"SIPENDI MWANAMKE MCHAFU" OMMY DIMPOZ | KUHUSU MAISHA YAKE | OFISI YAKE | ALL ACCESS NA ZIZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 153

  • @nuruali7859
    @nuruali7859 2 ปีที่แล้ว +3

    Inshaallah mola akupe mke msafi wa mwili mpka roho...amiin

  • @dianamumbua6966
    @dianamumbua6966 2 ปีที่แล้ว +8

    I really love this man my big fun since I was a kid akiimba na venesa mdee mashallah

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 2 ปีที่แล้ว +11

    msani hana maringo pia haonishi maisha yake mtando hajisifiyi mansha allah

  • @saumuhamisisaumuhamisikumb9733
    @saumuhamisisaumuhamisikumb9733 2 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah unajielewa sn kk nakupenda kwa ajili Allah ❤ 😍 💖 ❣

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah omy dmpoz congratulation wewe n msaf Sanaaaaa had raha

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 ปีที่แล้ว +12

    Ommy kama ikitokeya akawa mtangazaji wa kipindi chochote hakika kipindi hicho kitakuwa more than 🔥

  • @rukyahassansuleiman5977
    @rukyahassansuleiman5977 2 ปีที่แล้ว +10

    Maashallah allah akulinde na shari za wt na majini 🙏🙏

  • @kheahanthony3652
    @kheahanthony3652 2 ปีที่แล้ว +1

    This is really amaizing innfact ommy is my role model na nmekua nkimfatilia sna since wayback

  • @baysomapea500
    @baysomapea500 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyie waandishi kila siku kujaji maisha ya mastaaa mbn hatuoni maisha yenu

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 2 ปีที่แล้ว +5

    Duuuh...!!! This guy is living a life

  • @gracelihawa8117
    @gracelihawa8117 2 ปีที่แล้ว

    Jah akujalie upate mke mzur na mwenye hofu ya mungu ommy nakukubali

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah pambee saaana 😍😍

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 ปีที่แล้ว +2

    Umekaza kabisa 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 6 หลายเดือนก่อน

    Love u ommy mdogoangu

  • @fadhilaiddi535
    @fadhilaiddi535 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mungu akutangulie

  • @newking6497
    @newking6497 2 ปีที่แล้ว +3

    The best one so far🔥🔥🔥 So impressive

  • @jazminmsangi9822
    @jazminmsangi9822 2 ปีที่แล้ว +12

    I real love the lifestyle of dis man

    • @MrJoshkm
      @MrJoshkm 2 ปีที่แล้ว +1

      Lifestyle gani hii ya kupewa na vibaba vizee ili wamfire? Mola atuhifadhie watoto wetu wa kiume kama hio ndio maisha, afadhali wangu aishi bila.

    • @mahamedabdi1881
      @mahamedabdi1881 2 ปีที่แล้ว

      @@MrJoshkm unaohakika gani? Chunga mdumu bro

    • @MrJoshkm
      @MrJoshkm 2 ปีที่แล้ว

      @@mahamedabdi1881 Ulizia watu wa Zanzibar na Dubai, hii kitu lajulikana, siri wazi.

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ mashaailah

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika msafi mashallah 👍👌😘

  • @ismailsalim1175
    @ismailsalim1175 2 ปีที่แล้ว +8

    This is what we want to see

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 2 ปีที่แล้ว +4

    Big up mtangazaji uko vizr sana nakuona mbali sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 ปีที่แล้ว +1

    JAMAA Ana pesa lakini ana ji shusha na kuishi maisha ya kawaida anakula mishikaki na mihogo koko each 👍👍🙏

    • @elizasizya4285
      @elizasizya4285 ปีที่แล้ว +1

      Kweli ivy ndo vizuli kujishusha muhimu

    • @SaidyAllyAbdallah
      @SaidyAllyAbdallah 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani mihogo si chakula kama vyakula vingine

  • @nicksonihelmani407
    @nicksonihelmani407 2 ปีที่แล้ว +21

    Huyu jamaa kumbe anamaisha mazuri sana lakini hapnd kujionesha

    • @brownd8656
      @brownd8656 2 ปีที่แล้ว

      Yakawainda tuu kkkk

    • @iktharsalum7440
      @iktharsalum7440 2 ปีที่แล้ว +1

      @@brownd8656 Ni wivu tu

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 ปีที่แล้ว

      @@brownd8656 kibooo,wivu wa nini sasa

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว

      @@brownd8656 Ww unayo hata hayo yakawaida?

