WA RAFIKI YAKO?
มุมมอง 2K2 หลายเดือนก่อน
Karibu WOMEN MATTERS. Kwenye Episode yetu la leo tunazungumzia na kujibu swali, Je ni sawa kuwa na uhusiano na kuolewa na Ex wa Rafiki yako? #women #womenmatters #wanawake #mahusiano #boyfriend #exboyfriend #marriage #friends
LILLIAN MWASHA: Nguvu ya Kukubaliana na Kuombeana
มุมมอง 1193 หลายเดือนก่อน
unaweza kufuatilia ujumbe wote hapa th-cam.com/users/liveZWWwrqc5rvs?feature=share #prayer #gospel #jesus #god #christian #bible #jesuschrist #lilian #mwasha
LILLIAN MWASHA: Hatua ya kuchukua ili kuepukana na magonjwa ya mara kwa mara
มุมมอง 833 หลายเดือนก่อน
unaweza kufuatilia ujumbe wote hapa th-cam.com/users/liveZWWwrqc5rvs?feature=share #prayer #gospel #jesus #god #christian #bible #jesuschrist #lilian #mwasha
LILIAN MWASHA: MWANAKE BEBA POCHI KATIKA MIZUNGUKO YAKO
มุมมอง 1834 หลายเดือนก่อน
LILIAN MWASHA: MWANAKE BEBA POCHI KATIKA MIZUNGUKO YAKO
LILIAN MWASHA: Mwanamke Furaha yako iko ndani mwako
มุมมอง 2654 หลายเดือนก่อน
LILIAN MWASHA: Mwanamke Furaha yako iko ndani mwako
LILIAN MWASHA: KASORO YAKO NDIO UTAJIRI WAKO
มุมมอง 5884 หลายเดือนก่อน
LILIAN MWASHA: KASORO YAKO NDIO UTAJIRI WAKO
LILLIAN MWASHA : UMUHIMU WA POCHI KWA MANAMKE (Happy Women's day)
มุมมอง 1464 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA : UMUHIMU WA POCHI KWA MANAMKE (Happy Women's day)
LILIAN MWASHA: Happy Women’s day ULANGA
มุมมอง 2724 หลายเดือนก่อน
LILIAN MWASHA: Happy Women’s day ULANGA
Lillian MWASHA: THAMANI YAKO IPO KATIKATI YA MIGUU YAKO
มุมมอง 1918 หลายเดือนก่อน
Lillian MWASHA: THAMANI YAKO IPO KATIKATI YA MIGUU YAKO
LILLIAN MWASHA: When I'm 41 years old, what should I or shouldn't I eat to protect me from CANCER?!
มุมมอง 608 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA: When I'm 41 years old, what should I or shouldn't I eat to protect me from CANCER?!
LILIIAN MWASHA: UZINDUZI
มุมมอง 1288 หลายเดือนก่อน
LILIIAN MWASHA: UZINDUZI
Lillian MWASHA: GIRLS HAKUNA DHAMBI KUBWA DUNIANI KAMA KUTOA MIMBA
มุมมอง 2078 หลายเดือนก่อน
Lillian MWASHA: GIRLS HAKUNA DHAMBI KUBWA DUNIANI KAMA KUTOA MIMBA
Lillian MWASHA: GIRLS UGOVI WA BABA NA MAMA AUKUHUSU
มุมมอง 1768 หลายเดือนก่อน
Lillian MWASHA: GIRLS UGOVI WA BABA NA MAMA AUKUHUSU
Lillian Mwasha: GIRLS MJUWE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO
มุมมอง 998 หลายเดือนก่อน
Lillian Mwasha: GIRLS MJUWE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO
Lillian MWASHA: GIRLS MAISHA YANATAKA UWE NA KIHEREHERE NDIO MAFANIKIO
มุมมอง 1999 หลายเดือนก่อน
Lillian MWASHA: GIRLS MAISHA YANATAKA UWE NA KIHEREHERE NDIO MAFANIKIO
Lillian MWASHA: GIRLS UTOKUFA BALI UTAISHI
มุมมอง 6839 หลายเดือนก่อน
Lillian MWASHA: GIRLS UTOKUFA BALI UTAISHI
Lillian MWASHA: GIRLS TOKOMEZA ZIRO
มุมมอง 609 หลายเดือนก่อน
Lillian MWASHA: GIRLS TOKOMEZA ZIRO
LILLIAN MWASHA: USIMPE MWAUME NAFASI YA KUKUZOWEA
มุมมอง 2.3K9 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA: USIMPE MWAUME NAFASI YA KUKUZOWEA
LILLIAN MWASHA: UNA MIAKA 40 UNASUMBULIWA NA MAPENZI WHY!!
มุมมอง 2.3K10 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA: UNA MIAKA 40 UNASUMBULIWA NA MAPENZI WHY!!
LILLIAN MWASHA: KWANINI UNA TOA MIMBA??
มุมมอง 9810 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA: KWANINI UNA TOA MIMBA??
LILLIAN MWASHA: IJUWE KAZI ANAYO IFANYA MPENZI WAKO
มุมมอง 20810 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA: IJUWE KAZI ANAYO IFANYA MPENZI WAKO
LILLIAN MWASHA: MWANAUME UNA KOPA ILI UMRIZISHE MWANAMKE ACHA UFALA
มุมมอง 28810 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA: MWANAUME UNA KOPA ILI UMRIZISHE MWANAMKE ACHA UFALA
LILLIAN MWASHA: LEO NAKUPA STORY YA MAISHA YANGU
มุมมอง 1.9K10 หลายเดือนก่อน
LILLIAN MWASHA: LEO NAKUPA STORY YA MAISHA YANGU
HESHIMU MWANAUME AKIKUWEKA NDANI
มุมมอง 63410 หลายเดือนก่อน
HESHIMU MWANAUME AKIKUWEKA NDANI

