WOMEN MATTERS - KUACHANA KWA SMS BAADA YA MAHUSIANO YA MIAKA 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Karibu WOMEN MATTERS. Kwenye Episode yetu la leo tunaongelea suala la dada aliyeachwa KWA KUTUMIWA SMS na boyfriend wake baada ya kuwa naye kwenye mahusiano ya mapenzi kwa miaka mitatu
    #women #womenmatters #wanawake #mahusiano #boyfriend #breakup #marriage #friends #sms

ความคิดเห็น • 12

  • @sophiakayumba5974
    @sophiakayumba5974 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kipindi ni kizuri sana, hongereni kwa kazi kubwa ya uelmishaji jamii......maoni kama mdau wa women matters, nadhani itapendeza zaidi mkipeana nafasi katika kuongea mawazo yenu, yani mtu asimkate mwenzake akiwa anaongea ili tupate mawazo yake mpaka mwisho tujifunze zaidi, hasahasa mentor Deo Sukambi mnamkata sana, akianza tu kuongea kidogo mnamdakiza,

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 3 หลายเดือนก่อน +4

    Lilian unasauti nzuri sana kama BBC hivi tunasikiliza

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona ize tu ukiachwa achika ukiona hivyo rizki yako imeisha kwako kwa hiyo usimlazimeshe mahusiano na ukitaka kuumia we ng'ang'ania upendwe

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 16 วันที่ผ่านมา

    Haki dalilian umenifanya nicheke mm 2yrs na mtu n i left in silent nilipojua anapretend haki nimejifeel vzr n more energy like i gained something

  • @lutfiamohammed7400
    @lutfiamohammed7400 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani nyie Leo mmekaa mnaniongelea Mimi kweli sawa bwana what next maana ndio hivyo

  • @user-ej2yw3zn5i
    @user-ej2yw3zn5i 17 วันที่ผ่านมา

    Mimi naungana na liliy lazima nikutukane

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 3 หลายเดือนก่อน

    Woow❤

  • @lutfiamohammed7400
    @lutfiamohammed7400 2 หลายเดือนก่อน

    Hiki kipindi nimerudia zaidi ya mara 4

  • @user-di1pp7ud3g
    @user-di1pp7ud3g 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤mbarikiweee

  • @lutfiamohammed7400
    @lutfiamohammed7400 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo sms angenitumia mie angekoma nahisi angetuma htr mia na nisingejibu

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 3 หลายเดือนก่อน

    Vipindi navyo vipenda😊

  • @eleoncejohn3823
    @eleoncejohn3823 2 หลายเดือนก่อน

    Bro, unatoa code sasa jaman