  • @khadijaismail5013
    @khadijaismail5013 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @jeda1234
    @jeda1234 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 2 ปีที่แล้ว +8

    anaishi vizuri kweli yani, i'wonder familia yake anaishi maisha gani huko kwao

    • @veeJesus
      @veeJesus 2 ปีที่แล้ว +4

      Hayo mwachie yeye hayakuhusu

    • @japhetadelard9465
      @japhetadelard9465 2 ปีที่แล้ว

      @@veeJesus 😊

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 2 ปีที่แล้ว

      @@veeJesus 😋

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 2 ปีที่แล้ว

      Familia yake wata pambana huko walipo

    • @rhma6073
      @rhma6073 ปีที่แล้ว

      Ndugu zake kina bi khadija wapo marekani hana shida yuko poa

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว

    I lv u ommy

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa ana bahati Sana ya kupendwa yani anapewa kila kitu

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 ปีที่แล้ว

    Clean kwa sana❤

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว

    Ommi nakupenda a Sana saut yako hatauongeaj wako

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah wagee naweziyo wasonavo

  • @cachec7930
    @cachec7930 2 ปีที่แล้ว +9

    Kweli kuna watu wanaishi na sisi tunaishiaaa😁😁

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 ปีที่แล้ว

    Mashalllah naic

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 23 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @maidamwaipopo9603
    @maidamwaipopo9603 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilazima yule mzee aumie sio kwa maisha hayo

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 2 ปีที่แล้ว +2

    Ommy ni mtani sana haboi yuko very funny na mchangamfu

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 2 ปีที่แล้ว

    Mashallha msafi kweli mm bwana angu msafi mno mpaka mm mwenyewe naojiogopa 🤣🤣yani bonxa yake nyeupe ukifua auna ata shida ya kufua kwa miguvu yani anafanya adi kukuelekeza jinsi ya kufua jinsi zake ataki ufue na sabuni akiingia kuoga ss🤣🤣😂mnaweza mkachelewa safari mpaka na mwambia anajini itakuwa😁🤪msafi mno

  • @samiakikwete1762
    @samiakikwete1762 2 ปีที่แล้ว

    Wifiii sijui atakuaje

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 2 ปีที่แล้ว +4

    Jamani msitamani maisha ya watu huyu anajua anachofanya

  • @lettysalala2504
    @lettysalala2504 2 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda ommy alafu mkweli sana

  • @hassanmohammed2835
    @hassanmohammed2835 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali mwanangu

  • @beatricekadzo5215
    @beatricekadzo5215 2 ปีที่แล้ว +1

    Woow nice

  • @jasminhussein3024
    @jasminhussein3024 ปีที่แล้ว

    Awe msafi loooooh nmecheka😂😂😂😂😂

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 6 หลายเดือนก่อน

    ukimaliza interview awo wandiishii watupeleke makwao nawao tukaoneeee

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 ปีที่แล้ว

    Iwe nyummbayako mwenyewe inshaallah

  • @josephswai2374
    @josephswai2374 2 ปีที่แล้ว

    Apoo kwenye mishikaki ishirini sasa ommy anakumbia umeinaaa

  • @majaliwakashindi804
    @majaliwakashindi804 ปีที่แล้ว

    Ommy humuowe
    Mtangazaj

  • @giftpamelagiftpamela4494
    @giftpamelagiftpamela4494 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 💖💖💖💖

  • @sharifasalum532
    @sharifasalum532 2 ปีที่แล้ว

    mashaallah mashaallah

  • @Kabi_47
    @Kabi_47 2 ปีที่แล้ว

    Happa mjini kwangu now ni summer time lakin body ilijiachia haijawa teyari kwa ajili ya summer ommy kesho naanza gym😁😁😁😁

  • @shamsahassain7964
    @shamsahassain7964 2 ปีที่แล้ว

    Ommy

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @jacklinemwita4173
    @jacklinemwita4173 2 ปีที่แล้ว

    Sehemu ya kujidai hatariii

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +4

    Lkn sijui upoje umelegea legea

    • @aminaosman888
      @aminaosman888 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha 🤣 amelegea kma mlenda

    • @MrJoshkm
      @MrJoshkm 2 ปีที่แล้ว +1

      Ommy watu wengi hawajui yeye ni shoga wa kujificha.

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @HarimahtheAnny
    @HarimahtheAnny ปีที่แล้ว

    JAMAN NIMESOMA COMMENT ZOTE ZINAUMIZA 😭 AKI MNACHECHA SANA MUNAKAA NAKUMUSEMA ETI OMMY NISHOGA ?? HIONINJAA INAWASUMBUA NAKUMUONEA WIVU 😏 😏 KAMA NISHOGA INAWUSUU? MUACHE NA MAISHA YAKE ATAJUANA NA MUNGU WAKE !! NAKUPENDA SANA OMAR 😍 MUNGU AZIDI KUKUSIMAMIYA SANA KATI KA KIRA JAMBO ROROTE UNARO RIFANYA AMEN 🙏❤️ # OMMY DIMPOZ

  • @indirimbotv59
    @indirimbotv59 2 ปีที่แล้ว +7

    ukiwa napesa utapata kilakitu

  • @eliusernest5129
    @eliusernest5129 2 ปีที่แล้ว

    ❤️

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumejenga wote 😂😂😂 hiyo ndiyo ishu mzee baba 😁

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama mchafu hawezi kutoboa 😂😂😂

  • @rahiymaallawi6551
    @rahiymaallawi6551 2 ปีที่แล้ว +6

    Ivi jamani watu pesa wanatoa wapi?