ความคิดเห็น

  • @user-xe2sr7kt6v
    @user-xe2sr7kt6v วันที่ผ่านมา

    Naomba namba zakooo my dear

  • @lutfiamohammed7400
    @lutfiamohammed7400 24 วันที่ผ่านมา

    Hiki kipindi nimerudia zaidi ya mara 4

  • @lutfiamohammed7400
    @lutfiamohammed7400 24 วันที่ผ่านมา

    Yaani nyie Leo mmekaa mnaniongelea Mimi kweli sawa bwana what next maana ndio hivyo

  • @lutfiamohammed7400
    @lutfiamohammed7400 24 วันที่ผ่านมา

    Sasa hiyo sms angenitumia mie angekoma nahisi angetuma htr mia na nisingejibu

  • @user-jo3cs3yu3o
    @user-jo3cs3yu3o 27 วันที่ผ่านมา

    Wengine hapo hawaja kuelewa. Watoto waskuhizi!?

  • @FatumaIssa-kw3vv
    @FatumaIssa-kw3vv หลายเดือนก่อน

    Love gorgeous women ❤❤

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 หลายเดือนก่อน

    Kwaupande wangu Mimi nisawa

  • @btylove1870
    @btylove1870 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wanaoshinda gym. Wanaume wanaochukia ma gay mpaka huwa wanawaombea wafe. Wanaume ambao wana marafiki wanaitana bro kila sehemu wapo wote. Wanaume walio bakwa na uncle zao... Kama TZ wapo wengi sana na wengi wameoa au wamezalisha wanawake tofauti ili wafiche mapungufu yao utaskia mimi rijali nina watoto kibao😂

  • @miraclesbilliondollargrace
    @miraclesbilliondollargrace หลายเดือนก่อน

    Una talent nyingi unaweza kuwa msimulizi wa hadithi au content ya maana kwa sababu una sauti nzuri. Umebarikiwa mtumishi

  • @miraclesbilliondollargrace
    @miraclesbilliondollargrace หลายเดือนก่อน

    God bless you so much sister

  • @user-lu6ig3rv4i
    @user-lu6ig3rv4i หลายเดือนก่อน

    Lilian l love u ,u are awoman of a substance

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 หลายเดือนก่อน

    🤔Hakuna kitu kibaya kama dhana. Dhana hukondesha, hutia wasiwasi, kiherehere hadi pressure kabisa. Chunguza, fanya utafiti halafu muulize mpenzi wako jee ana mtu wa pembeni kama atakubali fanyeji mazungumzo kufikia muafaka na kama atakataa na ushahidi upo iteni wanafamilia ikishindikana kusuluhisha waiteni watu wa dini kama hawa watu wako ndani ya ndoa na wana imani fulani. Mtazamo wangu kila mtu ana mtazamo wake.

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 หลายเดือนก่อน

    Nimekubaliana na huyo mama alivyosema kuna lijamaa lina mkontrol mume au kijana ambae hataki kufanya ushoga ila hilo jamaa lishamfanya mke 😭 ila jamani muwafatilie na wale wazungu wanaingia hapa Tz na kujifanya wanafadhili vijana huko mikoani au vijijini tena wanajenga mahusiano mazuri na makubwa na jamii iliyo wazungukuka kumbe nia yao ni kuwafanya vijana mashoga 😢

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 หลายเดือนก่อน

    🤔Ubinaadam, utu na vitendo ni vitu 3 tafauti. Jambo muhimu ni kujua maisha, mtazamo na uamuzi ni wangu hauhusiani na mtu. Kila mtu na safari yake kimaisha iwe ni x wako au wa rafiki yako ni x tu sasa kupenda au kupendwa kwengineko isiwe ni chuki za marafiki. Ni kufahamiana tu kuwa kila mtu na maisha yake. Mada nzuri asanteni sana kwa elimu 🤝

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 หลายเดือนก่อน

    🤔Asanteni kwa majadiliano mazuri yenye mafunzo na uamsho wa maisha yetu ya kila siku 🤝

  • @suzanamangandu1719
    @suzanamangandu1719 หลายเดือนก่อน

    😅nyie ni huzuni kwakweli nani anamkula mwenzake mie ningemtumia sms pale pale mamy ur so sexy akinijibu Namie ningejibu Leo tunaweza kuwa pamoja halafu Nampa location fasta akikubari Natoka home na simu ya Mme wangu mpaka eneo la tukio yangu naacha akija najua wanakulana naanza kuhoji

  • @eleoncejohn3823
    @eleoncejohn3823 หลายเดือนก่อน

    Bro, unatoa code sasa jaman

  • @veronicahlusekelo5205
    @veronicahlusekelo5205 หลายเดือนก่อน

    Nina hitaji namba ya huyu anti sadaka kwasababu nna shida sana naitaji anisaidie kuweka akili sawa nahic nachanganykiwa

    • @imanimwakinga4934
      @imanimwakinga4934 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kumtafuta pia deo sukambi akakusaidia, page yake iko TH-cam hapa.

  • @user-zs6ze9hn6p
    @user-zs6ze9hn6p หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @iamanoutstanding_creation
    @iamanoutstanding_creation หลายเดือนก่อน

    Point zote ni za Msingi...,,,Ila ni kweliii malezi na Kufundisha Watoto shule zote za Primary Boarding Zifungwe waweke ziwe Day school

    • @iamanoutstanding_creation
      @iamanoutstanding_creation หลายเดือนก่อน

      Shule za Bweni ziwe tu Kuanzia Sekondari ili Watoto wetu tuwajengee misingi na Hata kazi pia wazazi ikifila Saa 10 wasitishe kazi warudi kwenye Malezi.... watoto wengine wana haribiwa na Mahouse girl au Houseboy

  • @lindajackson7080
    @lindajackson7080 หลายเดือนก่อน

    Hili nalo la baba kua anaomba kinyuma na maumbile mala kwa mala si dalili ya ushoga ???

    • @hlb4lyf701
      @hlb4lyf701 หลายเดือนก่อน

      Mmh

  • @JoyfullRwechungura
    @JoyfullRwechungura หลายเดือนก่อน

    All in all Mungu kwanza,hata tukikaa vikao ama tukawa na mada nyingi atutoboi

  • @sophiakayumba5974
    @sophiakayumba5974 หลายเดือนก่อน

    Kipindi ni kizuri sana, hongereni kwa kazi kubwa ya uelmishaji jamii......maoni kama mdau wa women matters, nadhani itapendeza zaidi mkipeana nafasi katika kuongea mawazo yenu, yani mtu asimkate mwenzake akiwa anaongea ili tupate mawazo yake mpaka mwisho tujifunze zaidi, hasahasa mentor Deo Sukambi mnamkata sana, akianza tu kuongea kidogo mnamdakiza,

  • @susans4490
    @susans4490 หลายเดือนก่อน

    Au...Sadaka rafiki (best friend)ni saa nyengine anaweza kuwa kuliko blood sister

  • @susans4490
    @susans4490 หลายเดือนก่อน

    Kama ww ni best wangu unatakiwa uwe upande wangu

  • @maureenayo8978
    @maureenayo8978 หลายเดือนก่อน

    Need to bring back this gem✨Piccola

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 หลายเดือนก่อน

    Si mfanye research kujua damage upande upi zaidi

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 หลายเดือนก่อน

    Hilo limama lililovaa nuo nyekundu halijatulia linarukiarukia tu mada hovyo hovy

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 หลายเดือนก่อน

    Uyo mama aliegusia ishu ya simu na kunyonya 2months yani yeye tu ndio amebonga point kubwa mno