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว

      Haaa mbona umeuliza hivi😁😁😁

    • @gracesilayo7670
      @gracesilayo7670 2 ปีที่แล้ว +4

      Wanapambana kwa jitihada zote my

    • @hanirashuwesu4239
      @hanirashuwesu4239 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 ปีที่แล้ว

      Ndo na mm najiuliza sasa

    • @MrJoshkm
      @MrJoshkm 2 ปีที่แล้ว

      Wanafirwa na vizee wa kiarabu, Ommy na mtandao usiwape presha .

  • @Callkingb
    @Callkingb 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona dada kamtoa mkono begani

  • @carinamatt1031
    @carinamatt1031 2 ปีที่แล้ว +3

    Kama hakuna kufa jamani

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 ปีที่แล้ว

      We acha tu😥😥

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 2 ปีที่แล้ว

      @@miriamwinston9908 kaka wee acha wengine tunatafuta ila ndo hivyo ila tu furahi tu

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 2 ปีที่แล้ว +4

    Omar hiyo sweta uliyovaa rangi zake zina sifa mbaya duniani !zina saport mapenzi ya jinsia moja !najuwa unajuwa ila umeamua kuvaa sasa watu wakikulaumu usiwaone wabaya

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว +2

      Kumbe khaaaaaa MUNGU wangu kama kweli hayuko ivyo dawa kubwa ni kuoa, bc mimi nimelipenda limemuweka🥰 kangaaaa kweli

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 2 ปีที่แล้ว +2

      @@edinakyaruzi9226 Halifai huo mchanganyiko wa hizo rangi una maana mbaya sana !hata yeye analijuwa hilo !juzi tu hapa kuna mchezaji wa mpira wa miguu wa team ya PSG raia wa Sénégal alikataa kuvaa jersey yenye hizo rangi kutokana na misingi ya imani ya dini yake !ukitumia hizo rangi dunia nzima inajuwa kuwa ww ni mtu wa haina gani

    • @oii6zlaboshelby17
      @oii6zlaboshelby17 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli kabisa au itakuwa katumwa huyo kubrand biashara ya watu

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 ปีที่แล้ว +1

      Sawa lakini sasa sisi tufanyaje kwa mfano???

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว +1

      @@reubenkissinga5802 sisi hatupati shida shida ipo kwa vizazi vyetu wapendwa haitajulikana mme wala mke tumuombe MUNGU sana iliatuepushie kwa pamoja kwaimani tofauti na yenye ofu kwa Mwenyezi MUNGU tutashida

  • @rhma6073
    @rhma6073 ปีที่แล้ว

    Kwani mihogo sio chakula

  • @annaphilemon852
    @annaphilemon852 2 ปีที่แล้ว

    Kwaio kigezo ni iko tuu usafi basi nipeni no

  • @kebytz.9890
    @kebytz.9890 2 ปีที่แล้ว

    Sometimes he looks like davido

  • @habbibtymonah6912
    @habbibtymonah6912 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuu hii yote mapambo ya dunia watu njee watembea bila nguo ww kaka umejaza makabati 😥😥😥😥

    • @mosimba467
      @mosimba467 2 ปีที่แล้ว +3

      Wewe ulishawapa wangapi nguo

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 2 ปีที่แล้ว +5

      hivi utahudumia wangap?Na akiwa anatoa msaada kimya utajuaje?..Kingine hvi hutakiwi kula raha kwasababu kuna watu wanapata shida? acha kila mtu ashinde mechi zake bana matatizo dunaian hayaishi.

    • @angelacharles4365
      @angelacharles4365 2 ปีที่แล้ว

      Hayo yote makasiliko tu

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 2 ปีที่แล้ว +1

    huyu ni nani anajishughulisha na nini msaada tafadhali!

  • @jaffarsaid8344
    @jaffarsaid8344 2 ปีที่แล้ว

    Zina taga maana ukimaliza kushoot unarudisha

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว +1

    Usafi pambee🤣🤣🤣

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 ปีที่แล้ว

    Mchafu tafuta Chaka 🔥🔥🔥

  • @brightonkiwango8184
    @brightonkiwango8184 2 ปีที่แล้ว

    Sema Ana pigo fulani hivi za kishoga

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 2 ปีที่แล้ว

      Usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho unajizolea madhambi

  • @allyadamtz
    @allyadamtz 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaha!eti nilitoa mchozi!

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 2 ปีที่แล้ว

    iyo hotel ipo wap kaka

  • @MrJoshkm
    @MrJoshkm 2 ปีที่แล้ว +2

    Ati hapendi mwanamke mchafu? na sote twajua wewe ni wakupumuliwa kisogoni

  • @shamsahassain7964
    @shamsahassain7964 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhhh mtumba tujuaneee

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Bass haya mwanamke mchafu tupo tele hata mimi ni moja wao

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 2 ปีที่แล้ว

    Nguvu zenyewe hana

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 2 ปีที่แล้ว

    nimependa dressing table... poda za kutosha

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 2 ปีที่แล้ว +1

    Jitu lenyew shoga sasa

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 ปีที่แล้ว

    Nice