  • @ubongosahihi
    @ubongosahihi หลายเดือนก่อน

    Tuombe Mungu dada Lilian Mapenzi ni Mitihani ajuaye ni Mungu Pekee Yake Mapenzi Tumwachie kwanza aliye tuumba ♥️🧎🏾‍♀️🙇🏽‍♀️👏🏾

  • @ubongosahihi
    @ubongosahihi หลายเดือนก่อน

    😮😢😢 Oooh Lilian I was like the same like you 😭😭😭😭😭😭😭😭loooo at last I found my metch and worse again my Dad he even though am HIV Postive since I was very skin and I’ll too be blessed 😇 ♥️♥️♥️♥️🧚🏾‍♂️🧚🏾‍♂️🧚🏾‍♂️🧚🏾‍♂️🧎🏾‍♀️🙇🏽‍♀️👏🏾

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 หลายเดือนก่อน

    Na Mke jee ikiwa hataki tendo la ndoa huwa ana nini?

  • @rosemarykipesha3898
    @rosemarykipesha3898 หลายเดือนก่อน

    Asanten mmetufumbua macho mambo mengi

  • @rebbywealth9869
    @rebbywealth9869 หลายเดือนก่อน

    Kijana mwenye miaka 30+ akiamua kua na mwanaume au mwanamke alomzidi miaka mingi let say 15+ hapo ana akili timamu na anajua anachokifanya acheni wavune wanachopanda......... Ila mama au mbaba wa late 30s na kuendelea kuwa na binti au kijana wa kiume wa ealry 20s or even 18,19 yrs hiyo ni typical paedophilia iliyopoa, na kinachotafutwa hapo ni manipulation ya kijana mdogo tu

  • @rebbywealth9869
    @rebbywealth9869 หลายเดือนก่อน

    Nikisummarise walichosema.... behaviour pattern ndo jambo la msingi, Pay attention to the relationship of your husband and men in his life

  • @roseassey5173
    @roseassey5173 หลายเดือนก่อน

    Huyu Dada Ana uhakika iyo namba ni ya huyo rafiki ya mume wake kweli?? Au amesave tu jina??

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 หลายเดือนก่อน

    Mbona ize tu ukiachwa achika ukiona hivyo rizki yako imeisha kwako kwa hiyo usimlazimeshe mahusiano na ukitaka kuumia we ng'ang'ania upendwe

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe kwa kipindi kizuri.

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 หลายเดือนก่อน

    Lilian unasauti nzuri sana kama BBC hivi tunasikiliza

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 หลายเดือนก่อน

    Very wrong 😑 kutembea na bwana wa rafk yako haijalishi mmeachana miaka mia

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 หลายเดือนก่อน

    Natasha and lilian they are very right bwana wa rafk yangu siwez kuolewa naye wala kutembea❤naye yakifika huko ni rahisi hata kuuwana na mtu anaye weza fanya hivyo hakuwa rafk bali alikuwa adui kaa naye mbali

  • @chapter2719
    @chapter2719 2 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni video kwanini mume hataki tendo na mkewe sababu ni nini na mke afanyeje

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 หลายเดือนก่อน

      Kama hana shida ya kiafya yeyote basi ni wazi ana mchepuko au michepuko huko nje.... utajua wewe unafanyaje kupambania kombe au kuaga mashindano

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 2 หลายเดือนก่อน

    Aunt Sadaka jitahidi uwe na subira Mr Sukambi anapoanza kuelezea mtazamo wake unadakia haraka sana anapoanza kuongea, kila mtu apewe muda wake bila kuingiliwa mpaka amalize. Asante

    • @Shuu.A
      @Shuu.A หลายเดือนก่อน

      Kweli yaani

  • @user-di1pp7ud3g
    @user-di1pp7ud3g 2 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kutuelimisha

  • @user-tq5di6mv9c
    @user-tq5di6mv9c 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikutana na haya mm 😢niuzuni unalala na mwanaume miezi saba ukimgusa unatukanwa sana

    • @sultanaally4397
      @sultanaally4397 หลายเดือนก่อน

      Vipi sasa siku hizi mambo yamekaa sawa ? Kama bado shida ipo nitafute nikusaidie

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 หลายเดือนก่อน

      ​Mmmmh utamsaidiaje ​@@sultanaally4397

  • @user-di1pp7ud3g
    @user-di1pp7ud3g 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤mbarikiweee

  • @user-di1pp7ud3g
    @user-di1pp7ud3g 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢daaaaaah huyu dada jamn pole yake

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 หลายเดือนก่อน

    Vipindi navyo vipenda😊

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 หลายเดือนก่อน

    Woow❤